mafuta ya kurefusha nywele kwa haraka/ clove oil for hair growth

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 138

  • @SARAIBRAHIM-e4u
    @SARAIBRAHIM-e4u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
    Shukran kipenzi je, kama hujayachemsha yanafaa na je kama ukichanganya vaseline oil na almond oil itafaa

  • @SalhatIddi
    @SalhatIddi 6 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mama kwa mafuzo

  • @PrisilaGwakisa-no6kx
    @PrisilaGwakisa-no6kx 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh aisee Asante ngoja nijaribu nitarudi kuleta mrejesho

  • @PriscaBanda-tn4xo
    @PriscaBanda-tn4xo 5 หลายเดือนก่อน

    Asante saana kwa ujuzi huo nimependa

  • @FatmaKhamis-z8p
    @FatmaKhamis-z8p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada ntajaribu nione

  • @MareMa-kb3iy
    @MareMa-kb3iy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks My sister

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa somo. Nakupenda bure dadangu

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  2 ปีที่แล้ว

      Karib sana

    • @najmahamso8364
      @najmahamso8364 ปีที่แล้ว +1

      ​@@nasramaujuzi4245 asalam alaikum warhama tullah wabarakatuh
      Haya mafuta yakuza kidevu?

    • @najmahamso8364
      @najmahamso8364 ปีที่แล้ว

      ​@@nasramaujuzi4245 asalam alaikum warhama tullah wabarakatuh
      Haya mafuta yakuza kidevu?

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  ปีที่แล้ว

      Hahaha
      Kidevu pia ni nywele lazima zitakua nyingi pia

  • @yvonneaisha3537
    @yvonneaisha3537 14 วันที่ผ่านมา +1

    So naeza tumia hadi kwa deadlock ??

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah yangu imekatika mbele sina nywele acha niyatengeze sijui mboya yakatika nywele yangu ila ntajaribu kuyatumia 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AdiyaShariff
    @AdiyaShariff 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana data je naweza kutumia mafuta ya nazi badlands ya olive?

  • @mugishobonheur7509
    @mugishobonheur7509 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dada

  • @VeronicaFaustine-b7z
    @VeronicaFaustine-b7z 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nikishatengeza hayo mafuta yanaweza kukaa kwa mda gani bila kuharibika?

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  8 หลายเดือนก่อน

      Sidhani kama yanaharibika yangu nimetumia miezi 6

  • @MamaShaa-mh3xb
    @MamaShaa-mh3xb 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante dada maujuzi nuwele yangu nilikata nilipoanzakutonea nilkaanza namafuta uliyofundisha kwakweli nilipaka nakuanza mabutu yauzi kama mala4 sikuhiyo nikaenda kusuka zakawaida nilisukwa sita kichwa namkia ukabaki sikuamini wanaoniona wanashangaa nikasukatena sita nikajatena7 nikaludia yena tano uwiiih balikiwa sana unuchoyo my wangu nywelee ilikuanamvi lakini saivi wananiuliza unapaka piko nawaambia aka manazilifubaa nakua nyeupe yaani langi mchanganyiko saivi weupe unapungua zinakua nueusi👃👃👃

  • @SyppyAdhiambo
    @SyppyAdhiambo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shukurani dadangu nywele zangu hazimei

  • @kizzjojo-qp1lv
    @kizzjojo-qp1lv ปีที่แล้ว +2

    Shukran sana

  • @MamaShaa-mh3xb
    @MamaShaa-mh3xb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba no yk ya wasap kama unagroup nivizuli tungekua tunaleta molejesho ilikupata moyo zaidi minatakanikutumie maendeleeo yangu

  • @wardashabani
    @wardashabani ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa som zur ntajaribu

  • @ellahjonas4881
    @ellahjonas4881 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dadaake nipo Oman 🇴🇲 napenda nyele yangu ikuwe jamani

  • @ababelemobintu2278
    @ababelemobintu2278 ปีที่แล้ว +1

    Asante dd kwamafundicho❤❤❤❤❤

  • @ismailissa3996
    @ismailissa3996 8 หลายเดือนก่อน +2

    Vp kwa kukuza ndevu yakubali

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ambae sisuki?😊

  • @petermtanjilwa7392
    @petermtanjilwa7392 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Kwa somo

  • @saidmfaki
    @saidmfaki หลายเดือนก่อน +1

    Asalaam alaykun nauliza hoyo mafuta ni yoyote ama kuna mafuta special

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  หลายเดือนก่อน

      Wa,salam warahmatullah wabarakatuh
      Olive oil ndio bora zaidi lakin ukikosa unatumia yyte

  • @mariamjuma8900kasimu
    @mariamjuma8900kasimu ปีที่แล้ว +3

    Asante sana ila je nikitumia haya mafuta siruhusiwi kutuma mengine kabisa napenda kuosha nywele napaka stiming Kisha nanyoosha nywele na draya ya mkono je baada ya hapo naweza kupaka haya mafuta

  • @BernadetteJoseph-zj4rh
    @BernadetteJoseph-zj4rh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nywele Zangu azikuwi nashukuru sn

  • @HaroubJaka
    @HaroubJaka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani kwa nywele zenye dawa inafaa?

  • @TeddyHope-d5k
    @TeddyHope-d5k 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mafuta gan???

  • @rozasafiswideni7034
    @rozasafiswideni7034 ปีที่แล้ว +1

    Asathe sana na mimi nitajitahidi nifavye hivo kwamana nywele zangu ajikuwi kweli Asathe ❤❤❤❤❤

  • @mariamrashird-vr1vb
    @mariamrashird-vr1vb ปีที่แล้ว

    asante sanaa mama

  • @shukrathhamza4298
    @shukrathhamza4298 ปีที่แล้ว +1

    Nkikosa mafuta hayo na ya naz naeza kutumia mafuta ya kula?

  • @matadd9401
    @matadd9401 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nitajaribu ila apo kwa kuyapika tena na hawa warabu

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  6 หลายเดือนก่อน

      Unaweza yaroeka siku 3 kama kupika ni shida

  • @mariamponda6255
    @mariamponda6255 7 หลายเดือนก่อน

    🙏❤❤❤ thanks

  • @midgretamsuya
    @midgretamsuya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Matuta ya zaitumi Napata wapi

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  3 หลายเดือนก่อน

      Maduka ya dawa za asili ama supermarket

  • @FlavianaSteven-kg9xu
    @FlavianaSteven-kg9xu ปีที่แล้ว +1

    nakama cna mashine natumia nn kusaga my dia

  • @RahmaAlly-fc7ok
    @RahmaAlly-fc7ok ปีที่แล้ว +1

    A..aleikum ..nahitaji hayo mafuta yakiwa tayari nitayapata wp

  • @AminaSende-z5d
    @AminaSende-z5d 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada nijue namna ya kuzikuza nywele zangu maana zinakua alafu znakatika😢😢 hzirefuki

  • @BarkiAbasi
    @BarkiAbasi หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa miez anawez kutumia?

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  หลายเดือนก่อน

      Sio kila mara
      Kama mara 1kwa wk haina shida

    • @BarkiAbasi
      @BarkiAbasi หลายเดือนก่อน

      Saw asante

  • @jasminsalim143
    @jasminsalim143 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mmke

  • @BarkiAbasi
    @BarkiAbasi หลายเดือนก่อน

    Dad mtot wa miez anawez kuyatumia ayo mafuta

  • @rajabkama7456
    @rajabkama7456 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa c na

  • @halimajay606
    @halimajay606 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nataka yaķuondosha dandrasi ccter

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  5 หลายเดือนก่อน

      Hio karafuu uongeze na kitunguu inatoa vizuri sana bora ujipake inavyotakiwa

    • @ClaraLugomi
      @ClaraLugomi หลายเดือนก่อน +1

      Dada nielekeze yakuondoa ndevu

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  หลายเดือนก่อน

      @ClaraLugomi duh

  • @Ladouce-c9k
    @Ladouce-c9k ปีที่แล้ว +3

    Naweza nikatiya mafuta ya Nazi km Sina ya zaituni Mama🙏🥰

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @suraiyamlandamle
    @suraiyamlandamle 3 หลายเดือนก่อน +1

    hivi ni kweli nywele zina kua? maana kila mtu anaongea lake wakati mwingine hatuelewi tumfatilie nan

  • @alesale5564iyydg
    @alesale5564iyydg ปีที่แล้ว

    Iyo mafuta ya Olive niya kula ama ni Olive ya nywele jo unachanganya na cloves?

  • @AishaJuma-e5j
    @AishaJuma-e5j ปีที่แล้ว +2

    Samahan hata mafuta ya nazi unaweza ukatengenezea naukachemsha au

  • @joycemeshack491
    @joycemeshack491 2 ปีที่แล้ว +3

    naweza pata yaliyokwisha tengenezwa hivyo

  • @neemakikoti5091
    @neemakikoti5091 ปีที่แล้ว +1

    Unachemsha kwa muda gani?

  • @BahatYahay
    @BahatYahay 8 หลายเดือนก่อน

    A alaikumu dada yangu ,nikitumia mafuta ya Nazi ni sawa kuchanganya na karafu

  • @Asiyaahmada
    @Asiyaahmada ปีที่แล้ว

    Kwa watoto inafaa?

  • @FlavianaSteven-kg9xu
    @FlavianaSteven-kg9xu ปีที่แล้ว +2

    naweza kpata ambayo yapo tayarii

  • @logobonking1561
    @logobonking1561 ปีที่แล้ว

    Samahn unaweza kuchanyanyia karafuu na mafuta ya mla

  • @FrolenceMaivune
    @FrolenceMaivune 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hasante mamang

  • @AsteriaLucas-d1r
    @AsteriaLucas-d1r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mtu kasema eti naweza changanya na kitunguu swaumu

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kitunguu maji pia unaweza

  • @FEBRONIABUKHAY
    @FEBRONIABUKHAY 2 หลายเดือนก่อน

    Tuone nywele zako

  • @kasianambeyela9392
    @kasianambeyela9392 ปีที่แล้ว

    Dada mafuta ya olive oil naweka ya Sina gani

  • @mariammariam1036
    @mariammariam1036 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama Huna hiyo mashini yakusagia wafanyaje sasa

  • @pracxedismathias5555
    @pracxedismathias5555 ปีที่แล้ว +4

    Hayanuki? Maana waarabu hawakawii kutuambia twanuka😂😂

  • @JuliethAnthony
    @JuliethAnthony 5 หลายเดือนก่อน

    Mfano kama nimesuka siwezi kupaka

    • @nasramaujuzi4245
      @nasramaujuzi4245  5 หลายเดือนก่อน

      Unapaka kwenye ngozi yanaenea

  • @HidayaMwipi-os9cd
    @HidayaMwipi-os9cd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Haya mafuta ni yanazi au mzeotuni msaada

  • @maryamhaji9655
    @maryamhaji9655 ปีที่แล้ว +2

    mm Nina ukoko unanisumbua nifanyaje

  • @ReyB-yf8bx
    @ReyB-yf8bx 4 หลายเดือนก่อน

    Napaka kila siku

  • @AmiriHashimu-o4r
    @AmiriHashimu-o4r ปีที่แล้ว

    Mafuta ya mnyonyo pia yanafaa kuchanganyia

  • @rahyanramadhan6153
    @rahyanramadhan6153 ปีที่แล้ว +2

    Lazim uchemshe

  • @AmosPeter-fw6tg
    @AmosPeter-fw6tg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mafuta gani unayotumia kuchanganya

  • @mejumaanassoro-h7l
    @mejumaanassoro-h7l ปีที่แล้ว

    Naomba mafuta kutoa mvii