𝗛𝗜𝗚𝗛𝗟𝗜𝗚𝗛𝗧𝗦 | Young Africans SC Vs Simba SC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 เม.ย. 2022
  • #theclubaboveall
    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 138

  • @user-ei9ht6jd4k
    @user-ei9ht6jd4k ปีที่แล้ว +4

    Mimi ni Sudani 🇸🇩 lakni Napenda yanga

  • @fidelischeyo483
    @fidelischeyo483 2 ปีที่แล้ว +2

    Denis Nkane acha kupiga mpira kwa mtelezo wa kuanguka unatupotezea points, kuwa strong kwenye kufunga au kutoa pas

  • @JuniorShadrack-iw9ru
    @JuniorShadrack-iw9ru 6 หลายเดือนก่อน

    Ila uyu Hashim ibwe arud Tu atangaze mpra anajua sana

  • @SyliveSterMichael-xf6tg
    @SyliveSterMichael-xf6tg ปีที่แล้ว

    Wazaz wangu hamjambo kama hamjamb nawaombea sana kwa mwenyezi mungu

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf 2 ปีที่แล้ว +4

    Tungetumia V-pass tungepata si chini ya goli3

  • @JohnnyKirigiti
    @JohnnyKirigiti 2 ปีที่แล้ว +13

    Tuna game 4tu tutangaze ubingwaa 💚💚💛💛💛😎

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 ปีที่แล้ว +5

    Hivi hii subb ya nkane
    Kaze aliwaza nini???
    Daaaaaaaaaaah
    Any way tunashukuru Mungu coach Nabi amerudi!

  • @seriousofficialtz3702
    @seriousofficialtz3702 2 ปีที่แล้ว +11

    Goal lilikua kwa nkane sema hofu ndo imemtawala, mtngenezn asiw na hofu kweny game kubw kam hizi

    • @abuuajmal1467
      @abuuajmal1467 2 ปีที่แล้ว +2

      Yaani lile ilikuwa goli, hofu tu zilimjaa
      Mie nahic wachezaji wote walikuwa na hofu na morali haikuwa nzuri

    • @adamujuma1799
      @adamujuma1799 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakika

  • @elvinbitekobiteko8161
    @elvinbitekobiteko8161 ปีที่แล้ว +1

    yanga oyee

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 2 ปีที่แล้ว +9

    Double striker wanapaswa kutumika mechi kama hii alafu force kama ngushi na ambundo must be inside

    • @adamujuma1799
      @adamujuma1799 2 ปีที่แล้ว +1

      Nakubali kabisa, haswaa Ngushi ingemuhusu

  • @KibuRamto
    @KibuRamto หลายเดือนก่อน

    Mchezo ya leo

  • @raymondlivigha4015
    @raymondlivigha4015 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga haijapoteza mchezo, lazima waikamie.

  • @user-ev7cp2br4e
    @user-ev7cp2br4e 5 หลายเดือนก่อน

    Sana yanga

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja 2 ปีที่แล้ว +1

    Green n yellow frver

  • @ImmaRobert-lg2sq
    @ImmaRobert-lg2sq 4 หลายเดือนก่อน

    Kicheche

  • @rajabukimosa3377
    @rajabukimosa3377 9 หลายเดือนก่อน

    Hatariiii

  • @dianajeremiah5662
    @dianajeremiah5662 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga Africans 💚

  • @mshihiliramadhani9088
    @mshihiliramadhani9088 2 ปีที่แล้ว +3

    YANGA WAMEUPIGA MWINGI

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 2 ปีที่แล้ว +3

    Kros za kizamani zimewakosesha yanga ushindi!! Leo tuna V-pas zina magoli ya uhakika!

    • @adamujuma1799
      @adamujuma1799 2 ปีที่แล้ว +1

      Upo sawa mkuu, nkane angelijua hlo saizi angekua anazungumzwa yy tu

    • @jumamakuri9176
      @jumamakuri9176 2 ปีที่แล้ว +1

      @@adamujuma1799
      Labda kocha hakuwakumbusha hilo muda fulani hawa watoto hujisahau.

  • @bariasithedon6240
    @bariasithedon6240 ปีที่แล้ว

    Diamond platnumz

  • @omaryhajji1393
    @omaryhajji1393 ปีที่แล้ว

    Naona yanga wanajifariji kwa highlight za yanga tu.

  • @HoseaDaudy-xr7dd
    @HoseaDaudy-xr7dd 11 หลายเดือนก่อน

    P1 sana

  • @sudisalehe9173
    @sudisalehe9173 2 ปีที่แล้ว +1

    Pale mtangazaji aliposema feitoto ameijibu kwa shomali kapombe haja tuonyesha fei kilimpata nini hamko fear

  • @Akibaerasim-ms4ij
    @Akibaerasim-ms4ij 8 หลายเดือนก่อน

    Simba

  • @rachelkitundu1377
    @rachelkitundu1377 ปีที่แล้ว +1

    Simba na yanga Leo tarehe 23

  • @kulwajohn6275
    @kulwajohn6275 ปีที่แล้ว

    Ssb nitimo bora Sana hapa tzn

  • @officialtiger4722
    @officialtiger4722 ปีที่แล้ว

    CHAMA LANGU

  • @iqramawadh80
    @iqramawadh80 2 ปีที่แล้ว +2

    Yanga bingwa

  • @EvangelistmokuaFredminst-uz7me
    @EvangelistmokuaFredminst-uz7me 11 หลายเดือนก่อน

    Yes

  • @PITAKAPINDI-ys3tj
    @PITAKAPINDI-ys3tj 11 หลายเดือนก่อน

    Tbc

  • @peterngassalah6454
    @peterngassalah6454 2 ปีที่แล้ว +3

    Dogo nkane angekuwa hana hofu alikuwa anafunga ile ya kulia kule daah

  • @khadijaabdallah5520
    @khadijaabdallah5520 ปีที่แล้ว +3

    💚💚💚💚🧡🧡💛💛💛

  • @peterfesto3150
    @peterfesto3150 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii higglity ya yanga tuu

    • @adamujuma1799
      @adamujuma1799 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaa, ya manara hii. Lakini ndyo iliyo tengeneza hatari nyingi japo zilikua blocked pas kufika kwa manula

  • @kankundesamu6970
    @kankundesamu6970 ปีที่แล้ว +1

    Nu

  • @ManPlos-ek3ls
    @ManPlos-ek3ls ปีที่แล้ว

    Hi

  • @avidiuselias4126
    @avidiuselias4126 2 ปีที่แล้ว

    Denis nkane anaihita utulivu, Ile nafas ya mwisho tulikuwa na goli pale kwa sababu maybe alikuwa ashaomba nafasi

  • @emmanueldaud7378
    @emmanueldaud7378 2 ปีที่แล้ว +2

    Wana mungu hawa makolo amewaokowa nahiki kipigo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

    Angalau siku hizi mpira wa bongo unaweza kukaa katika kutizama TV.na ukautizama mana zamani walikuwa wanabutuwa tu n as maguvu

  • @pcpoint1224
    @pcpoint1224 2 ปีที่แล้ว

    Kwa game hii Makolo waliita maji "MMA" chuplichupli

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu ilipostiwa katika channel ya yanga

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 2 ปีที่แล้ว

    Nan kaona watangazaji n wa yanga

  • @SportCounter
    @SportCounter ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/jUQsKUd4cWk/w-d-xo.html
    TAZAMA MAGOLI 5 AMBAYO MANULA HAWEZI YASAHAU 2022/2023

  • @user-ft6ck1vi9y
    @user-ft6ck1vi9y 6 หลายเดือนก่อน

    Mafuliko bongo

  • @user-hh4mi7uh7h
    @user-hh4mi7uh7h 9 หลายเดือนก่อน

    Yaga

  • @samilyamry-xq8zg
    @samilyamry-xq8zg 11 หลายเดือนก่อน

    hata ikibk na kombe la kijj nipo nayo cmba

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 ปีที่แล้ว +2

    naoni yangu yalikuwa hivi
    baada ya kumtoa moloko angeingia faridi musa
    na sub ya fei toto wasingemtoa kabsa

  • @hassankilopo7098
    @hassankilopo7098 ปีที่แล้ว

    Joti tv
    Mchumba

  • @abdallahsaid9996
    @abdallahsaid9996 ปีที่แล้ว

    Mambo wanayanga

  • @lightnesschrispine2446
    @lightnesschrispine2446 ปีที่แล้ว

    Hii mechi yanga waliupiga kudadadeki

  • @happinnesspius9854
    @happinnesspius9854 ปีที่แล้ว

    Hamtotutesa tena hiv

  • @iuem5792
    @iuem5792 2 ปีที่แล้ว

    Mbona ameleta highlights ya yanga tu!!!Ajabu sana.

    • @hajihija1903
      @hajihija1903 2 ปีที่แล้ว

      Hii ni tv yetu bwana nenda kaangalie kwa kolo uko

    • @iuem5792
      @iuem5792 2 ปีที่แล้ว

      @@hajihija1903 hahaha

  • @emmanuelmwamlima1027
    @emmanuelmwamlima1027 ปีที่แล้ว

    Nashauri hata azam tv wawe wanaweka highlights fup kama hizi

  • @muniribrahim168
    @muniribrahim168 2 ปีที่แล้ว +9

    Semeni mtavyo sema lkn lisingeingia goli kwenye nyavu z simba kwa kile kitu walichokiweka golini simba hawaoni Kama huu ni mwezi mtukufu wao wananco jua ni ushirikina tu

  • @maduhulusangija3715
    @maduhulusangija3715 ปีที่แล้ว

    ok

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 ปีที่แล้ว +2

    Wananchiiiiiiiiiiiii 💚💛💪👏

  • @muniribrahim2302
    @muniribrahim2302 2 ปีที่แล้ว +1

    Ball position simba 51 yanga 49 hii ni wazi kuwa azam TV inadanganya Uma angalieni yanga walivyo poses mpira n waliutawala uwanja zaidi y simba n magoli mangapi yanga wamekosa ni clear chance walizokisa yanga zaidi y tano n hii ni wazi simba wanatumia uchawi zaidi kuliko uwezo wao lanaturllahi simba

    • @jastinjumayagore5073
      @jastinjumayagore5073 ปีที่แล้ว

      Kabxaa umeongea point kaka

    • @omaryhajji1393
      @omaryhajji1393 ปีที่แล้ว

      Subhanallah unaandika laanatullah kwenye mambo yako ya kipuuzi

  • @subirajohn2776
    @subirajohn2776 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @hatungimanathierry3417
    @hatungimanathierry3417 2 ปีที่แล้ว +13

    Yanga is faster than simba am from Burundi saido is king from Tanzanie

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว +2

    Kocha umeharibu kumtoa fesal ndo mana kipindi cha pili mashambulizi yalipungua na kat kukawa dhaifu

  • @raymondlivigha4015
    @raymondlivigha4015 2 ปีที่แล้ว

    Kigoma wanaijua Yanga, watatoa pointi tatu burebure?

  • @vicentrogers9465
    @vicentrogers9465 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cuteprincess7728
    @cuteprincess7728 2 ปีที่แล้ว +2

    yanaga tunauwa sio pw

  • @iuem5792
    @iuem5792 2 ปีที่แล้ว

    Hii ina maana gani kuleta highlight ya yanga tu😂

    • @rainersantos4965
      @rainersantos4965 2 ปีที่แล้ว

      Hii ni channel ya yanga kwa hiyo msitupangie

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 2 ปีที่แล้ว +1

    Nkane bwana

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 ปีที่แล้ว +1

    Gemu yangu yakwanza kuingia uwanjani

  • @fkirumba1463
    @fkirumba1463 2 ปีที่แล้ว +1

    Ana woga kama kunguru

  • @josephjumanne1501
    @josephjumanne1501 ปีที่แล้ว

    Ek sss

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m 2 ปีที่แล้ว +2

    Nkane afaa atulizwe kiakili bado anautoto mwingi.

  • @athumanmalongo8403
    @athumanmalongo8403 2 ปีที่แล้ว +2

    🔰🔥🔥🔥

  • @ambokilejr8192
    @ambokilejr8192 ปีที่แล้ว

    🎉🎉

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah bahati akua yetu Jana wanayanga

    • @mirajiali3926
      @mirajiali3926 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nashangaa eti tunaambiwa simba kaizidi yanga ball possession wakati yanga ndio walicheza mpira sana na kutengeneza nafasi nyingi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@mirajiali3926 KASHITAKI

  • @athmanmuhammed7333
    @athmanmuhammed7333 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakeli yanga ni wazuri kuliko simba hii game naipa 70% kwa yanga na 30% kwa simba.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 ปีที่แล้ว +2

    Hako ka nkane kanajikutaga kasuper star kuliko hata kina aucho muwe mnasajiri watu waliokomaa hata kiakili

  • @smfkingdom9944
    @smfkingdom9944 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/uahjCfM2y9E/w-d-xo.html
    Sitaki ukose hii

  • @emmanuelkalio3136
    @emmanuelkalio3136 2 ปีที่แล้ว

    Zedi johseph

  • @adamujuma1799
    @adamujuma1799 2 ปีที่แล้ว

    Chupuchupu tuteteme. Nkane utoto, mayele hajiongezi. Mtu anakutakle na kuchukua mpila twice kwa style iyoiyo kwann usi chop apite chini utembee na mpira wako? Ajiongeze bwana amtie adabu inonga

  • @kijanaonlinetv6148
    @kijanaonlinetv6148 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda Sana hii amakweli Huyu ndio MAYELE Fundi wa MPIRA👇👇
    th-cam.com/video/nnx8abLE678/w-d-xo.html

  • @sergioporto5388
    @sergioporto5388 ปีที่แล้ว +2

    Vai Corinthians

  • @emmanuelkiwango6638
    @emmanuelkiwango6638 2 ปีที่แล้ว +5

    One who prepared this script is biased, he prepared in favour of Yanga

    • @hajihija1903
      @hajihija1903 2 ปีที่แล้ว +1

      Are you crazy look at this Tv ?you can see the name

    • @hindisaidi5097
      @hindisaidi5097 ปีที่แล้ว

      Hahaha if you desperated close your eyes 😎

    • @charlesathuman6228
      @charlesathuman6228 ปีที่แล้ว

      What did you expect while the channel title reveal

    • @bakarimasalu8982
      @bakarimasalu8982 ปีที่แล้ว

      @@charlesathuman6228 it reveals it self!

  • @paulojosephp.j8356
    @paulojosephp.j8356 ปีที่แล้ว

    Mjt

  • @zelamwamasangula9184
    @zelamwamasangula9184 ปีที่แล้ว +3

    mashabiki wasianze Tena maneno kama anatunga atunge shairi la timu mzima timu yote ilijituma muwaache wachezaji wafanye kaxi yao vizuri. usimkatibishe shetani ndani

  • @mishihassan1939
    @mishihassan1939 2 ปีที่แล้ว

    Man of the match...feitoto

  • @josephjumanne1501
    @josephjumanne1501 ปีที่แล้ว

    Exxx

  • @johnbupimali5019
    @johnbupimali5019 ปีที่แล้ว +2

    👍👍👍👍👍👍👍👍💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚🏆✅

  • @theafricanprincevivecongo8632
    @theafricanprincevivecongo8632 2 ปีที่แล้ว

    Kuanzia leo team YANGU no1 mazembe no2 YANGA

  • @RahmaMalenga
    @RahmaMalenga 4 หลายเดือนก่อน

    Wrryytrrra

  • @alikombo6254
    @alikombo6254 ปีที่แล้ว

    Simb vs

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz ปีที่แล้ว

    Marioo - Yanga Anthem (remix)
    Gusa link hii apa chini kuangalia.
    👇🏾. 👇🏾. 👇🏾.
    th-cam.com/video/m8X5qFrmA9g/w-d-xo.html

  • @thedon8048
    @thedon8048 ปีที่แล้ว +1

    @yanga1935💛💛💚💚✔️

  • @JASTINISandala-wz8yn
    @JASTINISandala-wz8yn ปีที่แล้ว

    talifa.za.lewo