GB64 APAGAWA NA UWEZO WA KOCHA MPYA WA SIMBA STEVEN KOMPHELA ATEMA REKODI ZA KIBABE ALIZOWEKA AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

ความคิดเห็น • 23

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 หลายเดือนก่อน +2

    NAONA WAMEANZA KUJITATHMINI KAMA GB64 alivosema....
    AKINA MZARAMO NA WENGINE WAO WASHALEWA NA UCHAWA..
    BIG UP GB

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 3 หลายเดือนก่อน +4

    Brother GB 64 wewe ni zaidi ya GB 364 unaakili sana sema Simba Kuna mashabiki baadhi wenye platform kubwa halafu wanawatetea viongozi wabovu huu muda inabidi tuanze kuwaambia ukweli na kuwataja mmoja baada ya mwingine ili tuiokokee timu

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani usajili wa IBENGE vipi ni kocha anayefaa sana kuliko huyo msauzi

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ibariki simba ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 3 หลายเดือนก่อน +2

    gb tuse mee kaka

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 หลายเดือนก่อน

    eti " kombe LA shirikisho litakuwa lina mvuto kuliko champions league " hawa jamaa huwa wamafikiri kwa kutumia nini hasa ? Mbona ni kama anaota !

  • @AbdulkareemMtinge
    @AbdulkareemMtinge 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uongoz m bovu simba san

  • @LucasNyangwa
    @LucasNyangwa 3 หลายเดือนก่อน

    Huwanakuelewa Sana kaka nikohapakahama tunakufuatilia.sana

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 3 หลายเดือนก่อน

    GB imeingiliwa na virus, memory inachanganya ma file.

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 3 หลายเดือนก่อน

    KWA KUJIPA MATUMAINI.... USAJIRI BILA UTULIVU ?

  • @naomituji7683
    @naomituji7683 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna watu wengine huwa wanakata vichwa ndo wanafikiria sasa sijui Kama Kuna sehemu nyingine yenye ubongo zaidi ya kichwa.

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa National Al ahly

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bigapu sana

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 หลายเดือนก่อน

    misimu mitatatu minne mwendo ni huu wa tambo tusubiri ligi ianze ndiyo tutajua kweli simba wazung wamo au ndiyo ni yale yale ya 10 percent..

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 หลายเดือนก่อน +2

    Gb64 mwamba nakufatiria mno unaongea uharisia

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli pekua pekua

  • @halfanabdallah6553
    @halfanabdallah6553 3 หลายเดือนก่อน

    Simba pasua kichwa Sana yani dah mabadiriko yanakujaje kama making a Ela bado yapo

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno mengi , kwan chombo Cha kusajili na kutoa Hela na usajiri Bora wanavyomashabiki? Simba inaposhuka namna hii kusema sababu ni wanachama hio sio kweli, sababu ni vyombo vya juu vyenye mamlaka

  • @MagembeAngelo
    @MagembeAngelo 3 หลายเดือนก่อน

    Tuangalie Kwanza usajili unalizishaa

  • @swaleherashidimayunga4891
    @swaleherashidimayunga4891 3 หลายเดือนก่อน

    Babra hanakitu kwani anahela huyo nae ni mlinzi wa Mo kama Tray Ageni kitakacho itoa simba utumwani ni kukusanya pesa kwa wanachama

    • @joaskiliba5996
      @joaskiliba5996 3 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo Helsi ana hela😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@joaskiliba5996helsi ndo naniii ?? 😂😂😂