#TUZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2020
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 89

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 ปีที่แล้ว

    God bless you so much BABA YANGU NABII MKUU GEARDAVIE

  • @yahayatemu1858
    @yahayatemu1858 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba bwana Yesu, asifiwe, baba tunaomba maombi ya kufunguliwa, nimetoa sadaka ila sijasikia maombi juu yangu, .naomba msaada wa maombi

  • @dorinimalisa3062
    @dorinimalisa3062 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen napokea Uhuru wangu kuanzia leo Bwana Yes nisaidie hakuna kuteseka tena

  • @JayaloSwagga
    @JayaloSwagga 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa peter nyaguti kutoka kenya, natamani nifike kwa Nabii mkuu ninafuraha nikiangalia tv najiskia kama roho yangu inarudi

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni sana kwenu watu wa Dodoma

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Napokea kwa jina la Yesu

  • @sekellantondolo423
    @sekellantondolo423 3 ปีที่แล้ว +2

    unastahili Tuzo Nabii Mkuu Baba yangu wewe ni tunu kwetu

  • @stephaniemmuya6588
    @stephaniemmuya6588 3 ปีที่แล้ว +1

    Natamani nami siku moja kuja kusimama katika madhabahu yako mtumishi

  • @CRMEDIA-yd7dp
    @CRMEDIA-yd7dp 2 ปีที่แล้ว

    Yaaan nabii hasaidiii mpk utoe sadka kweli mjin shule

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 ปีที่แล้ว

    Naliinua jina Lako Yesu

  • @nurualphayo6557
    @nurualphayo6557 3 ปีที่แล้ว +2

    Upako wa viwango vyajuu ,Amen.

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 ปีที่แล้ว +2

    Upako unainua unapandisha 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪kiwango

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    Many,many ,many, abundant BLESSES bestowed upon you by the LIVING GOD: JOYOUS DAYS MAN GOD. SENIOR PROPHET GEORDAVIE. THANK YOU JESUS AND AMEEN

  • @bernardkaite4183
    @bernardkaite4183 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi nima shetani kwa hizo biashara mnazo fanya manabii wauongo mnyama yupo duniani now

  • @erickelisa1066
    @erickelisa1066 3 ปีที่แล้ว +1

    Too Much baba ,be blessed

  • @ruthmwamgunda1603
    @ruthmwamgunda1603 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa Mungu hata mimi pia natamani siku moja nifike Ni mbali lakini kwa Mungu si mbali kupafikia ooo natamani mno

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 ปีที่แล้ว +2

    Haleruyaa

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh!
    Huko ni kumwabudu mtu, siyo MUNGU!

  • @mwitamagesa1034
    @mwitamagesa1034 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanashida na mafanikio sio Mungu. Hapa ndio tabu kubwa ilipo

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +2

    To God be the Glory

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Blessings Blessings Blessings

  • @heriethrobert2972
    @heriethrobert2972 3 ปีที่แล้ว

    Super dadyeeee penda sna baba yangu unafanya kazi kubwa sna jamni

  • @brownmbonimpa7088
    @brownmbonimpa7088 3 ปีที่แล้ว +2

    Shelehe hii sikumoja itakuwa mbele ya Mungu, watu wa Mungu wanapofushwa mcho roho wa Mungu amesha wakimbia mda mlefu sasa nawaonya kama bado hekima ingari nafanya kazi maana ngumvu hizi sio nguvu ya Mungu bila kuwaficha manabii hawa watakiona kipigo mbele za Mungu.
    Ngumvu za shetani zinashelekewa? Ukiona mtu anagagaa chini wanaume kwa wanaume jua hizo ni nguvu za giza siwafichi sikumoja mtaikumbuka msg hii. Mtu akiwa na mapepo anaombewa haswa sio kama namna hio
    Yesu alisema baadhi ya mapepo yanatoka kwa maombi na hatachakura uche sasa mtu maneno mawili eti mtu amefunguriwa!!! Wekeni tahathali. Watu wangu wamekufa kwakukosa malifa.

    • @bigboys016
      @bigboys016 3 ปีที่แล้ว +1

      Imani ibakie kuwa yakwako,wewe hujawahi kukutana na mungu akakuonyesha physically, kwamba MTU anafungukaje,upako unazidiana na uwezo unazidiana wewe kama unaweza kutumia masaa24 kumfungua MTU wengine wapo wamabarkkiwa kutumia sekunde,ndomana hata mashukeni wanafunzi wanazidiana uwezo,kunaanayefundishwa mda huohuo ameshika mwingine mapaka arudie mara b40, wewe amini unachokijua kuhusu mungu,na mungu Ndiye atakayetoa hukumu siku yamwisho mana hakuna Mwenye mamlaka yakuhukumu MTU duniani isipokua yeye mwenyewe,

    • @jameskalenze6314
      @jameskalenze6314 2 ปีที่แล้ว +1

      Wacha Mungu ajidhihirishe kwa watu wake na hakuna mtu wa kupotosha hapo Kama huamini hiyo ndiyo level yako

  • @estherpassaris4912
    @estherpassaris4912 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba nifunguliwe njia. Nimeteseka na maisha sana. Mungu naomba unipee mume mwaka huu

  • @geraidinamutungi7122
    @geraidinamutungi7122 3 ปีที่แล้ว

    Ehe Mungu wa Israel Kama ulivyo wafungua hawa nami kupitia hushuhuda huu naomba kufunguliwa

  • @zukramsuya9269
    @zukramsuya9269 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa San baba

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 ปีที่แล้ว +5

    Nawaonea wivu jamani duuu wapi lake za mbeya na mchungaji Richadi Iyanga

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 3 ปีที่แล้ว +2

    Natamani sana jamani nifunguliwe daaah

  • @frankmakingi8930
    @frankmakingi8930 3 ปีที่แล้ว +1

    Sisikii jina la Yesu kutajwa

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 3 ปีที่แล้ว

    GOD is good 🙏🙏

  • @moodyboma2717
    @moodyboma2717 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏,Ameeen..

  • @catherinesumari7499
    @catherinesumari7499 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu ndiye mungu aliye hai baba yangu mungu aliye ndani yako ni mkuu sana

  • @samsonngweina1572
    @samsonngweina1572 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana kuanzia leo sitaonewa tena mimi na family yangu

  • @eduardomoussa4508
    @eduardomoussa4508 3 ปีที่แล้ว

    Baba kwa sisi wenetupo mbali itakuwaje baba nabi tusaidiye na sisi baba🙏🙏🙏

  • @EmmanuelSanare-bc7si
    @EmmanuelSanare-bc7si 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @ABMROPE
    @ABMROPE 3 ปีที่แล้ว

    Yesuuuuu power

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    I connect

  • @johnsonkanyembo4995
    @johnsonkanyembo4995 2 ปีที่แล้ว

    Soit béni prophète de nation. Venez aussi au Congo RDC on besoin de vous

  • @annahrayasi5936
    @annahrayasi5936 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 3 ปีที่แล้ว +1

    Na mm napokea nikiwa Mombasa Kenya

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 Amen

  • @mwajumamwanaisha7725
    @mwajumamwanaisha7725 3 ปีที่แล้ว

    Nabii,nàtamani,nikufikie,Nina,shida,nyingi,Sana,,Niko,kenya

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @PeterKamachala-nr7qx
    @PeterKamachala-nr7qx ปีที่แล้ว

    Aponisaa nabihi

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 ปีที่แล้ว

    HALLELUJAH

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen 😭😭😭😭😭😭

  • @amanimadinda6081
    @amanimadinda6081 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏 Ilikuwa siku ya baraka sanaaaa, kwa kuwekwa mahuruuu

  • @janethtito4777
    @janethtito4777 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 3 ปีที่แล้ว +1

    Aleluya

  • @reubenmwendwa6139
    @reubenmwendwa6139 3 ปีที่แล้ว

    New wine

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +1

    My goodness

  • @ConfusedBloomingFlower-wv1gf
    @ConfusedBloomingFlower-wv1gf หลายเดือนก่อน

    Nisedie na mm baba ninashida najitado kutafuta lakin sifanikiwi

  • @mwauramwangi7068
    @mwauramwangi7068 3 ปีที่แล้ว +1

    John..chega

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbavu zangu Mimi jaman🤣🤣🤣 iman yg ciamn

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallellujah Hallellujah Daddy

  • @abizacknkwankuzi7779
    @abizacknkwankuzi7779 3 ปีที่แล้ว +4

    Mh mbona sisikii jina lenye mamlaka la Yesu Kristo likitamkwa

  • @bahatiamisi117
    @bahatiamisi117 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba msaada ila niko mbali marekani

    • @fatumamahumba602
      @fatumamahumba602 2 ปีที่แล้ว

      Jambo nabi nahitaji niongeye na wewe tapa namba yako je

  • @nyangerisoleil4819
    @nyangerisoleil4819 3 ปีที่แล้ว

    Tunataka ongeya na mutumwa

  • @octaviusakizabraiton5133
    @octaviusakizabraiton5133 3 ปีที่แล้ว

    Yesu alitpa jna lake lenye mamlaka ili kila mtu aokolewe kwalo sasa hyo hatumii jna la yesu huyo ni mganga kama waganga wengine waumin wake mmpotea anatiket ya kuzim

  • @evamringo2331
    @evamringo2331 3 ปีที่แล้ว

    Yesu yuko wapi apo jamani ..

  • @JayaloSwagga
    @JayaloSwagga 3 หลายเดือนก่อน

    Natamani nifike kwa kanisa uko pande gani, arusa ama darasalam

  • @ntabyoetienne2508
    @ntabyoetienne2508 3 ปีที่แล้ว +3

    ila tudanganyike mpaka lini nyinyi mashetani mutachomwa moto

  • @magemushi5594
    @magemushi5594 3 ปีที่แล้ว

    Acha tuone mengi kwakweli

  • @hoseejack2077
    @hoseejack2077 3 ปีที่แล้ว +1

    Poleni wana wa mungu kwa msaada 0682446651 najuwa mnakiu ya kuurithi ufalme wa mungu lakini hapo bado ila kama mmefata miujiza na baraka za kibinadamu sawa lakin c,,,,,,,,,,

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hausemi kwa Jina la Yesu? Je, unayafanya hayo kwa jina la nani? Ushindwe kwa JINA la YESU?

    • @mwitamagesa1034
      @mwitamagesa1034 3 ปีที่แล้ว

      Heri wew uliyebaina kwamba hata jina la Yesu halitajwi, lkn kinachotafutwa hapa ni mafanikio ya muda

    • @mwitamagesa1034
      @mwitamagesa1034 3 ปีที่แล้ว

      Heri wew uliyebaina kwamba hata jina la Yesu halitajwi, lkn kinachotafutwa hapa ni mafanikio ya muda

    • @marthamaligo458
      @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว

      @@mwitamagesa1034 kwr

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 3 ปีที่แล้ว +1

    Jesus Christ

    • @johnmicky2572
      @johnmicky2572 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwema

    • @wilbardchipanda
      @wilbardchipanda 3 ปีที่แล้ว +2

      Shalom, utumishi ni safari ndefu sana. Kuna wengine wataamini nguvu halisi za Mungu na wengine hawataamini lakini sisi tunaamini kuwa Nabii Mkuu Dr.Geordavie ni Mtu wa Mungu na ametumwa na Mungu. Kuna mambo mengi sana yamefichwa katika ulimwengu wa roho na hauwezi kabisa kuyatambua kwa kutumia Theologia ila shule ya Roho Mtakatifu pekee ambayo ni adimu na ngumu sana kwani Roho huchagua kama apendavyo yeye. Tangu nimekutana na Baba mwaka 2015 nikitokea Makanisa yanayoaminiwa kwamba ndiyo yana Mungu wa kweli nikiwa mgonjwa katika mwili wangu lakini baada ya kukutana na nguvu hii nilipona kabisa na maisha yangu ya wokovu yamekuwa imara zaidi kuliko mwanzo. Mwenye masikio na asikie. Shalom

  • @mwlvicent5160
    @mwlvicent5160 3 ปีที่แล้ว

    Huna Lolote we shetani tuuuu... Watu wanakuheshimu baadala wamuheshimu Mungu... Una mabodyguards baadala ulindwe na malaika...
    Eti Una nguvu Kuliko mwingine unamzidi hata Mungu kweli??? Watu wanakuita baba kwa minajiri ipi??? Jehanum is waiting for you

    • @jennydouglas7279
      @jennydouglas7279 3 ปีที่แล้ว

      Na swala la mtumishi kuitwa baba ni kwa sabbu yeye ni baba wa kiroho kumbuka popote alipo onekana mungu Kuna mtu aliyesabbisha mungu kuwa pale ndio maana tunasema mungu wa Musa, mungu wa elia ,mungu wa yakobo, mungu wa ibrahimu mungu alimwambia ibrahimu wewe utakuwa baba wa imani kwa hiyo hata huyu mtumishi Joe anaitwa baba wa imani wa kiroho kwa mujibu wa Bible.

  • @fredxl5981
    @fredxl5981 2 ปีที่แล้ว

    I connect

  • @mamy8220
    @mamy8220 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @charitygichinga178
    @charitygichinga178 3 ปีที่แล้ว

    Amen