Leo nawapongeza subscribers wetu,ongera sana Mungu awabariki nyote,naona tumefika 210 subscribers na naona kabla ya huu mwaka tutakua tumeongezeka sana na kubarikiwa sana,Bwana na Mbinguni utuangazi uso wa Nuru yake,ndilo ombi langu,Amina.
Jambo mtumishi nakufata kila Siku ilinahitazi maombi kwani napitia changamoto mengi kuhusu kaziyangu papa ni banda mayele kutoka Congo RDC nord Kivu Pia bila kusahau vita ambao inatuzunguka kila siku
Barikiwa mtumishi wa mfalme kwa ujumbe huu, Bwana azidi kukutumia.
barikiwa muchungaji
Amina
Leo nawapongeza subscribers wetu,ongera sana Mungu awabariki nyote,naona tumefika 210 subscribers na naona kabla ya huu mwaka tutakua tumeongezeka sana na kubarikiwa sana,Bwana na Mbinguni utuangazi uso wa Nuru yake,ndilo ombi langu,Amina.
Amen🙏🙏
❤❤
Barikiwa mtumishi
Amen 🙏
😂😂 mambo ya chombeza time hayo yalikua
Jambo mtumishi nakufata kila Siku ilinahitazi maombi kwani napitia changamoto mengi kuhusu kaziyangu papa ni banda mayele kutoka Congo RDC nord Kivu Pia bila kusahau vita ambao inatuzunguka kila siku
Mungu akubariki saaana. Ninakuombea