DIPLOMASIA | Dkt. Slaa asema hana chama tangu atimke CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2021
  • Aliyekuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic, Dkt. Wilbroad Slaa amesema amekuwa akitekeleza majukumu yake ya ubalozi na kwa wakati wote huo hakuwa kwenye chama chochote. Ikumbukwe kuwa mwanasiasa huyo mkongwe alijiondoa ndani ya CHADEMA mwaka 2015.

ความคิดเห็น • 79

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 ปีที่แล้ว +3

    Big up Sana slaa yaani mpaka magu alkuamin mm nashindwa vp kukuamin mungu akusimamie aise ...Tz

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu silaa tunamkumbuka sana ....Mungu amjalie nguvu

  • @fredymuhuro4540
    @fredymuhuro4540 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida ya watanzania wengi tunapenda sana kuhoji mambo kwa kuendeshwa na mihemko ya kisiasa...
    Huyu mzee ni moja ya watanzania ambao ni mfano mzuri sana wa kuigwa anapenda sana kusimamia haki.
    Ukikumbuka namna alivyo ondoka chadema utagundua kabisa kua huyu sio mtu wa kubabaisha kama wengine mzee slaa ni mtu makini sana hufanya mambo yake kwa maslahi ya taifa wala si chama..

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 ปีที่แล้ว +1

    Emma Paul, hapo ndipo ulipofikia upeo wako wa kufikiri,pole sana. Matusi Siku zote hayajengi,na kwa fikra hizo chama kitaendelea kuzorota na kudorora, watu kama wewe hamfai kuwa viongozi. Naamini siyo wote wenye mawazo lemavu kama wewe,nadhani wewe ni shabiki. si mwanachama wala kiongozi,pole sana.

  • @petermushi3336
    @petermushi3336 2 ปีที่แล้ว +4

    Bado CDM tunakuitaji sana tu uliondoka kimya na aujawahi kutusema vibaya kazi unaijua sana tu!

    • @francisemmanuel1551
      @francisemmanuel1551 2 ปีที่แล้ว

      CDM ni chama kikubwa ni tasisi akitoka mtu anaingia mtu

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 ปีที่แล้ว +2

    Uko vzur mzee baba endelea kuwa na msimamo wako uo uo

  • @kennethmwalukama2009
    @kennethmwalukama2009 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up Dr. Slaa. Tanzania tuna hazina ya madini watu japo magonga pia tunayo mengi tu.

  • @zachaliamwakatungila9924
    @zachaliamwakatungila9924 2 ปีที่แล้ว +4

    Mzee upo vizur na umekuwa nuru kwa Tanzania kwa msimamo wako Mungu amesimama na wewe ndomana chadema walivyo piga a na wewe kwa maneno na kuku chafua hawaku fanikiwa na wakaanguka wao na kuvunjika vunjika mpaka Leo bila kutubu hawata simama kamwe kitainuka Chama kingne nakuwa kikuu tz

    • @mickey0289
      @mickey0289 2 ปีที่แล้ว +1

      Nakuelewa sana Dr. Slaa ni miongoni mwa wazalendo wachache sana ambao huwa hawapepesi macho pale linapokuja suala la maslahi ya nchi.
      Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kukupa maisha marefu tuendelee kupata mazao bora ya weledi wako baba.

    • @francisemmanuel1551
      @francisemmanuel1551 2 ปีที่แล้ว

      CHADEMA haijasambaratika bado ni chama imara na nitishio kwa CCM

  • @josephrutta6834
    @josephrutta6834 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mwanasiasa za Upinzani ninaye muheshimu kama huyu mzee. Siyo wale wachumia tumbo waliokaribisha wageni kwa maslahi binafsi, wageni wakaja wakaua chama afu wakarudi kwao. Bora huyu mzee aliyesimamia hoja zake na kuondoka.

    • @jacksonedward
      @jacksonedward 2 ปีที่แล้ว

      Naye alichumia tumbo,hata wewe kiuchumi Bado ikianguka hela ya maana utabadilika,

  • @jonathanlupondije4485
    @jonathanlupondije4485 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo MZEE namkubali sana.ikiwezekana agombee urais.tunampa! Hapishani na hayati.

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani naomba kuuliza hivi mjomba ba slaa bado ni barozi.

  • @emmanueljames7775
    @emmanueljames7775 2 ปีที่แล้ว

    Big up bro Goodluck., From Mkombole to the world

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 2 ปีที่แล้ว +3

    unaakili sana Dr.Slaa unapaswa kuwa kiongozi wa juu serikalini

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 ปีที่แล้ว +4

    Dk gombea urais, watanzania tunaongozwa na fisadi,kila siku ni matozo tu

  • @samwelsimon1723
    @samwelsimon1723 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @jeremiahmagau8623
    @jeremiahmagau8623 2 ปีที่แล้ว +1

    nimekulewa lakini kwa hili la kufunga ubalozi hapana, kwa hiyo kwa mawazo ya dr. ubalozi wa uingereza marekani upo kutoa misaada?

  • @meshackmpalanga9130
    @meshackmpalanga9130 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa

  • @deogratiasntalindi4200
    @deogratiasntalindi4200 2 ปีที่แล้ว +1

    G.O.A.T

  • @batromayoevord7645
    @batromayoevord7645 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwezi ukaacha uchungaji ukaingia kwenye dissapointed

  • @atengitimkarichard6776
    @atengitimkarichard6776 2 ปีที่แล้ว +6

    Tujenge utamaduni wa kujenga hoja kupinga au kuunga mkono. Matusi na kejeli ni vielelezo vya ushamba na mihemko, Dr slaa ni mtulivu,makini,mjenga hoja na msomi mzuri na mzalendo wa kweli. Unaweza kumchukia kwa kuwa hayuko upande wako,huo ni unyonge wa fikra,Tutumie mitandao kujenga hoja na kujenga uvumilivu wa kutofautiana. na kuheshimiana .

    • @judaspantaleo9779
      @judaspantaleo9779 2 ปีที่แล้ว

      Umenena vyema ila watu wa kukuelewa watakuwa wachache hakili kubwa umeupiga mwingi

    • @stephanokilasi4665
      @stephanokilasi4665 2 ปีที่แล้ว

      Unaaye mbeza silah wenimshamba

  • @chehokororo4876
    @chehokororo4876 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo hata dini hana

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 ปีที่แล้ว

    Kweli dunia duara.Usimwamini binadamu.Yesu alisalitiwa kwa rupiah 30

  • @muemedealuco2987
    @muemedealuco2987 2 ปีที่แล้ว

    Daaa ninaudhuni sana na siasa ya TANZANIA

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 2 ปีที่แล้ว +1

    ilitakiwa arudi kwa sababu aliye kuwa amemtuma alishakufa

  • @tomsikaungo6196
    @tomsikaungo6196 2 ปีที่แล้ว

    Hy

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @mtabilisindato3750
    @mtabilisindato3750 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wangu nakuelewa sana

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni jembe letu. Usiingie chama chochote, sasa pumzika baba.

  • @gracekirway8720
    @gracekirway8720 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba mkubwa nimekumiss!

  • @kennethkasese1933
    @kennethkasese1933 2 ปีที่แล้ว

    No comments

  • @felixngwasi9469
    @felixngwasi9469 2 ปีที่แล้ว

    Dr. Rudi nyumbani chadema, hakuna binadamu aliye mkamilifu, rudi nyumbani tujenge chama tulikomboe taifa

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 2 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo Mama amemkacha? Duh!

  • @phestomakala6910
    @phestomakala6910 2 ปีที่แล้ว

    Ni vema kuwa wazalendo wa taifa kuliko kuwa na uchama kwenye mambo ya kitaifa

  • @gaitonygeorge7944
    @gaitonygeorge7944 2 ปีที่แล้ว

    hahahaha .... huu sasa ni utani!

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 ปีที่แล้ว

    Bora maana chadomo hawana lolote ni malalamiko jazz band

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Dr slaa namwelewa agombee urais 25 anafaa ,pale kabudi, pale polepole ,pale lukuvi, pale Bashiru, pale makonda, pale majaliwa ,jafo, Ummy Mwl, anjela mabula, n,k silinde ,Mpango hii Serikali inaweza kuwa moto wa kuotea mbali tunataka Serikali madhutu yenye usawa

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 2 ปีที่แล้ว +1

      Jafo,Ummy,Mpango watoe kwanza hapo

    • @florameza9529
      @florameza9529 2 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi kabisa

  • @gloryjesus4308
    @gloryjesus4308 2 ปีที่แล้ว

    ilo swali gumu hawezi kulijibu kwa usawa sawa

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba namuona akirudi chadema

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 2 ปีที่แล้ว

    Dalili za kurudi upinzani hizo HUNA CHAMA KIVIPI NAMUOMBA MAMA SAMIA AKUTUMBUE MARA MOJA unaanza kuonyesha ukigeugeu

  • @florameza9529
    @florameza9529 2 ปีที่แล้ว

    Aliyekuwa barozi kwani katolewa???

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 2 ปีที่แล้ว

      Amestaaf, kwa ss yuko mwengine.

    • @florameza9529
      @florameza9529 2 ปีที่แล้ว +1

      @@maryamtan682 asante cikujua

  • @jastinistivini9687
    @jastinistivini9687 2 ปีที่แล้ว

    Mzee rudi chadema ukiungana na wenzio

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 2 ปีที่แล้ว

      baada ya kumtumia hatulitaki hilo lipumbavu

  • @jacksonedward
    @jacksonedward 2 ปีที่แล้ว +2

    Hana chama asidanganye umma,aliwekwa na chama gani kuwa balozi

    • @paull8659
      @paull8659 2 ปีที่แล้ว

      CCM

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni Mtanzania alisimamia Taifa sio masuala ya Chama.

    • @jacksonedward
      @jacksonedward 2 ปีที่แล้ว

      @@hajihassan5433 Taifa linaongozwa na chama kipi?uteuzi haukulupukiwi,mfanyakazi yeyote wa Taifa lazima akubaliane na itikadi ya chama kinachotawala,unajifanya hujui,angalia kafulila,mashinji,nasari, na wengine

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni wengi walioingia kwa niaba ya Rais Magufuri, Slaa, Polepole, Bashiru na wengine wengi sasa wanaanza kutapatapa. Rais awatambue kwa vinywa vyao

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 2 ปีที่แล้ว +1

    Wenye chuki na slaa wore wameze chupa hhhhh mnamuonea gele

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 ปีที่แล้ว

    Huna maana Wewe na unaemuhoji...hebu nisaidie kumuhoji lema

  • @paull8659
    @paull8659 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ulihongwa na Magu ili ufunge mdomo. Pili ulikasirika baada ya kutoteuliwa kuwa mgombea rais wa CDM.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว

      Kukataliwa kubaya ni lazima akasirike.

  • @lodrickemanuel2076
    @lodrickemanuel2076 2 ปีที่แล้ว

    Rudi chadema mzee arelowa akooo

  • @rockfailerntama4237
    @rockfailerntama4237 2 ปีที่แล้ว

    Dkt slaa acha kutoa majibu ya jumla jumla nenda specific

  • @benjaminpaschal759
    @benjaminpaschal759 2 ปีที่แล้ว

    Ulipagawa

  • @paull8659
    @paull8659 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wenzako wamepigwa risasi, wamekatwa mapanga, ulikuwa upande wa watesaji majambazi CCM. Hujawahi kuwashauei kuwa mnavunja katiba.

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 2 ปีที่แล้ว +1

    Bora uliliacha hili lichama Chadema,ni li-chama la vurugu. Sasa linahimiza vurugu la maandamano,lakini ulipokuwa kiongozi wake hakuna hata Siku wala kauli uliyoitoa kuwahimiza Watu waingie barabarani kufanya vurugu,Asante mzee Silaa kwa umakini wako kiuongozi. Upinzani siyo vurugu. Chadema ya mbowe na kundi lake ,ni ya vurugu. Hatutaki vurugu za kama Syria,Sudan zote mbili,Yemen Iraq Libya ya Qaddafi na wengine wanaofanana nao. A M A N I,ni utamaduni wetu Tanzania.

  • @sarahemmanu809
    @sarahemmanu809 2 ปีที่แล้ว +3

    Silaa, aache ujinga , msaliti huyu anasema hana chama kule alipelekwa na nani

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 2 ปีที่แล้ว

      Msikilize anachozungumza sio uandike tu

  • @sarahemmanu809
    @sarahemmanu809 2 ปีที่แล้ว +2

    We msaliti mkubwa kwenda huko

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu alit UPI WAS NDOANA NA AKANASWA.

    • @ramazanihabimana2131
      @ramazanihabimana2131 2 ปีที่แล้ว

      Aliesema eti hata kufanya mkataba na SHETANI ili waiondoe CCM ,watafanya huyo ataisha vibaya