SU-75 CHECKMATE Jet Mpya Ya PUTIN ni Hatari Kuliko F-35.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2023
  • Su-75 Checkmate ni jet mpya ya urusi inayotengenezwa na kampuni la Unite Aircraft Cooperation, ilitangazwa 2021 ni jet ya generation ya 5 inayolenga soko la kimataifa sababu ni jet ya bei nafuu.
    Subscribe channel yetu ni BUREEE! :bit.ly/maxtechTV
    Social media
    TikTok bit.ly/Maxtechtz
    ➰Twitter bit.ly/maxtechtvtwitter
    📸Instargram bit.ly/maxtech_tz
    #su75 #sukhoi #su75checkmate #maxtechtv #checkmate #russia #5thgeneration #f35 #putin
  • วิทยาศาสตร์และเทคโนโลยี

ความคิดเห็น • 27

  • @benmcdream2268
    @benmcdream2268 5 หลายเดือนก่อน +3

    Maxtech huna mpinzani 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 5 หลายเดือนก่อน +8

    Chuma hyo ya kuwafira mashoga wa ulaya wanaotaka kuiharibu dunia ya Mungu kwa kutumia pesa nyingi kueneza ushoga 10:33

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 punguza hasira kak

    • @nevillekorosso6976
      @nevillekorosso6976 5 หลายเดือนก่อน +1

      Putin kiboko ya mashoga na wala unga

    • @ZHING.Tech.
      @ZHING.Tech. 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa aseee

    • @alexluchivyatv254
      @alexluchivyatv254 5 หลายเดือนก่อน

      Ndioooo

    • @micumass1989
      @micumass1989 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 5 หลายเดือนก่อน +1

    Big up saaanaa mwamba

  • @M.KemisAfpriyanto-qr1oi
    @M.KemisAfpriyanto-qr1oi 5 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum
    RI/RU
    Beruang merah, Beruang putih
    Walaikum salam wahroh mahtulahih wahbah rokahtuh
    Salam santun

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 5 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana

  • @amirisaid6341
    @amirisaid6341 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mark mifumo ya anga ya urusi S400 na S 500 video yake unaleta lini?

  • @user-xs9li8yh6y
    @user-xs9li8yh6y 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tiktok unatumia account gani

    • @Maxtechtv
      @Maxtechtv  5 หลายเดือนก่อน +1

      maxtechtz

  • @massoudsultan8484
    @massoudsultan8484 5 หลายเดือนก่อน

    Uraaaaa

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana ndg mchambuzi ongera sana URUSI

  • @user-oi9hh9tp3o
    @user-oi9hh9tp3o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Iwepo nyingine please

  • @markomapessa9536
    @markomapessa9536 5 หลายเดือนก่อน

    Ahaaa et vibwengo

  • @tomyleejr3362
    @tomyleejr3362 5 หลายเดือนก่อน

    Man tuletee dead hand system ya russia kindly

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 19 วันที่ผ่านมา

    Russia kwa ubunifu iko juu

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 วันที่ผ่านมา

    Duu 🤭

  • @amirisaid6341
    @amirisaid6341 4 หลายเดือนก่อน

    Naombaa kuuliza imekuwaje marekani atumie ndege za kivita kutoka USA direct kushambulia maeneo ya Iraq na sylria badala ya kutumia jets ambazo zipo kwenye USA base apo middle east

    • @Maxtechtv
      @Maxtechtv  4 หลายเดือนก่อน

      Jet wametumia F-15 ambazo zipo middle east tayari lakini hiyo bomber ya B1 LANCER hiyo imetoka USA ni ndege kubwa lakini ina speed ya supersonic na inabeba mabom mengi yenyew ndo imewasaidia kulenga target nyingi kwa muda mchache nadhani

    • @amirisaid6341
      @amirisaid6341 4 หลายเดือนก่อน

      Ungenipa number Yako ya Whatsapp tuwe tunapeana madini uko boss

    • @amirisaid6341
      @amirisaid6341 4 หลายเดือนก่อน

      Asante sanaa boss

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ww ni kiboko

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 5 หลายเดือนก่อน

    Hiii no atalii