JINSI YA KUKUZA NA KUJAZA NYWELE, KUZUIA MBANA KUZUIA KUKATIKA NYWELE KWA KSTEAMING YA VITUNGUU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Karibuni sana wapendwa muangalie video hii ambapo nimeelezea kwa undani faida ya kutumia steaming ya vitunguu kwa ajili ya kukuza nywele, kuzipa uimara, kuzuia kukatika na kuondoa mba.
Kuangalia video zangu nyingine bonyeza link zifuatazo
KWANINI NYWELE ZAKO ZIMEDUMAA HAZIKUI NA ZINAKATIKA | WHY YOUR HAIR IS NOT GROWING
• KWANINI NYWELE ZAKO ZI...
How to know your hair is damaged: Jinsi ya kujua nywele kavu na dhaifu. • How to know your hair ...
#smallyoutuber #tanzanianyoutuber #4cnaturalhair # hairgrowth # hairgrowthchallenge #onionsteaming
❤❤asante sana
Shuqran ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Yani mimibhazikui na pia zinawasha sana
😍😍
Good job 😍dear lakini mbona hujatuonesha jinsi ya kutengeneza ?
Ntaandaa video yake soon dear usijali
Prissy R nimeiona mpnz asante 🤗
Unaweza kutumia kwa nywele zenye dawa?
Yes unaweza kutumia kwenye nywele za dawa
Sasa unapotaka kuosha nywele je utaosha na shampoo au bila shampoo?
Unaweza kutumia shampoo au conditioner. Pia hujali harufu ya vitunguu unaweza kuacha kichwani bila kuosha
Kwahyo hat kam nyele iandawa inafaa
Af waosha kwanza ama unaeka ki2nguu zkiwa chafu
Unaweza kufanya vyovyote vile ila kwa mimi napendelea niweke vitunguu kabla ya kuosha ili nywele zisibaki na harufu ya vitunguu
Asa we unaongea tu hata huonyeshi vitendo
Angalia mpaka mwisho dear vipo vitendo
Mtot nae naweza kumpaka
Ndio unaweza kumpaka kama ni mkubwa angalau miaka mitano