Masha Allah, kazi nzuri mnayo ifanya ila Sheikh Yahya jitahidi kwenye sauti sisi mara nyingi uwa tuko kazini na atutumii earphone. Namjua sana marehemu nlkua nikimuona kwenye mihadhara Ukunda, Allah amsamehe makosa alio yatenda nyuma na amuingize katika pepo ya firdhaus, Amiin Thumma Amiin. Nawafatilia nikiwa Qatar
Hizo milioni moja zina thamani gani mbele ya Allah na Jannah yake? Leo alhamdulillah yupo zake kwa Allah, na alhamdulillah amekufa hali ya kuwa ni Muislam, kajinyenyekeza kwa Mola wake. Natumaini Allah atamsamehe mja wake kwa yeye kurejeaa kwake. Inshaa Allah tutakutana na Wahshy huo akhera peponi,
Wallah huyu mama Allah amlipe kwa wakati mgumu alovumilia wa uhai wa mtoto wake mpaka kifo na kijana kaondoka duniani hali wazazi wakiwa radhi nae Allah atukutanishe na waja wema peponi. Ameen yaraab.
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu brothers and sisters ma sheikh wetu tunawapenda sana na Endelea na mapenzi ya dhati mutumikie Allah na nataka kuwaomba mtutaftie utafiti wa ndani kitu kilimuua mbona memzika kama mtu alikua na corona jameni.na mtutafutie kama alikuwa kabla mu islam nimeshangaa sana kukuta mzazi wake ni muislam asante na tunawapenda sana kazi nzuri sana
Mashallah what beautiful ending for our brother,Allah has Accepted the Dua of his mother May Allah give the family sabir and our departed brother Jannatul Firdaus .
Shekh Yahya na Sheikh Omar please, please, tunaomba interview ya brother Abdillahi Lakki katika watu nnaopenda kuwasikia mmoja yeye Haswa katika dibet yake na shkh othman mazinge Wallah ukijua kama Allah anampelekea kumuongoa Lakki. We love him for sake of Allah.
Hapa nimepata funzo kutokana na mama, Du'aa ya mzazi hususan mama ni muhimu sanaa. Iwe ni Du'aa nzuri au mbaya basi tulobahatika kuwa na mzazi mmoja au wote wawili tuwaenzi na tuwatwii twahaa wanayostahiki. Mola atujaalie mwisho mwema.
Innah Lillahi Wa,inna illahyi Rajiun..It's great shock to me to have seen Our Reformed Pastor Ndudhi is Dead.May Almighty Allah Rest Wahshee's Soul in Janatul Firdhaus
Asaalam aleykum ndugu zangu natokea Tanzania 🇹🇿 Inna liah wa ina ilah rajiun hata hapa kwetu imetokea na mashekh wetu wanafungwa ila tusiache kufanya dawah kwani dunia Ni fupi hatuishi miaka hata 90 walahu alla'amu Allah amjalie pepo
Elfu4 za kenya sawa na laki naa za kitanzania. Yaani elfu 4 kenya sawa na riyal20 ya oman. Fikiria aliahidiwa milioni moja ya kenya nipesa kubwa ila hakutaka kufa ukafirini. Yaani hio milioni moja kenya kiasi cha milioni zaidi 25 na uhai wake umekua muhanga basi wakiristo hawafikiri juu ya ukweli wa uislamu wala hawataki kusoma ukweli kama mwenzao?
Wahshi allah kakujaaliya mwisho mwema na hawa mazalim allah atawalipa atawazalilisha mmoja mmoja imetuumiza sana namuoma allah akujaliye Pepo iwe makaazi yako
Yaani kwa wakristo wanaotizama hii video na kusoma comments zangu na za wote waislam tulipo comments watajua na kuamini kwamba ukristo sio dini wallah nawaombeni ndgu zangu fanyeni maamuzi yaliyo sahihi kabla umauti haujawakuteni ili mupate mwisho ulio mwema, then mupate kujiuliza ni mangapi ya siri juu ya imani potofu ya kikikristo ambayo nduthi aliyajua na wakristo wakahofia kumwwcha aendelee kuwa hai kwani angeyafichua na wakaamua kumuua kwa sumu kwahyo kama watu wazima wajaribu kujitathmini waone ni wapi mnapotoka na muifate dini haki na muweze kuongoka,!
hata mimi nikiahidiwa donge nono nakwenda kusilimu isipokua akili kichuwani inakua moyo imani ikombali si unajua pesa hata yuda ali msaliti YESU wakina yuda wako wengi tu
Innalilahi wa inna ilayhi rajicuun, To Allah we belong & to Allah is our return , may Allah accept him as shaheed, may Allah grant him Jannah, indeed, he has died on the straight path (siraat mustaqeem) may Allah grant us all steadfastness in Islam, Ameen.
ALLAH.SW. AKUPE KHERI HUKO ULIPO NA ULIUKANA UKAFIRI KWA HAQQI NA UKAINGIA UWISLAMU WA HAQQI. ALLAH.SW. AKUREHEMU. NA WANAOJIDAI KUBAKI KWENYE UKIRISTO UJUMBE WAKO USHAFIKA WALA HAULAUMIKI UJUMBE UMEFIKA
Sheikh yahya ulifanya kazi nzuri .Allah amrehemu ndugu yetu na amsamehe madhambi zake
Amiyn
اللهم آمين
MashaAllah raha ilioje
Kafa shaheed
Masha Allah, kazi nzuri mnayo ifanya ila Sheikh Yahya jitahidi kwenye sauti sisi mara nyingi uwa tuko kazini na atutumii earphone. Namjua sana marehemu nlkua nikimuona kwenye mihadhara Ukunda, Allah amsamehe makosa alio yatenda nyuma na amuingize katika pepo ya firdhaus, Amiin Thumma Amiin. Nawafatilia nikiwa Qatar
Allah Amweke pema Peponi Ameen. Allah ata tulipiya kwa dhulma hii aliye tendawa ndugiyenu Washii.
#WAHSHIY .
#WAHSHIY.
#WAHSHIY..😭😭
#ABOUD ROGO
#ABOUD ROGO
#ABOUD ROGO....😭😭🥺🥺
#SAMEER KHAN
#IBRAHIYM ROGO
ABU BAKR MAKABURI..☝🏻
ALLAH NISHAHIDI WA NAFSI YANGU..☝🏻
ALLAH AWATAKABALIE MINNA SHUHADAA WAFIL DAWS NUZULA..INANIPA HUZ'NI SANA KTK KIFUA CHANGU
#WALLWAHI YAKO MASIKU YANAKUJA ..ENDELEENI NA DHULMA ZENU ENYI MAKUFAAR
#LAILAHA ILLA LLAH MUHAMMADA RASUL LLAH☝🏻
Hizo milioni moja zina thamani gani mbele ya Allah na Jannah yake? Leo alhamdulillah yupo zake kwa Allah, na alhamdulillah amekufa hali ya kuwa ni Muislam, kajinyenyekeza kwa Mola wake. Natumaini Allah atamsamehe mja wake kwa yeye kurejeaa kwake.
Inshaa Allah tutakutana na Wahshy huo akhera peponi,
Ameen ya Rabby Ameen
Aaamn
Aaaamin yaa rabby 🕋🙏🕋
Aamina
Ameen
Wallah huyu mama Allah amlipe kwa wakati mgumu alovumilia wa uhai wa mtoto wake mpaka kifo na kijana kaondoka duniani hali wazazi wakiwa radhi nae Allah atukutanishe na waja wema peponi. Ameen yaraab.
Allah akusamehe madhambi yako na akuingize katika pepo yake kwa huruma zake. Allahumma amiiin Yarabb
My brother you are in paradise ,you have passed away while defending the diin of allah
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu brothers and sisters ma sheikh wetu tunawapenda sana na Endelea na mapenzi ya dhati mutumikie Allah na nataka kuwaomba mtutaftie utafiti wa ndani kitu kilimuua mbona memzika kama mtu alikua na corona jameni.na mtutafutie kama alikuwa kabla mu islam nimeshangaa sana kukuta mzazi wake ni muislam asante na tunawapenda sana kazi nzuri sana
Pole mama mungu akupe subira
Inna lillahi wa inna illaihi rajiun....Allah amsamehe yote aliyoyafanya akiwa katika ujahaliya in Shaa Allah
Ameen Allah ampe pepo yake inshallah
Mashallah what beautiful ending for our brother,Allah has Accepted the Dua of his mother May Allah give the family sabir and our departed brother Jannatul Firdaus .
Amiin
ALLAH(Subhaanahu Wataala) AMREHEMU WAHSHY NA AMPE FIRDAUS INSHAALLAH!!!
اللهم آمين يارب العالمين
AMEEN YA RAABB
Amiin
Amiin
Amiiin
Masha allah Allah kampa mwisho mwema. Sasa wewe uliyempa sumu utabaki hii dunia milele?
La hawla Wala kuwwata ila bi llah.
Subhana alhayyi ladhi la yamut.
Inna lillahi wainna ilaihi rajioon.
Allah amlipe kheir zake zote
Na amsamehe mapungufu yake
Mungu amrehemu na amsamehe madhambi zake na waislamu kwa jumla ameen InshaAllah
Shekh YAHAYA Allah akulipe kila la kheri
Umekufa ukiwa muislam pepo ndo makaxi yko ndugu wahshi amiin amiin yarab
MashaAllah may Allah grant him the highest jannah
Innalillahi wainna illeihi rajiun. Allah amkabidhi pepo lake InshaAllah 😢.
Allah amjalie kheri ...
Shekh Yahya na Sheikh Omar please, please, tunaomba interview ya brother Abdillahi Lakki katika watu nnaopenda kuwasikia mmoja yeye Haswa katika dibet yake na shkh othman mazinge Wallah ukijua kama Allah anampelekea kumuongoa Lakki. We love him for sake of Allah.
Allah akuwe pema peponi n awape subra familia yko
Hapa nimepata funzo kutokana na mama, Du'aa ya mzazi hususan mama ni muhimu sanaa. Iwe ni Du'aa nzuri au mbaya basi tulobahatika kuwa na mzazi mmoja au wote wawili tuwaenzi na tuwatwii twahaa wanayostahiki. Mola atujaalie mwisho mwema.
Jazzakallah kheir Allah ampe pepo ya firdaus kwa uruma wake . Good news
😭😭😭 Allah ampe kauli thabit
Allah amrehem hakika na amswaamehe kwa yale aliyoyafanya kwa kutojua Aaaamiin
Makafili wamemfanyia hujuma sheikh ndundi. Wahshy Allah amlipe kila la heri.
Subhna Allah
Allah amuweke mahali pema kwenye wema Ameen Ameen Ameen
Inna lillah wainalillahi rajau'n aliyefanya hayo ajue kuwa sote tutakufa na sijui atamwambia nn Allah siku ya kiama, Allah akujalie pepo mpendwa wetu.
Naomba kufahamu pls.ameulia kisha wakasingizia corona? Maana naona amezikwa kama mwenye corona
Innallillahi wainnaillahi rajiun 😢... 😭😭😭 . Allah amrehemu yaa Rabby 🕋🙏🕋. So pain full 😢😭😥
Allah Hakimullah🕋🙏🕋
Allah akuondoleye adhabu za kabr ampe kauli sabiti sote ndo njia, innalilah wainalilah rajun
Innah Lillahi Wa,inna illahyi Rajiun..It's great shock to me to have seen Our Reformed Pastor Ndudhi is Dead.May Almighty Allah Rest Wahshee's Soul in Janatul Firdhaus
Allah S. W amtakabalie Shahadaa yake, ampe maghufira, amjaalie Kaburi lenye Aman na salama.
Mwenyezi Mungu Assamese na amrehemu.Ameen
Asaalam aleykum ndugu zangu natokea Tanzania 🇹🇿 Inna liah wa ina ilah rajiun hata hapa kwetu imetokea na mashekh wetu wanafungwa ila tusiache kufanya dawah kwani dunia Ni fupi hatuishi miaka hata 90 walahu alla'amu
Allah amjalie pepo
Takabalakumullahu wahafadhakum biidhnih
Elfu4 za kenya sawa na laki naa za kitanzania. Yaani elfu 4 kenya sawa na riyal20 ya oman. Fikiria aliahidiwa milioni moja ya kenya nipesa kubwa ila hakutaka kufa ukafirini. Yaani hio milioni moja kenya kiasi cha milioni zaidi 25 na uhai wake umekua muhanga basi wakiristo hawafikiri juu ya ukweli wa uislamu wala hawataki kusoma ukweli kama mwenzao?
Mashallah tabaraka Allah mwenzi mungu amlaze pima peponi amin
Wahshi allah kakujaaliya mwisho mwema na hawa mazalim allah atawalipa atawazalilisha mmoja mmoja imetuumiza sana namuoma allah akujaliye Pepo iwe makaazi yako
Innalillah wainailaih rajiun allah ampe jannat firdaus ndgu yetu ila Allah ni mlipaji wa yote na atamlipa kwa msimamo wake na jihad aloifanya,!
Pole mama
Allah amjalie kheir in sha Allah
Allah amrehemu,na alomtilia sumu Allah amjalalie aione haki.
Wamempa sumu kisha wakasingizia corona ama? Naona amezikwa kicorona
Allah amrehem sheikh wetu allahumma ameen 😭😭😭😭
Allahumma-ghfirlahu Warhamhu Wamskanhu fil Jannah
Inalallah wainalillah lajuni Allah asamehe ampekauli sabiti
Mama pole sana kikubwa tumuombe dua mimi pia nimeumia sana
We are from ALLAH and to him we shall return
Allaah amsamehe
Allah ampe moyo wa subra huyu mama yetu
SubhanaAllah
Allah yarhamhu wa yighfirlahu
May Allah grant him jannat Firdaus
Yaani kwa wakristo wanaotizama hii video na kusoma comments zangu na za wote waislam tulipo comments watajua na kuamini kwamba ukristo sio dini wallah nawaombeni ndgu zangu fanyeni maamuzi yaliyo sahihi kabla umauti haujawakuteni ili mupate mwisho ulio mwema, then mupate kujiuliza ni mangapi ya siri juu ya imani potofu ya kikikristo ambayo nduthi aliyajua na wakristo wakahofia kumwwcha aendelee kuwa hai kwani angeyafichua na wakaamua kumuua kwa sumu kwahyo kama watu wazima wajaribu kujitathmini waone ni wapi mnapotoka na muifate dini haki na muweze kuongoka,!
Allah ajalie janna
Innalillah wainna illayh raajiunna
Hilo kundi lililo panga njama ya kumuua kala yetu Ndundi, ALLAH atawalipa duniani na aakhera🤲🤲🤲🇰🇪
Ameen
Subhanallah
ALLAH AMPE KAULI THABIT
Wahshi ni shahiiid inshaallah biithniallah
Allahu Akbar
ALLAH amlaze pema peponi
hata mimi nikiahidiwa donge nono nakwenda kusilimu isipokua akili kichuwani inakua moyo imani ikombali si unajua pesa hata yuda ali msaliti YESU wakina yuda wako wengi tu
Mama kuwa na subra
Hakika amefaulu mwenye kuwa na subra na yuko pamoja nae..
Inna Lillah Wainna Ilah Rajiun Allah ampe kauli thabit amsamehe makosa yake amjaalie awe miongoni mwa waja watakaopata pepo ya firdaus
Innalilahi wa inna ilayhi rajicuun, To Allah we belong & to Allah is our return , may Allah accept him as shaheed, may Allah grant him Jannah, indeed, he has died on the straight path (siraat mustaqeem) may Allah grant us all steadfastness in Islam, Ameen.
Walio mlisha Ndundi sumu,wao pia wataonja umauti hata bila kulishwa sumu wala kukongewa majambazi😏😏😏🇰🇪
Inaaillah wainaailaih raajiun
Inalilahi wainraujun
Allah Akbar
Innalillah waina irahi rajiun 😭😭😭
Mlimuua ndundi
Inna lilah wanna ila rajiun
Allah Ampe jannatul firdaus
ALLAH.SW. AKUPE KHERI HUKO ULIPO NA ULIUKANA UKAFIRI KWA HAQQI NA UKAINGIA UWISLAMU WA HAQQI. ALLAH.SW. AKUREHEMU. NA WANAOJIDAI KUBAKI KWENYE UKIRISTO UJUMBE WAKO USHAFIKA WALA HAULAUMIKI UJUMBE UMEFIKA
Inalilahi walnalilahi rajun
سبحان الله
May Allah rest his soul in eternal peace insha Allah
Innalillah wa innailah rajiun
Heri pia hakurudi wangemuuwa hivyo hivyo
Wewe ni mkora ulitapeli waarabu yahya mkora tu
Shaheed
R.I.P 🙏
😭😭😭😭
WAKRISTO NI MAGAIDI
Mola amrehemu
NANI GAIDI KATI YA WAISLAMU NA MAKAFIRI JIBU MNALO WENYEWE
Namba kama zipo wafatiliwe mpaka akamatwe
Atakamatwa na Allah.usijali
💔😱😓😥😥😥😥😭😭😭😭💔
Ina lilah waina ilaih rajiun Allah amlipe malipo makubwa na huyu aliyeko hai Allah ampe subira
Usiombe shetani akautawala akili yako. Anakutuma kuwa muislam.
Hatuna Time ya kuzingatia mawazo yako finyu
dahh imefikia mpaka atiliwe sumu MUNGU amueke pema peponi wamedhulumu nafsi SUBHANA ALLAH
Inalilahi walnalilahi rajun