Bernard Membe afunguka “CHADEMA haiwezi kupasuka, sina vigezo”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • #BernardMembe

ความคิดเห็น • 269

  • @wilsonuhenge1926
    @wilsonuhenge1926 5 ปีที่แล้ว +1

    Next coming leader be blessed our father, our priority, our hope , our lives, etc, you well come to lead our nation, our country, etc

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 5 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wanaesema bernadi kivuluge na mchu wa Uraisi gonga like ya nguvuuu 💪

  • @georgeeric1607
    @georgeeric1607 5 ปีที่แล้ว +101

    Ndugu watanzania wenzangu anae muona membe awezi na hafai kua rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania na ana uchu wa madaraka agonge like apa.

    • @sofiaseleman2440
      @sofiaseleman2440 5 ปีที่แล้ว +1

      george eric uyo ni fisadi

    • @maulidmango1087
      @maulidmango1087 5 ปีที่แล้ว

      Tanzania yeyote anaweza kuwa rais, hakuna kazi kuongoza wafu,kama alivyosema mh Jomo Kenyatta kuwa wtz ni wafu,na mh JKM akasema wakenya wapo usingizini.
      Nchi hii hata yeyote anaongoza

    • @israelyohana1250
      @israelyohana1250 5 ปีที่แล้ว

      george eric si kila mtu akifafanua kitu flan anafaakuwa rais, umefkir kidogo

    • @georgeeric1607
      @georgeeric1607 5 ปีที่แล้ว

      @@israelyohana1250 we unajua ayo anao ongea lkn ufuatilii historical back ground yake!!elimu yako ndogo.

    • @matikohashimu6611
      @matikohashimu6611 5 ปีที่แล้ว

      Katangaza nia ya kugombea au domo kama lastik ya bikini? Kulopoka tu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 ปีที่แล้ว +2

    Membe tuna kukubali, wana CCM na wasio CCM, BIG UP MEMBE.

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunakukubali sana Kiobgozi wetu, mwenye Hekima, unaye shaurika, munyenyekevu. 2020 tupo nawewe Hata kwa chama Kipya, Tunakupenda sana Mh. Membe.

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว

    Lakini Mungu yupo, akisema Ndio hakuna wa kusema hapana, Mungu Ibariki Tanzania Na Viongozi wote, Amen.

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 ปีที่แล้ว +1

    Exactly mh Membe kiongozi anayetufaa ni yule anayeshika uhai wa nchi na uhai wa nchi ni dhana pana

  • @amanipascal2823
    @amanipascal2823 5 ปีที่แล้ว +15

    Hakika we we ni very intelligent. Yaweke wazi maana kuna watu in mbumbumbu wa kushabikia maneno ya viongozi badala ya kushabikia matokeo ya uongozi wao .maana matokeo ya siasa bora in maendeleo kwa kila mwananchi.tuonane 2020

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 5 ปีที่แล้ว

    Dr Bernard membe mungu akituwezesha kufika 2020 tupo pamoja mzee,

    • @yonahugo1046
      @yonahugo1046 5 ปีที่แล้ว

      Ccm imechoka naimechokwa rais ajaye mh tundu lissu kubali ukatae huo ndio ukweli

  • @shelangwaalex7483
    @shelangwaalex7483 5 ปีที่แล้ว +6

    Upo sahihi bwana mukubwa👍👍👍

  • @abuyadeka1014
    @abuyadeka1014 5 ปีที่แล้ว +10

    Members oyeee

  • @groungreen4013
    @groungreen4013 5 ปีที่แล้ว +7

    Membe uko vizuri sana,wataisoma namba wanaokubeza,ni ma mbwa

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 5 ปีที่แล้ว +1

      groun green Mbona mbwa ni wewe! Hatutaki Fisadi hapa

  • @elizabethkaswa8661
    @elizabethkaswa8661 5 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 ปีที่แล้ว +3

    MEMBE OYEEEE, CCM TUMPE KURA ZA NDIOOOOOOOOOOO

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +11

    Umesema kweli uhai wa watu ni bora kuliko vyote.

  • @Pastorlenhardkyamba
    @Pastorlenhardkyamba 5 ปีที่แล้ว +4

    Haukuwa na sifa nzuri hapo mwanzo. Lakini sasa naona integrity, intelligence, compassion, within you UNAFAHAMU NINI UNACHO KIHAMAKI. Nimeshiaka neno moja kwako MTU MWENYE UHAI NDIYE ATAKAYE SHIKA NCHI ILI IWE NA UHAI

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 5 ปีที่แล้ว +2

    MEMBE ng'oa jiwe kutoka ikulu!!!!!!!

  • @yohanakebacho3990
    @yohanakebacho3990 5 ปีที่แล้ว

    karibu 2020 mr prezdaaa

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 ปีที่แล้ว

    DA! MEMBE UKO VIZURI SANA SANA!! TENA NAKUKUBALI SANA!! SIJA WAHI KUKU SIKIA UKIONGEA KAMA LEO! PIA WEWE BONGE LA MSOMI KULIKO JAMAA MMOJA HAPA AMBAE SIKU HIZI ANASIFA ZA KWENYE MAGAZETI NA TV HASA TBC. 2020 UKIGOMBEA KURA YANGU MUHIMU SANA KWAKO!! BIG UP MEMBE KWA HERUFI KUBWA!!! WALO KUCHAKUCHUWA 2015!! MUNGU AWAONE!!

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 5 ปีที่แล้ว

    Episode

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +1

    Lkn mi sikupendi hata kidogo, mi nampenda sana Magufuli

  • @joshuanjole6742
    @joshuanjole6742 5 ปีที่แล้ว

    Atabaki Dr magu mwazo mwisho

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 5 ปีที่แล้ว +1

    Hapana wew kwenye urais wa nchi haitowezekana ila urais mwingine sawa

  • @jazirymasunga7355
    @jazirymasunga7355 5 ปีที่แล้ว +1

    Wajibu kwanza watanzania wanao hiji furushi la hela liko wapi?

  • @herrythabit3861
    @herrythabit3861 5 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa Sana mmakonde

  • @petermsafiri3077
    @petermsafiri3077 5 ปีที่แล้ว +5

    Hufai kuwa kiongozi unagawanya wananchi na unakula rushwa sana utashindana lakini hutashinda

  • @yakwetutv8525
    @yakwetutv8525 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice
    Mr Benad

  • @petermtey5508
    @petermtey5508 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakushauri mwenye hii channel ili kupata watazamaji wengi zaidi ni bora utuonyeshe habari zenye manufaa zaidi ya hizi. Mfano za ufugaji, kilimo, ufundi na sekta mbali mbali pamoja na siasa zenye faida na mashiko na faida kwa watazamaji wako hapo utapata watazamaji wengi bila shaka.

    • @cmmbungi1914
      @cmmbungi1914 5 ปีที่แล้ว

      Ukitaka kujua hayo tembelea kalakana,,mashamba na mbuga za wanyama,,lkn anayoyasema huwezi yapata kwingine broo

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 5 ปีที่แล้ว

    Tueleze Kwanza mkia umeota?

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 5 ปีที่แล้ว +4

    Wabongo ni wavivu wa kufikiri.Angalia history ya dunia na uangalie significance ya peoples power;mfano Napoleon wa Ufaransa,Mugabe wa Zimbabwe n.k utapata jibu.Wacha kufikiri ndani ya box!

  • @chelseatanzania5765
    @chelseatanzania5765 5 ปีที่แล้ว +24

    Nyie mloweka hii video ni wahuni
    Hii video ni ya zaman sana tena mwaka 2015
    Leo mnatuhadaa nayo

    • @abubakarothman2521
      @abubakarothman2521 5 ปีที่แล้ว +3

      chelsea Tanzania angalia mpaka mwisho siyo kukosoa bila uhakika ! 2015 nani alihama chadema kwenda CCM ? Hiyo video mpya, bora unyamaze kama hujui kitu

    • @ndarogamba191
      @ndarogamba191 5 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau kwamba uwoga wenu ndo unaowafanya mzuie vyama vya upinzani kuwa na nguvu!?.Jiwe aruhusu mikutano na Uhuru wa kila mtu kueleza fikra zake aone cha moto!.Anaweka makatazo ya mambo ambayo yapo kikatiba na hajui kwamba iko siku samaki ataliwa upande wa pili?.⌚⌚💪

    • @mawazorose755
      @mawazorose755 5 ปีที่แล้ว +1

      Tanzania hatutafuti papa .tayari God ameshaweka driver panda Twende dogo Membe wewe ni abiria tuuuuu!!!!!!

    • @habarinamichezo6427
      @habarinamichezo6427 5 ปีที่แล้ว

      @@abubakarothman2521 umesahau hta uchaguzi ulikua mwaka gani yani

    • @chelseatanzania5765
      @chelseatanzania5765 5 ปีที่แล้ว

      Abubakar Othman ivi ww jamaa unafikiria vizur kweli, huoni hapo anaonhelea issue za twaweza, anaongela tafiti za twaweza za 2015 wewe

  • @samsonmwijage1602
    @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว +1

    Uhondo TV- kichwa cha habari wala hakiakisi/hakifanani na maelezo ya Membe. Mwandishi umekuwa sehemu ya habari badala ya habari kujitegemea!!!!

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 ปีที่แล้ว +3

    WAJINGA WANAO MKOSOA MEMBE, NA KUMTUSI, OLE WENU NYAMBAFU NYIE.

    • @zagaronondo8130
      @zagaronondo8130 5 ปีที่แล้ว

      Olivia Seth we unajichosha kunadi ng'ombe asie na mkia

  • @modestusndunguru4479
    @modestusndunguru4479 5 ปีที่แล้ว +11

    hiv huyu jamaa... We ;bwege tuu fisadi ambaye aliandaa... milion 700 za kuonga wajumbe na bado... alitemwa... ccm alei watu kama nyinyi... ccm hii sio ile uliyo izoea ya kupiga piga
    ..jpm anawanyoosha mafisadi wote ndio maana umefel

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 5 ปีที่แล้ว

      Membe gombea CCM wakileta ujinga tuzichape mbona nchi zingine wamepigana. Hatuwezi buruzwa tena na CCM tumechokaaaaaaaa.

    • @josej9888
      @josej9888 5 ปีที่แล้ว

      KAMA VILE ULIKUWEPO NAWEWE NDIE ULIEWAKAMATA! HAHAHA!

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 5 ปีที่แล้ว +30

    Kila mtanzania ana Uhuru wakutoa rai zake mtandaoni nakusema chochote Ila wale ambao wanatoa lugha za matusi ifikie mahali wachukuliwe hatua Kali za kinidham ili iwefundisho kwawengine hatupendi kusoma matusi anayotokanwa mtu mkubwa kama Membe mtandaoni inamaana huyu anaetoa matusi anaweza mtukana hata babaake na mamaake

    • @paulosamson2
      @paulosamson2 5 ปีที่แล้ว

      Hata wanaotukana wanauhuru wa kutoa maoni yao pia

    • @lwagamwakalinga5276
      @lwagamwakalinga5276 5 ปีที่แล้ว +1

      Yes nakuunga mkono

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว +1

      @@paulosamson2 yaani MATUSI nayo umeona ni UHURU WA MAONI .... Ama hakika HIKI NI KIZAZI CHA NYOKA na MUNGU ATAWAHUKUMU KWA USHETANI WENU

    • @sanyamwita1853
      @sanyamwita1853 5 ปีที่แล้ว

      @@dachjunior4766 kwan ww ni wa kizazi gan???

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว +2

      @@sanyamwita1853 mimi ni kizazi cha WANAOJITAMBUA watu wenye HOFU YA MUNGU ..... Hakika MATUSI ni LAANA na kamwe HAYATAKUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 5 ปีที่แล้ว +15

    Nakuuliza je chadema walifanya hivyo kwa lowasa???je ndani ya chama chao democracy ipo kweli au uchifu

    • @paulntalima8244
      @paulntalima8244 5 ปีที่แล้ว +1

      Huwz linganisha vyama vyenye katiba tofauti,huo ni umama

    • @shabanimlingi8644
      @shabanimlingi8644 5 ปีที่แล้ว

      .

    • @johnfocus9880
      @johnfocus9880 5 ปีที่แล้ว

      Katiba ya chadema no tofauti na ccm upo. Na chadema haijapasuka kama alivyoasema huyu msaka ugali wak

  • @happynesgaston6640
    @happynesgaston6640 5 ปีที่แล้ว

    poleni mnaotukana hiiii video 2015 muwe Na kumbukumbu kwenye mabichwa yenu

  • @josephmalisa3432
    @josephmalisa3432 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni sawa kwa mgobeaji aliyemalizia muhula wake wa pili. Alie kipindi cha kwanza huwa anapewa kipaumbele .Hii ni ilani ya CCM

  • @wilhardvawunge9330
    @wilhardvawunge9330 5 ปีที่แล้ว +4

    Membe ulipokuwa waziri wa mambo ya nje ulikuwa Unaenda ulaya kuangalia mahoteli yako tu

    • @emmanuelkepha6417
      @emmanuelkepha6417 5 ปีที่แล้ว

      Wilhard Vawunge na wewe nenda kijijini kwenu kaangalie makaburi

  • @muzumamtumbo2047
    @muzumamtumbo2047 5 ปีที่แล้ว

    Kweli baba

  • @CheMataka_official
    @CheMataka_official 5 ปีที่แล้ว

    Yapo yenye msingi kwa msikilizaji lkn kwa mshabiki huwezi kumuelewa membe huo ndio mtazamowangu

  • @amashakigelulye7632
    @amashakigelulye7632 5 ปีที่แล้ว +6

    zile pesa ulizotaka kuhonga wajumbe Wa halmashaur kuu wakupitishe zikakamatwa Dodoma ulizitoa wapi?hao waliokukopa ulitaka uiibie serikar ndo urudishe UMEFERI 2025 LITAINGIA JEMBE LINGINE LENYE MAKALI KOTEKOTE

  • @henryndosi3800
    @henryndosi3800 5 ปีที่แล้ว

    Hii ni zamani sana

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 5 ปีที่แล้ว +3

    hma km jpm daima aongoze nchi

  • @adelaidemghase7600
    @adelaidemghase7600 5 ปีที่แล้ว

    Usitukane humu kila mmoja ana uhuru wakuingeaaaaaa lower your pressure

  • @saimonmgeta5239
    @saimonmgeta5239 5 ปีที่แล้ว +17

    Mh kwani lile fuko la mahela bado unalo?

  • @izdoryb.barnabas1794
    @izdoryb.barnabas1794 5 ปีที่แล้ว +1

    Good Membe

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว

    Unaweza Kupata Mgombea Ambaye Ni Criminal.

  • @MOROTOWNTV
    @MOROTOWNTV 5 ปีที่แล้ว

    KAZI NA BATA 2020

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 5 ปีที่แล้ว

    Mi naona mitandao ni chonganishi. Mnamwekea Membe maneno mdomoni.

  • @aaronjonathan7642
    @aaronjonathan7642 5 ปีที่แล้ว +3

    Vzr

  • @saulmwakyanjala5449
    @saulmwakyanjala5449 5 ปีที่แล้ว +3

    MEMBE NI MJINGA WA SIASA CHADEMA IMEPASUKA NENDA KAVAE MAGWANDA YAO MULITAFUNA NCHI YETU WAKATI WENU

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 5 ปีที่แล้ว

    Uhondo TV ninawaleft kuanzia sasa,,,,Mnaanza kutuwekea vitu ambavyo siyo relevant ....hii ni ya 2015

  • @samwelrimbani9402
    @samwelrimbani9402 5 ปีที่แล้ว +1

    BERN, NAKUSHAURI UKAE KIMYA ILI MZEE WETU DR. JPM AIENDESHE NCHI YETU SALAMA. ULIPEWA FURSA KUTUTUMIKIA WATANZANIA NA HUKUONYESHA UWEZO WOWOTE. NI USHAURI WANGU NINAOKUPA.

  • @akidahamad2909
    @akidahamad2909 5 ปีที่แล้ว

    Jot comed

  • @benmpanda8514
    @benmpanda8514 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwacheni raisi.wetu mzalendo.namba moja jpm alijenge taifa yeye ni executive president. Siyo political president.yeye ni resident president na siyo transient president.siasa za majukwaani zimepitwa na wakati na hatuzitaki tena asilani nchini Tanzania.

    • @beatricecharles6483
      @beatricecharles6483 5 ปีที่แล้ว

      Uko vzr

    • @rashidijumaaorwaka6699
      @rashidijumaaorwaka6699 5 ปีที่แล้ว

      siku ukimuelewa vizuri ni mtu wa aina gani sidhani kama utaongea tena kitu kama hiki fatilia vizuri na sio maneno ya jukwaani

    • @josephsamwel9213
      @josephsamwel9213 5 ปีที่แล้ว

      @@rashidijumaaorwaka6699 mwacheni rais wetu afanye kazi

  • @mathiusthomas3074
    @mathiusthomas3074 5 ปีที่แล้ว +3

    Jembe la 2020

  • @hoseamafuru6957
    @hoseamafuru6957 5 ปีที่แล้ว +8

    huna jipya RAIS anafanya mambo mazuri hata uoneshi ushirikiano wowote mwache jpm aongoze NCHI! hata theluthi anayofanya jpm usingefikia wewe nikibarka ungetuangamiza

    • @omtimbasafi5616
      @omtimbasafi5616 5 ปีที่แล้ว

      Hosea Mafuru ww kama ww umeonesha ushirikiano na rais

  • @jeremiahalex8040
    @jeremiahalex8040 5 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu jamaa hata akiongea tu unamuona hewa,hana uwezo hata wa kujibu hoja,pia hana mvuto hata kidogo,kwa Magu bado sijaona mbadala wake,Viva JPM

  • @stevenilevensoni2227
    @stevenilevensoni2227 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawahawa ndiyo wakina nyarandu hawafai hata kidongo wataturudisha nyuma kilometa 6000000

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 ปีที่แล้ว +2

    Ww ni mshenz hakuna wa kukusikiliza hufai

  • @deniusbrayn3888
    @deniusbrayn3888 5 ปีที่แล้ว +7

    Mzee tunashida na lile fuko bado lipo?

  • @mamaally6134
    @mamaally6134 5 ปีที่แล้ว

    tena ww huwezi kuongeza nchi sikupendi

  • @husseinsadd211
    @husseinsadd211 5 ปีที่แล้ว

    Ccm haijadili mambo yake kwenye mitandao ya kihuni kama hii.

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi jamani kufuata taratibu ni nhumu? Km mtu huzingatii utaratibu unahemka unataka nini? Mbio za riadha Zina taratibu katika kuanza, kupitia Hadi kumaliza. Itashangaza utakapoanza kukimbia kabla kuruhusiwa na kupita nje ya njia husika halafu unamaliza mwishoni unashangilia .... Tutakuonaje wewe! Tulia Mambo bado!

  • @pantaleokulaya5308
    @pantaleokulaya5308 5 ปีที่แล้ว

    membe ni msomi anaongea point lakini kwa wasiojua hawawezi kumwelewa.

  • @aminamcheka1145
    @aminamcheka1145 5 ปีที่แล้ว

    Kweli hizo formula tunaziona pia kwenye hizi chaguzi za marudio asee mungu anaona lkn,kwasasa mengi tutayashuhudia twendeni tutafika tunapotaka kwenda

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 5 ปีที่แล้ว +5

    kazi na bata au

  • @emmanuelkalega1037
    @emmanuelkalega1037 5 ปีที่แล้ว

    Huyu membe atakumbukwa kwa jitihada zake za kuiunganisha Tanzania na jumuia ya kiislamu OAC na mahakama ya Kadhi,kwa urais wa tz hatumtaki pia alitaka kuhonga wajumbe wa Nec hafai kuwa rais atauza nchi

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiyo Membe?

    • @mussahassan1779
      @mussahassan1779 5 ปีที่แล้ว

      Bernard membe ccm haijaleta ukombozi
      Na haijaleta uhuru nk

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 5 ปีที่แล้ว +1

    Complain halafu unashat la ccm

  • @abelumoja2866
    @abelumoja2866 5 ปีที่แล้ว

    Hutapata kumbuka kwa zx ww sio kampeni ww jinadi utaongellea bje ya list

  • @riwaladislaus3913
    @riwaladislaus3913 5 ปีที่แล้ว

    Ya siku nyingi

  • @kissatuagusto2246
    @kissatuagusto2246 5 ปีที่แล้ว

    ....naomba kuuliza eti wewe na kikwete ni nduguu....?? Maana kipindi cha kikwete walikuandama sna uhusianoo wako na kikwete...??

  • @samiraming5246
    @samiraming5246 5 ปีที่แล้ว

    huyu mwizi kafikaje hapa????baba hatuna mimba mzee maembe sepa

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +2

    Unabusara sana, Mh. Membe, kuliko hata hili Dictator La sasa

    • @nichorousmwakanyika7932
      @nichorousmwakanyika7932 5 ปีที่แล้ว

      aisee tena kwer kabisa

    • @jacksonmdemu51
      @jacksonmdemu51 5 ปีที่แล้ว +2

      hujui unenalo,hata Marekani na mataifa mengine yaliyoendelea yalifika pale kwa msaada wa viongozi Madictator,mfano George Washington wa USA,Adolf Hitler wa Ujerumani na Benito Musolin wa Italia,sasa nyinyi mnapigia kelele demokrasia ya nn kwa kipindi hiki cha kufanya kazi kwa maendeleo yetu ya nchi?,Achani blaa blaa fanyeni kazi!!!!

    • @estersamwelkisena5731
      @estersamwelkisena5731 5 ปีที่แล้ว

      Orchestra Shija shika

    • @marthakambona4809
      @marthakambona4809 5 ปีที่แล้ว

      Membe nyarandu ni watu waliyofilisi nchi enzi zakikwete wanasujudia matajiri mwisho wake hawalipi kodi ,nyarandu wizara ya utalii na Mali asili aliihujumu mpaka kichefuchefu

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ukiteuliwa kugombea.... I better not vote

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 5 ปีที่แล้ว

    Ukipata urais mi utanipa cheo au??like zangu zipo kwa kidole gumba.jee,hospital gharamazita pungua au Utageuza ni vyanzo vya mapato kama the african

    • @allymadunda7931
      @allymadunda7931 5 ปีที่แล้ว

      @@zubedasaidi9507.maana hospital zishakuwa vyanzo vya income

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว

    Hivi mtu kama huyu Mzee ni nini Watanzania wanaweza kujivunia kwamba alifanya ktk uongozi wake! Ninacho kumbuka Hakuna wakati CCM ilikuwa ya majungu rushwa na fitina kama kipindi cha kina huyu jamaa

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 5 ปีที่แล้ว

    Wanasema Nzi hufia Kidondani!! Akifukuzwa anaongeza Ujasiri was Kurudi tena! Afu Anauliwa!;

  • @jonfredyaverino3863
    @jonfredyaverino3863 5 ปีที่แล้ว

    JPM oyeeeeeeeeeeee

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 ปีที่แล้ว

    Huuwezi moto wa JPM ww mzee kajipange kwamara nyingine

  • @samuelgodfreymwambashi8835
    @samuelgodfreymwambashi8835 5 ปีที่แล้ว

    Mtoa post mbona heading yako haiendani na matamshi ya Membe.

  • @kindandakudingwa7514
    @kindandakudingwa7514 5 ปีที่แล้ว

    ZILIPIENDWA

  • @neemaswai9544
    @neemaswai9544 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaa kazi na bata

  • @mpelienock
    @mpelienock 5 ปีที่แล้ว

    Hivi hamuwezi kutoa comments bila kutoa lugha chafu za matusi? Acheni hizo kuweni na ustaarabu mnapotoa comments, huu ukurasa unasomwa na watu wa kila aina.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 ปีที่แล้ว

    Kama hii ndo ya zamani nakusamehe.

  • @shafiimpilika2858
    @shafiimpilika2858 5 ปีที่แล้ว

    unaonekana wewe unaweza kutumbua vijipu uchungu ila majipu matambaza anaweza mzee pombe daktar majibu mzee wa vijipu uchungu vichunus ndo vyako mzee.

  • @fredrickkagusa3915
    @fredrickkagusa3915 5 ปีที่แล้ว +10

    membe si utulie tu utaratibu wa chama si unafahaamika

  • @Nyavili1
    @Nyavili1 5 ปีที่แล้ว

    Now I know why mzee you have been so quite and against. It's all about the process was used to pick and recruit the party representative and chairman. All is about the process used. Good luck to your mission. Indeed it's null and void. Maana hakukufuata taratibu zilizo ndani ya .katiba yenu.

    • @emmanuelmohammed1294
      @emmanuelmohammed1294 5 ปีที่แล้ว

      Henry Kifwambele Are you still waving to a person who was caught for bribery?
      He absolutely a fraud monger and he don't deserve for presidency!

  • @marckozakayo5987
    @marckozakayo5987 5 ปีที่แล้ว

    The relationship between facial appearance vs the voice indicates being out control. Things gating out of hand

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 5 ปีที่แล้ว +6

    Mnamkosoa membe saiv
    Lakn akbahatika kua
    Rais mnaanza kumpongeza
    Wajinga Sana nyie yaan sjui mnantaka nan awaongoze

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

      GEORGE SAMWEL CHACHA nani mjinga axe, yaan sisi ni wajinga? Oky

  • @azizalazri1283
    @azizalazri1283 5 ปีที่แล้ว

    Kusini tumekukubali sana wanaokuponda awajaona umuimu wako Kwa sisi chingaa wezakoo tunakukubali kwavile maendeleo kwetu tumeyaona

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 5 ปีที่แล้ว

    Mzee umesema kweli uhai wa watu ni bola kuliko vyote hata kama ungefanya mengi sana lakini cha kwanza kulinda amani na uhai wa binadam

    • @danielmluge2444
      @danielmluge2444 5 ปีที่แล้ว

      Mimi ni membe kindakindaki membe oyeeeee

  • @abduazizi4536
    @abduazizi4536 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo nchi inaongozwa na zidumu fikra za mtu mmoja kila anaepata urais kwa ccm anatuburuza sio kusikiliza maoni na ushauri

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 5 ปีที่แล้ว

    Mze mimi nilikua nakuona kama unamtazamo wa kumbe na ww niwalewale wakuona jilanijilani tu chadema kunampasuko waainagani? Sema hivi wabunge wachadema na madiwani wa chadema wamenunuliwa na ccm siokinampasuko make wapiga kura hawajahama bado wako na chadema na bado wanaimani na chadema. Ukitaka kuamini ivyo chaguzi zote ndogo chadema ilikua inapambana na police kwenye kampeni mpaka kwenye chaguzi alakini uwanja ukiwa sawa ccm hawana chochote

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      kashapangwa huyo ili asionekane kuwa hampendi mchizi, hajatjka hadharani kpndi choote hicho aje kuhjiwa ss na kutoa maneno haya mieh binafsi naamini ameambiwa aongee hivyo kumridhisha mtukufu ajisikie malkia-mfalme!

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว

    Tcra wapo wapi? Hivi visitation Ni kuvitoa kabisa

  • @chanocame2979
    @chanocame2979 5 ปีที่แล้ว +36

    Akitoka Magu tunaweka Majaliwa wewe una ujasir atukutaki

    • @paulosamson2
      @paulosamson2 5 ปีที่แล้ว

      Ujali gani hana point

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 5 ปีที่แล้ว

      hmm

    • @tinyaanosiatha1118
      @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว

      Chano Came kweli kabisa ukitoka magu majariwa anakuwa rais

    • @georgeeric1607
      @georgeeric1607 5 ปีที่แล้ว +1

      Good akitoka magu tunaweka majaliwa au bashiru

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 ปีที่แล้ว

      Chano Came weka akiba ya Maneno, kesho ya MTU ni Mungu tu aijuaye, si mwanadamu

  • @nurulugaye7825
    @nurulugaye7825 5 ปีที่แล้ว

    Nn hana uchu wa madaraka?.Km uchu wa madaraka kwa nn unagombea? Unafiki.

  • @officialmisungwi8870
    @officialmisungwi8870 5 ปีที่แล้ว

    Chadema msije mkasema tena ,mngejua!!!! Haya lowasa mwingine huyoo twawapeni!

    • @atusheatishe5281
      @atusheatishe5281 5 ปีที่แล้ว

      Mujue kwasasa hatuangarii kwamacho Hebu jalibuni kuitakia jema inch yenu Nas vyama Achen

    • @reubenbegashe2372
      @reubenbegashe2372 5 ปีที่แล้ว

      Mzee wewe ni mtu muhimu Sana na mwenyekuheshimiwa Sana. Nakunawatu wanakuheshimu Sana. Embu hachana na mambo haya yanakushushia heshima yako. Unadhani unajijenga lakini sio. Washauri wanakudanganya hawakuambii ukweli