TAKBIIIR! MCHUNGAJI WA MAKANISA 48 ASILIMU NA ATOA SIRI ALIVYOTOROKA NA GARI LA KANISA ILI AKASILIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar

ความคิดเห็น • 443

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 ปีที่แล้ว +19

    Wow 😍😍 tunazidi kumiminika katika dini ya Allah (sw) nawapenda sana Waislamu wenzangu

    • @qassimkc5898
      @qassimkc5898 2 หลายเดือนก่อน

      MashAllah

  • @user-bk6iu4mj4d
    @user-bk6iu4mj4d ปีที่แล้ว +4

    hakika allah akuongoze na kifo ikukute hali yakuwa ukufe muislam aaamiiin

  • @angle3600
    @angle3600 ปีที่แล้ว +62

    Karibu kwenye dini ya haki na ya kweli,mimi pia nilikua mkatholik,nashukuru mungu kwa kunionyesha dini ya haki

    • @tawakalmzee516
      @tawakalmzee516 ปีที่แล้ว

      Masha allah

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣kwaio na wewe unamsubiri YESU aje kuua nguruwe na kuoa?

    • @davidmghanga8502
      @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว +5

      Ulikuwa mkatoliki ni kweli hukua kwa YESU basi nakuita njoo kwa YESU upone yy ndiyo njia yako ilio hai ya kukupeleka kwa MUNGU

    • @angle3600
      @angle3600 ปีที่แล้ว +16

      @@davidmghanga8502 siezi rudi nyuma tena

    • @davidmghanga8502
      @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว +1

      @@angle3600 nakuita ili ufanikiwe na faida ya kumfuata YESU ni uzm wa milele maana hakuna njia kando na YESU itakupeleka kwa MUNGU Fanya uamuzi wa busara uokoe jahazi YESU pekeake ndie alie njia ya kukupeleka uzimani bila YESU utapotea hata Muhammad atafufukuwa na YESU ahukumiwe

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 ปีที่แล้ว +15

    Allah akuzidishie Umri na Afya njema Shk wetu.

    • @shabanegaddafi1511
      @shabanegaddafi1511 ปีที่แล้ว +1

      Allahu akbar Allahmmdulillah Allah akulipe apa duniani na kesho akhera kwakazi unayo ifanya ya Allah

  • @kineromakame7295
    @kineromakame7295 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mashaallah Allah azidi kukuongoza sheikh ❤❤❤❤❤

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 ปีที่แล้ว +15

    Welcome back brother to your original faith Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Allah bless you and all Muslims around the world. Allah Akbar

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 ปีที่แล้ว +9

    Allahuma barik yaa shekh . Allah akuhifadh allah akupe uzima . Na akuuingize peponi amin yaa rab Amin

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyeezi Mungu akupe afya na umri Sheikh ili tuzidi
    Kupata elimu ya kutufaa
    Kwa maisha yetu kesho
    Akhera.....Aameen.

  • @AbduMutwaribi
    @AbduMutwaribi วันที่ผ่านมา

    No matter how much Western Monsters fight versus Islam , Islam Shall Never perish Inshallah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +13

    Takbiriii Allah Akbar!!

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 ปีที่แล้ว +16

    Hakika ya dini mbele ya Allah ni uislam

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 ปีที่แล้ว +4

    Ma Sha Allah karibu sana kwenye dini ya haki Allah akujalie kila kheri ktk hii dini na apushe na Shari (Allahumah Amin yarabi 🙏🙏🙏)

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah,,,wallahy sheikh historia yako kidogo inilize.,kweli umepitia mengi kwa mitihani baada ya kuslimu kwako,mungu akuzidishie elmu yako akupe umri mrefu wenye barka na afya tele..mungu atuongozee sote ummaty mohammad.amiin.

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 ปีที่แล้ว +3

    Waaleykum msalaam warahmatuhllah wabarakatuh Allah atakusimamia kwa kila jambo lenye kheri InshaAllah

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว +10

    Well come bro...Allah akupe rehma na furaha Ameen

  • @khalidkamanda8154
    @khalidkamanda8154 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah, na wengne awape mwanga , na sote tudumu tukiendeleza dini ya kiislamu.

  • @hassankeya5281
    @hassankeya5281 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah sheikh MUNGU akupe UMRI

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 ปีที่แล้ว +3

    Dini ya haki mbele ya mwenywezi mungu i uislamu soma Quran lakini haikutajwa kwa vitabu dini nyingine Ila uislamu. Amini mungu na watume wote ili ukuwe safe kesho

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed ปีที่แล้ว +2

    ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru Hakika mwenyezi MUNGU humuongoza amtakaye hongera shekhe

  • @MalikiSheki
    @MalikiSheki 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuongoze naawaongoze waklisto waielewe njiayahakki kwasababu Allah humuongoza amtakae nakumuachakupotea amtakae

  • @user-zt6re1dr5f
    @user-zt6re1dr5f 21 วันที่ผ่านมา

    Allah akulipe fafhila hizo kesho na stukutanishe nawe ktk Pepo ya firdaus yake Inshaalah

  • @maugeomar
    @maugeomar ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว +6

    Maa Shaa Allaah Alhamdulillah

    • @radiyaradiya2236
      @radiyaradiya2236 ปีที่แล้ว

      Allahu AKIBAR Allahu AKIBAR Allahu AKIBAR alhamdulillah

    • @samuellubunga
      @samuellubunga ปีที่แล้ว

      Subirini moto wa jehnam

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 ปีที่แล้ว +3

    Allah akutunzie afya yko, nakulipe kwakila juhudi yako kwenye dini y haki,

  • @Tadjiliwamahaba
    @Tadjiliwamahaba ปีที่แล้ว +3

    Akika ALLAH NIFISHE MIKIWA MWISILAMU

  • @ramamtangi7776
    @ramamtangi7776 ปีที่แล้ว +3

    Allah akutanguliea akuzidishie imani

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +2

    Wakristo nyinyi noma mnafutiana mazambi wenyewe kwa wenyewe 😂😂😂😂 huyo anaekufutia mazambi yeye mwenyewe anamtegemea mungu amsamehe

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Ustaz

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว +2

    Waaskofu wengi duniani wameingia katika uslaam NA wakiristo kwa mamilion wanaingia kila siku lakini hutaweza kuona muslaam kaingia ukristo

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 ปีที่แล้ว

      Lengo la kuingia huko Ni kwa lengo moja tu la new world order soma biblia ndugu yangu utagundua Jambo la Siri kubwa mno linaloujia ulimwengu et

    • @hansiselemani8025
      @hansiselemani8025 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@allychengula3511
      Walio kwambio sio kweli soma dini usiambiwe

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 4 หลายเดือนก่อน

      Wapo maliyo pya wanawo ingia katika ukirsto fwatiliya kwa makini sana sema ivyo utavitiya kwako

  • @jamuhurialiwazir4685
    @jamuhurialiwazir4685 4 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhana lhaaa
    Poleni Sana wahazhiri wetu alha awazidishie subira

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +2

    Subhanalha mungu akuongeze

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว +2

    اللهم امين يارب العالمين

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 3 วันที่ผ่านมา

    Jazakallhu haira

  • @RahmahMasaood-pb1wm
    @RahmahMasaood-pb1wm ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah❤

  • @ellymwakyando1385
    @ellymwakyando1385 ปีที่แล้ว +1

    Kumcha MUNGU na Kumuabudu MUNGU katika Roho na Kweli ndiyo kuna Kuurithi Uzima wa Milele, Jesus Is Come Back.

    • @davidmghanga8502
      @davidmghanga8502 ปีที่แล้ว +1

      Hapo Sasa🤝👍

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 ปีที่แล้ว +1

      Unamchaje na Una Muabuduje??

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

      is coming back as a Muslim...

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah allah akujaalie kila la kher

  • @sharifuahmed8340
    @sharifuahmed8340 ปีที่แล้ว +1

    Uislam Raha sana jamn daaaaaah,

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wachristian wanadhani hatumjui yesu😂 yani kama kunawatu wanamjua yesu niwaislam na historia yake.waislamu nikidogo duniani lakini wana power sana kushinda wachristo ambao niwengi na hamna kitu.hata mimi nilikua huko na nisarakasi tu ziko kanisani😂

  • @bilaalmuhammad9499
    @bilaalmuhammad9499 ปีที่แล้ว +3

    Allah hu aqbarrr

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dini ya kwel ni .........
    Kuamin Mungu mmoja na mitume wake na malaika,,,, na hyo ndo iman ya watu wote wa kale... Hii kuamin YESU alikufa kwa ajiri ya dhambi zako, kipind yesu hajafa hao wa nyuma waliamin nn 😢

  • @user-ch9my4ln8k
    @user-ch9my4ln8k 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akutangulie shk

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazakumllah kheir amiin

  • @mwanaidwakanai1125
    @mwanaidwakanai1125 ปีที่แล้ว +3

    Allahu akbar

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah ปีที่แล้ว +1

    Kuna mwingine au ni Sheikh Isa aliyesimu zaidi ya miaka 25

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 ปีที่แล้ว +3

    ALLAHU AKBAR

  • @rashidjemadar6620
    @rashidjemadar6620 ปีที่แล้ว +1

    Sub-hana llah

  • @niyonkurukinana6210
    @niyonkurukinana6210 ปีที่แล้ว

    Ustadh luvanda allah akuhifadhi

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imeandikwa, walikuja kwetu bali hawakuwa wakwetu.,BWANA YESU KRISTO alisema lolote utakalofunga duniani basi litafungwa na mbingun na lolote utakalofungua duniani litafunguliwa na mbinguni. ( mathayo 18:18) vilevile imeandikwa, ungamaneni dhambi zenu ninyi kwa ninyi. Yaani umemtumikia MUNGU siku zote kisha unakwenda kuzimu? MUNGU akukumbuke! Uzinduke

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Hidaya ni kwa mungu subuhana allah alijua uhakika sithani kwamba mariyamu ni mungu NA. Wazazi wake wawili baba NA mama NA haiwezekani kwa mungu watatu sasa kabla ya kuzaliwa marriya NA kabla ya kuzaliwa yesu mungu alikuwa moja sio unajua mungu hafi milele mbona hao wamekufa NA ikiwepo kufa NA kuzikwa huo sio mungu hayo mambo sio sahihi kabisa ni shirk thambi isio samehewa milele astagfuru alla

  • @hakizimanamariam8566
    @hakizimanamariam8566 ปีที่แล้ว +1

    Allahu ak'baru Allahu ak'baru Allahu ak'baru

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 ปีที่แล้ว +1

    Jalla jalalu.Mungu nimkubwa

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 ปีที่แล้ว +5

    ما شاء الله ❤

    • @gemmamwajombe3169
      @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

      Sijajua ni kwa Nini Uislamu ilienezwa kwa Upanga naomba sababu

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว +1

      Ukitaka kujua dini ya kiislaam huko kwenu kuna mashekhe wengi sana waulize watakufahimisha sisi waaslaam tunaamini vitabu vyote ya mungu ikiwepo gruani NA tunaamini mitume mohamed mtume wa mwisho lakini hatuamini kwamba yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu yesu ni binadamu NA mama yake ni mwanamke anakula NA atakufa tu lakini aliyeuba dunia hafi milele uslaam ilikuja kufundisha majahili lakini ilipokuja huko makaa imepigwa vita NA makafiri ikawa lazima kupambana nao ila tu wakisilimu wayapona dini ya kiislaam ni dini ya mungu NA gruani imetremshwa NA mungu kwa mtume wake mohamed uliza mashekhe huko kwenu kama shekh kashik NA wangine wengi

    • @harounkiyungi7288
      @harounkiyungi7288 ปีที่แล้ว

      ​​@@gemmamwajombe3169 uislamu haujaenezwa kwa upanga ila ukristo ndio uliongezwa kwa upanga ndugu fatilia historian ya crusade war ila kama itaamua kufuata propaganda za kanisa itakula kwako milele ukitaka details sema tukupatie kama hauogopi mabadiriko

    • @samuellubunga
      @samuellubunga ปีที่แล้ว

      Nyinyi amna baba ila sisi wakristo tunae baba

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy ปีที่แล้ว

      ​@@gemmamwajombe3169 wewe ulijuaje km ulienezwa kwa upanga
      Sasa SI umuulize uyo ulomsikia

  • @khadijaaheemed3386
    @khadijaaheemed3386 ปีที่แล้ว +2

    AllahuAkbar

  • @asiahmchingamah-ds3vl
    @asiahmchingamah-ds3vl ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

    • @shekhamuhham9044
      @shekhamuhham9044 ปีที่แล้ว

      Mashallah Barakallah fiika

    • @gaspermmari8538
      @gaspermmari8538 ปีที่แล้ว

      Msidanganyike mjiongeze,hayo ni maneno tuu msibabaike na dini,dini ya kweli ni Mungu tuu,pia taf.tafakari MUNGU NI nini,uachane na dini hiyo

    • @omarmwapanahd4819
      @omarmwapanahd4819 ปีที่แล้ว

      Makafir wote motoni

    • @gaspermmari8538
      @gaspermmari8538 ปีที่แล้ว

      @@omarmwapanahd4819 jiandae vizuri kwa kuwa unakoelekea ,utakuwa wa kwanza kutangulia motoni ukijidanganya una dini,jiongeze ndg yangu moto usikuwahi haujabadilika

    • @paulcharles321
      @paulcharles321 ปีที่แล้ว

      Huyu mwongo sana amekuwa sheik wa mchongo mambo mengi anasema uwongo huku kasema alikuwa mchungaji wa lutherani huku anasemea mambo ya kikatolic huyo wa mchongo

  • @AthmanMasini
    @AthmanMasini ปีที่แล้ว

    Mshllh mungu akubariki

  • @sinenomwadeje-vx9lo
    @sinenomwadeje-vx9lo ปีที่แล้ว +4

    Allaah bless you

    • @abdallahkassim8600
      @abdallahkassim8600 ปีที่แล้ว

      Mashaallah mungu tuzidishie imani ktk nyoyo zetu tusimamie dini yetu

  • @jumamgandi-wi1cp
    @jumamgandi-wi1cp ปีที่แล้ว +1

    Mashallah...Al Islam dini...

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH ❤

  • @bilaalmuhammad9499
    @bilaalmuhammad9499 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ♥️

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Mungu akubariki

  • @user-yt5wi8vo7y
    @user-yt5wi8vo7y ปีที่แล้ว

    MaashaAllah

  • @ummuhafswa8980
    @ummuhafswa8980 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah azidikukuongoza

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 10 หลายเดือนก่อน +1

    Waislamu ta..ta...ta...Taqbiiiiiiiiiir

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 10 หลายเดือนก่อน +1

      Amin🙏😂

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 วันที่ผ่านมา

    Pole wenzio wakimbia ad Kwa kifo lakin wew Kwa akilizako unakubali kwenda jehanam duu

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln ปีที่แล้ว +1

    Mbeya makafiri wengi unaweza kutembea usikute msikiti

    • @maxpesa8811
      @maxpesa8811 ปีที่แล้ว

      Miskiti ipo ila ni pale mjini tu ukitoka nje hupati hata mmoja

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 ปีที่แล้ว

      Wew Ni muongo mbeya Kuna misikit sio mmoja, misikit Hadi ntokela upo

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 ปีที่แล้ว

      @@maxpesa8811 hufaham mbeya et misikit Hadi ndaga, et

  • @user-kr5qw4et6k
    @user-kr5qw4et6k ปีที่แล้ว

    Manshallah

  • @adammboma5924
    @adammboma5924 ปีที่แล้ว +1

    Hata huyo mchungaji Ni msanii pia hata mazinge mwamposa wote ukanda Ni mmoja

  • @MOHAZBOY29
    @MOHAZBOY29 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh anaitwa nani?nimevutiwa na mawaidha zake

  • @mwangazakusenge2197
    @mwangazakusenge2197 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah

  • @eliasjoseph5742
    @eliasjoseph5742 ปีที่แล้ว

    Hakuna dini inayotangaza dhambi. Zote zatangaza amani. Huyo alokuwa mkristo na kuhamia uislamu hakuwa na imani

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 วันที่ผ่านมา

    MUNGU akusamehe kwakua hujui ulitendalo

  • @juliethgabriel4537
    @juliethgabriel4537 ปีที่แล้ว

    Pole sana mch utakapomkuta Yesu mlangoni kwamba yeye ndiye mhukumu ndy utajua kumbe umepotea! Utatamani umrudie haitawezekana

    • @aminaibrahim9936
      @aminaibrahim9936 ปีที่แล้ว

      iyo yesu unasema pia ni mslamu 😂😂na mtu amepotea njia ni nyinyi Cristian wee pia Rudi kwa dini ya haki wachana na yeye

    • @suleimanbadru819
      @suleimanbadru819 ปีที่แล้ว

      Muelewe kwanza

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna harusi kwa ilo giza lenu uyo upotevu wenu mumtege harusi mtu.

  • @chimilasaid447
    @chimilasaid447 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar 🙏

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 วันที่ผ่านมา

    Hatushangai izi ni sku za mwisho vibwengu Ving vitatokea

  • @yahayarashid
    @yahayarashid ปีที่แล้ว +1

    Karibu kwenye dini ya haki

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      Yani umuache yesu urid kufuga majin na kuwa gaidi uwe ajeti wa mapepo

  • @ChachiMwaa
    @ChachiMwaa ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @hamisirai6635
    @hamisirai6635 9 หลายเดือนก่อน

    Subkhanallha

  • @kassimkipande1858
    @kassimkipande1858 ปีที่แล้ว

    mashaalh

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 วันที่ผ่านมา

    Nenda kwe uslam salama usikashifu ulikotoka

  • @MariyamAbdi-ls9nl
    @MariyamAbdi-ls9nl ปีที่แล้ว

    Jiulize ; ni dini gani wanakata viuno kwenye nyumba Yao ya ibada wakati wa kusali? Hatari sana eti wanamchezea bwana. We ALLAH waongoze wanadamu wenzetu na SS usitupotoshe Aamin

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Kanisa ni Roman Catholic,mengine ni madhebu. Mt.16:16-18 Kanisa haliwezi kushindwa,Je? Kuna kiongozi Gani wa Imani ambae ni mashuhuri kumzidi Papa.
    * Huwezi kuwasogelea Maaskofu Wala Mapadre wa RC.*

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 ปีที่แล้ว

    Karibu kk ktk Dini ya Haki.angalia dini inatakaje na usiangalie muislamu anafanyaje..

  • @shadracknyandwi3062
    @shadracknyandwi3062 ปีที่แล้ว

    Hakuna Mchungaji anayeacha kondoo isipokuwa labda alikuwa Mchungaji wa mshahara asiyependa kondoo. Huyo alipewa uchungaji tu bila kufundishwa maana wachunaji wengine hujiingiza makanisani kimaslahi tu.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Na hamna mchungaji ata mmoja aliekua sio wa maslahi maana wote wanaujua ukweli

  • @AeshaSaid-pe3tn
    @AeshaSaid-pe3tn ปีที่แล้ว

    Subuhannah

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

    Unashangaa mitume kutoka Mbeya? mbona mitume wa kwenye vitabu vya dini wote walitokea mashariki ya kati

  • @adlainekamonya-ic2kq
    @adlainekamonya-ic2kq ปีที่แล้ว

    Mimi ni Mkirsto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Lungtonic
    @Lungtonic ปีที่แล้ว

    Msijali ata hapa Kenya wanatoka kakamega

  • @EijahMwinuka
    @EijahMwinuka ปีที่แล้ว

    Jamani wanadamu maandiko yanasema ivi saaa inakuja nayo ipo wamwabuduo harisi Bwana watamwabudu katika roho na kwery na sio kwa kusilimu dini

  • @isayajerad
    @isayajerad ปีที่แล้ว

    huyu arikuwa mchungaji wa mchongo umwamini yesu kweri uwe na roho mtakatifu urudi kufuga majin

  • @salumkombo7643
    @salumkombo7643 ปีที่แล้ว

    Mola akudumishe kwenye dini

  • @niyonkurukinana6210
    @niyonkurukinana6210 ปีที่แล้ว

    Burundi tunakukumbuka hasa hapa muyinga

  • @terashangwe255
    @terashangwe255 ปีที่แล้ว

    Ndio kabisa Mungu ameichagua Mbeya Kwani haisomi biblia

  • @user-tc3vq3ru3u
    @user-tc3vq3ru3u 6 หลายเดือนก่อน

    Karib ktk din ya haki

  • @gemmamwajombe3169
    @gemmamwajombe3169 ปีที่แล้ว

    Kwa Nini Uislamu ilienezwa kwa Upanga?

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

      Ukingia katika uslaam roho yako inaharamishwa kuwawaita kabisa

    • @isayajerad
      @isayajerad ปีที่แล้ว

      unaharamishwa na majini au siyo m muni wa mhamad upo na kaimani kadogo kakuabudishwa majini

  • @luqmanothman1692
    @luqmanothman1692 ปีที่แล้ว

    Maneno mazito

  • @marcokitubabu-lu3dl
    @marcokitubabu-lu3dl ปีที่แล้ว +1

    Uisilamu dini ya haki, imgenipendeza Kama nigepata shekhe atakaenifudisha, huku hatuna msikiti Niko simiyu kijjn.

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      Subuhanallah huku simiyu hakunamsiliti, kwahiyo woote wakiristo

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      Uko ndiyo kwenu au , ungemtafuta mashehe wakubwa toa nambazako za sim ilitufatilie lnshaallah

  • @eliasjoseph5742
    @eliasjoseph5742 ปีที่แล้ว

    Tumieni busara kukemea ugaidi Kama boko haramu, is, alqaeda, adf nk

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

    Shetwani hawexi kuhimili moto Kristo laxima antique mbio.

  • @hawakiza6067
    @hawakiza6067 ปีที่แล้ว

    Hicho kijiji chenye mbu
    Hadi sasa ni hivyo hivyo???