#APONYWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 26

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu,ngurumo ya upako tamuko ya upako napokea uponyaji na pia kufunguliwa baraka katika jina ya Yesu Kristo.Amen....................................

  • @nasrahsalim7870
    @nasrahsalim7870 3 ปีที่แล้ว

    Natamani nije uko Yan me naangalia u tube tu jaman Ila nataka nijipange nije uko Mana maisha yangu hata sielewi nabii mungu aendelee kukutia nguvu uendelee kutufungua I like it

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubariki Sana Amen Mtu wa Mungu Nabii Mkuu GeorDavie

  • @mangapineema7652
    @mangapineema7652 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli hilo ni deki LA Kristo.

  • @devotasilivya5096
    @devotasilivya5096 3 ปีที่แล้ว

    Mbona usemi kwa jina la yesu😦

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu wa nabii

  • @sanaaalrweeley7053
    @sanaaalrweeley7053 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi wa mungu kwa kazi yako Akuna kama wewe you are so powerful ninapokea hata mimi uponyaji Amen

  • @didilove1054
    @didilove1054 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba niombee

  • @alanimoshi1528
    @alanimoshi1528 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @mtatiromgeka7270
    @mtatiromgeka7270 3 ปีที่แล้ว +1

    Asnt baba mungu

  • @magrethlwaga955
    @magrethlwaga955 3 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa BABA asante

  • @tonnyjames5050
    @tonnyjames5050 3 ปีที่แล้ว

    Kuweni na macho guys

  • @saramwankemwa5574
    @saramwankemwa5574 3 ปีที่แล้ว

    baba nisaidie baba nifunguliwe

  • @peacekatembo6944
    @peacekatembo6944 3 ปีที่แล้ว

    jaman Mungu atusaidiee kuwa na macho ya roho!....wengi tunaangamia kwa kukosa maarifa ,,,,,,,,,me cwez kuingia kanisa kama hlooo n kama nko kwa mganga wa kienyej

  • @yanickwamaana3181
    @yanickwamaana3181 3 ปีที่แล้ว

    Baba please

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +1

    😚😂😂😂😂eti na nyie leo mnatoa shoo mapepo yanasemeshwa kama binadam

    • @missmalindikenya6204
      @missmalindikenya6204 3 ปีที่แล้ว +1

      natamani nifike TZ

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +1

      @@missmalindikenya6204 Karibu sana ukuje ufanyiwe na maombi kwa nabii

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 3 ปีที่แล้ว

    NAKUSHAURI TOA COMMENT SECTION MAANA BRO TUTACOMMENT SANA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WAAFRICA TUACHE UTAPELI AISEE MARA YA KWANZA NILIFIKIRI NI THT KUMBE NI KANISA

  • @berthaiupex9337
    @berthaiupex9337 3 ปีที่แล้ว

    Niko dar wiki hii yuko wapi jamani

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 3 ปีที่แล้ว

    MNYAMWEZI ANATAKA KUPIGA DEKI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SAFISHA SAFISHA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣BRO WAJINGA NDIO WALIWAO KUMBE MTU UKIWA BORED UNAWEZA KUINGIA KWENYE HILI KANISA KUANGALIA COMEDY STUNT

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 3 ปีที่แล้ว

    Ila nabii jamani mengine uongee kwa code nimechekaa mnoo eti HALAFU WEWE UACHE KULALA NA WANAUME UTAKUFA🤣🤣🤣🤣🤣 na sarah Naye anao 20 dah pole baba na kazi maana c ndogo kondoo watukutu