Ameeeen Mwana wa Mungu nakuelewa sanaaaa,Bwana akutende mema siku zote unatuimarisha mnoo rohoni nakuelewa jina tulilopewa namamlaka tuliyonayo hakika mashaka na hofu havina nafasii kwa jina la Yesu, namshukuru Mungu kwakukuleta Duniani,unaitenda kazi yake vyema kabisaa kwa uaminifu mkubwa na siyo mchoyo wa maarifa
Asante baba unanibariki sana, kila nikikusikiriza Imani yangu inaongezeka na kukua nakupenda sana Bishop Gwajima am your follower nafata nyayo zako Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana
Kweli nimeamini nilpata uvimbe kwenye mfuko wa uzazi baada ya kula vyakula mara kwa mara kwenye ndoto.....mara nyingi nikiota naamka nakemea sijui huwa nakosea wapi au bado rohoni mchanga?nahitaji msaada saidi mimi ni mwana ufufuo mwenzenu
Unanibaliki Dana na umenitoa mbali ww ni baba yangu wa kiroho pia vyenye mmesimama na wito moja ya corona mi ni Kenyan but sivaangi barakoa Ila mahalo nitazuiliwa kuingiabila na Nina wahakikishoa ya kwa was he hofu me ni Margaret siogopi pia mm ni mwanaheshi pamoja nanyi God bless you na mnikubuke pia kwa maombi
Niliota kaka yangui amejifunga kitenge changu na anachinja kuku anamuachia lkn kuku hajafa ila damu ikamwagika,hicho kitenge si rahisi kujifunga yy kk angu,na wakati huo yy yupo kwnginge na mimi mkoa mwingine,nikapotezea lkn nikikaa wazo la ile ndoto inanijia mara kwa mara ikabid niunganishe matukio maana kunasiku niliota rafiki yangu ambae alikua amefarik amenijia na kunikalia kwenye mbavu nililala kifudifudi sasa yeye akawa anainuka anakaa huku anasema unsringa sana ww utaona,niliumiza kichwa km mwez hivi nikapata fatak za hatr ndipo nikajua zile ndto mbili ni kitu halisia hd walionifanyia hyo mambo nikawajua kutokana na matukio,tuheshim ndoto zinamaana sana,NILIPOWAJUA NILIWAAMBIA WAZIWAZI ASANTE MUNGU KWA KUJUA NA KUNIFUNDISHA KILA SIKU,sasa hv yanawarudia wao sifa kwa ungu
bishop samahani naomba unisaidie swali hili roho ikitolewa si huwa mtu anakufa? je hii roho ambayo mchawi anaweza kukuchomelea ndani yako je inakuwaje baada ya mchawi kuitoa hiyo roho mbona mtu hafii?
AMEN AMEN Baba bishop 🙏🙌
GWAJIMA WEWE NI CHUO KIKUU AMEN ❤❤
Hallelujah tunafuguka mawazo kupitia ii mafuzo
Im happy I found you in you tube 🇰🇪 unanitia nguvu apostle ubarikiwe
Tunakufuatilia kutoka Burundi.We love you too much.
Ooooh God! I love this man of God. My life has changed a lot since listining to his sermons. God bless you Bishop Gwajima
U-mkuu Sana mbele za Mungu na kwetu ni zawadi.
Hallelujah, kila wakati Askofu wanitia nguvu, moree grace🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Gwajima kazana kazana yesu ameinuliwa
Amen amen napokea nuru ya macho ya moyoni ili nilijue tumaini la wito Mungu ndan yangu
YESU yu mwema
Amen napokea Nuru ya macho ya rohoni katika jina la Yesu
Amina Bishop nabarikwa saana by agatha
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ameeeen Mwana wa Mungu nakuelewa sanaaaa,Bwana akutende mema siku zote unatuimarisha mnoo rohoni nakuelewa jina tulilopewa namamlaka tuliyonayo hakika mashaka na hofu havina nafasii kwa jina la Yesu, namshukuru Mungu kwakukuleta Duniani,unaitenda kazi yake vyema kabisaa kwa uaminifu mkubwa na siyo mchoyo wa maarifa
Vimeumbwa na Mungu . Mimi ni mwana na Mungu, sura,matendo nk vyote ni mbegu iliyotengenezwa na Mungu tu. Asante kwa somo Mzee Gwajima.
Balikiwa sana mtumishi wa mungu
Salute
Asantee baba kwa somo😊
Mungu akuinue zaidi
Ameeen in Jesus Christ Mighty name
Jamani gwajima ananikosha roho mungu akubariki baba
Amina mtumishi wa bwana barikiwa sana mtumishi wa bwana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Asante baba unanibariki sana, kila nikikusikiriza Imani yangu inaongezeka na kukua nakupenda sana Bishop Gwajima am your follower nafata nyayo zako Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana
Mtaendelea kutumiwa kama punda
Thanks thanks thanks thanks
Tuko pamoja mzee wangu
Nimekuelewa Baba 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Maman
Karibu siku nyingi
Ubarikiwe
Nafurahiya kuku on a
Barakiwa Sana mtumishi kwa Neno la ukweli
Aminaa
Ameeen daddy Gwajima
Ameen..Asante kwa maarifa haya..mafundisho ni mafupi mno.
Shalom my Bishop jemadari was Yesu blessings from Kent uk
Shalom shalom mwana wa MUNGU
Barikiwa sana Bishop
NAVIPATAJE VITABU VYA MTUMISHI GWAJIMA-NAKITAKA MAOMBI YA KUSHINDANA
Amen daddy
amen
amen nimepokea
Ameen
Amen Amen
Mwavuli juuuu...asante Bishop
Majeshi majeshi, majeshi ya BWANA
Namuona leo mama leo, siku nyingi sana sijamuona
Kumbe na wewe unawaza kama mm nimefurahi sana kumwona mama
Kweli Gwajima anlifahamu Gombo
Kabisa
Halleluyah
Mke mwema ana toka kwa bwana ila wa bishop ni mzee kuliko yeye
Amen 🙏 🙏 🙏
Kweli nimeamini nilpata uvimbe kwenye mfuko wa uzazi baada ya kula vyakula mara kwa mara kwenye ndoto.....mara nyingi nikiota naamka nakemea sijui huwa nakosea wapi au bado rohoni mchanga?nahitaji msaada saidi mimi ni mwana ufufuo mwenzenu
Unanibaliki Dana na umenitoa mbali ww ni baba yangu wa kiroho pia vyenye mmesimama na wito moja ya corona mi ni Kenyan but sivaangi barakoa Ila mahalo nitazuiliwa kuingiabila na Nina wahakikishoa ya kwa was he hofu me ni Margaret siogopi pia mm ni mwanaheshi pamoja nanyi God bless you na mnikubuke pia kwa maombi
Amen
🙏 🙏 🙏
Sema frequency 😄😄😄
Napenda kupata orodha ya vitabu ulivyo andika ili niweze kuchagua ntakavyo vinunua
Niliota kaka yangui amejifunga kitenge changu na anachinja kuku anamuachia lkn kuku hajafa ila damu ikamwagika,hicho kitenge si rahisi kujifunga yy kk angu,na wakati huo yy yupo kwnginge na mimi mkoa mwingine,nikapotezea lkn nikikaa wazo la ile ndoto inanijia mara kwa mara ikabid niunganishe matukio maana kunasiku niliota rafiki yangu ambae alikua amefarik amenijia na kunikalia kwenye mbavu nililala kifudifudi sasa yeye akawa anainuka anakaa huku anasema unsringa sana ww utaona,niliumiza kichwa km mwez hivi nikapata fatak za hatr ndipo nikajua zile ndto mbili ni kitu halisia hd walionifanyia hyo mambo nikawajua kutokana na matukio,tuheshim ndoto zinamaana sana,NILIPOWAJUA NILIWAAMBIA WAZIWAZI ASANTE MUNGU KWA KUJUA NA KUNIFUNDISHA KILA SIKU,sasa hv yanawarudia wao sifa kwa ungu
C mpaka hixo hela ziwepo za kuzungusha huku & huko? Yalopita yalikuwa ni Magufuli kupelekwa huku & hukoooo.
Type maarifa ya Rohoni MTU wa MUNGU.
iv unaweza kuwa daktari bila ku..practice mambo ya kidaktari??
GOD is GOD
PhD
How can I get in touch with man of God? Somebody help me please
Go to Tanzania. Lookup his church physical location and contacts online.
@@yushuaissa467 asante yushua
Namininunuliegari ainayakentaniwe nakuleteaviazi
bishop samahani naomba unisaidie swali hili roho ikitolewa si huwa mtu anakufa? je hii roho ambayo mchawi anaweza kukuchomelea ndani yako je inakuwaje baada ya mchawi kuitoa hiyo roho mbona mtu hafii?
Eti ngwaji nikwanini Uliiba kura?
Seth swali lako ni hopeless ishi Leo SIYO jana😭😭😭😭
Leo fupi sana
Kanisa linaloingiza kuongelea Mambo ya ushirikina
Ukijua mbinu za anazotumia adui yako ni rahis kupambana nae...au unaskitika mbinu zenu zinawekwa wazi?
@@francismangula2715 Art of War by Ssun Tzu
@@francismangula2715 😆😆😆😆
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amin