Nyerere anaishi ndani ya polepole, kijana mwenye utulivu na asiyepanic na mwenye uwezo mzr wa kujibu maswali bila kutoka nje reli, Nakuelewa sana kijana naamin siku moja tutakupatiah dhamana ya kuongoza nchi yetu ili awa wauni uwateketeze maana ndio wanaidhalilisha CCM
Yaaani mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere ukamilike vinginevyo mawe Moyoni mwa Watanzania yatatoka kuja mkononi. Hiiiiiiiii watuchochee tu kwa mi maneno isiyo na tija tunataka "HAPA KAZI TU"
Naamin utaanza na yule aneongea kwa miemko kule bungen kana kwamba kunakitu kichwan kumbe mavi tuu, Nakuamin broo, piah namwamin piah Bashiru Ally tunawategemeah sanaaaa
YAANI HAPO VIMEUMANA 😄😄,, BG, UP,, ALOYS NYANDAA!!""" HAPO UNAPATA SHULE YA UONGOZI!!,,, NAWASHUKURU XANA KWA HII BG, AGENDA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿,,, 🙏🙏🙏🙏 TANZANIA KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mahojiano mazuri sana muuliza maswali na mjibu maswali wako ktk viwango vya kimataifa ila sound was poor quality star tv mko kwanye game muda mrefu hebu jiongezeni ili wasikilizaji tusihishie katikati kusikiliza mada muhimu kama hizi.
Mh pole pole upo vizuli sana mimi ninazani uyu ndio kiongozi wakuongoza tanzania kwa sasa na nina kwambia kuna watu wanamuogopa sana ndugu polepole kwa sababu uyu yupo safi
Mhe. Polepole nakubaliana wewe kwa baadhi ya masuala lakini suala la kuzuia mikutano ya vyama siasa we kubali kuwa mlikosea sana. Naomba usome kijitabu cha Mwl. Nyerere kiitwacho TUJISAHIHISHE. Ukikosea, kiri, jisahihishe na songa mbele. Mlivuruga sana siasa na mazingira ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hilo muwaombe msamaha Watanzania.
Bro nazani ww pia ni mtanzania hakuna hata sku moja mikutano ya kisiasa ilizuiliwa isipokuwa iliwekewa utaratibu kitu ambacho ni sahihi kwa karne ya 21 tuskalili na kuwa mawe utaratibu ni kuwa mbunge ambaye ni mwakilishi wa Jimbo ni riksa kufanya mikutano hiyo ktk Jimbo lke, kumbuka kujenga nchi watu lazma wafanye kazi sasa unaposema ilizuiliwa sjui uelewa wko ukoje au lengo lko ni lipi
Sjui,nani alimchagulia mom huy waziri, maana Najua kiukweli kwa utuuzima alionao asingeweza kumpa hata ujumbe wa nyumba 10, lakn ee mungu mwenye kujua mambo tuokoe baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hiyo habari ya corona watu wamekosa mboleya siyo kweli mbona Zambia mboleya sh.65000 Tanzania sh.130000 wakati inapitia bandari ya Dar ni uhuni tu tanzania
Na pole pole ameamua kuuweka tu hvyo hvyo lakin anajua kua ni uhuni ndo unaoendelea haiwezekan mbolea kutoka elfu 50 mpaka kufika lakin na yaaani bei mara mbili haiwezekan hata mm nakataa
Hata Mimi nasikia Wana kwamisha mradi wabwawa Hilo ili wauze Genereta na mafuta kwamasilahi yao!! Mradi huo unaonekana una faida wahuni acheni ukamilike mizimu ita wanyonga.
Mtanazaji nafikiri hujaelewa vizuri.Mikutano ya hadhara haijakatazwa.Mbunge anaruhusiwa kufanya mikutano katika jimbo lake lakini mkutano wake uwe wa kistarabu .siyo kutukana watu Mfano,ilani ya CCM imesema tutajenga barabara sehemu x ,sasa kama hili halijatekelezwa inaweza kuwa nyundo ya wapinzani kuwapondea CCM kiustarabu kabisa.
Siasa bwana,ni mambo ya uwongo uwongo,Huyu Polepole ni mbabaifu sana,tatizo la mtu mbabaifu,unakuja kumdhuru mwenyewe,na mtu muongo ni mtu aliyelaaniwa.
@@selegioelias9076nyote nyinyi ni wasuku mmekosa kazi za unyanyasaji,watu/raia wema,watu wasiojulikana mmekosa ajira,uonevu ulizidi wakati ule,Mungu mkubwa.
Hahahahahaaaa swali ni kwamba iweke wazi hiyo sheria, kanuni na muongozo ambao unakataza mikutano ya siasa tena ya hadhra ili wananchi wasilirudie rudie kuomba au kutaka mikutano hiyo, lakini jibu linajibika kihuni (kupoka haki ya mtu kihuni)
@@husseinmkanga7794 uenezi hajamtoa JPM ww usijidanganye ni SAMIA kamtoa kule kampa ubunge sasa ubunge wa kupewa ninini na ww ni cheo kivuli tu hicho ni mbunge wa wapi huyu ? Mtu ambaye alikuwa. Mwenezi akitoa amri inasikika na inafatwa sasa leo mbunge ambae anaonywa mpaka na akina shaka alafu hajaporwa.
Pole pole nikushauri tu Huenda nafasi uliyopewa na magufuli haikuwa sawa yako coz ww na magufuli wote mlikuwa na upeo mdogo wa kufikiri!! Na tungekuona muungwana na mwenye busara km ungewasuport na kuwaunga mkono walioteuliwa baada yako. Nothing last forever na pia kubali tu time yako imepita na wacha wengine wafanye kazi zao usiwavuruge watanzania. Jiheshimu and stop talking nonsense.
Huyo jamaa ni mzanzibar anataka bandari ijengwe bara nazani Samia badala kujenga bagamoyo ni bora akajenge kwao Zanzibar huku atuache maana rais wetu hakuitaka hiyo bandari
Muandishi pamoja unajua sheria lakini utambue mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya uchaguzi, na baada ya kampeni kuna mikutano ya maendeleo ya nchi. Ni wazi ndivyo inavo fanyika. Kila mbunge anafanya mikutano ya uchaguzi ndani ya jimbo lake, mikutano ya Raisi ya kampeni ndio ina fanyika mikutano nchi nzima.Na baada ya uchaguzi, ni katiba ina ruhusu mbunge akafanye mkutano ndani ya jimbo lake! Na Raisi alio chaguliwa na wananchi na mawaziri na chama Tawala ndio wana haki ya kufanya mikutano nchi nzima kwa sababu ya kuwa jibika kwa wananchi. Ni dunia nzima inafanyika hivyo! Lakini jambo kubwa la muhimu ni waandishi wa habari na chombo kinacho simamia haki za usawa wa binadamu Hamzungumzi kwa wabunge kuto kua karibu na majibo yao kwa mu'ula wore wa shukhuli zao za ubunge?
@@madetetv6576 katiba imeruhusu polisi kulinda usalama na unakiwa kuomba kibali kwa polisi kufanya mikutano. Polisi wakikataa hakuna mikutano. Kwasababu katiba inawaruhusu. Tii sheria bila shuruti.
@@husseinmkanga7794 Ibara ipi ya katiba inayotaka mtu aombe kibali polisi ili kufanya mikutano ya hadhara? Wapi katiba inawaruhusu polisi kufanya hivyo? Ukishindwa kutaja hiyo ibara katika katiba ujue wewe ni mpotoshaji na kama sivyo taja hata sheria la wewe basi ni wa kupuuzwa!
Nyerere anaishi ndani ya polepole, kijana mwenye utulivu na asiyepanic na mwenye uwezo mzr wa kujibu maswali bila kutoka nje reli, Nakuelewa sana kijana naamin siku moja tutakupatiah dhamana ya kuongoza nchi yetu ili awa wauni uwateketeze maana ndio wanaidhalilisha CCM
polepole ni kiongozi kijana na mfano wa kuigwa hongera cn brother tupo nyuma yako!!!
Nakuapia kama Yesu ajaja utakula rais wa tanzania kwa jina la BWANA WA MAJESHI
Yaaani mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere ukamilike vinginevyo mawe Moyoni mwa Watanzania yatatoka kuja mkononi. Hiiiiiiiii watuchochee tu kwa mi maneno isiyo na tija tunataka "HAPA KAZI TU"
Asante sana Polepole, wewe ni rais ujae
Huyu jamaaa Ni msomi Sanaa na anajua kufikilia!! Ila akina nape wanakurupuka!!
I'm from Romania actually this him is intelligence person his knowing politics
Huyu polepole sio wa mchezo Kijana safi sana ana uwelewa Mkubwa huwa anajenga point sana
Pole pole kwetu congo tuna sema courage courage tena sana courage .
Africa tunahitaji akna Polepole wengi
Polepole nkiskia sauti yako napata nguvu
MH POLE POLE OYEEEEEEEE. Tunakuheshimu sanaa, wewe ni kiboko ya CCM na katiba yetu ya CCM.
Nakukubali sana bro
MH.POLEPOLE OYEEEEEEEE japo wamekata, serikali iacheni Tanzania kwa amani. JPM TUTAENDELEA KUMKUMBUKA DAIMA.
Pamoja sana comrade Polepole
Africa we need more people like Polepole in Africa
Fact
Ua so smart🥰
Naamin utaanza na yule aneongea kwa miemko kule bungen kana kwamba kunakitu kichwan kumbe mavi tuu, Nakuamin broo, piah namwamin piah Bashiru Ally tunawategemeah sanaaaa
The new leader is born
HONGERAA. ..Comrade Polepole
Uyu ni mtu na nusu yaan,,,our future president keep moving
Hakika wewe ni kiongozi. Watanzania tuko pamoja nawe na tunakuombea sana kwa Mungu akulinde na kukuongoza akuepushe na mabaya.
Ee Mungu wachawi wote,wanaotutesa watanzania na wasiotakia mema Tanzania,wafe.
Mungu akulinde wasije wakakudhuru combed wetu
Makamba Januari hafai kabisa,uhuni mwingi sana.
Nimekuelewa ndg hamprey polepole mungu akubaliki yote mazuri tuyaone kwa wakati..
YAANI HAPO VIMEUMANA 😄😄,, BG, UP,, ALOYS NYANDAA!!""" HAPO UNAPATA SHULE YA UONGOZI!!,,, NAWASHUKURU XANA KWA HII BG, AGENDA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿,,, 🙏🙏🙏🙏 TANZANIA KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ndugu yangu Polepole kuwa mkweli katika hilo.Mungu yupo anaona
Mh polepole naamini ww n rais ajaye hapo bdae
Huyu mama na january ni wasaliti wa nchi lilipitisha hilo bwawa 2025 wananchi tutawaadhibu
ALIPATA ELIMU ALIYOPEWA NA ANAWEZA- MWENYEZI MUNGU KAMJALIA KWA UPANDE HUO
Mahojiano mazuri sana muuliza maswali na mjibu maswali wako ktk viwango vya kimataifa ila sound was poor quality star tv mko kwanye game muda mrefu hebu jiongezeni ili wasikilizaji tusihishie katikati kusikiliza mada muhimu kama hizi.
Polepole tunampenda sana
Mh pole pole upo vizuli sana mimi ninazani uyu ndio kiongozi wakuongoza tanzania kwa sasa na nina kwambia kuna watu wanamuogopa sana ndugu polepole kwa sababu uyu yupo safi
Nawe mhuni tu kumbe aje aongoze kwanza familia yako ndo aje nchi
Hahahaha.heeee aiseee pole pole kiboko...ww no Rais ajae
Mhe. Polepole nakubaliana wewe kwa baadhi ya masuala lakini suala la kuzuia mikutano ya vyama siasa we kubali kuwa mlikosea sana. Naomba usome kijitabu cha Mwl. Nyerere kiitwacho TUJISAHIHISHE. Ukikosea, kiri, jisahihishe na songa mbele.
Mlivuruga sana siasa na mazingira ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hilo muwaombe msamaha Watanzania.
Bro nazani ww pia ni mtanzania hakuna hata sku moja mikutano ya kisiasa ilizuiliwa isipokuwa iliwekewa utaratibu kitu ambacho ni sahihi kwa karne ya 21 tuskalili na kuwa mawe utaratibu ni kuwa mbunge ambaye ni mwakilishi wa Jimbo ni riksa kufanya mikutano hiyo ktk Jimbo lke, kumbuka kujenga nchi watu lazma wafanye kazi sasa unaposema ilizuiliwa sjui uelewa wko ukoje au lengo lko ni lipi
Sjui,nani alimchagulia mom huy waziri, maana Najua kiukweli kwa utuuzima alionao asingeweza kumpa hata ujumbe wa nyumba 10, lakn ee mungu mwenye kujua mambo tuokoe baba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole pole ni msomi kabisa uko vizuri kaka
Haphley anajua kujenga hoja
Muuliza MASWALI mjanja mjibu MASWALI mjanja
Miaka iende 2025 Kuna jambo kubwa lakihistoria kubwa mtaona
Pole pole ....
Polepole hauna mkali zaidi yako
Polepole
Nakukubali knoma yani
Hiyo habari ya corona watu wamekosa mboleya siyo kweli mbona Zambia mboleya sh.65000 Tanzania sh.130000 wakati inapitia bandari ya Dar ni uhuni tu tanzania
Na pole pole ameamua kuuweka tu hvyo hvyo lakin anajua kua ni uhuni ndo unaoendelea haiwezekan mbolea kutoka elfu 50 mpaka kufika lakin na yaaani bei mara mbili haiwezekan hata mm nakataa
Uko zambia gani wewe
MH.POLEPOLE
Siasa hatutaki,tunataka maendeleo ya kweli,tunataka maji,umeme na maisha mazuri.
Mungu yupo
Imeeleweka
Hata Mimi nasikia Wana kwamisha mradi wabwawa Hilo ili wauze Genereta na mafuta kwamasilahi yao!! Mradi huo unaonekana una faida wahuni acheni ukamilike mizimu ita wanyonga.
Wanajifanya miungu watu, mda wao umefika mh.polepole
Si ndo akina polepole sasa ndo walijifanya miungu watu
Bgp sana Humphrey 👏👏👏👏👏👏👏
Shule vp kule nduguyangu tumemiss hau amna tena
Talented sana
Rais mtarajiwa 2025 tupo pamoja kiongozi
Acha masihara
Na sisi wenye kiswahili lakini katika national TV tuna vichwa vya vipindi kama “THE BIG AJENDA”. Hivi tunafeli wapi😬.
Kwa Mujibu wa mnyumbuliko
Siasa siyo maandamano na milutano ya hadhara.
Mtanazaji nafikiri hujaelewa vizuri.Mikutano ya hadhara haijakatazwa.Mbunge anaruhusiwa kufanya mikutano katika jimbo lake lakini mkutano wake uwe wa kistarabu .siyo kutukana watu
Mfano,ilani ya CCM imesema tutajenga barabara sehemu x ,sasa kama hili halijatekelezwa inaweza kuwa nyundo ya wapinzani kuwapondea CCM kiustarabu kabisa.
Ase❣️
Mnafanana na huyu mtu sana bro
🙏
Wahuni ni.... Napa nauyo,January manyunz,Bernard Morrison,na baba la baba Mrisho mpoto
WAHUNI, MAFISADI bado yapo mmh
Hapo kwenye winchi nimeona kweli beberu na muhuni anakwamisha
Kwa utaratibu wa sasa, sio rahisi kutenganisha chama na serkali.
Bro nyanda uko viziri maswali yako ya moto
Hakuna haja ya kuelezea legs ya serikali ya awamu ya jpm yaan serikali ya awamu ya tano
Comred pole pole wewe ni hazina kubwa
Pole pole ni hadhina ya taifa
Huyu ni madini MTU. Achana na wahuni. Nchi hujengwa na wazalendo sio wahuni.
❤❤
Pole pole anakwepa swali 🤣🤣🤣🤣
Hapo kwenye mikutano ya adhara mh. Anarukaruka tu katiba imekanyagwa
Uzarendo uzarendo ni muhim sana.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Ya
Au mnasahau kwamba hata kauli ya Rais ni sheria? Sasa Rais kasema no, mnaiachaje kauli yake na kukimbilia lawama za akina fulani?
raisi ajaeee
Siasa bwana,ni mambo ya uwongo uwongo,Huyu Polepole ni mbabaifu sana,tatizo la mtu mbabaifu,unakuja kumdhuru mwenyewe,na mtu muongo ni mtu aliyelaaniwa.
Muhuni niwew ambae hunauzalendo.polepole nimzalendo wakweli.
@@eliaslazaro2809 wacha kumtetea mtu muongo
Amekudangani nini wewe tilia kama hujaelewa
@@selegioelias9076nyote nyinyi ni wasuku mmekosa kazi za unyanyasaji,watu/raia wema,watu wasiojulikana mmekosa ajira,uonevu ulizidi wakati ule,Mungu mkubwa.
@@sabraham5308 muongo ni wewe. Mnakosa uzalendo sijui mna nchi ya kwenda wenzetu
Ila huyu nyanda n mnafiki huyu mxuu.
Kiroboto ktk ubora wake
Bola ufe
Pesa au mkopo
Hahahahahaaaa swali ni kwamba iweke wazi hiyo sheria, kanuni na muongozo ambao unakataza mikutano ya siasa tena ya hadhra ili wananchi wasilirudie rudie kuomba au kutaka mikutano hiyo, lakini jibu linajibika kihuni (kupoka haki ya mtu kihuni)
Popote alipo Polepole nm npo
Mmenunuliwa nye
raisi ajae na uzalendo wa kutosha ni pole pole tu
Mhuni siyo mtu
Hakuna kitu hapo polepole ndo mhuni kabixa mwaka jana alikuwaje huyu jamaa saiv amepokwa kijiti anajifanya wa wananchi hakuna kitu hapo
Usiongee usiyoyajua JPM ndio alimtoa Polepole kwenye wenezi akampa ubunge na bado mbunge sasa ameporwa nini?
We unandg ktk wahuni
@@husseinmkanga7794 uenezi hajamtoa JPM ww usijidanganye ni SAMIA kamtoa kule kampa ubunge sasa ubunge wa kupewa ninini na ww ni cheo kivuli tu hicho ni mbunge wa wapi huyu ? Mtu ambaye alikuwa. Mwenezi akitoa amri inasikika na inafatwa sasa leo mbunge ambae anaonywa mpaka na akina shaka alafu hajaporwa.
@@samwelipima3795 ndo hao akna polepole
@@madetetv6576 kumbe na ww muhuni
Polepole ameishia kukwepa swali la msingi “ni miongozo gani inayokataza wanasiasa kufanya mikutano ya hadhara” karukaruka tu hamna kitu hapo!
Sikubaliani nawe...hapo umepepesa....soma katiba...usiletee ujinga...ndo maana umepoteana....waliotunga katiba unawaona wajinga??? Mmezoea kusigina katiba yetu ....
Wewe mwenyewe mbona ni mhuni
Pole pole ni kijana ambaye kwasasa ni hazina kubwa sana katika taifa hili
Pole pole nikushauri tu Huenda nafasi uliyopewa na magufuli haikuwa sawa yako coz ww na magufuli wote mlikuwa na upeo mdogo wa kufikiri!! Na tungekuona muungwana na mwenye busara km ungewasuport na kuwaunga mkono walioteuliwa baada yako. Nothing last forever na pia kubali tu time yako imepita na wacha wengine wafanye kazi zao usiwavuruge watanzania. Jiheshimu and stop talking nonsense.
€fsp
Tunataka bandari ya bagamoyo ijengwe,serikali iliyopita haikuwa ikisema ukweli katika mambo mengi ,imedanganya katika mengi
Ilidanganya nini
MPUMBAVU WEWE
Jinga kweli ww umeona iliyoenda Entebe airport
Huyo jamaa ni mzanzibar anataka bandari ijengwe bara nazani Samia badala kujenga bagamoyo ni bora akajenge kwao Zanzibar huku atuache maana rais wetu hakuitaka hiyo bandari
😂😂😂😂 mbona kichambo cha mbwa mwizi
Muandishi pamoja unajua sheria lakini utambue mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya uchaguzi, na baada ya kampeni kuna mikutano ya maendeleo ya nchi. Ni wazi ndivyo inavo fanyika. Kila mbunge anafanya mikutano ya uchaguzi ndani ya jimbo lake, mikutano ya Raisi ya kampeni ndio ina fanyika mikutano nchi nzima.Na baada ya uchaguzi, ni katiba ina ruhusu mbunge akafanye mkutano ndani ya jimbo lake! Na Raisi alio chaguliwa na wananchi na mawaziri na chama Tawala ndio wana haki ya kufanya mikutano nchi nzima kwa sababu ya kuwa jibika kwa wananchi. Ni dunia nzima inafanyika hivyo! Lakini jambo kubwa la muhimu ni waandishi wa habari na chombo kinacho simamia haki za usawa wa binadamu Hamzungumzi kwa wabunge kuto kua karibu na majibo yao kwa mu'ula wore wa shukhuli zao za ubunge?
Muandishi hajazungumzia mikutano ya Kampeni ww umemnukuu vibaya
Katiba kifungu gani hicho kina mzuia mtu kama mwanasiasa kwenda kufanya mkutano kwenye jimbo la mbunge mwingine?
@@madetetv6576 katiba imeruhusu polisi kulinda usalama na unakiwa kuomba kibali kwa polisi kufanya mikutano. Polisi wakikataa hakuna mikutano. Kwasababu katiba inawaruhusu. Tii sheria bila shuruti.
Dunia ipi inayofanya hivyo? Hebu toa mifano ili ueleweshwe kinachoendelea katika nchi husika…usipotoke wala kupotosha!
@@husseinmkanga7794 Ibara ipi ya katiba inayotaka mtu aombe kibali polisi ili kufanya mikutano ya hadhara? Wapi katiba inawaruhusu polisi kufanya hivyo? Ukishindwa kutaja hiyo ibara katika katiba ujue wewe ni mpotoshaji na kama sivyo taja hata sheria la wewe basi ni wa kupuuzwa!
Mikutano wakati wa Mkapa na Kikwete ilikuwa inafanyika na kulikuwa hakuna shida.Shida imekuja wakati wa awamu yenu Polepole