MKE MWENGINE WA NINI WAKATI HUNA UWEZO? |HAIFAI MUISLAMU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA KWA HALI HII-KISHKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2022
  • Tazama mawaidha haya kujifunza zaidi.
    #kishki #sheikhkishki #mawaidha #ijumaa #khutba
    Follow Us On:
    FACEBOOK:
    / aqonlinetv
    INSTAGRAM:
    aqonlinetv?utm_...
    TWITTER:
    / aqonlinetv
    WHATSAPP:
    wa.link/g8ht9x
    TIKTOK:
    vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/
    TELEGRAM:
    t.me/aqonlinetv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
  • เกม

ความคิดเห็น • 73

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia 13 วันที่ผ่านมา +1

    MashaAllah sheikh unatujenga

  • @marsabdy4084
    @marsabdy4084 7 หลายเดือนก่อน

    Swadakta Sheikh Jazakallahu kheir

  • @faridahahmad9513
    @faridahahmad9513 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah tabarakallah tamani siku moja nikutane na shekhe nurdin yarabi inshaallah milima haikutani

  • @user-in9dx9mn7i
    @user-in9dx9mn7i 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akutie ngu shekhe nafulah xana

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 2 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah twamp3nd Sheikh Nurdin kishk 4 de sake of Allah

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 ปีที่แล้ว

    Mashallah shekhe mawaidha mazuri sana Alkah akuongee umri ili uweze kutuelimisha na mengi zaidi.

  • @sharifashabani8973
    @sharifashabani8973 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah akuzidishie sheikh wetu

  • @sharifashabani8973
    @sharifashabani8973 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh wetu mungu akufanyie wepesi ktk kusema mafundisho ya Allah na mtume wake

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah Tabarak Rahman

  • @ruhaymanllymuhammed2094
    @ruhaymanllymuhammed2094 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah wengine hawana uwezo wa kinyumba pia ndio uadilifu uliokusudiwa

  • @jamilabashammakh6060
    @jamilabashammakh6060 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah kweli maneno yako 💯

  • @somas1170
    @somas1170 ปีที่แล้ว

    Mashaaallah ni kweli sheik mwanawake wamebeba majukumu mengi sana

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +2

    maashaallah maashaallah shekhe wataelewa ty

  • @ramadhaniabasi6780
    @ramadhaniabasi6780 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani kwa ukumbusho

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukiwa super staa jiangalie unachoongea pia nawenye uwezo akawa na mke mmoja inafaaa

  • @RashidJuma-lq5ip
    @RashidJuma-lq5ip ปีที่แล้ว

    mashaallah shekhee kwamafunzo mazur

  • @ummyahammad3431
    @ummyahammad3431 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah

  • @mutanafatiibrahim2240
    @mutanafatiibrahim2240 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheh wetu

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah napata daawah kiasi

  • @jumarashid3609
    @jumarashid3609 ปีที่แล้ว

    Ni mada mzuri sana mungu akuweke sheikh wetu

  • @bakarihamadi6180
    @bakarihamadi6180 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa sheikh

  • @raiyanasindbady2272
    @raiyanasindbady2272 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu wa sema kweli,ila katika yote kuna jambo ambalo linatatiza na nimengi ambayo nyinyi wanazuoni wa kisasa mngetakiwa kukaa mkatolea watu jawabu kutokana na zama hizi kivipi? Kwanza nahoji mtume alikua na uwezo gani kiuchumi ili aoe wale wake wote? Na kuna adithi mnazotusimulia ilifika wakati jiko lilikaa siku kazaa bila kuwashwa walalia tende kwa bi Aisha. Jambo la pili neno uwezo ni pana sijui uwezo wa kuvisha na kulisha kivipi fafanulieni watu maana dagaa maharage ni chakula kwa wengine nitakataka kwahivo hadi tuwe na uwezo wa nyama kula siku na chai ya maziwa? Kuusu nguo dera ni nguo ina stiri kiasi chake ila kwa wengine ni kama kitambaa cha ku dekia vipi sasa hadi tuwanunulie nguo kiasi gani ndio tuamini na kusema Tuna uwezo? Tatu kwa yule mwenye kupigwa chenga na uchumi ni sawa kwake kultaliki mke? Kwa kumalizia wanazuoni tuagaliege nyakati pia zama hizi kwa wanawake hawa wanaotembea uchi hata hizo suna zenyewe za kufunga bado ni mtahani halafu kwa kumalizia ukiyachunguza maandiko mi nadhani linalo kusudiwa hapo ni uadilifu katika vitendo vyako vya kimajukumu kama muislam :kujumika kama mume jali mke au wake zako wape mahitaji kwa usawa kadiri ya uwezo wako kama inavyohitajika na si kuhangalia kutosheleza neno kutosheleza ni kubwa sana wengi tunakufa hatuja jitosheleza hata wengine tukisema tusioe kabisa .

  • @khadigahkk9815
    @khadigahkk9815 ปีที่แล้ว

    Takibiri

  • @khalidsalum1740
    @khalidsalum1740 2 ปีที่แล้ว +1

    shekhe Allah akulipe kwa nia yako kwani nafsii yako inatambua inalolifanya,Ila swala la uwezo hata huyoo mke mmoja Kama huna Uwezo haitakiwi kuowa na swala la uchoyo iyoo nii hurka ya mtu muhimu tumche Allah kila pahara kimiamalati hatuko sawaaa wengi wetu

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 2 ปีที่แล้ว

    Manshallaah shekhe umeongea ukweli maana wanaume wanatuonea sana

  • @allyfaraj4202
    @allyfaraj4202 2 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta

  • @najmashamsudin1491
    @najmashamsudin1491 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleikum.kindly observe surah nur ayah 33 naona kuna mixture na aya 32.

  • @Yuramantz
    @Yuramantz 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akujalie kwa mafunzo mazuri

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah sheikh waume wahivo ndio wamejaa kibaoo wanaowa kisha mwanamke ajijuwemwenyewe kununua nguo kununua kilakitu mwenyewe mume nikiswahilitu wallah sheikh waambiyetu hao wababa waache tabiya mbayaa

    • @rabiamarambo3026
      @rabiamarambo3026 2 ปีที่แล้ว

      mashaalla

    • @jembemobile2146
      @jembemobile2146 2 ปีที่แล้ว +1

      Allah atakulipa shekhe wangu. Mungu anakuoneni wanaume mnavotutesa na watoto.

  • @JiddahIssa-yu1fu
    @JiddahIssa-yu1fu ปีที่แล้ว

    Shekhe unayoyasema mm yamenitokea tena kwa mume wangu na si kwa kufata utaratibu wa dini yetu inavyotuambia ni huko kukurupuka kwa sifa na ikiwa Uadilifu hana

  • @aminatasaid8531
    @aminatasaid8531 ปีที่แล้ว

    Kweli sheikh

  • @omarishabani5249
    @omarishabani5249 2 ปีที่แล้ว +1

    Kusoma peke yake haitoshi kasomeni pia kwa vitendo kwa watu wenye familia kubwa muwaulize riziki ya kulisha familia zao wanatoa wapi. Mtajifunza pia

  • @SamiraabdikanimohamedMoh-do5sr
    @SamiraabdikanimohamedMoh-do5sr ปีที่แล้ว

    Asc

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 ปีที่แล้ว +4

    Suala la kutojali familia haliusiani na kuongeza mke, wangapi wangapi wanamke mmoja hawajali familia zao, wenyewake zaidi ya mmoja msiache wakezenu na wenye Nia msirudi nyuma, iyo ndio Sunna yakuokoa dini sio ndevu TU nakukata suruali, waelimishe watu sio kuwakatisha tamaaa

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 2 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo hp sherh anakosea ukiona anakosea ujue linakuuuma kwasbb kasem ukweli unayafny hy ndio maan unaon anasem uwong km una hiyo tabia acha wanaume weng ss hv wanaoa kwa tamaa na kuinga wap wengn akishatafut pesa n mke wake wakwaz kawa n pesa kdg anamuon yule ten hana maan anaoa mwsh sik ndoa y kwaz inavujik kwasbb y mwanmk mwgn mim kweny maish yg yote ht akioa leo sitawah kukumblian n yy bora nikaaze maish yg mwenyw lkn

    • @fatmahamad7844
      @fatmahamad7844 2 ปีที่แล้ว

      onja onja limekugusa ilo

    • @aishambise6529
      @aishambise6529 ปีที่แล้ว

      @@fatmahamad7844 🤣🤣🤣🤣 wape dozi y kutosha iyo n kwel wanaopiga ndo wanatabia z kuwapa matembere wake sao tamaa zimewazid wanaume 🇰🇪😆

    • @aishambise6529
      @aishambise6529 ปีที่แล้ว

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🤣🤣🤣🤣 watakuelewa tuu sheikh wetu ogeza dozi usiwatazame machoni Leo n Leo😂

    • @aishaalimnemo4921
      @aishaalimnemo4921 ปีที่แล้ว

      Aslmu alykum
      Naona hujamuelewa shekh kishki.
      Hamaannishi kipato cha fedha hata nguvu, muda, na hasa mapambo ya mapenzi na utulivu kwa hao wake zaidi ya mmoja.
      Hivo ndo anamaanisha sio kipato pekee..
      Ujue ndoa ni maridhiano

  • @sanakh5067
    @sanakh5067 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalaa alaykum warahmatuallah wabarakatu shekh hii nitakayosema hapa sio mada yake lkn nakuomba ukitoa tena mawaidha lizungumziye swala la wanaume wanao owa wake wawili lkn wakashindwa kutekeleza sheria kwa kumuogopa mke mkubwa hivi kwanini waogope wake zao ktk kutekeleza haki wasimuogope allah

  • @halimahamadi6433
    @halimahamadi6433 ปีที่แล้ว

    Aslamalykum warahatullahi wabarakathu....mwalimu nina swali ningependa kuliza.....kuna madam ametumanisha salamu kuwa yuwataka mume wangu amuowe ...ambassador sio kosa ila tatizo ni kuwa mume wangu hana uwezo wa kumiliki wake wawili...je asipo kubali kumuoa itakuwa amekosea?
    Tena akaambiwa kuwa mume wangu hana uwezo huo ila akasema yeye yuwataka stara tu wala hataki chochote zaidi atajiangalia mwenyewe kwani anafanya kazi ....je hii ndoa kidini ni sawa? Mume kutofanya uadilifu kwa wake wote?
    Inshallah nasubiri jibu mwalimu.

  • @MariamuOboto-vc1sh
    @MariamuOboto-vc1sh ปีที่แล้ว

    Wambie babaa wanaume wasio jierewa wape ukweli wao

  • @hildathamid7741
    @hildathamid7741 ปีที่แล้ว

    Na vipi ikiwa huyo mke wa pili anaweza kujihudumia(anakazi yake) na amekaa kwa umri mkubwa hajapata risk ya mume lkn ametokea na Hana uwezo naomba fatwa

  • @matendondambwe9527
    @matendondambwe9527 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani imefikia mwanaume anajigamba kua na mke mmoja eti mtu wa Sunna wanasema wasemaji yenge kaukoleya yenge kautikatika ingo

  • @consolatagatwiri99
    @consolatagatwiri99 2 ปีที่แล้ว

    Wafunze kabisa

  • @ashasalimu5527
    @ashasalimu5527 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani kwakwrli nimechoka baadaya kumruhusu kuowa nilifukuzwa mm mkemkubwa

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 2 ปีที่แล้ว

      Mamy mim sitawah kukumblian n hiyo km ataoa n mie talak yg shg yg mke mdg anakujag n bwebwe acha tuu yani unajikut unawasha moto Alf unajilipua mwenyw unamruhus mume kuoa lkn ten ww ndio utakuj kuwa mbay utafukuzwa km mbwa6

    • @nduwimanafatma9948
      @nduwimanafatma9948 ปีที่แล้ว

      Haya sasa nani atakae kubali kuolewa mke mwengine baada yakusikia haya

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahhahaha shekhe WW kiboko

    • @sharrifdaffa237
      @sharrifdaffa237 2 ปีที่แล้ว

      Shehe umesema ukweli maana wanauzalilishaji uislam

  • @zakiakassimu9226
    @zakiakassimu9226 2 ปีที่แล้ว

    She

  • @hawamafita368
    @hawamafita368 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe Huwa hamsem kimoja, kuhusu uwezo wa unyumbaje???????

    • @fatmahamad7844
      @fatmahamad7844 2 ปีที่แล้ว

      ilo ndio muhimu

    • @fatmahamad7844
      @fatmahamad7844 2 ปีที่แล้ว

      unamkuta mwanaume hata nguvu za kiume hana ,anataka apapase yeye tu ,kisha weye ukamaliza,usimalize utajiju

  • @OmanOman-yj4sq
    @OmanOman-yj4sq 2 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo unampigia mafumbo shehe kipozeo yenyupo sahihi

  • @OmanOman-yj4sq
    @OmanOman-yj4sq 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani karazimisha kuowa wake zaidi ya mmoja ye sikaongea tu

    • @nduwimanafatma9948
      @nduwimanafatma9948 ปีที่แล้ว

      Sindo hapo atakae taka kuowa aowe ila yatakayo mkuta atapanda nayo mwenyewe shekhe yeye anafikisha

    • @AbdulKarim-eg5gy
      @AbdulKarim-eg5gy ปีที่แล้ว

      MA shallah ustadhi wetu Allah akuhifadhi

    • @AbdulKarim-eg5gy
      @AbdulKarim-eg5gy ปีที่แล้ว

      Soma qaran ndio itakueleza kila kitu

  • @omarishabani5249
    @omarishabani5249 2 ปีที่แล้ว

    Alikwenda mtu kwa mtume sww..akasema ninahali mbaya kimaisha mtume sww. Akamwambia kaongeze mke. Akaongeza lakini hali ikawa mbaya zaidi. Akarudi tena kaambiwa kaongeze tena mke...leo wee unahofisha watu kuongeza mke kwani ziriki unatoa wewe? Au umetawaliwa na mkeo

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 ปีที่แล้ว +1

      Akhii sina ufaham sana juu ya hili jambo na siwezi kuchallenge ila nimecheka sana hapo uliposema kashikwa na mkewe😂

    • @nduwimanafatma9948
      @nduwimanafatma9948 ปีที่แล้ว

      Ndio mtume alimruhusu but mtume akikwambia fanya jambo basi anakuwa kakuombea duaaa. shekh hajakataza watu kuowa anaongelea namna yakutunza familia na pia mtume swalallahu alayhi wasalama aliusia pia kuwa wema kufamilia zenu nakuhudumia mke kiasi na uwezo wako ila kwa sasa wanawake wengi ndio wanaofanya biashara kuhudumia familia je mtume aliachia wake zake wakafanye biashara? Namungine anaenda kuowa hata haja ya kitandani hamtoshelezi mkewe wakwanza

  • @hawamafita368
    @hawamafita368 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah