TUNAOMBA RADHI, KWA VIPINDI KUCHELEWA. Kipindi cha leo ni kipya, kipindi hiki kinahusu utafiti na uvumbuzi. Tumeongeza kipindi hiki ili uweza kutambua makosa na ujuzi uliopo kwenye teknolojia. Kwaiyo tutakuwa na vipindi viwili. 1. Science Tech 2. Uvumbuzi na utafiti. Lakini tunafikilia kuongeza vipindi viwili. Na tunataka habari zote zinazohusu teknolojia uwe unazipata hapa perfect side. NINI MAONI YAKO? @perfectside.
Hii ndege wairudishe tu kwani hakuna chombo chochote Duniani kimetengenezwa Kwa ukamilifu wa asilimia 100 ... Concord ni ndege Bora sana ajali ni bahati mbaya tu kutokea lkn si kuadhibu kampuni kibiashara..
TUNAOMBA RADHI, KWA VIPINDI KUCHELEWA.
Kipindi cha leo ni kipya, kipindi hiki kinahusu utafiti na uvumbuzi.
Tumeongeza kipindi hiki ili uweza kutambua makosa na ujuzi uliopo kwenye teknolojia.
Kwaiyo tutakuwa na vipindi viwili.
1. Science Tech
2. Uvumbuzi na utafiti.
Lakini tunafikilia kuongeza vipindi viwili.
Na tunataka habari zote zinazohusu teknolojia uwe unazipata hapa perfect side.
NINI MAONI YAKO?
@perfectside.
Uko vizuri kwenye kusimilia mwamba
😢😢 MNACHELEWA SANA ADİ NLIKUA NISHA SAAU CHANNEL NAME 😢😢
Najiuliza huo utafiti wa kugundua sababu ya ajali ulichukua muda gani, by the way nice presentation bro i love it
Mzee Wewe inabidi utafsiri Movie ya Yesu sehemu ya pili kwa sababu upo Vizuri sana
Wazungu wapo vizuri sana
Upo vzuri 🙌🏽🙌🏽 Leta story Nyengine
Mwanangu umetisha
Umetisha engineer
Umejitahidi ila endelea kufafanua ili watu wapate elimu,Umetaja CVR ambayo ni Cockpit Voice Recorder (Black box )
Very inspiring!!! We ni mwalim mzur sana
Saf sana bro.. Kaz nzur
Sababu ya ajali ya ndege ya concord ilijulikana kwanini Sasa walisitisha kuzalisha ndege hozo??
Amazing
Appreciate bro
Aisee, eh kweli this is a perfect side
Sasa bro ebu andaa documentary namna gani touch screen kweny smartphone inavofanya kazi!
I salute
Hii ndege wairudishe tu kwani hakuna chombo chochote Duniani kimetengenezwa Kwa ukamilifu wa asilimia 100 ... Concord ni ndege Bora sana ajali ni bahati mbaya tu kutokea lkn si kuadhibu kampuni kibiashara..
Itarudi msijali
Hiii ni ishu ya kibiashara
Duuh ndege😢😢
KWANINI MNACHLEWA KU POST VIDEOS 😢😢😢😢😢
Tuna verify Account bado tunasubili majibu kutoka TH-cam, Tunaomba Radhi
kwahyo concord hazitumiki sikuhiz,,,
Ndiyo
Yeah hazitumiki lakini sio kwa sababu ya hii ajali
Toa story vizuri sio unasoma soma tu ,harujajua ni ndege yenye ukubwa gani,ilikuwa ni Mali ya NCHI gani ?ilipata ajali NCHI gani?
Mbon kaelz kila kitu, au uelew mdogo.😮
@@Userminamka au ndio wewe🤣🤣🤣
Kaka wewe ni mkali sanaaaa
Kaka umechimba kwelkwel haya madin
Figisu za wamarekani hziii
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Exactly this is perfect side
Mbona unachukuwa mda mrefu sana kuleteta Mapya ? Ni kwa nini
Kuna vitu nilikuwa naviweka sawa
Mwamba kabisa
Uko slow sana kaka jifunze kwa sky
ndio maana hua tunaskia concord
Duh