Nice😍😍but nina swali,sa umesema ukipaka hayo maji wakaa siku mbili ndiyo uoshe..what about hicho kitambaa unakaa nayo hadi siku mbili ..ama ni muda gan waeza kitoa🤔
Kitambaa sio lazma nacho kikae kichwani kwa mda wa siku mbili. Ukitaka waweza kukitoa baada hata ya dakika 30 ila hayo maji ya mchele ndo unaacha yakae siku mbili kisha ndo unaziosha nywele zako.
@@tiffahjuma1970 ndio kipenzi waweza kutumia maji hayo hatakama hujaosha nywele. Napia ukiwa umesukwa pia waweza kuweka maji ila sio lazma upake mafuta kila siku. Ila hakikisha unaweka maji kabla yakupaka mafuta mda wote
Nimependa ushauri naafundisho yako my dd
sas dada unatufundisha lakin maswali tukiuliza hujib why 😏
Dada ukitufunzaga naelewaga vizuri kabisa lakini video zawengine utakuta huelewi hata ilawewe mwalim mzuli kabisa asante😍😍
Nafurai kuskia ivo
Dada siwezi ku spray nikiwa nimesuka ? Dredi vya mikono?
My mwalim👏🏼👏🏼
Asante sana dada Mungu akubariki nakwenda kujaribu na Mimi🥰🥰🥰🥰😛😛😛
Amina 🙏
Mungu akubariki
Kazi nzuri twin we almost 1k subscribe keep it up 👍🏽
Thanks pacha yeah mdogo mdogo
Kwahyo.unatumia.skungap.dada❤
Dada mm nywele zngu ni nying ila hazikuw je naweza tumia hyo maji
Asante Sanaa dada ❤️❤️
Unapaka ukiwa umeziosha Yan safi ama unapaka tu hatakama aujaziosha?
Heeeeee nmeipenda nkoi namba Ako naiomb
❤
Ngoja nijaribu na mimi nione
🎉🎉
Mi naweka dawa naweza kutumia?
Wow
thank you❤
Nimetokea kukupenda wedada basi tu😆
Asante sana. Nakupenda pia🥰
Vp kama nataka niweke hayo maji yamchele lkn natawadha kila kipindi cha sawala itakuwaje
Je inafaa kwa nywele yenye dawa?
Asante sana my dada
Pamoja sana
Hata kama nimenyoa nataka zikuwe haraka unaweza kutumia naomba unijibu
Daah siku mbili km wataka kuswali utafanyaje ili upate kuswali?
Tumia ukiwa pii
Shukran
Asante tutaapply
Inachukua muda gani kupat matokeo
Asanteee
Castor oil xhingap
Dada angu mm nywele yang inakatika kisogon nifanyaj ili isikatike plz nisaidie
Inaku siku ngapi
Dear mbn ny we le angu inakatikaaaa??
Dada Mbona izo nywele Zako zina fanana nazenye zinaka emo produits ?
Ndio nywele zangu niliwekaga regezaa au vimbisha sio produits yote bado zina texture
Asante dada vitu yako moto.
Pamoja sana my yaani nyie kaeni mkao wa kula tu mambo mengi mazuri yanakuja❤️
@@lenaturalistar848 tunayasuburia kwa hamu nyingi Sana mama uwagi unatuangusha.
Hatakama sinadawa unawesa kutumia ??
Ahsanta dada aah
Habari yako bidada upo state gani please
Ndug mm nywel yng imakuw kab xn kwnn
Kwann dad unapak mar moj na SI mar nyingi???
Dadaaaaa❤️
❤️❤️❤️❤️❤️
Na ukiwa umesuka Rasta unaweza kuweka maji ya mchele
Tupo
Nice😍😍but nina swali,sa umesema ukipaka hayo maji wakaa siku mbili ndiyo uoshe..what about hicho kitambaa unakaa nayo hadi siku mbili ..ama ni muda gan waeza kitoa🤔
Kitambaa sio lazma nacho kikae kichwani kwa mda wa siku mbili. Ukitaka waweza kukitoa baada hata ya dakika 30 ila hayo maji ya mchele ndo unaacha yakae siku mbili kisha ndo unaziosha nywele zako.
Unaisha na sabuni au maji tu bila sabuni
Ukisha weka na kukaa siku mbili unaosha na sabuni
Kwamwenye hana frigo nae atatumia aje
Alafu mafutagani njuri unaweza weka ndani ya iyo madji ya mushele?
Extra virgin olive oil, coconut oil, avocado oil, jojoba oil, grape-seed oil, au castor oil. Yote hayo ni mazuri
Dada Mimi nywel zangu ni ndogo San je nitaweza kutumia
Ndio hata ukiwa na nywele fupi ni sawa kutumia
Dear nnlitumia iyo juice lkn nywele ulikuwa ngum jmn
Pole sana my, jaribu kutumia na cream baada ya kupakaa
Unaweza tumia hyo maji hta bila kuosha nywele na je km nywele umesuka c zitakuwa na mafuta unaweza paka hvyohvyo au
@@tiffahjuma1970 ndio kipenzi waweza kutumia maji hayo hatakama hujaosha nywele. Napia ukiwa umesukwa pia waweza kuweka maji ila sio lazma upake mafuta kila siku. Ila hakikisha unaweka maji kabla yakupaka mafuta mda wote
je mafuta ya mgando unaweza kuchanganya kwenye maji ya mchele
Dada etu asante sana
Dada mm nimekata ndio kwanza naanza kuchana pia naweza kitumia hayo maji ya mchele
Ndio kabisa waweza kuyatumia bila shaka. Fata tu maelekezo nlivyo fanya yatakusaidia pia
Kama zinadawa
Ndio mamii niliweka kidogo ili kuregeza nywele kunipa wepesi wakuweza kuzi handle
Kama umenyoa piah inasaidia
Ndio mamii
Ahsant dad ntajaribu
Namba yako
Heeeeee nmeipenda nkoi namba Ako naiomb