HII NDIYO SIRI ILIYO WAINUA YAKOBO MUSA DAUDI NA SULEMANI SEH 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2020
  • UKIITAMBUA HII UTAONA BADILIKO KUBWA KWA KILA UNACHOFANYA.
    Angalia hadi mwisho

ความคิดเห็น • 48

  • @nielekezehyonimependastell3869
    @nielekezehyonimependastell3869 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwanza Mungu akubariki sn kwa utumishi wako kwake, ila unanifaa sn mafundisho yako nitiba kwangu,lkn pia sipendagi kufarijiwa zaidi napenda ukweli mchungu japo unauma ila nidawa.

  • @nurunathoo2383
    @nurunathoo2383 2 หลายเดือนก่อน

    Kalini mungu uteuwa mtu kutoka wabaya kuwa uteule wake ajili ya jina lake au utukufu wake....damu ya tosha na utakaso pia heb 2.18 aminaa

  • @johnhongo649
    @johnhongo649 3 ปีที่แล้ว +2

    Naibarikiwa na mafundisho yako ....Mungu apewe sifa...John Hongo from Nairobi Kenya

  • @MR-BTHEONE
    @MR-BTHEONE 2 วันที่ผ่านมา

    ❤ubarikiw

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 3 ปีที่แล้ว +2

    Wonderful,God bless you Pastor

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว +1

    AMEN🙏AMEN🙏;..mchungaji me hubarikiwa sana na mahubiri yako.and vile unaongoza huo wimbo kuanzia mwanzo👍👍👏👏👏👏💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞super🙏.be bless always🙏na asante kwa kutuombea pia nasi tunao kufwatilia kwenye mitandao kutoka nchi mbali mbali.🙏

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @DanielDaniel-wb7lt
    @DanielDaniel-wb7lt 2 ปีที่แล้ว

    Àmina nabarikiwa

  • @mwambazmazoyah4628
    @mwambazmazoyah4628 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor

  • @namsifumallya2816
    @namsifumallya2816 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe Mzito wa kueleweka, hakika unabariki mno, Mungu na aendelee kukuinua PR.

  • @elizabethjuma298
    @elizabethjuma298 3 ปีที่แล้ว

    Ameen nimebarikiwa kwa somo nzuri

  • @mandwashija4992
    @mandwashija4992 3 ปีที่แล้ว

    Amina pastor, ubarikiwe kwa somo zuri.🤝🤝

  • @travissplatnumz
    @travissplatnumz 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏

  • @davidimmael1300
    @davidimmael1300 3 ปีที่แล้ว

    Amina Pr. Mungu anatupenda sana ,

  • @m-ruagaboy4110
    @m-ruagaboy4110 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu akubari sana Kaka🙏🙏

  • @MaryWilson-vg2mm
    @MaryWilson-vg2mm 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 3 ปีที่แล้ว

    Amen!

  • @doriskyaruzi7509
    @doriskyaruzi7509 3 ปีที่แล้ว

    Pastor sema tupone

  • @ntiliyothomas5146
    @ntiliyothomas5146 3 ปีที่แล้ว

    Balikiwa

  • @lucyjacob1293
    @lucyjacob1293 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mbona sielewi kudanilodi Tena basi sisi ambao vocha tu

  • @zachariahonga
    @zachariahonga 3 ปีที่แล้ว

    Nimeitafuta hiyo chapter ya 'heredity and environment' ila sijaiona

  • @anoldkevin6319
    @anoldkevin6319 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni mgeni lakini nahisi uwepo wa Roho mtakatifu. Hili kanisa iko Tanzania???

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe. Lipo nchi nzima

    • @anoldkevin6319
      @anoldkevin6319 3 ปีที่แล้ว

      Ndio najua, hapa Kenya mko wapi?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 ปีที่แล้ว

      Niambie uko sehemu gani nikulekeze kanisa la karibu na wewe

    • @anoldkevin6319
      @anoldkevin6319 3 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga ni kama hunielewiiii!!!

    • @simonogaro6990
      @simonogaro6990 3 ปีที่แล้ว

      Tafuta kanisa lolote la wa adventista wa sabato

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 3 ปีที่แล้ว

    Pr,kabla ya Mungu kuwaumba wanadam hakujua kuwa wangekuwa hatari?

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 ปีที่แล้ว

      Alijua,ndio sababu Ukombozi uliandaliwa kabla dunia haijaumbwa. Ufunuo wa Yohana 13:8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 3 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga kwahiyo tuseme kama jina langu halikuandikwa tangu kuumbwa kwa misingi ya dunia na nikaamini kupitia yesu naweza kuokolewa bado imani yangu itakuwa ya buree??

    • @barakabenjamin4468
      @barakabenjamin4468 3 ปีที่แล้ว

      @@antipascann2797 @Antipas Clement kama jina lako halikuandikwa toka kuumbwa kwa ulimwengu, usingekuepo mpaka sasa,
      Ila ishu ya kuokolewa , haijalishi ni dhehebu gani ila kanuni ni moja tu, Yohana 3:16 ( 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
      17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
      18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.)
      Ndio maana kuna mwizi pale msalabani aliokolewa kwa kuamini tu (luka 23:39_43)

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 3 ปีที่แล้ว

      @@barakabenjamin4468 je wale ambao bado wanaishi na hawamwamini yesu wataokolewa vipi?

    • @barakabenjamin4468
      @barakabenjamin4468 3 ปีที่แล้ว

      @@antipascann2797 @Antipas Clement yasio wezekana kwa wanadamu, kwa Mungu yanawezekana, ikiwemo na hilo, cha msingi we shika kile unacho amini, maana hata Yesu alisema kua ana mengi ya kusema ila mda bado (naamin hata hilo ni moja wapo)

  • @yonakulwajoseph70
    @yonakulwajoseph70 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @sporakiondo5807
    @sporakiondo5807 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @ritayalala6994
    @ritayalala6994 3 ปีที่แล้ว

    Amen