LAITI UNGEJUA HILI KABLA YA KUTOA SADAKA,ZAKA AU MCHANGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ค. 2020

ความคิดเห็น • 56

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina asante Mungu azidi kukutumia sana.Mwenyezi uniongoze niweze kutoa kwa roho na kweli niondolee ugumu Yesu wangu amina

  • @marthalusekelo233
    @marthalusekelo233 4 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana pastor Mungu akazidi kukuzidisha

  • @sophienyoni8291
    @sophienyoni8291 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU, MUNGU azidi kukumiminia mafuta yake tupate kupona

  • @beatricebunana3841
    @beatricebunana3841 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana, Mungu wambinguni akubariki.
    Eee Yesu kristo tuwezeshe namoyo wa utowaji🙏🙏

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 ปีที่แล้ว

    Amina pastor kwa somo la kutukumbusha udhaifu wetu kiroho,Mungu na atusaidie kuwa na roho ya kuhurumia na kusaidia walio na hitaji kwa wakati unaofaa,amina

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 ปีที่แล้ว

    Amen,ni hayo mambo yanaendelea hapa kenya,watu wengi sana wanatoa mchango kwa wale wamekufa lakini hawasaidii mtu akiwa mgonjwa,ubarikiwe mtumishi

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 4 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Lord,thank you Lord, thank you Lord, that's my talents.nashukuru mungu kwa karama uliye nipea 👏

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama yangu ni mgonjwa wa akili lakini aliwahi kunshangaza kwa kutoa sadaka yake kanisani,, mim ni nan hata nijiinue juu ya utoaj ooh Yesu asante kwa somo lmenisaidia sn!!

  • @carolinendasala935
    @carolinendasala935 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor nimekupata vizuri sana..eee Mungu niumbie moyo safi wa kusaidia mayatima,wajane na maskini..Amen

  • @elizabethtondo5178
    @elizabethtondo5178 4 ปีที่แล้ว

    Amen,Mungu atusaidie na atuongoze kwani tumekuwa tukifanya makosa kwenye utowaji wetu wa sadaka. Hakika nimebarikiwa na somo hili Pastor Mungu akubariki

  • @zainaswalo7976
    @zainaswalo7976 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi Mungu aendelee kukutumia

  • @princeoswald5777
    @princeoswald5777 ปีที่แล้ว

    Point kabisa barikiwa sn

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji wangu .Bwana. Mungu awe nasi. Amen

  • @omankadara6418
    @omankadara6418 2 หลายเดือนก่อน

    Amina pasita ubarikiwe

  • @felikitakilonzo6755
    @felikitakilonzo6755 4 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa Fundisho zuri tunapotoa zaka na sadaka tuondoe viburi ndani yetu kwanza ili Mungu azipe kibali machoni pake zipate thawabu.

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana baba kwa somo zuri. Mungu aendelee kuwa nasi, tutende kadiri ya mapenzi yake!

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 4 ปีที่แล้ว

    Amen asanti sana pastor God bless you 👏👏

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 4 ปีที่แล้ว

    Amina Nashukuru Mungu kwa neno hili ubarikiwe sana pastor👏👏

  • @Amo306
    @Amo306 2 ปีที่แล้ว

    God bless you I like your preachings

  • @angel-y
    @angel-y 4 ปีที่แล้ว

    Amen. Pastor Mungu akubariki na akutimishie haja za moyo wako uendelee kutufunza.

  • @tinamwashilindi6807
    @tinamwashilindi6807 4 ปีที่แล้ว +1

    Ansante sana kwa mahubiri mazuri sana,yanatujenga

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen Asante kwakunielewsha

  • @jamesmndeme4327
    @jamesmndeme4327 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mchungaji kwa somo zuri

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 3 ปีที่แล้ว

    BE BLESSED PASTOR.

  • @jeremiahsigira2919
    @jeremiahsigira2919 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa somo nzuri amen

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 ปีที่แล้ว

    Be blessed pastor

  • @mishaelmisana7674
    @mishaelmisana7674 4 ปีที่แล้ว

    Amina pastor

  • @fanuelsilago6432
    @fanuelsilago6432 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe san mtumishi wa Mungu

  • @dannymaloba5578
    @dannymaloba5578 4 ปีที่แล้ว

    Amen pasta aksante kwa somo

  • @ikwabeinjilitv9758
    @ikwabeinjilitv9758 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Pastor

  • @joycemuya8421
    @joycemuya8421 4 ปีที่แล้ว

    Asante pst unajemga imani yangu sana

  • @rafikisebonde3222
    @rafikisebonde3222 4 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @SoonComingPrJohnKeragori
    @SoonComingPrJohnKeragori 4 ปีที่แล้ว

    good insight

  • @siweyemwakasala316
    @siweyemwakasala316 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @neemaedga7714
    @neemaedga7714 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu wewe wajua ata sina cha kusema

  • @witnessjoseph7184
    @witnessjoseph7184 4 ปีที่แล้ว

    Somo zuri Pr

  • @neemahamisi4302
    @neemahamisi4302 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @jonathanimdegela1005
    @jonathanimdegela1005 4 ปีที่แล้ว +3

    We ni nabii na si feki kama wengine

  • @ezekielluhas3351
    @ezekielluhas3351 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mkuu

  • @selinasulley6164
    @selinasulley6164 4 ปีที่แล้ว

    Huu ni ujumbe mzito , ukitafakari kiroho cyo wa kupuuzia

  • @godfreyhiari7493
    @godfreyhiari7493 3 ปีที่แล้ว

    BWANA YESU ASIFIWE, samahani naomba kujua kama nataka kutoa sadaka kwa ajili ya kusapoti Mahubiri tv nitoe kwenye namba gani?

  • @masinihenry9221
    @masinihenry9221 4 ปีที่แล้ว

    Nmeomba namna ya kujiunga kwanjia telegram pls

  • @valentinedaud1744
    @valentinedaud1744 4 ปีที่แล้ว

    Bwana awe pamoja nawe

  • @naomijuventus5436
    @naomijuventus5436 4 ปีที่แล้ว

    Utoaji ni moyo,pale moyo wako ulipo ndipo hazina yako itakapokuwepo

  • @masungamasunga4939
    @masungamasunga4939 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi tupo nyuma yako tunakuombea

    • @rozinamanase5754
      @rozinamanase5754 4 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa sana Pastor kwa ajili ya mafundisho yako hakika

    • @isackshelembi1249
      @isackshelembi1249 4 ปีที่แล้ว

      Pr nisaidie hapo kwenye zaka ni asilimia 10 au 20

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว

      10 zaka iliyobakia sadaka

  • @dannymaloba5578
    @dannymaloba5578 4 ปีที่แล้ว

    Amen pasta aksante kwa somo

  • @amosireuben4023
    @amosireuben4023 4 ปีที่แล้ว

    Amen