KUZA NYWELE NA BAMIA♡KUTENGENEZA STIMING YA BAMIA♡CONDITIONER YA BAMIA♡IKA MALLE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Hey dears 😍
Katika hii video, ninawaonyesha jinsi kutengeneza deep conditioner ama Stiming kwa kutumia bamia!
💙VIDEO ZINGINE💙
-Kutengeneza stiming ya parachichi
• KUZA NYWELE NYUMBANI♡F...
-Kulainisha nywele
• JINSI YA KULAINISHA NY...
-Jinsi yakutwist nywele
• JINSI YA KUTWIST NYWELE♡♡
💙Ni Tag💙
-Instagram @ikamalle
-Snapchat @ika_malle
-Pintrest Ika malle
#UtunzajiWaNywele #NaturalhairTanzania
Luv luv 😘😙😘😙
Shukran sana, Barikiwa sana kwa Kutugawia Siri ya Urembo.
Nimeipenda kumbe bamia inakazi adi kwenye nywele maajabu
Ukishaichuja unaitumia hapohapo ao, na unapaka mara ngapi kwa siku na siku ngapi?
Aki.asanti.sana.nitaenda.kufanya.ivo.nywele.yngu.irefuke.
Kama umeona Rambo gonga like
Asante kwahiyo kabla ukaweka hiyo stiming lazima uoshe nywele ndio ufanye stiming au unaweka baadae unaosha?
Asante sana dada kwafunzo ❤️❤️🇱🇷🇱🇷
Unaweza kutumia kwny nywele zenye dawa?
Mbon halijibiw hili swali jmn
Koo ukitengenez huwez tumia siku hiyohiyo
Ilove it nimegain something special 😍😍😍😍
nywele zako nzuri sana,asante kwa somo
Kwamimi ambaye sina frigi nitumie kwa siku ngapi? Nieleweshe mamy.
Inafaa kwa nywele yenye dada?
Ukimaliza kuweka unaziosha au unabaki nayo Bila kuosha
Kwa mfano kama nywele zinakatika inasaidia pia
Dada ata salami😍😍😍
Asante na Hongera Sanaa, nywele ziko Nzuri.
Hasant
Unaitumia kila wakati dada haika
Good video but the language is difficult
Kazi nzuri mamy ahsante this week end nitaweka na mm
Unatumia ukiwa umefumua nywele
Ni lazima uipikeee??
Asante dada na km nywele zangu zina dawa naweza kutumia bamia??
Ndio dear
Sawa my alafu unaosha au unaweka kwa siku ngap
Dada me nywele zangu nyekundu sana nifanyaje ziwe nyeusi
Kweli hata mi nyekundu msaada plz!
You have black beautiful hair
Nywele Zang ni singa.. Naweza kutumia?
Ndio
Nywele zangu xina daw nawez tumia
Daah I must use this one...
nywele zangu mimi nimeweka dawa inasaidia pia
Ndio
Asante kwakuni famisha
Ivi nywele ukiwa nazo ndefu zinakufanya kukonda? Kuwa nywele zinakula mwili?
Kwaio unafanyaj umaintain body na nywele ndefu
😂🤣😂 unakondatena
Nywele nzuri sanaaaaaa
Asante
Unatumia stimngi gan na unakaa mda gan bil kutumia stmng pia jer ya bamia unatumia kwa mwezi mal ngap na unakaa nay kwa mda wa siku mgpi
Nimependa
Ukisha iweka n lazima uoshe ama unaeza acha mpaka siku utaosha?
Unaweza acha
Miye nauliza naomba unijibu .ukimaliza kuosha unaweza yikausha na ile mashine ya kukausha nyele???
Ni sawa! Lakini mimi sipendelei kukausha nywele na umeme
I love your hair
How do I use because i don't understand kiswahili
U use it as a Deep conditioner
She meant that,
1. Boil it
2.filter out at least twice
3.apply them to your hair as deep conditioner
4. Rinse with water
5.style as desired
@@patriciamgala944 thanks dear
Oky
Una nywele nzur jmn
Una2mia kwa cku ngp
Mi naomba kuuliza nikishaosha naziacha zikauke zenyewe? Au nikazikaushe saloon?
Nimependa ngozi yako
Sasa huwezi itumia hapo kwa hapo pindi unapomaliza kuianda ?
Mmmh mamy c inakua yamotoo utaunguaa
hivi organ oil ya Cantu ,leave- conditioning ni nzr?
Hiyo cjawai tumia
Kwa wenye nywele za dawa tunafanyaje
Alafu ndefu tunafanyaje
Hivyo hivyo
@@ikamalle Dada kabla ya kuweka hiyo stiming ni Baada ya kuosha nywele au vipi na ukiweka unaosha tena au ndo moja kwa moja huoshi inaishia huko
Wow ina work
video nzuri
Shukran
Gd work dada
kama nna nywele fupi ndogo kabisa naweza kupaka
Ndio unaweza
nywele zangu znakua nyekundu nfanyejee
Nzur sana nitatumia na mimi
Nzur
Hv vibanio napataje dear....vya kusection
S.h.Amon.... ama haya maduka ya instagram wanaouza bidhaa za natural hair
Ika Malle please recommend one...s.h amon sijavikuta...asante
Na nywele yenye dawa je inafaa
Inafaa
na nywele yenye dawa je?
Maila Hassan
Naweza nkafanya tena baada yamda gan my yan cku ngapi tena
Haitoi harufu??
Kwa enye nywel za dawa inafaa
Je nikwa wanawake peke yao au
Kipilipili changu kimepata dawa
Haaaaaaaaaa we km mm,kipilipili hatari
#TeamKipilipili oyeee 🙌
Mimi ndio usiseme Nina kipilipili balaaaaa
Asante sana
sasa unayitumiya kila siku
Steaming zote unazotoa ndo zimekukuzia nywele
Kutunza Nywele kumenikuzia nywele.... Steaming ni moja wapo
Namba yako Bac....kuna issues zinazingua
Pliiz 🙏
Vizuri sana
Asante nitafanya
nice work
Zuri
Nywele ya dawa he inafaa
Hongera sana
Asante
Unatumia mafuta gani?
Sawa dada
Ni kwa jinsia zote?
Ndio
Asante kwakutusaidia
Cathereen Exzavery
Je naweza kuifreeze kwenye freezer?
jaman nimeipenda iyo
asante sana
Super
Waoh
Naeza itumia kila siku ama?
Kama leave in conditioner? Ndio
Kama leave in conditioner? Ndio
Mm Nina dead naweza tumia hio
Thanks
💥💥 MARA NYINGINE UNAWEZA KUONA KITU CHA AJABU ALAFU UKASHINDWA KUELEWA KIMETENGENEZWAJE. BONYEZA PROFILE PICHA YANGU HAPO KUSHOTO 👈 UJIFUNZE KITU KIPYA KABISA
photoshoping with MgoliMusa mmmm
Asante
Nakama husuki je
Kwahiyo huoshi?
Ankara new wear
Nywele zenye dawa inakuwaje
Asante mama la mama
Aya Blaza 😂
Hahaha 😂😂😂😂
Unatumia muda gani kupaka nywele
Ina TUmika
Too bad u can't speak general language
God!!!!!!
What is general language?
Swahili is our language
Manshallah
Dad mamb
Asant
Wuueh.
English
Jaime
Kama hausuki inakuwaje?
You have black beautiful hair
Video nzuri
Ni kwa jinsia zote?
Thanks
You have black beautiful hair