WATU WAWILI WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI VINGUNGUTI DAR ES SALAAM, 'POLISI WATAJWA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2023
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 385

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 6 หลายเดือนก่อน +7

    Tuna tatizo sana uswahilini kuhusu uwezo wa kujieleza baada ya matukio. Watu wanakuwa na hamu ya kuelezea kila kitu pamoja na hisia zao badala ya kuelezea walichoona au kusikia tu. Naelewa kunakuwa na kiwewe cha uchungu lakini waandishi jitahidini kuwaongoza mnaowahoji wasivuke mipaka fulani ya kuharibu ushahidi au kuhatarisha maisha yao bila ulazima wowote.

  • @hadijaabdallah8614
    @hadijaabdallah8614 5 หลายเดือนก่อน +3

    Haya maisha ni kuomba Mungu tu watoto wetu hawa dah! Anaweza kuwa mpole nyumbani ila huko mitaani ni jambazi yarab. Allah tufanyie wepesi sisi wajawako hatuna kitu tunachokijua kuhusu watu wetu maana viko kwenye mioyo yao.

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sheria ya haki kaishi ni muhimu iwepo.
    Ni tabia ile ile ya kumpiga na hata kumchoma moto kwa kutuhumiwa tu au kwa njaa zake kapora kitumbua, na wauaji ukuwauliza kisa cha kuua watakujibu tu tulisikia kaiba!
    Mwenye Amri ya Mwisho kutoa uhai wa mtu ni Mungu pekeyake.
    Ni kitendo kinachosikitisha sana sana na walaaniwe waliofanya hivyo.
    Poleni sana wanafamilia.

  • @isaacopolot2027
    @isaacopolot2027 5 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe ni mwerevu sana. Asante kwa kazi yako

  • @user-ml6cc7td1x
    @user-ml6cc7td1x 6 หลายเดือนก่อน +3

    askari mnafanya kazi vizuri sana wauweni tu haina haya ya kuwapeleka polis

    • @charlesshija7371
      @charlesshija7371 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @user-nn6rd6rt9b
      @user-nn6rd6rt9b 5 หลายเดือนก่อน

      Unajuwa sio saw huwezi juwa kesho yake pia hujuw kauliwa na tatizo gn watu wanadhulumiwa

  • @coolson2925
    @coolson2925 6 หลายเดือนก่อน +2

    poleni sana wafiwa...ila hao waliouwawa inasemekana ni panya road na wameua watu na kujeruhi sana .......auwae kwa upanga atakufa kwa upanga.....nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzurii

    • @khamisiabdu
      @khamisiabdu 5 หลายเดือนก่อน

      Hujafa hujaumbika usimalize maneno isitoshe ww ni Mtoto wa kiume.

    • @coolson2925
      @coolson2925 5 หลายเดือนก่อน

      mtoto wa kiume ila sio mwizi mimi @@khamisiabdu

  • @isaacopolot2027
    @isaacopolot2027 5 หลายเดือนก่อน

    Napongeza polisi kwa kazi nzuri waloufanya. Muuaji akiuawa hamna hasara. Wote hao wanaolalamika hawajui wala hawataki kutambua maumivu ambazo wanapitia wahanga wa ndugu zenu. Basi na nyinyi pia mta kuja kuaawa.

  • @paullutonja5904
    @paullutonja5904 6 หลายเดือนก่อน

    pole sana
    🙏

  • @khalfanmohammed7594
    @khalfanmohammed7594 6 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana الله awape subra

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 6 หลายเดือนก่อน +6

    Rais karudisha viburi kwa watumishi wa Umma ndio maana huu upuuzi unatokea,,kauli ya Rais haisikiki kwenye kukemea haya maovu yalokithiri.

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 6 หลายเดือนก่อน +4

    Subhannallah hata kama jambazi ila hakuwa na silaha mpaka mumpige risasi zote hizo 6! Mwananchi huyo na Askari, wakiuwawa nje mnasema oooh! Watu fulani wabaya hawafai. Sasa hawa Askari wamekuwa wauwaji sana siku hizi tukimbilie wapi?? Inatosha TZ sasa😱😱😱

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน +9

    Mjumbe anaongea kwa tabasamu kabisa subhanna Allah 😭

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 6 หลายเดือนก่อน

      Awo waliouwawa nivijana wanya rodi

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน

      @@khaalidcheo5383 Kwa iyo wamesha sibitisha na ni haki kuwaua Kwa stahili iyo!na ni wawili tu walio kua wanausika na uo upanya rod mimi niliona wangewatamata na kwenda kuwahoji ili wapate zaidi ya ao sasa apo wamepoteza kuwajua waharifu wengine

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 6 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zetu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 6 หลายเดือนก่อน

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Poleni sana wafiwa

  • @rasheedmbaraka7199
    @rasheedmbaraka7199 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ushabikwa risasi ya mguu bado unasota unatak kukimbia unadhani ni watu wa kawaida hao?..hapo kuna kitu...

    • @maryamabdullah9169
      @maryamabdullah9169 5 หลายเดือนก่อน

      Hayajakufika ndio maana Unasema hivyo

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uripa kira moja dunia .mungu tenda haki

  • @SangioNgoo
    @SangioNgoo 6 หลายเดือนก่อน +9

    Poleni sana wafiwa. Lakini nadhani msingepika ubwabwa na kukaa kitako kula. Kitongoji chote na maeneo ya karibu mngeandamana kwenda kwa mkuu wa Mkoa kudai haki itendeke. Na pia msingekubali kufanya mazishi mpaka haki ipatikane.

    • @mwanaishamasoud
      @mwanaishamasoud 6 หลายเดือนก่อน +1

      Waandamane ili waende wakauliwe na wao tz hakuna haki ya maandamano kinofata ni kipigo cha police na kurushiwa maji yanowasha hakuna kuskilizwa nn sababu ya maandamano.

    • @ramajr3762
      @ramajr3762 5 หลายเดือนก่อน

      Unataka uwaponze

  • @Ambwene
    @Ambwene 6 หลายเดือนก่อน +10

    POLISI WA TANZANIA 🇹🇿 NI MAJAMBAZI WAUWAJI WAKUBWA MBWA HAO

    • @suleimanjokoro
      @suleimanjokoro 6 หลายเดือนก่อน

      Mwenyewe ^^

    • @mohdseif1659
      @mohdseif1659 6 หลายเดือนก่อน

      Haki ya Mungu haki haipotei mutakufa Zalili nyie

    • @pioustrevol3468
      @pioustrevol3468 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@suleimanjokoro mwenyewe Nn kwan kunao uongo Apo N wauwaji Af mshukuru Bunduki mnazopewa Maana Uwaga Tunawakandaga sana mtaa

    • @user-it9gl9yc8m
      @user-it9gl9yc8m 5 หลายเดือนก่อน

      Kaz zA hao watoto

    • @user-it9gl9yc8m
      @user-it9gl9yc8m 5 หลายเดือนก่อน

      Semeni KAZI za hao marehemi

  • @petermathius-eu1pt
    @petermathius-eu1pt 5 หลายเดือนก่อน

    Dah mungu atakulipien hapa hapa dunian

  • @SoudyZanzibar
    @SoudyZanzibar 5 หลายเดือนก่อน

    Wabongo mpo zaid ku express feelings na sio tukio halisi

  • @StuatKimbavala
    @StuatKimbavala 6 หลายเดือนก่อน +4

    Lisasi inatumikakama kulikuana mapambano katiyapolisina jambazinasi mtuhumiwa ,jamanitunakwendawapi

  • @shearthielmayala2364
    @shearthielmayala2364 6 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa vyovyote vile, hakuna sababu ya kuua wahalifu especially baada ya kuwakamata na kuwapiga risasi miguu

  • @comraderashid_nuru_m5260
    @comraderashid_nuru_m5260 5 หลายเดือนก่อน

    Wamejifanya majambazi wakapigwa risasi, wenzao wanakula ubwabwa bila wasi😂😂😂😂😂

  • @onessytiganga4722
    @onessytiganga4722 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wimbi la askari kuua watu limekuwa la kawaida!!

  • @myself4128
    @myself4128 6 หลายเดือนก่อน +4

    Haqa Polisi inabidi Tuwabame huku Mtaani ili Tugawwne Hasara!!! Mie ukiuwa Ndugu yangu ni Jino kwa Jino! Msamaha kwa Mungu hapa Hukumu

    • @jailaniramadhan1788
      @jailaniramadhan1788 5 หลายเดือนก่อน +1

      nyie ndio mnaofuga panya road eeh tutakutafuta na ww

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hapa Viongozi Msipo Simama Na Kuyakemea Haya Maovu Nchi Haitakalika.

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน +4

    Innalilah wainnalilah laijiun subhanna Allah 😭 sasa apo amana nani aliopeleka izo maiti ao walio wapeleka ndo wakamatwe ili waseme ukweli

    • @chatnami
      @chatnami 6 หลายเดือนก่อน

      Ripoti ya hospitali inasema miili ililetwa na Askari. Hatujui wa kituo gani. Maana vituo vyote tulifika walikana kusikia kutokea tukio hilo. Pale kituoni wakati tunapanga kuondoka tulikuwa tunashauriana kwenda kwa Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Chalamila kwa kuwa yeye ni mkuu wa ulinzi na usalama wa mkoa. Na kwakua toka tukio limetokea mpaka muda huo hatujapata msaada na polisi hawajui nani kafanya hivyo lakini wameshindwa hata kutuma askari kwenda kupeleleza kama zilipigwa kweli risasi.

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน

      @@chatnami Aisee poleni sana ila ikiwezekana nendeni Kwa mkuu wa mkoa ili muelewe ni polisi wa kituo Gani apo ospital wanajua sana hawawezi pokea maiti bila maelezo kwamba ximetokea wapi

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Tanzania yetu mungu tuhurumie

    • @myself4128
      @myself4128 6 หลายเดือนก่อน

      Amka acha Ujinga!!!
      Mungu kakupa Nguvu za Kujitetea sio unakaa unalia tu

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 6 หลายเดือนก่อน

    Hili tukio lichungunzwe kwa undani sana ili ibainike kama vijana hao walikuwa na hatia gani,na je hata kama walikuwa na makosa je walistahili kuwapiga risasi na kuwauwa ama kuwakamata na kuwapeleka kwenye vyombo vya kisheria ili sheria ichukuwe mkondo wake,pia ndugu mlitakiwa kufuatilia kwa karibu ili mjue sababu ya tukio hilo! Ndugu mwananchi pia hata sisi tuamke kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili viongozi au serikali inapofanya makosa iwajibishwe,ila kwa katiba wananchi wataonewa sana! Mungu atusaidie.

  • @allykarupa1411
    @allykarupa1411 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwesimiwa Raisi Mama yetu. Tunakuomba uchukuehatua. Awapolisi watatumaliza

  • @charlesmichael5260
    @charlesmichael5260 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna jambo sielewi hapa. Mdogo wako anapigwa risasi we unaenda kuchaj simu?

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo Rajabu Ukongro hafai,hafai,hafai kuwa mjumbe wa mtaa. Ni mshereshaji akiwapamba wauaji.

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 5 หลายเดือนก่อน

    Risasi kupigwa mguuni haimaanishi huwezikufikwa na umauti iwapo utachelewa kupata matibabu yakuzuia kutoka kwa damu ila poleni saana Mungu ndie anaejua ukweeli wamaisha ya vijana waliofariki

  • @MaryChao-ob9zl
    @MaryChao-ob9zl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wauliwe uko ma panda road wanasumbua mtaa

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 5 หลายเดือนก่อน

    Yaaani maaskari laana. iwe juu yenu na familia zenu

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 6 หลายเดือนก่อน +2

    Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana wazazi na familia

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 5 หลายเดือนก่อน

    Nakukumbuka sana magufuli mungu akupunguzie azabu ya kabur😢😢

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wengi sana wameumizwa na panya road wengine wamekufa na kuacha familia zao ukiwa

  • @colmanmwero7473
    @colmanmwero7473 6 หลายเดือนก่อน +3

    Haya yote yanatokea Tanzania au kwingine. 😢. Tanzania my country. Where trained officers acting like mafias. This is discouraging 😞

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 5 หลายเดือนก่อน

      mimi polisi hawaja fanya kosa wako sahihi vijana wamekua wachenzi sana

  • @Mr_Ishi_Kisasa
    @Mr_Ishi_Kisasa 5 หลายเดือนก่อน

    hiyo sentensi ya mwisho inaashiria "askari wamekiuka taratibu?" kuhusu kutoa taarifa kwa mjumbe na RB.

  • @user-vc1vf4uz4r
    @user-vc1vf4uz4r 6 หลายเดือนก่อน

    Kwann jwtz wapo vzur

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 5 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun

  • @SaidHassan-wz1px
    @SaidHassan-wz1px 6 หลายเดือนก่อน +4

    R.I.P.MAGUFULI TUTAKUMBUKA MILELE NA DAIMA.

    • @kaliskaguzkalis4424
      @kaliskaguzkalis4424 6 หลายเดือนก่อน

      Alafu ndo nini! umeyasahau aliyo yafanya

    • @mlawayusuph8842
      @mlawayusuph8842 5 หลายเดือนก่อน

      @kaliskaguzkalis4424 Magu ndio alikuwa mbwa kabisa

  • @SoudyZanzibar
    @SoudyZanzibar 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuhitaji kutolewa taarifa ktk doria bwanamdogo.. uhalifu umezidi...kwahyo risasi muda wowote..kama wenyewe wanavyokaba muda wowote.

  • @SoudyZanzibar
    @SoudyZanzibar 5 หลายเดือนก่อน

    Waandishi mjikite xana katika point za msing. Mkiona mnaowahoji wanaenda nje ya mada basi mkatishe..kiufupi huwa wanajizonga zonga tu..

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢mmmh daah Tz ndio kumefika huku kweli

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 6 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana Polisi wa Tanzania ni makatili sana kwa ushahidi juu ya mambo mengi sana mabaya ambayo wameyafanya. Poleni sana msikae kimya wala msiogope fuatilieni haki za ndugu zenu. Hata wangekuwa majambazi Polisi hawakupaswa kuwaua. Kuna kitu Polisi wameamua kukificha. Poleni sana

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 6 หลายเดือนก่อน

      Mie sifichi kama ni jambazi apate hakiyake ila kama kaonewa wauwaji washughulikiwe ,hujiulizi mtu huna kosa polisi akusimamishe kwanini ukimbie,arafu usiku,kama nihivyo polisi wangeuwa kila Mahali

    • @MwanaiddMasoud-qk4hb
      @MwanaiddMasoud-qk4hb 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu ndio Kila kitu watatumia duniani lakini Kwa mungu haji yao ipo watakurikana tu

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hizi taarifa kuua vijana hata kama wana makosa sio nzuri. Hivi vifo vinapaswa kuchunguzwa ili wahusika wajulikane na kuchukuliwa hatua

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน

      Michael panya road ndiyo hao usitetee wezi acha wauwawe

    • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
      @NajmaramadhaniAlly-is6mf 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@margarethpolepole7438 alikuibia wewe usihukumu kama huna uhakika

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 5 หลายเดือนก่อน

    Panya rodi hao na wapowengi ndo maana wakauliwa na bado wengine kuibia wenzao na kuwakata ndo vizuri acha wezi vibaka wafe

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 6 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania kuna kitu hamjakielewa, chochote kinachotokea cha kwanza kufanya kama yuko na gari chukua namba ya gari. Kama ni police ita police wengine au watu . Usikae tu kuangalia toa msaada wowote .

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 6 หลายเดือนก่อน

    Daaah

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 6 หลายเดือนก่อน

    Ungeita police wengine au hata msaada wa watu wengine .pole sana kijana

  • @AnethNkuba
    @AnethNkuba 5 หลายเดือนก่อน

    Angalieni Kwa undani sana, maana ndani ya panya road kuna BIASHARA HARAMU INAENDELEA, HUO NI MLANGO TU, KUSEMA NI MSAKOVWA PANYA ROAD, KUMBE JIA YAO NI UKATILI MKUBWA MNO, YAANI INASHANGAZA SANA SANA¡!!!

  • @michaelngalo1808
    @michaelngalo1808 6 หลายเดือนก่อน +13

    Nyie mnaotetea mauaji kwa kuhisi hao vijana walikuwa na makosa mnakosea sana. Tusiwahukumu bila ushahid na hasws baada ya kufariki. Jiweke kwenye nafasi ya wazazi au ndugu za hao vijana! Kaka mtu anasema alishuhudia

    • @kiatu
      @kiatu 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli. Hata kama walikuwa na makosa mwenye mamlaka ya kutoa hukumu ya kifo ni mahakama tu.

    • @abubakarmago2623
      @abubakarmago2623 5 หลายเดือนก่อน

      Wskipelekwa jela wanarudi tena mbn hawajawaua watu wengine

    • @kiatu
      @kiatu 5 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarmago2623 Wanarudi kwa sababu mbalimbali ikiwemo rushwa ya vyombo husika, incompetence ya vyombo husika ni hatari sana kama police wanapewa na mamlaka ku-execute raia wake hadharani.

    • @PatriciaFelix-gv6ls
      @PatriciaFelix-gv6ls 5 หลายเดือนก่อน

      Jamani mume wangu aliwah kupigwa panga na panya roady

  • @PatriciaFelix-gv6ls
    @PatriciaFelix-gv6ls 5 หลายเดือนก่อน

    Na kwa wanapigwa mapanga he tufanyaje jaman mungu atusaidie sana

  • @AnethNkuba
    @AnethNkuba 5 หลายเดือนก่อน

    Tupo wengi sana, kusanyeni wafiwa ni MAMIA ya vijana, wengi sana!!!!!!!😭😭😭😭😭😭😭

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa polici walipowachukua waliwapiga risasi zingine kuwamaliza kuwapiga zingine

  • @erickjohn9282
    @erickjohn9282 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nalishukulu jeshi la polisi kwakazi nzuli waliolifanya awo vijana usiombe ukutane nawo

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 6 หลายเดือนก่อน

    Polen sana wafiwa mungu awape safari njema marehem. Nahusia vijana wenzangu mke wamtu sumu 😢

    • @rashdiyange7758
      @rashdiyange7758 6 หลายเดือนก่อน

      Kwaio tumanishia ao vijana wame chukua wake. Za askali au sio

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 6 หลายเดือนก่อน

      @@rashdiyange7758 ushauri haihusiani na unyama walowafanyia

  • @mkudesimba9518
    @mkudesimba9518 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama kalewa !

  • @abihudikihemba5891
    @abihudikihemba5891 5 หลายเดือนก่อน

    Vipaka wanajeruhi vibaya sana janani police nawapeni bigapu msirudi nyuma fuateni nyao za jpm.

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 6 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa wakati umemufikia hujauliza mudogo wako tatizo nini apo basi mudogo wako alikuwa na matukio unashindwa ongea ukweli pole

    • @karyori69
      @karyori69 6 หลายเดือนก่อน +1

      umeona enhee hawa wanajijua!

    • @user-mf9tu4yu3p
      @user-mf9tu4yu3p 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli nataka kujuwa hata huyo anaemuhoji hamuulizi tatizo Nini kwa sasa vijana wengi wanapiga mapanga watu na kupora

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 6 หลายเดือนก่อน +1

      Unasikia alivyofik akasikia toa funguo na hajui funguo za nn?

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maelezo ya watu waliojeruhiwa na kufiwa wametaja majina ya hawa jamaa wasikilizeni wananchi kwa makini inasemekana ni Panya Road

    • @sadikielgidwayda5595
      @sadikielgidwayda5595 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu lazm amtetee kwa sababu n ndugu yake ila kiuhalisia Hao watakuw n wahalifu

  • @user-gl8ij6mn6e
    @user-gl8ij6mn6e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba serikali na wizara husika kuhusu askari police wa tanzania kuchukua sheria za kupiga risasi raia wao maana kuna mfululizo wa matukio ya askari kufyatulia raia risasi na kupelekea umauti
    Serikali hiyo hiyo inasema wananchi wasichukue sheria mkononi ila wao wanachukua sheria mkononi kwani sheria ipo chini kwao askar yaan wanaikanyaga

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 6 หลายเดือนก่อน +1

    Risasi ukiona lile ganda la risasi lina number itajulikana ni askari gani kafanya lakini serekali haipo inanyamaza kimya kwa sababu wao wenyewe ndo majambazi

  • @abihudikihemba5891
    @abihudikihemba5891 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe bwana acha longolongo isingekuwa wahalifu kuwa wanatandikwa risasi Tanzania ilikuwa imesha kuwa kama parestina.police pigeni risasitu msisumbuke nao na kaka mtu anajua sana kama mdogo wake alikuwa mharifutu.hao wanapigwa risasi inakuwa wameshindikana

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 6 หลายเดือนก่อน +3

    Inasikitisha sana, ina maana hao vijana wote tunawaona msibani ni victims wajao wa police 😢, the community needs to stand up for their boys lives and future

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 6 หลายเดือนก่อน

      Haya umeyasikia kuwa ni Panya Road

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kwahio nyie mnao kaa upande wa polisi hivi ni sahihi kumpiga mtu risasi ikiwa hana silahw

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 6 หลายเดือนก่อน

      Unajuaje kama hana silaha

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 6 หลายเดือนก่อน +3

    MAMA AMESAFIRI
    MAMA NILIKUA NAE NYUMBANI NDIO AKANIPA TAARIFA ZA KIFO🙃🙃

    • @badymedia9648
      @badymedia9648 6 หลายเดือนก่อน +1

      amesafiri baada ya kusikia taarifa mwanane kapigwa risasi , amekuja kabla taarifa ya kifo cha mwanae kusaidia kumtafuta

    • @user-mf9tu4yu3p
      @user-mf9tu4yu3p 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 taarifa tata

    • @user-ny3de2qq6r
      @user-ny3de2qq6r 6 หลายเดือนก่อน

      We fala kweli😢

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 5 หลายเดือนก่อน

    Ni vigumu kujua kazi ya mtu kama kazi yake si rasmi. Kuna watu wanatembeza nguo, lakini wanauza ngada kwenye vijiwe wanavyovijua. Ila kwa nje unajua tu huyu ni machinga... polisi wanawajua wezi kuliko raia

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo mmoja anaonekana mtuhumiwa ila uyo mwengine huwenda alikutwa na mhalifu tuache urafiki na wauni

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana.lakin.mbona tukio unaelezea kama lilichukua muda mlefu.mnatakiwa muwe na sungusungu hiyo ni muhim sana. watu wakwenu mbona ushirikiano nikama amna.unaenda kuchaji cm nyumban.bila kujua huku nyuma nini kinafata.polisi hao mbona kama roho yake niyakinyama

  • @StuatKimbavala
    @StuatKimbavala 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mnatupelekawapijamani ,ee,hiinchi,inaongozwakwakatibana,Shelia kwann mjichukuliesheliamkononi,da

  • @mathiasissa7138
    @mathiasissa7138 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ujue polic kama kweli kunakuenda mbinguni polic hawataenda kabs

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 5 หลายเดือนก่อน

    Mjumbe amechokahuo 😂😂😂😂😢😢kilakitu ajuwii mtumeee😢😢😢

  • @UJENZIUBUNIFU.
    @UJENZIUBUNIFU. 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna haja pia ya kusomesha wenyeviti wa mitaa, ili wajue majukumu yaoo, lakini pia walipwe kama watumishi wengine coz ni watu mhimu sana ila wengi wao Hawajui chochote.

  • @godychamy
    @godychamy 6 หลายเดือนก่อน +5

    Shida wanaopewa kazi za Police ni wale failure walio fail la saba na Form four ndio maana haya yanatokea yote .....Askari wengi hawana elimu 😢😢😢

    • @AmriMzeru
      @AmriMzeru 5 หลายเดือนก่อน +1

      Elimu uliyo nayo imekusaidia nini

    • @godychamy
      @godychamy 5 หลายเดือนก่อน

      @@AmriMzeru nisiwe police😂

    • @AmriMzeru
      @AmriMzeru 5 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 6 หลายเดือนก่อน +1

    Damu itakuwa imeisha an Kuna sababu mpaka wapigwe Risa's Bali hakuna sharia yakupigwa risas hadharani

  • @user-it9gl9yc8m
    @user-it9gl9yc8m 5 หลายเดือนก่อน

    Uliza huyo ndugu wa marehemu
    Marehemu anafanya kazi gan

  • @abdulmshamu801
    @abdulmshamu801 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kutokana matukio mengi kuhusishwa jeshi la polisi,inch inajenga bomu kwa wanainch wake.

    • @ramadhanichuma7925
      @ramadhanichuma7925 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ipo siku haya yote yataisha Allah ndye wakili wa haki.

  • @invyolatambunda3118
    @invyolatambunda3118 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania yetu raisi samia tunaomba na igp mfuatilie kwa umakin wa hali ya juu sana huu ni unyama ulikidhiri

  • @amanisanga3251
    @amanisanga3251 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ila police sijui mnatupeleka wapi watz

  • @honoratamafala6968
    @honoratamafala6968 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hata kama walikuwa na tatizo,je?walistahili kuuwawa?

    • @hadijaabdallah8614
      @hadijaabdallah8614 5 หลายเดือนก่อน

      Kama walitishia uhai wa askari ilikua lazima wajihami. Au walitaka kukimbia. Mwenyezimungu ndo anajua zaidi😢

  • @user-vp5zi2xe3m
    @user-vp5zi2xe3m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni asikari walikuwa wanashida ya funguo za pikipiki za ofsi anayouza

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 5 หลายเดือนก่อน

    mbona hatuelewi mbona kuna mama alilia mwanae kauwawa na panya rodi na wanajulikana ndio hao,Tumwachie MUNGU

  • @abubakarmago2623
    @abubakarmago2623 5 หลายเดือนก่อน

    Km ni kweli walikuwa ni panya road hiyo ndio hukumu waliyokuwa wanastahili kwakuws na wao waliua nafsi zisizokuwa na hatia usiombe ht cku moja kukutana na hao jamaa wakiwa kazini mbn hamuwaonei huruma waliofiwa na ndugu zao kwa vifo vya kuvamiwa namna hiyo what goes around comes around ila zaidi yote Allah ndie anaejua zaidi

  • @SalminaSalim
    @SalminaSalim 5 หลายเดือนก่อน

    Kama mdogo wako alikuwa Panya roads unaonaje ukamshukuru Mungu kwa kukuondokea? Kwa sababu umeona visu walivyokuwa wanachoma watu na kuuwa na yeye wache afe jambazi Hongereni Walinzi wa Nchi. Mdogo wako alikuwa ni PANYA RD

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa uelewa wangu mdogo,mwili ukipelekwa mortuary kuna kumbukumbu zinaandikwa pamoja na mtu aliyekabidhi mwili kama hayo yamefanyika basi itafahamika waliohusika

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 6 หลายเดือนก่อน

    Mi Nazani Kuna Kitu Walikoseana Na Wauwaji Siku Izi Mtu Anaweza Kua Bodaboda Lakini Inje Ya Boda Kuna Sili Anaijua Yeye Ya Utafutaji Wa Maisha Yake Wenda Walizulumiana Na Hao Hau Iko Biashala Waliijua Wao Biashala Za Sili Aiza Wanawake Mana Mpaka Mapenzi Yanauwa Japo Mauwaji Kutokana Na Mapenzi Ni Matumizi Mabaya Ya Asira Kwa Binadamu Wa Leo Kuna Jambo Wanajuana

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 6 หลายเดือนก่อน +2

    Napata mashaka waziri wamambo yandani yupo kweli,hii serikali sijui tazania hakuna amani nikisiwa chauvumilivu

  • @fadhilajamal217
    @fadhilajamal217 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 5 หลายเดือนก่อน

    Shomari na bakari walikua wakikaba wenzao na kuwakata mapanga ndo maana askari wakaulizia wakakamatwa bado wengine wako kama saba

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 6 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu mjumbe ni shida unajua kila kitu nyauuuu weeee

    • @Rajabu-uc6el
      @Rajabu-uc6el 5 หลายเดือนก่อน

      Anawafahamu Hawa ni panya wa mtaaa alafu wanalindwa na familia zao

  • @bukuruissa4063
    @bukuruissa4063 6 หลายเดือนก่อน

    😭

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 6 หลายเดือนก่อน

    Hao vijana kama hawajafanya tukio basi polisi wamepewa maelezo wamekamata waliokuwa sio walio ambiwa, ila ukweli utajulikana ila watu wameshakufa, walichokosea polisi watu wamesha wakamata wangewapeleka kituoni ili kama wanamakosa waeleze ila wamewauwa sasa wamepata huwakika kuwa ni wahalifu au laa, kishelia polisi unasiraha mtuhumiwa umeshamkamata yupo chini ya ulinzi kwa nini umuuwe.

  • @mtambojr1815
    @mtambojr1815 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna askari mmoja aliwahi kukimbia na shiling efl 2 yangu nilimwambia anitafutie chakula eti hakurudi tena yaan askari wa Tanzania Wana njaa sana

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 5 หลายเดือนก่อน

    nafurah sana panya road kuwawa

  • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
    @NajmaramadhaniAlly-is6mf 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nasemaje allah atalipa yeye yupo na anayaona haya atalipa tena kwa muda sahihi kabisa

  • @chimamilion
    @chimamilion 5 หลายเดือนก่อน

    Hii tabia yakula msibani iishe jmn muwe mnakuna mnazika mnaondoka😮