SOMO: HAKUNA NENO UTATU MTAKATIFU KWENYE BIBLIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2023

ความคิดเห็น • 33

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 9 หลายเดือนก่อน

    Lakini all in all hongera sana mtumishi Upo vizuri Mungu wa Mbinguni akupiganie akujaze Roho mtakatifu wa kweli ktk Jina La Yesu Kristo.

  • @HDCHANNEL-fu6jl
    @HDCHANNEL-fu6jl 5 วันที่ผ่านมา

    Asa weweeeeeee 😢.....

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 9 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji, hapa ongeza nondo kwenye hili somo. Ili kuweka mambo sawa. Hata madhehebu mengine wanaamini hivyo Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu. Ni Mungu mmoja ktk nafsi tatu. Sioni tofauti. Labda neno Utatu mtakatifu hapo ndo kunatofauti.

  • @user-nj6cu8oj8e
    @user-nj6cu8oj8e 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli mtumishi

  • @user-dn9np8sp8g
    @user-dn9np8sp8g 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umeenda chaka huyo ni yesu co mungu ns hata akiwa mungu co nafsi amerithi jina ndio inasema ni chapa ya mungu inabidi urud chuo

  • @KlaumodestLunyungu-vs4ue
    @KlaumodestLunyungu-vs4ue 11 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa BWANA

  • @frominimushi8926
    @frominimushi8926 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi kweli Yesu ni Mungu
    Wakweli na uzima wa milele 1Yohana 5:20

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana sababu umenikamilishia neno roho aliweza ndani yangu sikuzote naomba hivyo kabisa ao n'a amini kuwa ni MUNGU mwenyewe alikuja duniani🙏🙏🙏🙏

  • @estamwakitalima6191
    @estamwakitalima6191 11 หลายเดือนก่อน

    AMEN mtumishi

  • @samsonepanga800
    @samsonepanga800 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @marypeter4584
    @marypeter4584 11 หลายเดือนก่อน

    AMEEN, BARIKIWA MTUMISHI. NAFURAHIA KUSIKIA MAHUBIRI YAKO

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 11 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 11 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor Asante kwa kutubariki na neno la Roho Mtakatifu.

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 11 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana hii. Nimeelewa. Aneth kutoka Ujerumani

  • @user-qt7qy2fv1l
    @user-qt7qy2fv1l 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 11 หลายเดือนก่อน

    Safi ,unagusa sehemu ambazo wanaosema wameamini wameongezewa maandiko na wanawaamni wachungaji japo hayapo kabisa

  • @mohamedmpendu9250
    @mohamedmpendu9250 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @samsonepanga800
    @samsonepanga800 11 หลายเดือนก่อน

    zamani za ujinga tuliabudu miungu mitatu tofauti, Mungu Baba, Mungu mwana,na Mungu roho, lkn sasa tumejua Mungu ni mmoja na kiti cha enzi ni kimoja tu.

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mwana wa Mungu

    • @peterkarimu00
      @peterkarimu00  11 หลายเดือนก่อน

      Amina Shujaa wa Bwana wetu YESU KRISTO

    • @EsitaDavid2-wp1uf
      @EsitaDavid2-wp1uf 9 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi wa, Mungu, najifunza Nina swali watatu.1yohana5:8 Mungu Ni mmoja,lakini Yesu mwenyewe ndiye ametamka,mkabatizwe kwa Jina la Baba,mwana na Roho,mtakatifu.
      (2)Na Yesu mbinguni amekaa kuume kwa Mungu baba.

  • @medadykyabashasa1794
    @medadykyabashasa1794 2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/RzxgRH7z_I8/w-d-xo.htmlsi=8EdPG91qVSaiSPyw
    Sikiliza hiyo utatu upo katika utendaji sio maandishi

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 11 หลายเดือนก่อน

    Nalishindana nao Sana na wachungaji wanaochanganya neno la Mungu na theology,hapo ndipo wanapokosea.wanamwacha ROHO MTAKATIFU ambaye ndio chuo cha neno la kristo wao wanakimbizana kwenye vyuo.neno NI MUNGU na Mungu NI Roho sasa unamuhitaji ROHO MTAKATIFU ili umjue Mungu

    • @peterkarimu00
      @peterkarimu00  11 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa Shujaa wa Bwana wetu YESU KRISTO

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 11 หลายเดือนก่อน

    Andiko lingine NI hili 1yohana 6-8 wanalolitumia,yaani wameshindwa kabisa kuona

  • @williams979
    @williams979 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtumishi, huyu Mungu alipokufa msalabani dunia ilikuwa inaongozwa bila Mungu?

    • @peterkarimu00
      @peterkarimu00  10 หลายเดือนก่อน +1

      Ulikufa Mwili wa Yesu,Roho haifi, Pia uwezo wa Mungu ni tofauti na Mwanadamu,Mungu ambaye ni Yesu Kristo anaweza kuongea na watu wote duniani Kwa muda mmoja na hapo hapo Mbinguni anaonekana na hapo hapo kwenye kiti Cha enzi Yupo,anauwezo wa kujigawanya kote akaonekana.

    • @sylvanuskomba8646
      @sylvanuskomba8646 9 หลายเดือนก่อน

      NI HIVI KUWA HATUSEMI KUNA UTATU MTAKATIFU, NI MANENO YANAYOFANYA KUWA KUNA BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 6 หลายเดือนก่อน

      Hata wanaojitengenezea miungu wanajua uwezo wa munguwao japo hawawezi kukiri kama amewaumba kwavile wamemtengeneza wenyewe .sasa ukisoma vzr injili 4 hutoona kristo AKISEMA Mimi YESU maana alijinyenyekeza Sana .yohana akasema tazama mwanakondoo wa Mungu aichukuae dhambi ya ulimwengu. Pia utaona mara nyingi Mungu aliongea na WANAFUNZI kuhusu kitakacho mpata mwanae kwakutumia kunywa Cha mwanae. Imempasa mwana wa Adam kwenda....Kisha kuuawa...

    • @yungharry2204
      @yungharry2204 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@peterkarimu00kweli kabisa hivi unaweza pata kwenye ushuhuda wa meshaki mafyeko ameelezea vizuri mnooo asante

    • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
      @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน

      Tunamuhitaji Mungu sana ktk mafundish