Daah mungu awabariki Sana watu wa mungu lakn namwona mama. Yangu mama namsifu mwita Ni muimbaji mzuri Sana nyimbo zake zipo hai uhai wa roho mtakatfu kavaa nguo za blue 😍😍😍😍
Nilikuwa naombi moja....kuna my cosine wangu...amesumbuliwa sana na ungojwa wa uwendewazimu naomba umkumbuke kwa maombi...hii ungonjwa alipata tokea 2000🙏🙏🙏
Makanisani tumekuwa tunafata sana traditional of the men na siyo nini Mungu anataka, tunapenda sana kutoa sadaka za kufurahisha watu na siyo kwa ajili ya Mungu. Mungu anasema atawashusha wanaojikweza na kuwapandisha wanyenyekevu.
pr asante sn kwa somo zuri sn. lakin naomba kuuliza, hv tunapokuwa na changizo kanisan na tukatakiwa kutoa kwa kila mtu kutamka kwa sauti tena kwa kushika kipaza sauti, je ktk mazingira hayo tufanyeje maana changizo hiko kubwa linakuwa linaratibiwa na viongozi waandamiz wa kanisa? naomba unisaidie pr
Mungu Baba Bariki watumishi wako wanapo fanya kazi yako na kutuubiria ukweli wako tupate kupona
Amen
Daah mungu awabariki Sana watu wa mungu lakn namwona mama. Yangu mama namsifu mwita Ni muimbaji mzuri Sana nyimbo zake zipo hai uhai wa roho mtakatfu kavaa nguo za blue 😍😍😍😍
Ubarikiwe sana pasita kwa mafundisho manzur Mungu Mungu akubariki sana
AMEEEN somo la jana lilinibariki mnoo na kunikumbusha mambo mengi sana mungu Akubariki 👏👏🤲🤲 MITHALI 29 - 11
Ninashukuru saana kwa fundisho hili la kutoa sadaka mchungaji MUNGU akubariki
Sifa heshma na utukufu nakurudishia Bwana kwa Neno lako kupitia mtumishi wako.Zidi kumtumia ,kumwinua na kumlimda katika huduma.Ameen
Mungu akubariki mtumish
Yesu akubariki mtumishi wa mungu
Ukweli mtupu pasta wengi wetu tuna majivuno kwakutowa sada.....God bless you kwa kazi unao fanya 🙏🙏🙏🙏
Sadaka kuna mahali nimekosea 👆
Nilikuwa naombi moja....kuna my cosine wangu...amesumbuliwa sana na ungojwa wa uwendewazimu naomba umkumbuke kwa maombi...hii ungonjwa alipata tokea 2000🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mchungaji
Mch. Mungu akupe maisha marefu ili uwepo wako uendelee kuwa mbaraka kwa wengine.
Amin
Asante Sana Pr nimebarikiwa Sana kwa somo hili Ubarikiwe.
Makanisani tumekuwa tunafata sana traditional of the men na siyo nini Mungu anataka, tunapenda sana kutoa sadaka za kufurahisha watu na siyo kwa ajili ya Mungu. Mungu anasema atawashusha wanaojikweza na kuwapandisha wanyenyekevu.
Barikiwa sanaa Pr
Ameeeeen God bless you pastor I feel blessed with this lesson 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓🥰 😍
pr asante sn kwa somo zuri sn.
lakin naomba kuuliza, hv tunapokuwa na changizo kanisan na tukatakiwa kutoa kwa kila mtu kutamka kwa sauti tena kwa kushika kipaza sauti, je ktk mazingira hayo tufanyeje maana changizo hiko kubwa linakuwa linaratibiwa na viongozi waandamiz wa kanisa? naomba unisaidie pr
Amen kwaya. Nafurahi kukuona Dada Namsifu
Aminaaa sanaaa
Mungu akubariki sana kabisa mchungaji
Pastor stay blessed.....you have been used by God
Kumbe mimi nilikuwa sipendwi sikupewa
Samahani pasita unagroup la maombi
Pastor Nina shida .naomba msaada
Naomba number yako pastor
Thanks pastor be blessed
Lakin wachungaj wa leo hupenda kutangaza mtu akitoa Tena anamtoa mbele alietoa taget zao et watu wengine wajifunze je hii imekaaje
Mchungaji umenifurahisha ulivyosema chumvi ya upako
Amen be blessed
Narudia mafundisho naendelea kujifunza kila mara.
Usihurumie microfon sisi huku hatusikii
Amen amen
Hili hubiri nlikuwa nalisubiri kwa ham kibwa
AMEN
Mchungaji naomba kuwasiliana na wewe
Kuna namba huwa inapita hapo mwishon 83
@@patriciasanga9848 nimepiga lakini haipokelewi
Amen
Amen
Mchungaji naomba kuwasiliana na wewe
+255755932283
+255755932283