NDACHA AKITHALILIKA BAADA YAKUSHINDWA NA HOJA ISIOLO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 ปีที่แล้ว +5

    Wallah Ndacha napotosha wakiristo na vile hawasomag wanaamwona mkwel..Subhanallah Subhanallah mashekhe wetu mcchoke Inshaallah

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 ปีที่แล้ว +6

    Penda sana shekhe mazinge mdogo 😆😆❤❤❤❤wakiristo wanaisoma kimya kimya mkono kwa mkono mpaka jannatull-firidaus from dubai

  • @alexmugo6880
    @alexmugo6880 5 ปีที่แล้ว +4

    M.a nampenda huyu sheikh mazinge sana mungu ampe maisha marefu

  • @isarichard
    @isarichard 6 หลายเดือนก่อน

    Love sheikh Suleiman Fadhil ❤ from Lusaka Zambia 🇿🇲

  • @mejumaamwachirero7324
    @mejumaamwachirero7324 5 ปีที่แล้ว +6

    Jazakalluh kheir
    Message well delivered

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubariwe sana mwalimu ndacha

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh mazinge mpatie dozi ndacha anaumwa na kichwa cha kichaa

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashekh wetu huwa nafurahi Sana Allah awaongoze na kila la kheri

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 ปีที่แล้ว +5

    BarakAllah Fiykum Masheikh wote

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว +5

    ماشاء الله
    Mashekhe wetu

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashekh wetu mashaa Allah nawapenda kwa ajili ya Allah

  • @mariamabdallah115
    @mariamabdallah115 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho wake ata silimu huyo ndacha coz ana piga takbiiir mashaallah nakutoa Salam alaikum kila wakati In shaa Allah Allah atamuongoza

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 5 ปีที่แล้ว +4

    msalimie @ustadh salim wanyoike tafadhali...my best friend.

  • @ghaniyashaban9845
    @ghaniyashaban9845 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah awape afya masheikh wote munaotoa daawah kila mahali awakinge na shari kwani muna fungu lenu kwa Allah in shallah ni kazi kubwa munayo fanyaa

  • @kherowabdi8025
    @kherowabdi8025 5 ปีที่แล้ว +4

    manshaaa Allah sheikh yahya ni nawasalamia Asc wr wbk

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sana Ma Sheikh Wetu Kwa Daawah,Allah awabariki.Yani Msiba Mkubwa huu Postor anakataa Christmas na Valentine.Ya Allah tuongoze Mema In Shaa Allah.

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu wape salama ma shekhe wetu Amiin

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 5 ปีที่แล้ว +4

    masha Allah, may God protect our christian brothers and sisters.

    • @nassrubushoot5750
      @nassrubushoot5750 5 ปีที่แล้ว

      Ameen thuma Ameen and lead them to the right way of Islam

  • @kherowabdi8025
    @kherowabdi8025 5 ปีที่แล้ว +6

    sheikh naOmba mukuji garissa tumewamisa sanaa

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah dini ya haki uwisilamu , takbir

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 5 ปีที่แล้ว +1

    Manshaallah AllAh waupe masheq yetu umri mrefu

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 4 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge ameshindaku Funja hoja ya ndacha akajiunidia winbo ni aibu kuba sana

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikhe suleiman

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 ปีที่แล้ว +1

    Inalilahi huyu bado kidogo atasilim mazinge wapeni yahaya mangu awape kheri 🙏🤝

  • @kevinapollo2906
    @kevinapollo2906 5 ปีที่แล้ว +7

    Yesu ndie njia,, ili tupokee uzima Wa milele,

    • @amanchidundo2849
      @amanchidundo2849 5 ปีที่แล้ว

      Huo ndio Ukweli,watakaa mwisho wa siku watakubali ukweli ulio wazi

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว

      Yesu ni jina sio dini... Dini yenu ni dini gani?

    • @kevinapollo2906
      @kevinapollo2906 5 ปีที่แล้ว

      @@jumajaffary9698 halo,, dini yangu in yesu kristo, soma hili fungi, yohana 14:6. Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me........ Kumfuata Yesu na kuamini jina LA Yesu ndie dini ya kweli... Kando na Yesu dini zote ulimweguni nizakutunga

    • @khatibhijja3958
      @khatibhijja3958 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kevinapollo2906 hakusema yy ni dini,kasema yy ni njia,

    • @kevinapollo2906
      @kevinapollo2906 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwa bibilia 'mfuasi ua anae fuata dini' ile ya YESU KRISTO, anapewa jina "MKRISTO". Kwa hivyo jina la YESU ndilo lina tumika kama msingi Wa dini. Soma matendo ya mitume ( ACTS ) 11:26,, Kwa ufupi inasema..( wanafunzi au wafuasi waliitwa WAKRISTO )... Jina lake MASIHI YESU KRISTO ni dini.....ukiwa na swali nyingine uliza,,, Na Ubarikiwe mwenzangu na Yesu..

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa-Allah

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 ปีที่แล้ว +4

    Maashallah...Yaani hilo benchi la Masheikh wa KIISLAM nikiliangalia naona ni VYUMA Vyote’ Yaani ni Sub za KIBABA....!..hakuna muhadhiri wa kikristo hapo atakaewakabili labda wakawalete MAPAROKO na MAKASISI na PAPA waje TUWASILIMISHE..!
    Safi sana MASHEIKH wetu leo wakristo wanaikana KRISMASS ‘ bado kuna wengine wanasherehekea na mtazidi kuona ukweli...!
    ..Mpaka mjue Ukristo Sio dini ya MUNGU...!

  • @sabrinakhamis7731
    @sabrinakhamis7731 3 ปีที่แล้ว

    Mazinge 😂😂😂😂😂wakristo wanazikwa na nini😳😂😂😂😂😂😂

  • @abdimoge3839
    @abdimoge3839 5 ปีที่แล้ว +4

    ManshaAllah sheikh lkni camera ndio mbaya, zingatieni tafadhali

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Ndacha mbona anajidanganya anasema Mtume Muhammad (saw) Je Yesu ndio alianzisha Ukristo?
    Mungu awaongoze wakristo wote

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 ปีที่แล้ว +2

    So what if Jesus is the way , does Ndacha follow Jesus? By prostrating,taking ablution before praying,wearing thobe,washing both sides instead of using tissues or cement papers?

  • @omaratik2778
    @omaratik2778 5 ปีที่แล้ว +5

    Hizo Aya alizo piga sheikh Suleiman ni sonami imezoa kila kitu amewafilisi wamebaki wao na huo mfuko wa chupa ya maji iko mbele Yao jahazi imewajia ya shinda ya nabii nuh hawataki nao ni uislamu wachungaji watanyeshewa sana..

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh Mazinge kiboko ya wachungaji 😊

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 5 ปีที่แล้ว +5

    😆😆😆😆😆😆😆mbavu zangu maziiiiiiiinge hatari sana

    • @sabrinakhamis7731
      @sabrinakhamis7731 3 ปีที่แล้ว

      Machali na madem😲😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙄

  • @abdishakur3190
    @abdishakur3190 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mazinge

  • @saidabae7101
    @saidabae7101 5 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah Masha Allah ndio mana nika acha ukristo Uislam ndio njia ya kweli.

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 ปีที่แล้ว +2

    Yesu ni mzuri kweli, bila yeye hakuna jipya waislamu okokeni mtaenda jehanam msipo mkubali huyu mwanaume Yesu

    • @كلثوميوسف-ث2ل
      @كلثوميوسف-ث2ل 5 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mwisla ila nyie mnaoenda kanisani

    • @husseinhaidhurojr5469
      @husseinhaidhurojr5469 5 ปีที่แล้ว

      Inauma ee

    • @khamisjuma6175
      @khamisjuma6175 5 ปีที่แล้ว +1

      Tusichukulie ushabiki, tusome na tuelewe yaliyokusudiwa ktk vitabu hapo ndipo tutakapopata ukweli. Yafaa tuelimike kwanza kisha tubadilike, tusifate tu kwa kuwa wazee wetu walikuwa upande gani na sisi tuwe ivo ivo. Ushauri wangu kwako jaribu na kusomeshwa qur ani utaujua ukweli.

    • @husseinhaidhurojr5469
      @husseinhaidhurojr5469 5 ปีที่แล้ว

      Tatizo makristo yanakalilishwa , ,wapi kma ushabiki wa mpira vile na mm siwezi muabudu binadamu eti yesu mungu wapi andiko ziokoeni nafasi zenu na moto jitahidini kusoma din gani binadam mwenzio anakusamehe dhambi loooo

    • @كلثوميوسف-ث2ل
      @كلثوميوسف-ث2ل 5 ปีที่แล้ว

      Unehitaji kufunzwa Qur'ani ndo utajua ipi dini ya haki ngojeni mkifika huko Aghera Yesu ataenda kuwaambia nn

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 ปีที่แล้ว

    And most important praying in mosques and not using benches, chairs and desks for praying

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 5 ปีที่แล้ว +2

    AllAhu Akbar

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 9 หลายเดือนก่อน

    Alhamdhulillah 🤲

  • @zungizenge3848
    @zungizenge3848 3 ปีที่แล้ว

    Haji elewi ndacha hana macho

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 5 ปีที่แล้ว +2

    KILA SIKU NINASEMA, NA NITAENDELEA KUSEMA YAKUWA HAKUNA MKRISTO ANAYEWEZA KUWASHINDA WAISLAMU KWA HOJA JUU YA ELIMU YA KITABU AU VITABU VYA MWENYEZI MUNGU.

  • @simkaabdalla935
    @simkaabdalla935 5 ปีที่แล้ว

    Asalamu Aleikum sheikh nyinyi mua mnakuwa wapi???

  • @ibrahimabdi2368
    @ibrahimabdi2368 5 ปีที่แล้ว +5

    Plies njooni Tanzania

    • @khatibhijja3958
      @khatibhijja3958 5 ปีที่แล้ว

      Ibrahim nchiyako hairuhusu debate za dini,wanaruhusu kina diomond wakatangaze ngono Kwa kutumia condom.Kama vile Tabora walipokwenda kule kwenye chuo cha utalii.uliona alivoungwa mkono na serikali,lkn muhadhara Kama huu hawautaki

    • @ibrahimabdi2368
      @ibrahimabdi2368 5 ปีที่แล้ว

      Khatib Hijja Hanna tatizo

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 5 ปีที่แล้ว

      Tanzania imepiga marufuku mijadala kama hii haipo tena

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +2

    Uislam raha yani

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 5 ปีที่แล้ว +1

    Masking Ndachi.Anashindagwa kila wakati.Sia SILIMU TUU.

  • @habibumdetele6530
    @habibumdetele6530 4 ปีที่แล้ว

    Yaani fujo zote za hawa mapaste kisha wamemkubali Mungu mmoja leo.

  • @ibrahimdalana1792
    @ibrahimdalana1792 4 ปีที่แล้ว

    Waaaaw! What a mawaidha kabisaaaaaaaa

  • @abbaimran4122
    @abbaimran4122 3 ปีที่แล้ว

    Kweli mfa maji haachi kutapa tapa Ndacha kasome bibilia vizuri

  • @kennah03m
    @kennah03m 3 ปีที่แล้ว

    Alithathalika wapi???

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ukristo ni upagani kabisa

  • @clintonkaingu4343
    @clintonkaingu4343 5 ปีที่แล้ว +3

    Si ninyi mashehe ndo wenye majini

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndacha amepatikana ss coz uwa anjifanya anjua

  • @ummuayman1531
    @ummuayman1531 4 ปีที่แล้ว

    اللهم اهد أمة سيدنا محمد صلى الله عليه وسلم

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 ปีที่แล้ว +2

    Munalazimisha maneno hayapo hata hayatakuweko hata siku moja. Don't force things which is not there GOD have mercy on you musilima.

  • @martinmsacky2069
    @martinmsacky2069 5 ปีที่แล้ว

    Daaah,,, sahidia hawa watu Jesus

  • @achanifumos1093
    @achanifumos1093 3 ปีที่แล้ว

    Doooh...ndrracha ni mpotofu kwwwelliii...amezowea kuwadanganya wacristo...lkn hp hana chake

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 ปีที่แล้ว

    Kweli ndacha hamna kitu

  • @historicmusiciansofallthet3163
    @historicmusiciansofallthet3163 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mwongo haukueka clip nzima ndacha kawapa kichapo

  • @kyalomakos1028
    @kyalomakos1028 3 ปีที่แล้ว

    Hajashidwa.....muda ndio hajapata kukanusha maelezo ya uogo ulio tangulia. Hajawaishidwa na hoja dogo Kama iyo, na sidhani _ Ndacha kushidwa na hoja yoyote ya kiislam Wala dini yoyote ile.

  • @amanchidundo2849
    @amanchidundo2849 5 ปีที่แล้ว +1

    Huwa nashangaa sana vipofu wafuasi wa marehemu mudi wanavyosapotiana!!! Kweli njia yao ni pana...

    • @aliimwasiri2764
      @aliimwasiri2764 5 ปีที่แล้ว

      Nyie makatili kweli yani Mungu wenu mulimuua alafu mnasema damu yake ilisafisha dhambi zenu 🤣🤣🤣🤣🤣 dah kweli dunia ina mambo

    • @husseinhaidhurojr5469
      @husseinhaidhurojr5469 5 ปีที่แล้ว

      Laanatullah...

    • @rajabukassim5138
      @rajabukassim5138 5 ปีที่แล้ว

      Poiti hamna kaziyenu uzushi na uongo

    • @shishshikoh4979
      @shishshikoh4979 5 ปีที่แล้ว +1

      Hawa waislam hawana hoja kabisa.....Allah ataingiza unyayo wake jehanam...na ataingia baada ya wafuasi wake wote kuingia...njooni kwa Yesu waislam bado anawapenda

    • @husseindiaby5097
      @husseindiaby5097 ปีที่แล้ว

      Koma wewe

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha ni hatari hammuezi kubalini awafundishe

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Dini bila njia utaendaje mbinguni bila njia akili ya waisilamu nifupi hata mtoto mdogo ana jua bila njia hundi mahali

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว

    Hakuna MTU awezaye kujibu hoja za ndacha hapo

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 4 ปีที่แล้ว

    Shida ya waislam wapo kishabiki lkn hawapo kwenye kujua ni ipi imani ya kweli

  • @davismwamachi1145
    @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

    Tumsifu YESU watumishi,ikiwa mashehe Ni waislam?tusome(1samwel 5yote..halafu(1samwel 6:4-5)(6:18)Ina maana nyie mungu wenu dagoni?na hao panya watano wa dhahabu mnahisiana nao kivipi,ikiwa mashehe wote waislamu??

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 5 ปีที่แล้ว

    Huyu pasta alichoroshwa Nairobi malango kubwa alafu saahi amejipeleka isiolo

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว

    Ndacha akosawa kabisa

  • @abdaziraadyare8672
    @abdaziraadyare8672 5 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh hapo ni wapi

  • @clementmikiko5064
    @clementmikiko5064 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanavyo inamisha vichwa pamoja kupotosha umma?

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Sahii uko nairobi ukitaka kuenda mombasa lazima ushike njua ndo ufike mombasa sasa waislamu njia yakwenda mbinguni ya waisilamu ni ipi

    • @mose5839
      @mose5839 ปีที่แล้ว

      Mbinguni si mombasa

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 3 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa yesu ndiye Njia, na njia maana yake ni dini, je, huyo yesu ni dini ina maana huyo yesu ndio dini yenu

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Waroma wamewafznyiya micezo wandani makafiri wanabakiwanatembeyatembeya katika bibilia tu kuliko kutafuta kweli nabibiliya haiaminiki mbaka inawaambiya wazifikutafuta kweli yani wakiwanajiteteya wabakikatika ucafu tu kamamutu ameeama mumatope njo ukirisu wanamuonyesha kosa na analibakindani kwakiburi

  • @mustafam2462
    @mustafam2462 5 ปีที่แล้ว

    Ndacha mrongo na ana macho haoni ana mashikiyo hasiki kama mimi siwezi kujiumisha kichwa na huyu mtu mjinga kabisa. Yeye simkweli.

    • @mose5839
      @mose5839 ปีที่แล้ว

      Ndacha anatetea mshahara huyu anajua ukweli ni uislamu manake hata mwalimu wake Paul nduthi aliona amedanganya watu vyakutosha mwisho akasilimu baada ya mda kafa kwa kuekewa sumu

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 5 ปีที่แล้ว +2

    Kafiri ndacha yuko kula pesa za viongozi Wa kisabato tu. Hana kitu huyo

  • @abedbin2794
    @abedbin2794 4 ปีที่แล้ว

    Ndacha is bankrupt has nothing to present only attacks stupidly if not childish

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaaaaaaa(())

  • @patrickndaro372
    @patrickndaro372 4 ปีที่แล้ว

    Hii clip haiko full shehk acha kudanganya watu eka full clip nilikua hapa isiolo acha uongo 😂😂😂

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว

    Ndacha ni kiboko hana mfano

    • @alibell5246
      @alibell5246 3 ปีที่แล้ว

      Walim wote walomfundisha ndacha ujinga washaclim sasa ww cjui unangoja nn

  • @happyfraha5649
    @happyfraha5649 3 ปีที่แล้ว

    Wasilamu wote motoni

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @alitabu31
    @alitabu31 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah