KUMBE HIKI NDICHO KINACHOSABABISHA NDEGE KUPAA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • 📜 Innovation for the future
    we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.
    Copyright Disclaimer under Section 107 of the Copyright Act 1976
    Section 107 of the Copyright Act 1976 provides the statutory framework for determining whether something is a fair use and identifies certain types of uses-such as criticism, comment, news reporting, teaching (including multiple copies for classroom use), scholarship, or research-as examples of activities that may qualify as fair use.
    Today's episode explores how an airplane take off
    Video source
    ‪@TodayMachine‬
    ‪@recanything‬
    @lesics
    We greatly respect all TH-cam policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.
    message at Email: perfectsidetz@gmail.com
    subscribe our channel 🔔
    KIPINDI...
    NI NINI KINACHOSABABISHA NDEGE KUPAA?

ความคิดเห็น • 309

  • @PerfectSidetz
    @PerfectSidetz 3 หลายเดือนก่อน +40

    To all engineers,
    At PERFECT SIDE, we use simple language to make science accessible to everyone. If you encounter basic terms in this video, it's to ensure even those who aren't familiar with science can understand.
    We all rise together at PERFECT SIDE.
    Feel free to adjust it if needed!

    • @CharlesLuhamo
      @CharlesLuhamo 3 หลายเดือนก่อน +2

      Barikia daiiima

    • @barakamanoniinuka9200
      @barakamanoniinuka9200 3 หลายเดือนก่อน +2

      Good job

    • @mohamedisalimu
      @mohamedisalimu 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@barakamanoniinuka9200
      Hawawezi weka mambo yote wezi
      iyo elimu wameiekea limit...ujue vitu fulani tu
      hata hewa ya ardhini na ya angani kadri unavyopaa hewani ni tofauti

    • @danielorresty1939
      @danielorresty1939 2 หลายเดือนก่อน

      Nimechelewa kuijua hii channel

  • @abouy21abbalgulfat81
    @abouy21abbalgulfat81 หลายเดือนก่อน +4

    hongera sana kaka umeelewesha uzuri hata ivyo elevators hua zinacontroliwa na control columns au yolk na sio pedals, hizi pedals huwa zinatumika kucontrol rudder hizi pedals pia zimeunganishwa na brakes ambazo hutumika pindi ndege ikitua. flaps ni secondary controls kazi kubwa wakati wa kupaa ni kuongeza lift na wakati wa kutua ni kuongeza drag forces ambayo hutumika kama brakes kwa kutumia upepo. ambazo zingine zilizo wekwa juu ya bawa huitwa spoilers yote kwa yote kazi nzuri ENG. GEOA

    • @ismailhassan5209
      @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

      Kaka wewe mkubwa kwa hilo.many many thanks

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 3 หลายเดือนก่อน +16

    Huwez amin mimi katika kuwaza tu kabla ya kuona hii video nilifikiria hivyo hivyo ee mungu bariki kizazi changu

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 3 หลายเดือนก่อน +8

    Daah nimesoma Qur’an ilivyomchambua ndege mnyama namna anavyopaa na kukaa angani na kurudi chini ni hivyo hivyo na makala yako! It means that kuna asilimia 100 scientists wamechukua hii kwa ndege mnyama! Qur’an imekuja miaka ya 500’s na ndege ya kwanza imegunduliwa 1908! Kuna mazingatio hapa. Shukran kwa makala nzuri.

    • @mcback4384
      @mcback4384 3 หลายเดือนก่อน

      Lakini Quran ni ya waarabu ndege ni ya Mzungu

    • @iddiramadhani5111
      @iddiramadhani5111 2 หลายเดือนก่อน

      @@mcback4384 Qur'an sio ya waraabu tu, ni ya watu wote atakayeifanyia uchunguzi atapata faida, kuna mambo mengi sana yamelezwa kwenye Qur'an Mzungu hajayafanya na hayajui bado, Qur'an ndio Baba wa Science zote duniani. Hao wazungu walichukua Kitabu cha Qur'an na kufanya uchunguzi wakajua sio kitabu cha kawaida na kitakuwa cha M/Mungu ndo maana ukienda chuo Birmingham University (www.bbc.com/news/business-33436021) utakuta kitabu hiki ambacho kiliandikwa kwenye ngozi ya Ngamia na waarabu na maeneo mengi ya Ulaya, Issue ni kwamba waarabu wa kipindi hicho hawakufukia sana dunia walifikiria sana maisha baada ya dunia, Wazungu wengi wanaona hapa duniani ndo wamefika ndo maana wanafanya jitihada kubwa hivyo.

    • @yusuphcastory2870
      @yusuphcastory2870 หลายเดือนก่อน

      ​@@mcback4384ila kitabu si kilikuwepo

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 22 วันที่ผ่านมา

      Wewe acha kuwa na akili mgando Qur an si ya mwarabu wala ya mzungu, Qur an ni ya kila mwanaadamu (mtu) anayemuogopa na kumuabudu Mwenyezi Mungu (Allah) . 🙏 @@mcback4384

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 22 วันที่ผ่านมา

      Hakika 👍

  • @kandvisuals
    @kandvisuals 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nimekufuatiliya mwanzo hadi mwisho ,Wewe ni mkali sana nimeelewa Vyaku tosha , Asante saana

  • @WasterWalia
    @WasterWalia 3 หลายเดือนก่อน +12

    Watu kama nyinyi niwamuhim sana katika taifa

  • @Shebbytvs
    @Shebbytvs 3 หลายเดือนก่อน +27

    Nakukubali sana bro yaani ni akili mingi!!! Nataka unifanyie tathmini ya kwann kama naumwa malaria nikipima dokta ananipa majibu kuwa labda nna wadudu wawili n.k lakni bado naendelea kuumwa ilhali damu iliogundulka nna hao wadudu ipo nje ya mwili wangu!!!

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @daudidaudi5342
      @daudidaudi5342 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna malaria 1 Wala mbili

    • @Ahmada-oc3xb
      @Ahmada-oc3xb 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahahhahaha safi sana

    • @halimamwingu4478
      @halimamwingu4478 3 หลายเดือนก่อน +1

      Swali zuri bro! Tumsubiri mtaalam sasa.

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni kichwa

  • @amoskizigha4781
    @amoskizigha4781 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante san kwa mada hizi nzuri zinazohuzu sayansi na teknolojia..ikikupendeza uwe unatuletea na mada za sayasi ya anga za mbali maana nayo bado ni giza sana kwa huku bongo..

  • @johanesemmanuel4655
    @johanesemmanuel4655 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nice,numejifunza mengi

  • @SuleimaniMakusi
    @SuleimaniMakusi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa vizuri sana kaka tatizo letu viongozi hawana mda wa kuifikilia speed ya technology ndiomana bado tunalala tu.

  • @ZeProDJay
    @ZeProDJay 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana umeelezea vizuri tena kwa lugha yetu..... Ambao kinge kinapanda wanaweza kujifunza zaidi kwa channel moja inaitwa Learn Engineering ambao siku hizi naona wamebadili jina wanajiita "Lesics" hata hiyo physics ya Helicopter wameielezea vizuri tu na mambo mengi sana wale jamaa wanaelezea yanavyofanya kazi ya ki engineer

  • @JosephKapanga
    @JosephKapanga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana nimeelewa SoMo,fanya uzalendo isaidie serikali hayo maarifa tuwe na kiwanda chetu Tanzania.

    • @solobennymwanshinga6714
      @solobennymwanshinga6714 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa maelezo haya ndege haiwez kuruka

    • @Userminamka
      @Userminamka 3 หลายเดือนก่อน

      @@solobennymwanshinga6714
      Wewe naye huna akili kwani unataka akupe maelekezo ya kiwanda tofautisha mechanism na Production huyu kakupa mechanism na siku zote mechanism ni theory au ulitaka uelimishw na makalio ndiyo uelewe, tutolee ufundi wako wa mtaani

    • @Userminamka
      @Userminamka 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa mkuu tunatafuta vipaji kama hivi❤
      Much love perfect side

    • @reelone-1
      @reelone-1 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@solobennymwanshinga6714wewe ni mpuuzi ulitaka maelekezo ya kuzibua choo ndiyo ndege ipae😂

  • @pascaljr.5439
    @pascaljr.5439 23 วันที่ผ่านมา

    Unajua kuelezea vizuri.Asante sana

  • @MWEGOHA
    @MWEGOHA 3 หลายเดือนก่อน +5

    somo zuri sana nimeelewa sasa tofauti ya ndege na helicopter mana nilikuwa najiuliza sana kwanin helicopter inaweza kuganda hewani lakin sivyo kwa ndege

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson หลายเดือนก่อน

    Niliwahi kuwaza hivohivo kwa sample ya mwamvuli na mtumbwiii , that's true❤❤❤❤ love uu

  • @martinusdamian3085
    @martinusdamian3085 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee uko vizr ndugu yangu, unatuongezea elimu na ujuzi zaidi ya Mungu azidi kukuongezea maishani mwako ili uendelee kutujuza zaidi maana technology kila kukicha inazidi kuongezeka dunian, haya mafunzo yamekaa kinadharia kabisa mean thioritically, elimu ambayo kuisahau ni ngumu sana ukiwa na kichwa timamu na unaweza toka mbele kuwaelekeza wenzako na wakakuelewa kbs

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli hii iko vizuri somo tam kwelii🙏🏼

  • @PhilipGab
    @PhilipGab 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂asee kazi nzuri, lakn kunavitu vichache umevimiss,
    Kazi ya engine sio kuvuta upepo, kazi ya engine ni kutengeneza Msukumo(Thrust), ili kufanya ndege kuaccelerate(kwenda kwa Kasi), Then Bawa la ndege hutengeneza lift (kuinua), kulingana na Kasi ya upepo inayokutana nao wakat inatembea😂😂,
    Engine Ina fan ambayo huvuta upepo, Kisha unaingiza ndani ya engine ambapo unagandamizwa na plate maalum Kisha inachanganywa na mafuta Kisha unasukumwa kwa pressure kubwa kwenda chamber maalum ya muwako(combustion chamber) then kadri pressure inavyoongezeka joto linakuwa kubwa , hatinae ule mchanganyiko wa hewa na mafuta unalipuka ndo tunapata mskumo(Thrust), unayofanya kwenda mbele, kilingana na sheria ya tatu ya newton ya mwendo(Newton third of motion) ,kwamba kwa kila kitendo kuna majibu sawa na kinyume(to every action there is equal and opposte reaction) ya dah😂, mambo ni mengi kinyama, Wacha tuishie apo

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  2 หลายเดือนก่อน +1

      🤣 bola umekil kuwa hio mechanism ni ndefu sana, ndiyo maana nikafupisha ili mtu apate kutambua zaidi, yan mechanism ya Engine ni Tofauti na Mabaw ya Ndege.
      Siwezi kuongea vyote.

  • @RashidMgobo
    @RashidMgobo 6 วันที่ผ่านมา

    Kuhusu kupaa ndege, kupiga kona. Kukaa hewani, nilikuwa sielewi kabisaaa, nilikuwa najiuliza sipati jibu, kiukweli, Ofisini kwangu ni karibu kabisa na uwanja wa Ndege, basi nikiona ndege inaruka, nilikuwa nikishangaa sana tena. Sana Kwa leo nimepata Elim kubwa sana. Ninamiaka zaidi 50 niliwa sijui chochote, hata kuuliza nilikuwa sitaki. Ila umetisha.

  • @moibra616
    @moibra616 หลายเดือนก่อน

    feelings like a good teacher✈

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 3 หลายเดือนก่อน

    Umesahau Slat pia fafanua vizuri hiyo thrust reverser.

    • @Userminamka
      @Userminamka 3 หลายเดือนก่อน

      Shida siyo wote watakao elewa hayo maneno ndiyo maan jamaa alisema anatumia lugha nyepesi.

  • @DEOGRATIASKARUGENDO
    @DEOGRATIASKARUGENDO 3 หลายเดือนก่อน +1

    This is perfect

  • @kisagentabirage6693
    @kisagentabirage6693 3 หลายเดือนก่อน

    Wng uko vzr sana kutuelezea namna ndege inavyofanya kazi pamoja kuruka mungu akubariki sana

  • @PatrickPondamali
    @PatrickPondamali 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani broo umesimulia kitaalamu zaid nimekuelewa wew ni Akili kubwa. Salut kwako.

  • @MelesianaTanganyika
    @MelesianaTanganyika 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali sana

  • @ernestjophreymalaba3374
    @ernestjophreymalaba3374 2 หลายเดือนก่อน

    Big up brother, nimetafuta video zenye maelekezo mpk nimechoka, wewe ndiyo umenipa nilichokuwa nakihitaji, bravoo!!!

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bro umeniambia nisilo lijuwa

  • @andersonjohn255
    @andersonjohn255 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana you made it looks simple to understand, keep it up

  • @DenisLuvango-df7po
    @DenisLuvango-df7po 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri maelezo ya kushiba umeeleweka kabisa.

  • @brown24photography
    @brown24photography 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali brother, umetisha mi shabiki sana wa hiki kipindi

  • @DanielYohana-uu6nk
    @DanielYohana-uu6nk 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana nimejifunza vingi nisivyovijua

  • @marikwilliam9886
    @marikwilliam9886 หลายเดือนก่อน

    Nakubali🎉

  • @IssaRashidi-qd8nf
    @IssaRashidi-qd8nf 3 หลายเดือนก่อน +1

    U give me a fantastic idea sir

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 3 หลายเดือนก่อน +1

    You are right 👍

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri mbarikiwe sana

  • @josephnderu8033
    @josephnderu8033 3 หลายเดือนก่อน

    You have solved one of my biggest question in my life thanks

  • @RaseduOfficial
    @RaseduOfficial 2 หลายเดือนก่อน +2

    Stori ni tamu sana ya ndege naomba nikutafute tuonge 🎙️📡✈️✈️✈️✈️

  • @NgelejaCharles-ng7bh
    @NgelejaCharles-ng7bh 25 วันที่ผ่านมา

    Safina sana,nimejifunza vingi.

  • @nestorykamali2417
    @nestorykamali2417 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yes, perfectly

  • @theenglishmaster6015
    @theenglishmaster6015 2 หลายเดือนก่อน

    Hii content itaenda kuzalisha wajuzi wengi wa ndege na hakika tutatengeneza zetu

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 3 หลายเดือนก่อน

    Ooh Dah Asante sn kaka 🎉🎉

  • @terryesilaba7408
    @terryesilaba7408 3 หลายเดือนก่อน

    This is great news and information, thanks

  • @clintonkatyale6891
    @clintonkatyale6891 หลายเดือนก่อน

    Well Said

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lift inatolewa na mabawa sio engine.znalisha thrust ambayo inasukuma ndege mbele.ujazungumzia matumiz ya mafuta ya ndege. Af vio vnazbwa kumaintain cabin pressure Ili watu waweze kupumua

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  2 หลายเดือนก่อน

      Video ingekuwa ndefu san na ningekuw nje ya mada

  • @musafiriedris4125
    @musafiriedris4125 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana capiten

  • @RafikimediaTZ
    @RafikimediaTZ 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana kwa maelezo yaliyo nyooka. Unafaa kuwa mwalimu.

  • @ochusaleh2982
    @ochusaleh2982 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kaka uko vizur

  • @SPORTS-b5p
    @SPORTS-b5p หลายเดือนก่อน

    Salute

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran injinia daah umejitahid vyakutosha

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli unajuwa kueleza ili wengine waelewa, pia unaelewa vizuri unacho kifundisha.🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kenncheruiyot8253
    @kenncheruiyot8253 หลายเดือนก่อน

    i like it bro

  • @benjamingaliatano7291
    @benjamingaliatano7291 2 หลายเดือนก่อน

    Very interesting, asante kwa darasa

  • @johnsilau267
    @johnsilau267 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa kabisaa

  • @champion-dz6kr
    @champion-dz6kr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asiokwelewa ww bro, anamattzo yakwelewa😊

  • @SwalehAbdalluhswaleh
    @SwalehAbdalluhswaleh 2 หลายเดือนก่อน

    Dah hongera yani nimepata nusu ya urubani

  • @leakeyojiambo1423
    @leakeyojiambo1423 2 หลายเดือนก่อน

    Well elaborated, bro

  • @MudyFaudhia-Games24
    @MudyFaudhia-Games24 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bro we hatari kuelezea vitu kama hivi simchezo

  • @IbrahimBrooklyn-ro2fu
    @IbrahimBrooklyn-ro2fu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umeupiga mwingi bro🎉🎉🎉

  • @toyimwamedi6460
    @toyimwamedi6460 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ayo mawazo ndiyo nilikuwa na hitaji .asante

  • @edibilychaula.3753
    @edibilychaula.3753 3 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana ✊🏻

  • @ansgarkaissile
    @ansgarkaissile หลายเดือนก่อน

    Thank you very much.

  • @ezrambilinyi6788
    @ezrambilinyi6788 หลายเดือนก่อน

    👏👏 naaam good explanation
    But engine haisababishi ndege kupaa

  • @iddysalim6331
    @iddysalim6331 3 หลายเดือนก่อน

    Absolutely perfect🎉

  • @emmanuelchristopher-wi7gh
    @emmanuelchristopher-wi7gh หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yani MB zangu zimeenda kihalali kabisa

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks 👍 keeps it up. Nimeelewa SoMo

  • @Ommyjr-en9fc
    @Ommyjr-en9fc 2 หลายเดือนก่อน

    You are so fantastic enginneer respect sir🎉🎉🎉

  • @themechanic2133
    @themechanic2133 2 หลายเดือนก่อน

    Kaazi saafi

  • @mohdmassoud3052
    @mohdmassoud3052 3 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana me ni enginer lakin haya yote ilikua siyajui nimejifunza kupitia kwako yaani unaelezea mtu anaridhika hasa na hana hata swali la kuuuliza maan vitu vyote umefafanua

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 2 หลายเดือนก่อน

    YOU REALLY PERFECT BRO...

  • @KenethChristopher-o3j
    @KenethChristopher-o3j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siku zote Maarifa yanatafutwa, leo umeniongezea maarifa ya urukaji wa ndege ubarikiwe sana kaka.

  • @TOZZTALL
    @TOZZTALL 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana brother kwa elimu nzuri embu tuelekeze na sisi ivo vitabu unavyotusomeaga ,,,ni wapi unapo vipata ili tuepuke hizi gharama za mb kila siku.ili tuvinunue ili na sisi tufahamu vitu vingi

  • @kennedyzziwa4959
    @kennedyzziwa4959 23 วันที่ผ่านมา

    Majirani WaTanganyika nyinyi ni washamba sana, huku Kenya🇰🇪🇰🇪 tunajufunza hizi vitu tukiwa chekechea hadi darasa la tatu😅😅😅😅😅

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu

  • @pstg.gerald671
    @pstg.gerald671 3 หลายเดือนก่อน

    Great 👌 be blessed for inspiring invomation kaka

  • @reonardchatanda6371
    @reonardchatanda6371 3 หลายเดือนก่อน

    Umesomeka vizuri mno

  • @civilyandaniel4559
    @civilyandaniel4559 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee hatari sana yaani Dah umetisha sana tena sana

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Allah akubariki

  • @kingmartinezy13
    @kingmartinezy13 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr

  • @siggykavishe6036
    @siggykavishe6036 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo imekaa sawa.maelezo yaliyojitosheleza kbs

  • @mafundionlinetv2528
    @mafundionlinetv2528 หลายเดือนก่อน

    Muwe mnaenda direct kwenye point kupunguza mtazamaji kuchoka kutazama video mda mlefu

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤hikikitu kilinifanya nitamani urubani Ila sjacherewa ❤❤❤ 😂

  • @kulwasamwel9406
    @kulwasamwel9406 3 หลายเดือนก่อน

    Wew ni mkali sana,hongera

  • @DagharoFM
    @DagharoFM 2 หลายเดือนก่อน

    Perfect 🎉

  • @davidephraim4553
    @davidephraim4553 3 หลายเดือนก่อน

    Well done sir❤❤

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 3 หลายเดือนก่อน

    Umetisha

  • @mcbuty201
    @mcbuty201 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizur kabisa
    Yaaani hata uwe kichwa ngumu vp utaelewa tu

  • @LukazakayaMlaiza-zo1wi
    @LukazakayaMlaiza-zo1wi หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kuendesha ndege nisha jua

  • @sidneykiprop7151
    @sidneykiprop7151 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks for your lesson

  • @lucasmgalula8022
    @lucasmgalula8022 หลายเดือนก่อน

    Oya jamaaa umetisha kama alivyonifundisha chifu wangu ktk chuo cha TAUC

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 3 หลายเดือนก่อน

    Perfect

  • @Khamisjafar-v8
    @Khamisjafar-v8 3 หลายเดือนก่อน +2

    Perfect side please naomba ujuzi uliopo kwenye vyombo vya umeme mfano simu ikiisha chaji ukiichaji inajaa

    • @Perfect_side_tz
      @Perfect_side_tz  3 หลายเดือนก่อน +1

      Usijali tunafanyia kazi haraka

  • @dullysmartershoes576
    @dullysmartershoes576 3 หลายเดือนก่อน

    Bravooo Engineer

  • @Walterkundu
    @Walterkundu 3 หลายเดือนก่อน

    Good work

  • @HamadizoMadizo
    @HamadizoMadizo 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana

  • @jeffnjereza2094
    @jeffnjereza2094 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanaumeee safiiii akiii nyingi

  • @HassanSsleh
    @HassanSsleh 3 หลายเดือนก่อน

    Umetisha sana

  • @musason1680
    @musason1680 3 หลายเดือนก่อน

    Saf sana mwanangu

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 หลายเดือนก่อน

    Elimu nzuri sana

  • @eliaskangabo779
    @eliaskangabo779 2 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza jinsi ndege inavyo paa