Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • “Moyoni mwake ukimkata utaona damu ya Yanga” maneno ya Mehbub Manji akisimulia namna baba yake alikuwa akiipenda Yanga.
    Mehbub amesema kuna nyakati walikuwa wanweza kujua matokeo ya mechi za Yanga kwa kumtazama baba yao tu, wakimuona amekasirika wanajua Yanga imefungwa.
    Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
    #Dua #MaishaYaManji #YusufManji
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 32

  • @edwinlyimo5611
    @edwinlyimo5611 6 วันที่ผ่านมา +1

    pole sana ndugu yangu,nashukuru Mungu kuona Ww na mdogo wako mpo,naomba mjitahidi kupendana msigombane kwa jambo lolote hasa Mali za Urithi,nashukuru Mzee Ja JK Kikwete kwa kuwa karibu na Familia hii wakati wote,Mungu akubariki,leo mm nitakaa karibu na familia yangu nicheze na watoto wangu kwa maana sijui mda wala saa,Pia kuzidi kumuomba Mungu,

  • @abroadconnectededucationlt5435
    @abroadconnectededucationlt5435 9 วันที่ผ่านมา +1

    polen sana, ''kazima tufanye kazi sana,lazima tumalize tulichokianza,lazima tupite malengo, lazima tupite matazamio ya watu'' haya ni maneno mazito sana kuambiwa,asante YM kwa zawadi hii.

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 13 วันที่ผ่านมา +3

    Poleni sana familia ya Manji. Tuko pamoja, tunawapenda sana😢

  • @nsubisimwasandende-kl9vy
    @nsubisimwasandende-kl9vy 13 วันที่ผ่านมา +10

    Dogo ana akili sana ni isahara hata kampuni za mzee zitaenda vizuri speech nzuri

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 13 วันที่ผ่านมา +2

      Yes yes uko sawa... Hata sauti kama ya manji kabisa

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 12 วันที่ผ่านมา +2

      Sana Sana 🙏

  • @LovenesLuhanga
    @LovenesLuhanga 13 วันที่ผ่านมา +4

    R I p Yusuf manji hakika ww ulikua Bora sana mungu uipe uvumilivu na utulivu familia yake yote tuseme amen 🙏🏼🤝

  • @user-xb7jv2jt7d
    @user-xb7jv2jt7d 13 วันที่ผ่านมา +2

    Innah lillah waina ilaih raj oon. Allah awajaze subira muwe waja wa kusubiri. Nasi tuombe mwisho mwema. Ameen

  • @YohanaCharles-ry1kh
    @YohanaCharles-ry1kh 13 วันที่ผ่านมา +3

    Daaah, pole sanaaa ndg yetu

  • @baltasartemu2153
    @baltasartemu2153 13 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana Mahboob..

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 13 วันที่ผ่านมา +4

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun😢

  • @user-jh4sw3ww6w
    @user-jh4sw3ww6w 13 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanadam ni historia,kua historia njema

  • @VenitaRugemalila
    @VenitaRugemalila 10 วันที่ผ่านมา

    Pole watoto wa marehemu, Mungu awape mshikamano na mlete wajukuu watakaoendeleza

  • @MwenyeheriMwegeru
    @MwenyeheriMwegeru 13 วันที่ผ่านมา +2

    Inalilah wainalilah rajiun pole sana wanafamilia

  • @VenitaRugemalila
    @VenitaRugemalila 10 วันที่ผ่านมา

    Pole masikini kumbe mmebaki wenyewe Mungu awtunze ,na familia ya Muheshimiwa Jakaya iendelee kuwa nanyi

  • @user-ww4so9ks9c
    @user-ww4so9ks9c 13 วันที่ผ่านมา +2

    Duuh😢😢😢

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 7 วันที่ผ่านมา

    Inalilahi wa Inalilahi Rajiun poleni Sisi wote tutarejea.

  • @JoshuaSabu-r2p
    @JoshuaSabu-r2p 6 วันที่ผ่านมา

    R.i.p YUSUFU MANJI hakika ni pengo kubwa sana kwa club ya YANGA na wapenz na mashabiki wa yanga

  • @daarularqammkaku153
    @daarularqammkaku153 13 วันที่ผ่านมา

    Pole bro

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 12 วันที่ผ่านมา

    So sad

  • @user-ws9no8hz8k
    @user-ws9no8hz8k 13 วันที่ผ่านมา

    Imauma jaman polen

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 3 วันที่ผ่านมา

    Hivi kumbe nikweli manji kafa mungu amsamehe mazambi yake yote

  • @VenitaRugemalila
    @VenitaRugemalila 10 วันที่ผ่านมา

    Yaani hayo maneno ya mwisho yanaumiza akimsii Rais mstaafu wetu na wananchi tukirudi ktk familia tukapendane ,tuishi vizuri hatuijui kesho yetu kwani wao hawana tena wazazi,wapendwa wao wameondoka km ninavyosikia na mama hawana tena yaani inahuzunisha jamani,poleni tumepokea ushauri huo

  • @tukuyufm.
    @tukuyufm. 10 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana familia ya mzee manji

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 10 วันที่ผ่านมา

    manji,rostam,hao hakuna wazalendo hapo wanyonyaji2 wataka mamiladi makubwa watafuna nchi

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 10 วันที่ผ่านมา

    kama alikua mzlendo wa nchi kwa nini alikimbilia huko namezikwa marekani hao watafuta fulsa2 ila wanaunalaia nchi zngne kabsa kwa macho ni watanzania ila mioyo yao haipo hao wanafata masilai2 mlando pekee ambae ni mtu wa mungu ni bakhressa pekee angalia alichoifanyia taz. huyo ndo mtzania pekee

    • @mugheiry
      @mugheiry 8 วันที่ผ่านมา

      Kwanza kajifunze kuandika vizuri kiswahili chako, kabla kuandika upuuzi wako.

    • @josephmkinga9509
      @josephmkinga9509 6 วันที่ผ่านมา

      @@mugheiry upuuz ni wewe kipi ambacho hujaelewa

  • @tumsifumassawe1273
    @tumsifumassawe1273 13 วันที่ผ่านมา

    Kwan amekufa kweli??