KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
  • 223
  • 664 569

วีดีโอ

MUNGU UNAYEMUABUDU JINA LAKE NANI???
มุมมอง 31616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MUNGU UNAYEMUABUDU JINA LAKE NANI???
KUWEKWA WAKFU KWA KUMIMINIWA MAFUTA NI UONGO WA SHETANI NILIONYESHWA MAONO, SHARE KWA WENGINE.
มุมมอง 52414 วันที่ผ่านมา
KUWEKWA WAKFU KWA KUMIMINIWA MAFUTA NI UONGO WA SHETANI NILIONYESHWA MAONO, SHARE KWA WENGINE.
UNYAKUO (RAPTURE) MBINGU ILIPASULIWA NA WATU WALINYAKULIWA NA KUJIFUNGA.
มุมมอง 2.6K28 วันที่ผ่านมา
UNYAKUO (RAPTURE) MBINGU ILIPASULIWA NA WATU WALINYAKULIWA NA KUJIFUNGA.
NILIONYESHWA WAMEFUMBWA MACHO NA WAMEWEKEWA UKIZIWI HAWASIKII, SAMBAZA USHUHUDA HUU WENGI WAOKOLEWE.
มุมมอง 5Kหลายเดือนก่อน
NILIONYESHWA WAMEFUMBWA MACHO NA WAMEWEKEWA UKIZIWI HAWASIKII, SAMBAZA USHUHUDA HUU WENGI WAOKOLEWE.
USHUHUDA: SIKILIZA USHUHUDA HUU UTAKUJENGA, BWANA YESU ANAJIBU WAZI WAZI.
มุมมอง 399หลายเดือนก่อน
USHUHUDA: SIKILIZA USHUHUDA HUU UTAKUJENGA, BWANA YESU ANAJIBU WAZI WAZI.
DHAMBI YA KUSHABIKIA NA KUPENDA MPIRA, UKIFA BILA KUTUBU MOTO UNAKUSUBILIA.
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
DHAMBI YA KUSHABIKIA NA KUPENDA MPIRA, UKIFA BILA KUTUBU MOTO UNAKUSUBILIA.
DHAMBI YA KUVAA PETE, HERENI, MIKUFU, BANGILI, VIKUKU, KUZIMU INAWASUBIRI.
มุมมอง 11K2 หลายเดือนก่อน
DHAMBI YA KUVAA PETE, HERENI, MIKUFU, BANGILI, VIKUKU, KUZIMU INAWASUBIRI.
UFUNGAJI HUU WA VITAMBAA NI MLANGO WA KUSHAMBULIWA NA MAJINI MAHABA
มุมมอง 2.7K2 หลายเดือนก่อน
UFUNGAJI HUU WA VITAMBAA NI MLANGO WA KUSHAMBULIWA NA MAJINI MAHABA
Wimbo wa kusifu: KWA VIWANGO VINGINE NATAKA NIKUSIFU
มุมมอง 3632 หลายเดือนก่อน
Wimbo wa kusifu: KWA VIWANGO VINGINE NATAKA NIKUSIFU
SIKILIZA USHUHUDA HUU WEWE ULIYEBATIZWA KWENYE MKUTANO MWEZI WA PILI.
มุมมอง 2.2K4 หลายเดือนก่อน
SIKILIZA USHUHUDA HUU WEWE ULIYEBATIZWA KWENYE MKUTANO MWEZI WA PILI.
WANAWAKE HUBIRINI INJILI NJE YA KANISA, MITANDAONI // NABII ASTON ADAM MBAYA NA LANGY STAN // SHARE.
มุมมอง 2.4K5 หลายเดือนก่อน
WANAWAKE HUBIRINI INJILI NJE YA KANISA, MITANDAONI // NABII ASTON ADAM MBAYA NA LANGY STAN // SHARE.
JE, MWANAMKE ANARUHUSIWA KUHUBIRI INJILI NJE YA KANISA?
มุมมอง 9476 หลายเดือนก่อน
JE, MWANAMKE ANARUHUSIWA KUHUBIRI INJILI NJE YA KANISA?
WASIOMALIZA KULIPA MAHALI,MOTO WA JEHANAMU UNAWASUBILI.
มุมมอง 4486 หลายเดือนก่อน
WASIOMALIZA KULIPA MAHALI,MOTO WA JEHANAMU UNAWASUBILI.
PASAKA SIO KUSHEREKEA AU KULA MKATE NA DIVAI, MWILI WA YESU NI NENO.TOKENI GIZANI WAPENDWA.
มุมมอง 5627 หลายเดือนก่อน
PASAKA SIO KUSHEREKEA AU KULA MKATE NA DIVAI, MWILI WA YESU NI NENO.TOKENI GIZANI WAPENDWA.
USHUHUDA MKUBWA SANA, KUHUSU MAVAZI NA KULA NGURUWE,SAMBAZA WENGI WAOKOLEWE, YESU YU MALANGONI.
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
USHUHUDA MKUBWA SANA, KUHUSU MAVAZI NA KULA NGURUWE,SAMBAZA WENGI WAOKOLEWE, YESU YU MALANGONI.
SIKU MPYA NA MWAKA MPYA UNABADILIKA ASUBUHI NA SIO SAA SITA USIKU, NI NENO LA MUNGU LINATUONGOZA.
มุมมอง 46010 หลายเดือนก่อน
SIKU MPYA NA MWAKA MPYA UNABADILIKA ASUBUHI NA SIO SAA SITA USIKU, NI NENO LA MUNGU LINATUONGOZA.
CHAKULA NA MAVAZI TULIYOAGIZWA KWA NENO LA MUNGU.USILE KILA KITU NA USIVAE KILA NGUO.Sambaza somo.
มุมมอง 1.9K11 หลายเดือนก่อน
CHAKULA NA MAVAZI TULIYOAGIZWA KWA NENO LA MUNGU.USILE KILA KITU NA USIVAE KILA NGUO.Sambaza somo.
CHRISTMAS NI SHEREHE YA SHETANI, USISHEREKEE WALA KUIADHIMISHA, Sambaza kwa wingi ukweli huu.
มุมมอง 11K11 หลายเดือนก่อน
CHRISTMAS NI SHEREHE YA SHETANI, USISHEREKEE WALA KUIADHIMISHA, Sambaza kwa wingi ukweli huu.
KUZAA KWA "OPERATION" SIO MPANGO WA MUNGU,(USHUHUDA: NILIONYESHWA ROHO YA OPERATION.)
มุมมอง 1K11 หลายเดือนก่อน
KUZAA KWA "OPERATION" SIO MPANGO WA MUNGU,(USHUHUDA: NILIONYESHWA ROHO YA OPERATION.)
Wimbo wa kusifu: TUNAYE KOMANDO WA VITA BWANA YESU KRISTO.
มุมมอง 50911 หลายเดือนก่อน
Wimbo wa kusifu: TUNAYE KOMANDO WA VITA BWANA YESU KRISTO.
SHETANI ANASHAMBULIA NDOA KUPITIA MAAGANO HAYA ULIYOKILISHWA MADHABAHUNI SIKU YA KUFUNGA NDOA
มุมมอง 699ปีที่แล้ว
SHETANI ANASHAMBULIA NDOA KUPITIA MAAGANO HAYA ULIYOKILISHWA MADHABAHUNI SIKU YA KUFUNGA NDOA
MAMA MCHUNGAJI AMECHOMA MAGAUNI YA SHETANI MOTO,MUNGU AMEMJULISHA UKWELI.
มุมมอง 2.1Kปีที่แล้ว
MAMA MCHUNGAJI AMECHOMA MAGAUNI YA SHETANI MOTO,MUNGU AMEMJULISHA UKWELI.
MADHABAHU UNAPOTOLEA SADAKA NI CHANZO CHA KUPOKEA BARAKA AU LAANA. Mtumishi Pudensiana U.S.A
มุมมอง 753ปีที่แล้ว
MADHABAHU UNAPOTOLEA SADAKA NI CHANZO CHA KUPOKEA BARAKA AU LAANA. Mtumishi Pudensiana U.S.A
MCHUNGAJI KACHOMA MOTO NGUO ZA KISHETANI, PASTOR PETER SAIMON WA KAGERA.
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
MCHUNGAJI KACHOMA MOTO NGUO ZA KISHETANI, PASTOR PETER SAIMON WA KAGERA.
USIKOSE IBADA YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU, TRH 22/10/2023,JUMAPILI TUTAKUWA "LIVE" Share Kwa wengine.
มุมมอง 315ปีที่แล้ว
USIKOSE IBADA YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU, TRH 22/10/2023,JUMAPILI TUTAKUWA "LIVE" Share Kwa wengine.
USIENDE KUOGELEA BAHARINI (BEACH) , SWIMMING POOL, ZIWANI,PIA KULALA UCHI NI MACHUKIZO KWA MUNGU.
มุมมอง 1.5Kปีที่แล้ว
USIENDE KUOGELEA BAHARINI (BEACH) , SWIMMING POOL, ZIWANI,PIA KULALA UCHI NI MACHUKIZO KWA MUNGU.
Wimbo wa kusifu: TUMSIFU MWOKOZI WETU KWA PAMOJA.
มุมมอง 432ปีที่แล้ว
Wimbo wa kusifu: TUMSIFU MWOKOZI WETU KWA PAMOJA.
SOMO:NYAKATI ZA MWISHO UPENDO WA WENGI UTAPOA. TRH 15/10/2023. NI MUHIMU KUSIKILIZA NA SAMBAZA
มุมมอง 419ปีที่แล้ว
SOMO:NYAKATI ZA MWISHO UPENDO WA WENGI UTAPOA. TRH 15/10/2023. NI MUHIMU KUSIKILIZA NA SAMBAZA
Wimbo wa kuabudu: YESU KRISTO NI ALFA NA OMEGA.
มุมมอง 495ปีที่แล้ว
Wimbo wa kuabudu: YESU KRISTO NI ALFA NA OMEGA.

ความคิดเห็น

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 วันที่ผ่านมา

    Hakika Moyo wangu unashangilia, nimemwona BWANA YESU akinifanyia mengi Sana maishani mwangu, Kubwa zaidi kunitoa kwenye uislamu na kunipa Zawadi ya wokovu, Moyo wangu unashangilia.

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 วันที่ผ่านมา

    Amefanya mengi maishani mwangu,moyo wangu unashangilia

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 2 วันที่ผ่านมา

    Amen, Asante BWANA YESU KRISTO NA MWOKOZI WETU Kwa KUMTUMIA MTUMISHI wako Kwa SOMO hili.MUNGU akubariki Sana

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 2 วันที่ผ่านมา

    Amen,

  • @NaomiMagawa
    @NaomiMagawa 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi pia nilioneshwa unyakuo baada ya kusikia ushuhuda wa katazo la soda Mara baada ya kufika kwenye lango malaika alinizuia kuingia akaniambia soda Mara nikashituka usingizini na hema nikakumbuka ushuhuda huu wakristo tuwe waangalifu hizi no nyakati za mwisho tukubali kufuata maelekezo hats kamaitagharimu no kwa muda kuliko kuogelea jehanamu

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 3 วันที่ผ่านมา

      @@NaomiMagawaAtukuzwe Mungu, Nitumie namba Yako naomi .

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @yoniphamsigwa7592
    @yoniphamsigwa7592 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @CrispusKadenge
    @CrispusKadenge 6 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe

  • @rebeccamaingu6683
    @rebeccamaingu6683 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu anaitwa BWANA YESU KRISTO

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 7 วันที่ผ่านมา

    Ameen Ameen

  • @florianruttahindurwa1189
    @florianruttahindurwa1189 7 วันที่ผ่านมา

    Aisee kwa namna hiyo sikuwahi kubatizwa maana nlibatizwa kwa Baba, Mwana na Roho mtakatifu, mtumishi unapatikana wapi?kama ni daressalaam ningepemda unibatize tena.

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      KANISA LIPO Dar Chamazi Karibu sana kwa mawasiliano 0656428442

    • @InjiliyaUfalmetv
      @InjiliyaUfalmetv 7 วันที่ผ่านมา

      Karibu Ubatizwe Mpendwa chukua hatua Haraka

  • @florianruttahindurwa1189
    @florianruttahindurwa1189 7 วันที่ผ่านมา

    Na asiyeshika neno anaabudu bure japokuwa amwabudu Kristo Yesu.

  • @priscillahpolepole8427
    @priscillahpolepole8427 7 วันที่ผ่านมา

    Amen mchungaji, ubarikiwe sana

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 7 วันที่ผ่านมา

    AMEN and Amen

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 7 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa sana mtumishi Amina sana

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      Atukuzwe Bwana Yesu Kristo

  • @angelaugustino2626
    @angelaugustino2626 7 วันที่ผ่านมา

    Amen. MUNGU Ninaemuabudu Mimi ni BWANA YESU KRISTO Tena zaidi MUNGU Huyu BWANA YESU KRISTO Ndie MUNGU BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU Kwangu.

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      Amina, Bwana Yesu azidi kukubariki

  • @linusmalekela8897
    @linusmalekela8897 7 วันที่ผ่านมา

    Amina Amina mchungaji tunachukuru sana kwa ufafanuzi mzuri

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      Ubarikiwe Sana Shujaa

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 7 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ninayemuabudu anaitwa YESU KRISTO

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      @@RehemaMtono Amina, Ubarikiwe sana

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 7 วันที่ผ่านมา

    Atukuzwe MUNGU Kwa somo hili,MUNGU wangu ninayemuabudu ni YESU KRISTO.Ubarikiwe Sana Pastor

    • @PastorPeter00
      @PastorPeter00 7 วันที่ผ่านมา

      @@neemapetro6168 Ubarikiwe sana Shujaa wa Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo

  • @PatriciaNyaga-y2h
    @PatriciaNyaga-y2h 9 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen mungu tusaidie asate mchungaji God bless you

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 9 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 10 วันที่ผ่านมา

    Wow,God is doing a new thing in Tanzania,we pray that the holy spirit will move in Africa and the whole world.Amen.🙏

  • @Jenny20005
    @Jenny20005 10 วันที่ผ่านมา

    I don't think Kuna watu wataingia binguni, kama hata vitu ka piko zinaeza kupeleka mtu hell, na hata wamama watumishi wanatumia

  • @marthambarikiwa7811
    @marthambarikiwa7811 11 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @RahmaKhamissi-dh5ie
    @RahmaKhamissi-dh5ie 11 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @hildawashe4199
    @hildawashe4199 13 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji wacha kuja hanga ya na maandiko na kuwa hanga ya wengine.Kwa nini yesu hakuzaliwa na mwanaume

  • @RehemaMahmoud
    @RehemaMahmoud 13 วันที่ผ่านมา

    amen somo nzuri Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 15 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @happyminja-kb1ow
    @happyminja-kb1ow 15 วันที่ผ่านมา

    Sasa APA nipo njia panda.na sketi za jinsi je.??

  • @PeterC.M.A.S.M
    @PeterC.M.A.S.M 15 วันที่ผ่านมา

    Neno la MUNGU ni AMINI na KWELI.Yaani liliyajua haya kabla na Limetuonya waziwazi katika 1Yoh 2:26. Haleluya..! Ahsante Mungu Bwana Yesu Kristo.

  • @PeterC.M.A.S.M
    @PeterC.M.A.S.M 15 วันที่ผ่านมา

    Amen. Matendo 10:38. 1Yoh 2:20,27-29.. Maandiko haya yamejaa Uwazi kabisa kwa yeyote Aliye na Shaka. Atukuzwe Bwana Yesu Kristo kwa Kutufunulia hili. Amen

  • @PeterC.M.A.S.M
    @PeterC.M.A.S.M 17 วันที่ผ่านมา

    Amen. Ahsante Mungu Bwana Yesu Kristo kwa Somo hili kwetu. Mungu ni Mwema. Yesu Kristo ni Bwana.

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 17 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @PastorPeter00
    @PastorPeter00 18 วันที่ผ่านมา

    2 Wakorintho 1:21 21 Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 18 วันที่ผ่านมา

    Bwana YESU atusaidie

  • @rebeccamaingu6683
    @rebeccamaingu6683 18 วันที่ผ่านมา

    Asante Bwana Yesu kwa somo zuri

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 18 วันที่ผ่านมา

    Tunakuelewa mtumishi wa Mungu. Asante kwa ufunuo huu tumepakwa mafuta, tumenyweshwa na kukanyagishwa mafuta kwa kiwango kisichoelezeka Mungu aingilie kati atuponye

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 19 วันที่ผ่านมา

    Kuna Kanisa nilishawai kwenda kuna ibada maarumu siku hiyo wote mnaombewa kwa kuwekewa mafuta kichwani, Napenda sana unavyofundisha ukweli

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 19 วันที่ผ่านมา

    Maandiko yapo wazi kabisa imekuwaje sasa mpaka watumishi hukimbilia kuweka watu wakfu kwa mafuta? Yesu asante kwa kunifungua.

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 19 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu Zidi kumlinda Mtumishi wako, maana siri hizi ni nzito na tumefumbuliwa macho,Bwana YESU KRISTO azidi kukuinua sana napenda sana unapofunua ukweli wa neno la Mungu

  • @JoaquimdriveMicher
    @JoaquimdriveMicher 19 วันที่ผ่านมา

    Amém

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 19 วันที่ผ่านมา

    Amen,Mungu atusaidie sana

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 19 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @DohhodohhoEva
    @DohhodohhoEva 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie tuurithi uzima wa milele amen🙏🙏

  • @Marthamodest-l7q
    @Marthamodest-l7q 20 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi ubarikiwe sana, hakika sitavaa pete kabisa hata nikifunga ndoa, kama mapambo nilivyoyaacha

  • @WonderfulPrince-x3c
    @WonderfulPrince-x3c 21 วันที่ผ่านมา

    Nakusikiza vizuri sanaa

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 22 วันที่ผ่านมา

    MUNGU tusaidie hakika .Hayo makanisa ni mengi sana.Nimeyaelewa tayar.

  • @GacoboAdolph
    @GacoboAdolph 22 วันที่ผ่านมา

    Hakika NENO LA YESU KIRSTO nitamu sana haswa likiubiliwa na mtu makini san mwiinjilisi unajua sana tena san ubalikiwe Sana nakupenda

  • @MariaMwasyila-mq6yc
    @MariaMwasyila-mq6yc 23 วันที่ผ่านมา

    Nimebarikiwa sana na neno la leo