🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.พ. 2023
  • 🔴#Live: TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU''
    GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya na mambo mengine mengi....
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 80

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @obedibarakamwangubi1969
    @obedibarakamwangubi1969 ปีที่แล้ว +13

    Kuna vitu najifunza Kila siku kutokana Kwa mhe lissu Najua ana mambo mengi sana Mungu ampe maisha marefu

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe kamanda wetu umenena vizuri

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Asantesana MH lissu kwauwazi namisimamo isiyoteteleka munguakulehemu maishayakoyote, iliraiawatz tuelimike juu ya elimu yauraia,!!!!

  • @shukurumbwana2295
    @shukurumbwana2295 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji uko vizuri

  • @frankkaronge1609
    @frankkaronge1609 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri lisu

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji huyu ametulia Sana unapomuhoji lissu mpe nafasi ajieleze wa tanzania wamuelewe hongera Sana mtangazaji umempa mda mwingi lissu kuongea uko tofauti na watangazaji kama wewe wachache

  • @mayalapaul6626
    @mayalapaul6626 ปีที่แล้ว +1

    Chadema hyo lissu wenu n muongej tu tafuten mtu was kazi ili 2025 mchukue nchi

  • @eliambise6099
    @eliambise6099 ปีที่แล้ว

    Safi Sana rahisi wete

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 ปีที่แล้ว

      Rais wenu wa wapi, Pengine atakuwa Rais wa wabeligiji na wewe

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 ปีที่แล้ว +2

    Magonjwa makubwa ya TANZANIA ni haya (1) CCM (2) KATIBA (3) BUNGE LA MAMBO YA HOVYO KABISA kama Watanzania wanaomba kwa Mwenyezi Mungu basi funga na kuomba

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Kwendakwenye uchaguzi bila katibampya inayojilinda nikusababishamauaji yaraia wasiyo nahatia!!!

  • @apolochamwela6256
    @apolochamwela6256 ปีที่แล้ว

    Watanzani tuwaelewe vibaraka wa mabeberu

  • @kaburamelikiadi4722
    @kaburamelikiadi4722 ปีที่แล้ว +5

    Dah Africa bhana kwanini Kila siku mnamuongelea sana hayati Magufuli hakuna mengine ya kuzungumzia muacheni apumzike Kwa amani maisha bado yanaendelea tazameni ya mbele muijenge Tanzania Kwa umoja

    • @elsonkibasindila7526
      @elsonkibasindila7526 ปีที่แล้ว +4

      Hatakaa apate amani kabisa maana amefanya maovu mengi sana ya kutajwa kila muda kila saaa

    • @mashakakwembe7482
      @mashakakwembe7482 ปีที่แล้ว +4

      Sio magufuli tu hata nyerere anaongelewa kwa mazuli yake hata mabaya yake watu wapo huru usiwafunge midomo

    • @alfredmarti3131
      @alfredmarti3131 ปีที่แล้ว +4

      Magufuli ana nini ubaya wake usisemwe

    • @markangel1588
      @markangel1588 ปีที่แล้ว +2

      @@alfredmarti3131 Ndivyo shahada apatae kila amalizae masomo yake

    • @fayzfadhil5921
      @fayzfadhil5921 ปีที่แล้ว +1

      @Kabura Melikiadi Ww una uhakika kama Magu amepumzika ?

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa ni muongo sana, yaani upinzani siyo uadui? Laghai sana huyu

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

      Uaduigani Kama siyo ubinafusi nauchoyo chuki nafitina zakisiasa??? Kumbuka nchihii niyetusote kilamtz anayependwanaraia anawezakuwakiongozi/raisi

    • @renatusmatungwa2508
      @renatusmatungwa2508 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo ww ukipingana na mtu kuhusu jambo flani tayari ni adui yako?hebu jifunze maana ya uadui

    • @1961nungwi
      @1961nungwi ปีที่แล้ว

      Upinzani sio uadui. Ni ushindani wa kisiasa. Ushindani wa Mawazo. Hoja. Ndio maana Duniani kwingine huko kunakuwa na Debate za wagombea Uraisi. Ili wapiga kura wasikie USHINDANI WA HOJA, Ilibwananchi wajue nani mwenye Hoja. SIO UADUI!!

  • @jaroszakalia8947
    @jaroszakalia8947 ปีที่แล้ว +1

    Wewe utakalia kumsema Magufuli hamtutoi kwenye njia ya Magufuli hata siku moja.

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 ปีที่แล้ว +2

      Utakae endelea kubaki na njia za kidikteta za Magufuli ni wewe na familia yako sisi wengine hatukubali udikteta

    • @erasmusgervas2464
      @erasmusgervas2464 ปีที่แล้ว +1

      Na hamuwez kutoka kwenye njia yake kwa sababu mlifuraishwa na mauwaji ya watu na ndo maana damu ya watu ilimtafuna haraka mjinga yule Kaa na njia zenu za uovu.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 ปีที่แล้ว

    NIKIWA NILIAMKA SAA 11 ALFAJIRI NILIKUPA KURA UNABAKI KUWA RAIS WANG

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa unanifahamu

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว

    Global TV tafuteni mwandishi anaejua siasa,huyu mwandishi hamna kitu kabisa, hadi huruma, hana maswali maskini

  • @jumakilinja6341
    @jumakilinja6341 ปีที่แล้ว +2

    Nchi ya wajinga wengi,hata wasomi njaa ni wajinga

  • @joezeno8
    @joezeno8 ปีที่แล้ว +2

    Lissu ana siasa za kichamba ana kutafuta Huruma kwa Watanzania, hana hoja ya msingi, huwezi kupata urais kwa kutafuta huruma kwa watanzania au kumuongelea mtu vibaya ambaye hayupo Duniani

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +1

      Tunampa kura kwasababu hio ulioona wewe sio hoja, kwetu sisi tulioumizwa ni hoja kubwa.

    • @abdallahalbakri2561
      @abdallahalbakri2561 ปีที่แล้ว

      Asante ndugu wewe mtu katika watu maneno yako Sadqta kabisa.tena nakupa hongera mzee mzima

    • @zakayoyohana1736
      @zakayoyohana1736 ปีที่แล้ว

      Yan lisu akosehoja kajipange huwezi kupambana na lisu

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว +4

    Siasa za maji taka kulazimisha tumbo kwenda ikulu 🤣🤣🤣😂😂😂 hoja hawana wamekalia magufuli tuuuu hizi enzi za mama🤔🙏🏿💫🇹🇿

    • @Chelevanstambuli
      @Chelevanstambuli ปีที่แล้ว

      sijakuelewa

    • @eaglecrown6470
      @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว +1

      @@Chelevanstambuli Kuwa mpinzani hakumaanishi ndio kuwa kiongozi Bora mfano hai Zambia wameshabadili wapinzani vyama zaidi ya vinne hadi Sasa.....lakin uchumi wao ndio unazidi kushuka tuuu. Viongozi wengi Bora Duniani ambao wako Kwa ajili ya wanainchi huitwa madikteta. Nawasiopenda maendeleo Kwa kujifichia Kivuli cha demoklasia

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว +2

      @@eaglecrown6470 ni kweli, Lissu ana siasa za kichamba ana kutafuta Huruma kwa Watanzania, hana hoja ya msingi, huwezi kupata urais kwa kutafuta huruma kwa watanzania

    • @aggreyenock1221
      @aggreyenock1221 ปีที่แล้ว

      Tulia CCM,urambe dawa

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 ปีที่แล้ว +1

      @@eaglecrown6470 Kwa hiyo unapoua raia wako tukuache tu tusikuseme.

  • @mbonatv487
    @mbonatv487 ปีที่แล้ว

    Duh kumbe zaman ili uonekane mzalendo na usajiliwe chuoni lazima uwe na kadi ya CCM?

  • @abdallahalbakri2561
    @abdallahalbakri2561 ปีที่แล้ว +2

    Tuna kubali iwe katiba mpya Tundulisu but ur probem is kila kina chofanyika na CCM kikiwa kibaya una pinga kikiwa kizuri unapinga Mama anajutahidi kuleta democracy ya kweli kabisa atleast mpee pongezo ur only talking about the pass all the time forget about and less move forward unachuki kubwa sana na uchu wa Madaraka miye nahisi ukipata Madaraka uta tuleteya big problems I pray to God you should never ever be a President off this Country manake utataka lipa kisasi ndomana hatwezu miye kama mkereketwa wa CCM hatukupu nchi abadan

    • @markangel1588
      @markangel1588 ปีที่แล้ว +3

      Siyo mbaya kumsema mtakatifu akiwa mbinguni anawaongoza malaika, sifa zilimfanya kuwa kiongozi mbinguni ndio zinaongelewa Kuna kosa gani? Historia Huwa ni mwalimu Ili kuepuka pale makosa yalipo fanyika kurudiwa tena

    • @osoyarabuor4920
      @osoyarabuor4920 ปีที่แล้ว +1

      Wewe lazima ukasirike kwasabu ni mtesaji wa watu

    • @abdallahalbakri2561
      @abdallahalbakri2561 ปีที่แล้ว

      Mpendwa wetu Oyeeeeeee Mungu amuweke PEPONI

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 ปีที่แล้ว +2

      Ninyi ni wale wanaoitwa wasiojulikana hamtaki watu wazungumze juu ya maovu ya awamu ya tano kwa kuwa mlikuwa sehemu ya ule uovu.

    • @abdallahalbakri2561
      @abdallahalbakri2561 ปีที่แล้ว +1

      Maovu mbona sikuelewi acha mambo mpaka mwisho wa dunia hamna kipindi kizuri kama awamu ya tano ewe mpendwa wetu Mungu azidi kukujaza baraka huko ulipo .Tanzania hato tokeya rais kama mpendwa wetu Mwenyezi Mungu amrehemu Magufuli ujaona watu tulivo liya kwa huzini na uchi
      Uchungu mkubwa ushafahamu mwishimiya