Nilikua sijui umuhimu wa baba wa duniani anayohatima yangu mbele za baba wa mbinguni du aisei unawito mungu baba mwana rohomtakatifu wa 3 wametunzwa ndani ya mungu baba asantesana
Kama wapo watatu na wote wanasifa ya uungu basi hiyo ni miungu, ukweli wa mambo ni kwamba Mungu yupo mmoja ambaye kajifunua duniani kwa awamu tatu, lakini ni yuleyule mmoja.
MUNGU ni mmoja aliyejidhihirisha Dunia I kwa nyakati 3 tofaut,agano la kale kama MUNGU BABA,agano jipya kama MUNGU mwana YESU kristo,siku hizi za mwisho MUNGU Roho Mt. Kama hujui biblia achana nayo
yani hapo ndipo nashindwaga kuelewa kabisa, naomba mnielekeze kwa unyenyekevu kabisa nahitaji kujua . je ina maana Mungu ni mmoja ila amejidhihilisha kwa namna tofauti,tofauti
Amina mungu akubari umenitoa mbali sana nakushukuru sana
Jasus la mbinguni... Mungu akipenda uwe raisi 🎉
Nimeupenda ushuuda wako,NAMI namwamini yesu ktk mambo yasiyowezekana kibinadam,MUNGU akubarik sana
amen amen thank you dad
Amen Amen
Ahsante 👋 namshukuru Mungu kwaajili Yako Gwajima umenisaidia kuilinda nafasi Ya Baba Yangu kiroho.
🌧️❗🕊️
Naomba number ya Gwajima , tafadhali.
Nilikua sijui umuhimu wa baba wa duniani anayohatima yangu mbele za baba wa mbinguni du aisei unawito mungu baba mwana rohomtakatifu wa 3 wametunzwa ndani ya mungu baba asantesana
Niko na swali from Kenya 🇰🇪 nauliiza nilikuwa sda nilipofanya miujiza niliukuzwa na nikafungwa but nilitoka sda baba yangu nina ni sasa
Kazi uliyoifanya ilikuwa kazi ya Mungu, lkn kivuli Cha dini kilikuondoa omba sana Mungu akuonyeshe ni wapi uelekee
Nimejifunza kitu hapa BABANGU❤
Amin baba yangu
Nakupenda baba
Halafu unaona kijana mdogo amefungua channel ya TH-cam hivi anaanza kumuongelea vibaya huyu jasusi wa mbinguni
Mungu akutunze San kabisa
Eti mtu kama huyo aungue macho kabida
@@danielmabula2154 🤣🤣🤣 imebidi nicheke haki saanzingine
Achana nae uyo kijana ni wakala uyo😊
Wana kuwaga na vipepo
Nimepokea baba amen sana
😂😂😂namnyanyua anaanguka tena🤭🤭🤭jmn asante YESU kwa kunipa imani hii
Nimejifunza kitu❤❤❤❤
Haleluya
Ameeen 🙏
Somo kubwa sana hili la UNYENYEKEVU, Watumishi wengi akishajiona anakarama flani anaanza kudharau waliomuongoza. na ndo hapo wanapotea
Ameeeeeeeeeeen
Umenisaidia leo bishop Mungu asinyamaze kwako, nimehangaika mno
Amina mkubwa askofu
Huyu mtumishi ana nibariki sana
Amen
Kama wapo watatu na wote wanasifa ya uungu basi hiyo ni miungu, ukweli wa mambo ni kwamba Mungu yupo mmoja ambaye kajifunua duniani kwa awamu tatu, lakini ni yuleyule mmoja.
Exactly
Hujaelewa nini sasa?
Bwana amenofundisha leo
BABA.
Ameeeeeeeeee
Seguida ya msisimuko mkali sana.
Ongeza bidii achana nao wanao kubeza
NIMEKUBALINumber 12 ni Number ya utawala kama ulipewa mbuzi kumi na mbili.😊
Hivi kwa Wakristo ndio kusali?
Baba angu tunakupenda Jasus la Mbinguni
Hilo godoro linaitwa msabato😂😂😂😂😂
MUNGU ni mmoja aliyejidhihirisha Dunia I kwa nyakati 3 tofaut,agano la kale kama MUNGU BABA,agano jipya kama MUNGU mwana YESU kristo,siku hizi za mwisho MUNGU Roho Mt. Kama hujui biblia achana nayo
Mmmmh
😂😂...Kwa hiyo ww ndo unajua sio...aya
yani hapo ndipo nashindwaga kuelewa kabisa, naomba mnielekeze kwa unyenyekevu kabisa nahitaji kujua . je ina maana Mungu ni mmoja ila amejidhihilisha kwa namna tofauti,tofauti
Kama ni kweli nikuletee mm kilema wa kweli umfanye atembee , sio hao unao wapanga wewe, uongo tu.
Wewe ni mpinga kristo
Hujui unacho ongea.