Neither racism nor tribalism, you just come, join any football team, show your talent, ilimradi usivunje sheria za nchi. You will enjoy your peaceful stay.
what a game of football man! The atmosphere is out of this world. congratulations my team yanga and all the best. Rooting for you guys to bring the big trophy(CAFCL) home this season. Am from kenya.
I am a Kenyan who watches the leagues in europe because ours is a joke. that untill i found out about tanzania and theirl love for this sport. i am amazed and envious kudos on the develpoment you have had.
YANGA is my favorite team 🧡💛💚 I love this team soooo much,much respect to YANGA management & players as whole BUT FISTON KALALA MAYERE I just say Salute he deserve to be congratulated
Mm pia naangalia hii mechi bila kuchoka. Mungu ibariki Young African Mungu ibariki Tanzania ili tufike mbali kwenye mashindano ya Africa. Pia naiombea Young African ktk mechi ya kimataifa dhidi ya AL Hillary tupate ushindi wa kusonga mbele Kimataifa. Mm nina amini Young Africa kwa uwezo alio kuwa nao km akipita hatua hii basi maajabu ya kufika mbali zaidi kuliko timu yeyote apa Tanzania yatatokea. I LOVE YOU YOUNG AFRICAN NA CLUB ZOTE ZA TANZANIA KIMATAIFA.
Hakuna hata siku nilishawahi kubali kuwa Inonga ni beki bora,ila ni beki machachari, yaani anaendeshwa zaidi na mihemko na anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wanasimba na watu wengine kuwa yeye ni bora na ndiye anayefanya kazi kubwa kuliko wengine. Kwasababu wakati Simba Sc inaongoza kipindi cha kwanza,hakukuwa na haja ya yeye kuwa na jazba kiasi kikubwa vile, nilitegemea zile hisia na mihemko ifanywe katika safu ya ulinzi ya upinzani. Kwa mfano kuna muda alikuwa akijaribu kukokota au kupiga chenga mpira maeneo ambayo kiuhalisia hakupaswa. Mwisho kabisa,ni beki ambaye anaamini kwa kiasi kikubwa katika tackling kuliko kitu yoyote ile. In all, Stephen Ki is an international player,is the best sign that Young African as won alot. May Lord be with Yanga in all tournaments. ✊
Wale Wana yanga wenzangu ambao tumekuwa kama walevi wa hii mechi Kila siku tunatazama gongeni like
😆 😂 atarii sana
Tena yanga tamu
Much love.
Tuko weng
Respect to Tanzanian fans! Your love and support for your local football is a great lesson that you teach us!👌🏿
From côte d'ivoire 🇨🇮💪🏿
Thanks
Raoul thank you for your appreciation!
Welcome to Tanzania 🇹🇿
One love brother
Thanks Raoul for your appreciation on us Tanzanian
You are welcome brother🙏🙏🤔
Yani nimeona Leo tena nirudie kuangalia hii mech maana natamani irudiweeeeh tena nipeni like zangu wananchi❤
I really admire Tanzania soccer....much love from kenya🇰🇪
Swa kaka
Ur welcome
Pamoja
To be honest guys Tanzanian football ⚽️ is flying very high.
I'm enjoying watching each and everyday.
Thank you so much azam 📺
Fiston Mayele..Sitakusahau maishani mwangu...Nitakupenda daima mpka kifo
Kweli tupo pamoja
I'm A young African fan From Kenya, I love tanzanian football.
Karibu Sana kaka
💚💛
You are welcome brother.
Best league in East Africa,the beautiful game 🇹🇿⚽❤️.... Congrats Yanga🏆🎊🎉,no racism ⚽🇰🇪
Thanks.Our country has no room for racism,that is how we are raised since we are kids
Neither racism nor tribalism, you just come, join any football team, show your talent, ilimradi usivunje sheria za nchi. You will enjoy your peaceful stay.
All the best king mayele hakika makolo awatakusahau mwananchi gonga like apa kwa heshima ya mayele
what a game of football man! The atmosphere is out of this world. congratulations my team yanga and all the best. Rooting for you guys to bring the big trophy(CAFCL) home this season. Am from kenya.
In Shaa Allah All the best in your election Chris 👍
insha'Allah
Amen
TULIO RUDIA 2023 gonga like💛💚
Sichoki kuitazama hii video wallah yanga tamuuuuu💚💚💛💛💛
These 2 teams saving african football ⚽️, best derby in Africa right now.
Wananchi woteeh tunaongalia mechi hii mwaka 2023 ..Kama unaamin yanga bingwa mwaka huu gonga like 💯
8fiuui
Safiii8 30/1/23
Aise yani hii mech had raha
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚mpaka2050🤣🤣
Imani ipo ubingwa lazma
Anaejikumbushia kama Mimi 2024 gonga like hapa
Tupo wengi
2023 wana Dar Young African naomba like zenu
Tanzania football is next level sending love from Congo
Yeah so much vibe in here
Hii mechi kabla ya kulala naangalia mala mbili na wakati wa kuamka naangalia mala mbili pia, Amina
😂😂😂😂
😅😅😅🤜
🤣🤣🤣
I am a Kenyan who watches the leagues in europe because ours is a joke. that untill i found out about tanzania and theirl love for this sport. i am amazed and envious kudos on the develpoment you have had.
True
100percent true very competitive March
They love you and their team
Shukran kuu kwa Mungu….pongezi nyingi kwa wachezaji wetu na benchi zima…ahsante kwa kututhamin mashabiki🙏🏽🥰🔥🔥
Ukuta wa Yeriko atimaye umekua ukuta wa mabua, Wananchi naombeni mnipe like tano tu za Pacome na Max Nzengeli, Sawa
Naipenda sana yangaa hii mechi haichoshiii kuangaliaaa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Super mecz, fajne kluby. Pozdrawiam z Polski 🇵🇱🇹🇿
Nami hii kila muda nikiboeka na enjoyy❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yanga daima mbele nyuma mwiko 💚💛💚💛💚💛💚
Daaahh!!! Alhamdulillah YANGA mmejua kutupaa rahaa hongerenii chama kubwaa💚💛💚💚🔥🔥🔥
Anaeangalia leo tar 3 January 2024 gonga like
Wananchi tugonge like one trending for TH-cam 🖤💛💚💚💛💛
Hii mech kama unastress then ukaja kuichek unajiona kama upo mawinguni 💚
Me yanga
kwa kweli
Kweli kabisa
Usije ifunga yanga kipindi cha kwanz aukajiona umewamaliza mda wowote wanakuadhibu
Mm nairudia rudia kila siku😂😂😂
Yaan siwezi isahau hii mech love you yangaa😊😊
Anayeangalia 2023😂😂😂 kuja kupunguza stress
Its him again😂😂😂
Tupo uku
Yanga...a stress free street
Mambo
Tupooo 😅
hii mechi inaendelea kuwa mechi bora kwa mwaka 2022
Wangapi tumekuja kumuaga king mayere tujuane kwa like 😢😢
Kama unaicheki mechi hii kila wiki gonga like 👍 👌 tujuane #yanga sc 1935
Kila siku lazima nije hapa kuuona ushindi wa Yanga yangu,moyo wangu unasuuzika,daima mbele💛💚
jmn😂😂😂😂😂
Kabisa ilove you yanga mwaaaaaaaaa 💚💚
Bado tunaongalia 2023 naomba like 👍 zenu
Tanzania's football is really growing unlike ours in Kenya. 🇹🇿 is really investing in this
The Return Of Champions ... This Is Yanga💚💚💪
iam from Morocco Tanzania good people good derby thanks Tanzania.
Shikamoo wananchi asante kwa kututandikia hao wanaojiita Singida Big stars.. salamu ziwafikie dodoma jiji zabibu tutazila na mvinyo tutakunywa..
Hongera timu yangu young African
Kama Bado Leo hii unacheki hii mechi mwananchi 🔰💚💛 nipe likes kama zote
YANGA is my favorite team 🧡💛💚 I love this team soooo much,much respect to YANGA management & players as whole BUT FISTON KALALA MAYERE I just say Salute he deserve to be congratulated
Leo tr22 January Bado natizama naona kama tumecheza Leo kua yanga raha sana
Mayele mungu akuongezee umri mana siku ile nilipata furaha isio elezeka namuomba mungu ijirudie tena inshaallah panapo uhai na majaaliwa
Yanga tamu jaman gonga like apo Kama we mwana nchiiiiii
I love Tanzanian youth and Sudanese Mars♥♥🇸🇩🇹🇿
Almerrikh best club in East Africa
@@salihalash4111 wake up wake up don’t slip
anayeangalia 2024
Wana nchi lek zenu kwa mfamle kalala mayeleer💚💚💚💛
Anaye irudilia hii tujuane 😊
Mimi kila siku nikilala nikiamka naangaliaga hii mechi yaan Raha Sana Kama mechi iliyochezwa leo
Hii yanga siji kuixahau kamwee katika maishayanguuu
Jaman tujuane asiyechoka kuangalia hii mechi wananchi naomba like zenu tujuane
Fiston kalala mayele ni mmoja the King 👑👑🔥🔥💪💪
Fact
31/1/2023💚💚💚💛💛💛 Yanga SC I love you tujuane apa jamn
Oyooooooo usingizi umekata nikaamia huku
Naringa jmn,mungu zidi kuwabariki wachezaji wote na benchi lote Amina
Jamani hii sio poa inamvutoo💚💛🔥🔥🔥
Kila mwaka tutakua tunaangalia haya 2024 twende kazi😂😂❤
Ndo nimemaliza kuiangalia hapa kwa mara ya Kumi leo. 12.01.2023💚💚💚💚💚💚
niko hapa leo saa 4
Mm pia naangalia hii mechi bila kuchoka. Mungu ibariki Young African Mungu ibariki Tanzania ili tufike mbali kwenye mashindano ya Africa. Pia naiombea Young African ktk mechi ya kimataifa dhidi ya AL Hillary tupate ushindi wa kusonga mbele Kimataifa. Mm nina amini Young Africa kwa uwezo alio kuwa nao km akipita hatua hii basi maajabu ya kufika mbali zaidi kuliko timu yeyote apa Tanzania yatatokea. I LOVE YOU YOUNG AFRICAN NA CLUB ZOTE ZA TANZANIA KIMATAIFA.
Tunabeba tena 2023 daima mbele nyuma mwiko
NAIPENDA YANGAAAAA🔥🔥🔥🔥💚💛
I love Tanzanian soccer,Mayele anatesa.
Hii ndio mech iko na views kuliko yyote ya kwa Azam, hii ndio Yanga 💚💛 like pls
Sakho alijiona mfalme sana ila hii game ilikuwa tamu sana natizama leo januar 8 2023
Safari ilianzia hapa 💪💪
Yanga bhn 2023 bado tunacheki hii mechi
Yaan hii siku nilishangilia sana 💚💚💚 nakupenda yanga
Yaaani ilikuwa Raha sta sahau ilove you yanga mwaaaaaaaaa
Yaani hii ni video Yang pendwa❣️
Nipo nashangilia goli la pili Leo tr 28/06/2023
Kama vile tupo live💚💛💚💛💚💛💚💛
Oya mzee,me ndo niko apa nacheki mzee,Simba wanafanya ujinga ule ule kama wa ile siku😅,watafungwa awa ujue😢
Kabisa
Hahaha
kila cku naangalia hii mechi... Young super
Tupo wengi maaan a inavutia wallah
Tupo wengi kwakwel
Yani ukiona sijaangalia ujue Sina bando
Binafsi inanitoa stress
Mimi pia
Yanga oyeeeeeeeeee 💚💛💚💛💚💚game hii nikitazama najisikia tu maraha 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Yeah maraha tu yanga African daima mbele nyuma mwiko 💚💛💚💛💚💛💚
Umeonae huwaga naingalia kila siku nikiweka bando
Atuchokii😂😂😂😂😂🚶♀️
Asikwambie mtu yanga tam💚💛💚💛
2024 tujuane hapa kwa like
hili lingao waliliremba kwa kuwaandalia makolo na tukalibeka yanga raha sana
Hakuna hata siku nilishawahi kubali kuwa Inonga ni beki bora,ila ni beki machachari, yaani anaendeshwa zaidi na mihemko na anatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha wanasimba na watu wengine kuwa yeye ni bora na ndiye anayefanya kazi kubwa kuliko wengine. Kwasababu wakati Simba Sc inaongoza kipindi cha kwanza,hakukuwa na haja ya yeye kuwa na jazba kiasi kikubwa vile, nilitegemea zile hisia na mihemko ifanywe katika safu ya ulinzi ya upinzani. Kwa mfano kuna muda alikuwa akijaribu kukokota au kupiga chenga mpira maeneo ambayo kiuhalisia hakupaswa. Mwisho kabisa,ni beki ambaye anaamini kwa kiasi kikubwa katika tackling kuliko kitu yoyote ile. In all, Stephen Ki is an international player,is the best sign that Young African as won alot. May Lord be with Yanga in all tournaments. ✊
fact 🙏
Anaye rudia kuangalia leo like nyingi tujuwane
Atar
Noma sana
2023 bado tunaangalia hili derby tujuane
Mi naiangalia saivi
Naitizama sada hivi
Hii gemu hawatoisahau kolo💯😀😀😀
Mm naanglia sasa ivi
Aziz K nifundi sana 🔥🔥🔥⚽️
Tunaorudia june 2024😀 weka ❤
Hatutoacha wapumzike
Mpaka waseme
Jamaniii naenjoy sana kuichek hii mechii🧡💚🧡💚🧡😆😆🙌🙏
Mungu ibariki Yanga Afrika katika mchezo waleo Azam vs yanga
I will miss you professor El nabii
Aliyemuona Moloko akibeba kiti tujuane kwa like😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣n kibendera juu juuu
Sio moloko ni Aziz k
@@tyatawelubrayton5861 he mwanangu yule c moloko hebu rudi tena uangalie vizuri
Mm nimemuona
Moloko
Me sichokii jamn na kuangliaa hii yanga🤣🤣🤣🤣yan hii siku nilkuaa na homa🤣🤣ila mayl jamn alijuaa kutupa raha team ynga💛💚💛💛💛mob love from +254
Kwa tunaoangalia mpk leo naomba like zenu 😅
Oya tuko wote 😂
Tupo
Kama Ni wewe utaachaje
😁😁
Number one on tranding💚🖤💛💃💃
Nikiwa na stress huwa nakuja kurudia kuangalia hii match💛💚. Makoloo pita hukuu🚶
Hadi mimi
Hii mechi mpaka Leo mayele kaondoka yanga ila bado napitiaga mpka Leo I love yanga
mayeleeee ni mmoja tu 👌
Hii mechi leo ni mara ya 1000 naiangalia..Haiishi utamu.Raha sna ukiwa yanga
Tuko wengi
Wanaorudia 2024 like ndugu zangu
SISI NDIO YANGA💛💚ALHMDHULILLAH ALLAH AMEJBU DUA ZANGU🙏🙏🙏🙏
Hakika AAA yeye ndio mueza Kwa yote
Chezea yang wewe ,
Leo tarehe 26/09/2022 bado naangalia mabingwa wa kihistoria what a Comeback
Tuko pamoj
Mm mwenyewe leo tarehe 4 mwez was kumi Bado naangalia tu hii mechi
Mm mwenyewe leo ni 15/11/2022
Duuuu kazi kweli kweli bado naita zama hii mechi 24/6/2023
Jmn leo ni trh 20/12/2022 niko nangalia tn hii mechi was so🔥🔥🔥
Hahaha ilikuwa ni noma sana
Nipo apa natoa mawazo
thank you barkhesa
My love yanga
2023 wangapi tumeangalia likes za KUTOSHA HAPA
Yan hii mech inakula Xana bando langu Kila cku kuitizama...💛💛💛💛💚💚💚💚Yangaaaa
Hhhhh vile umeshinda..ungekufungwa ungepita mbio mbio
Kama unaiangalia hii 21/08/2024 gonga like
Naipenda San Yan yanga