HUDUMIA HIVI NYWELE ZAKO KILA ASUBUHI ILI ZIKUE HARAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 141

  • @veronicathomas1811
    @veronicathomas1811 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana Dada nakufatilia na nimepata matokeo mazuri mno mno

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว +1

      Wooow hongera sana dear.. nafurahi kupata mrejesho mzuri jamani

    • @chrizantsamwel4341
      @chrizantsamwel4341 2 ปีที่แล้ว

      Nafurahi kwa ushauri mzuri njisi ya kutinza nywele

    • @alyram3011
      @alyram3011 2 ปีที่แล้ว +1

      Niko na mafuta ya karafu je yana weza kunisaidia

  • @ZainabuKassim-l1c
    @ZainabuKassim-l1c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Dada nitaanza

  • @sarahtwinzi4482
    @sarahtwinzi4482 4 ปีที่แล้ว +2

    Wooow!! Umenifunz mpk maishangaa nywele yang ilivo kuw bomba

  • @jamilahabdulkarimlaizzer765
    @jamilahabdulkarimlaizzer765 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamn asante sana na Mungu akubariki,unaelezea vizuri sana dear tunakuelewa

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Wow nafurahi kusikia hivo. Asante sana dear

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 4 ปีที่แล้ว +1

      Haswaaa Mungu amubariki sanaa

  • @rosealex3508
    @rosealex3508 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana kwa somo lako

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mpenzi mie nywele zangu zinatia matumaini kabisa

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Dushyant Savania wooow hongera sana dear.. tuendelee kupambana na matunzo

    • @suwakamohamed6564
      @suwakamohamed6564 4 ปีที่แล้ว

      Da g nashukuru sana nywele zangu saiz zimeanza jaa maana zilikatika mpk nikataman kukata nikawaza labda sababu ya kunyonyesha lkn nilivyo anza kutumia stiming na kutumia bamia km live in imenisaidia sana nashukuru sana

  • @mkondyaesther5074
    @mkondyaesther5074 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante dear nywele zangu now zina matokeo mazur

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Wooow hongera sana dear kazana kutunza

  • @AnthoniaKazingoma
    @AnthoniaKazingoma 3 หลายเดือนก่อน

    What is the name of the spray?

  • @CatherineLorry
    @CatherineLorry ปีที่แล้ว

    Nitumie jina la hiyo spray...asante

  • @vailethkamuli6057
    @vailethkamuli6057 ปีที่แล้ว

    Je nikitumia spray ya OLIVE OIL tu

  • @aishaa9805
    @aishaa9805 3 ปีที่แล้ว

    Asante dada angu mungu akitujaalia kwa kila hatua uifanyayo

  • @ericakasege4230
    @ericakasege4230 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mimi natumia steaming ya tangawizi na kitunguu je inakuaje maana umesema nywele yako inakatika?

  • @hereethswai4351
    @hereethswai4351 4 ปีที่แล้ว +4

    Dada naomba unimbye nifanyaje nywele zangu ziwe nyeusiii maana kwenye ncha zinakuwa rangi tofauti

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว +1

      Mara ya mwisho kukata ncha ni lini dear?

  • @ElizabetShirima-jj8gv
    @ElizabetShirima-jj8gv ปีที่แล้ว +1

    Mm Nywele zangu ni dred inafaa

  • @irakozejuliette5722
    @irakozejuliette5722 ปีที่แล้ว +1

    Castor inamalinza ivi ?

  • @RachealJamhuri
    @RachealJamhuri 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo dadaa mm nywele yangu imekatika huku mbele juu ya rasta utanisaidia vipi

  • @neemadaud7178
    @neemadaud7178 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee,dia mm huwa natumia sray ya oliver oil napatwa na mbu nifanye nn sijui

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Iache dear... tafuta ORLS DETANGLE SPRAY

    • @neemadaud7178
      @neemadaud7178 4 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 Asanteee nashukuru sanaa toka nianze kufuatilia channel yangu nina nywele nzuri kweli kwelii na sijajuta kukufuata

    • @salmakhamisi1485
      @salmakhamisi1485 4 ปีที่แล้ว

      Bamia unalichemsha??

  • @rizikladyherson8451
    @rizikladyherson8451 3 ปีที่แล้ว

    Dadaa kma hauna castor oil

  • @hildamatinga2249
    @hildamatinga2249 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli hongera sana,nimejaribu na mimeona mafanikio, sijahesabu siku Ila kwa kweli nywele yangu ss ivi Ina afya, Asante nime sabscribe na kengele nimebonyeza

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Wooow hongera sanaaa mumy. Nmefurah kusikia hivo

  • @irakozejuliette5722
    @irakozejuliette5722 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nina swali iyo castor inamalinza ivi?

  • @neemaakwaso4484
    @neemaakwaso4484 2 ปีที่แล้ว

    nimependa xan

  • @maryamomar1136
    @maryamomar1136 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo nd shd yang naomba msaada wak

  • @suwakamohamed6564
    @suwakamohamed6564 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukur sana dada mie nishaanza ona mafanikio

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Wooow jamani nafurahi sana kusikia hivo

  • @neemalyimo2039
    @neemalyimo2039 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada mafuta ya nazi hayafai au ni mpaka Castro Oil??

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว +1

      Mafuta ya nazi paka kwenye ngozi ya kichwa dear

    • @neemalyimo2039
      @neemalyimo2039 3 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 Castro Oil yalinikataa yaniletea mpaka mba nikawa napaka ya nazi na yamenikibla kwenye nywele zangu

  • @joycechacha7344
    @joycechacha7344 4 ปีที่แล้ว +1

    Zangu ni nature ila laini sana, je niweke stiming gani? Au mafuta gani?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Una porosity ya aina gan mumy

  • @bahatiema
    @bahatiema ปีที่แล้ว +1

    M naomba namba yako unitumie mafta

  • @rajabmsita2833
    @rajabmsita2833 2 ปีที่แล้ว

    mbona nywele zako n nyeusi sana umepaka dawa gani

  • @ScholarSamwel
    @ScholarSamwel 10 หลายเดือนก่อน

    shida yang nanyonyesha lakini nywele zangu zimekatika sana hadi nataka ninyoe sasa nifanye nini ilinywe zangu zikue

  • @joycelukio9273
    @joycelukio9273 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hyo ukiwa na dtego spray haina haja ya live in condishenal?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Hapana dear vyote ni muhimu.. Kama kwa muda huo huna pesa ya conditioner basi nunua detangle kwanza itskusaidia

  • @roseminegaudence9698
    @roseminegaudence9698 3 ปีที่แล้ว

    Mumy mm nanywele natural nikiosha nywele sitakiwi kukausha?

    • @roseminegaudence9698
      @roseminegaudence9698 3 ปีที่แล้ว +1

      I mean nikitaka kusuka nifanyaje nisuke zikiwa naunyevu au nikaushe?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Futa vzuri na kitambaa raini kisha funga mabutu ya uzi. Kesho yake kasuke dear

  • @mariamsaid8963
    @mariamsaid8963 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata Kama umesuka minyoosho unawezahudumia hvyo?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Ndio dear unaweza japo sio nzur sana

  • @monicamahulu9438
    @monicamahulu9438 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama nimesuka nywele za kawaida naweza kutumia hizo bidhaa?

  • @tinamboya4058
    @tinamboya4058 4 ปีที่แล้ว

    na wakat wa uck nikitia maji nywelee kuna madhara dr

  • @MarryPaul-p3o
    @MarryPaul-p3o 4 หลายเดือนก่อน

    Daah nimepend San ❤❤

  • @respauncontestedbeauty6841
    @respauncontestedbeauty6841 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee

  • @hildamatinga2249
    @hildamatinga2249 3 ปีที่แล้ว

    Sasaa baada ya hapo unaosha? Na unafanya kila siku?

  • @zainabukabis2510
    @zainabukabis2510 4 ปีที่แล้ว +1

    hayo mafuta yananisaidia sana kwa nywele zangu ila tatizo yananiwasha sàna nitumie mafuta gan tofaut na hayo?

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      HAYA castor sikuizi yapo fake na original dear... jaribu kununua kwa mtu mwingine kwanza dear ata ya 5000

    • @zainabukabis2510
      @zainabukabis2510 4 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 asante sana

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama sina castor oil nitumie ya Natural ya mafuta ya Nazi??

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Nazi paka kwenye ngozi ya kichwa dear

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 4 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 asante kwa ufafanuzi dadangu, lov you

  • @kulthumhamim2825
    @kulthumhamim2825 4 ปีที่แล้ว +1

    Za saiz,naomba kuuliza izo nywele ukizitia maji haziharibiki za dawa

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Usizitie maji kila siku dear.. fanya ata mara 1 kwa wiki. Ila unyevu ni lazma

  • @MuniraPande
    @MuniraPande 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nywele zangu hazikui😟😟

  • @EdithaEliafoo
    @EdithaEliafoo 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @ancyrom6929
    @ancyrom6929 4 ปีที่แล้ว +3

    I love big and healthy hair though at the moment I cannot afford the basic things to the practice

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว +1

      Hey dear you can use natural ingredients to care your hair. They have very good results

    • @ancyrom6929
      @ancyrom6929 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gracebimz7935 I request you to to the me the natural ones babe please

  • @naelldickson4093
    @naelldickson4093 4 ปีที่แล้ว

    Na kama una deep conditioner unaitumiaje hapo

  • @zuhurafarijallah1545
    @zuhurafarijallah1545 4 ปีที่แล้ว

    Dada maji ya chumvi yanafaa kuoshea nywele hayana madhara

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Hayafai dear yanakata nywele mnoo

    • @hildamatinga2249
      @hildamatinga2249 3 ปีที่แล้ว

      hayafai kabisa kabisa, nimekata nywele zangu ndefu kwa ajili hiyo

  • @aishaa9805
    @aishaa9805 4 ปีที่แล้ว

    Naomba unitumie picha za hivyo vitu kipenzi nimependa sana

  • @CatherineLorry
    @CatherineLorry ปีที่แล้ว

    Nitumie jina hilo condition

  • @hildamatinga2249
    @hildamatinga2249 3 ปีที่แล้ว

    Na nywele zangu zina dawa zinafaa?

  • @gladnessrommie5507
    @gladnessrommie5507 2 ปีที่แล้ว

    nywele zangu hazikui afu mbele hazioti

  • @nervisemuganyizi9055
    @nervisemuganyizi9055 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesuka nywele za uzi

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Ni twists dear

    • @nervisemuganyizi9055
      @nervisemuganyizi9055 4 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 ok bt sijampata mtu wa kunisuka my der natamani sana kusuka twince

  • @severina3429
    @severina3429 ปีที่แล้ว

    Usichoke kuelekeza

  • @daphneymuthoni6030
    @daphneymuthoni6030 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @azizakingima9148
    @azizakingima9148 4 ปีที่แล้ว +1

    GOOD

  • @rosealex3508
    @rosealex3508 ปีที่แล้ว

    Nikimaliza kuzihudumia ni lazima nizifunike au pia naweza kuzihudumia kwa kutumia Mnyonyo au mafuta ya nazi

  • @anithagibson4985
    @anithagibson4985 ปีที่แล้ว

    Dada nywele zangu ni ngum niweke dawa gani jmn

    • @fettsamri3835
      @fettsamri3835 ปีที่แล้ว

      Darkn love kiboko au radiant

  • @salmakhamisi1485
    @salmakhamisi1485 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba nisaidie namba zako za cm dada

  • @azizakingima9148
    @azizakingima9148 4 ปีที่แล้ว +1

    FINE

  • @cictcictvia3822
    @cictcictvia3822 4 ปีที่แล้ว

    Dada nauliza dawa ya mvi

  • @azizakingima9148
    @azizakingima9148 4 ปีที่แล้ว +1

    Et dada nifanyaje ngozi ya nywele yangu isiniwasheee

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      OSHA nywele kwa maji vugu vugu kisha paka maji ya limao +tangawizi

  • @agnessmagaila9761
    @agnessmagaila9761 4 ปีที่แล้ว +2

    et dada ni lazima asali iwe mbichi mana ninayo ya kawaida sijaanza kutumia bado

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Kipenzi asali mbichi ina virutubisho vyote muhimu kwa ukuaji wa nywele.. ndio maana inapendekezwa sana

  • @rehemaisaack1728
    @rehemaisaack1728 4 ปีที่แล้ว +1

    hiyo hair detangler inaitwaje

  • @secheanderson9829
    @secheanderson9829 4 ปีที่แล้ว

    Mimi hiyo spray nimetafuta sana sijaipata huku kahama

    • @isambakajela124
      @isambakajela124 3 ปีที่แล้ว

      Tafuta hata ile chupa ya mafuta ya cherehani

  • @misha-pg3ul
    @misha-pg3ul 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitajalib

  • @sarahfavel229
    @sarahfavel229 3 ปีที่แล้ว +1

    Sorry hiyo spry inaitwaje coz Sijasikia vzr jina ulipotaja

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 4 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kusuka twists unawez tumia mafuta gani

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Tumia leave in conditioner na mafuta ya castor oil

  • @annangatunga5793
    @annangatunga5793 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya Simu dear

  • @kulthumhamim2825
    @kulthumhamim2825 4 ปีที่แล้ว +1

    Mie naomba unitajie izo bizaaa zote zinazofanya zikue nataka na Mimi zikue

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Ahaa ili kuelewa zaidi search video yangu inaitwa bidhaa muhimu kwa matunzo ya nywele dear

  • @peninamandago7665
    @peninamandago7665 3 ปีที่แล้ว +1

    Huko kwenu ni saa tatu.....upo wap mamaa

  • @keziakeneth544
    @keziakeneth544 4 ปีที่แล้ว +3

    Mi nafatilia nywl angu imekatika adi nataman kulia watu waniuliza iv umekata nywele zako

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว

      Umetumia kitu gani mamy.. pole sanaaa

  • @magrethpembe2303
    @magrethpembe2303 3 ปีที่แล้ว

    Kama huna tango sorry ukapaka caster oil kila siku haifai

  • @Ashu-ed2tb
    @Ashu-ed2tb 4 ปีที่แล้ว +1

    Inaitwaje hiyo my dear

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  4 ปีที่แล้ว +1

      Inaitwa ORLS DETANGLE SPRAY

    • @Ashu-ed2tb
      @Ashu-ed2tb 4 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 shukran mpenzi taitafta

    • @veronicathomas1811
      @veronicathomas1811 4 ปีที่แล้ว

      Sante sana nakufuatilia vzr mno Dada na matokeo nayapata mungu akubariki dear

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 4 ปีที่แล้ว

      thomas same too me matokeo nayaonaa japo dawa ndio imeishia,kwenye nywele zangu ila zinajaa kwa kasi na kuwa nyeusi...

  • @lindahmrutu271
    @lindahmrutu271 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipo moshi now

  • @aishaa9805
    @aishaa9805 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zako za WhatsApp