ISARITO na MULKY wafunguka CHANZO PENZI LAO KUKOLEA JUA KALI NDIO CHANZO? UKWELI NI HUU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- East African number one TH-cam channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
Hongeraaaa sana Luck ,nampenda sana Femi
wawooo hongera sana mmependeza sana
nice answers from Isa
Nice❤❤❤❤❤
Mtangazaji anajua .... 👍👍
Mtangazi Yuko vzuri ❤❤❤
Hongeren san mmependeza mno🎉🎉🎉🎉🎉
Nawappendaaaa🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Hongereni sana kwa hatua nzuri
❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ good
Kumbe Luka unajua kuongea vzur tuuu why Kwa juakali unadeka dekaaaa 😂
Mtangazaji poa sana
Nampenda ruka na femi ❤
Nawapenda sana nyie watu Kwakweli ❤❤❤❤
Mtangazaj yuko vzr sanah
Wanapendeza
Femi akipaka simple makeup anapendeza mno. Akizdisha kama hv anaonekana mtu mwingine. Mpaka mashavu hayana nyama
Daa kweli
Dada kubal tu kuolewa bc na Lukac❤❤
Mtangazaji uk vizur kwa maxwal
wat a chemistry❤
Nimependa namna ya maswali ya muulizaji😂❤❤❤❤
Dah nakubali mmependezana sana
nawapendasana lukanakupenda flm zako km Sanura umeupiga kaka
Nice couple Luka na Femi❤❤❤
Hongereni sana sana femi singida unaiwakilisha vizuri tukipenda tunapenda kazi nzuri
Nice mko vizuli❤
Nice couple ❤❤
Majibu ya Luka ni unyama sana
𝑳𝒖𝒄𝒂𝒔 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒖𝒄𝒉𝒂𝒈𝒖𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒘𝒆𝒍
Mecap ya fhemi ilimfhany anamuonekano wa kuzehek😮
Mwandishi upo vizur❤
Sana
Luka na femi ni wapenzi ila isarito na mulky siyo wapenzi
Zahara uko vizuri kwakutangaza
Asante sana !
Mzuri sana
Mtangaz yuko vzr
Jaman hvo vpodoz mmmmhhh mnakuwa km wadudu
Kumbe wameachana na Juma mahadhi ( msondo ) kazaa nae mtoto. Du wanawake hawa kisa jamaa kaachwa yanga yupo geita gold.
Mtangazaji yupo vzr mno apewe maua yake
❤
Ongelenii
Asanteee
Mtangazaji uko good❤❤
My boo Zahara ❤
Thank you
Femi jaman paka simple make up maan hapo yaaaan hat sura yako haipo s laisi mtu kukutambua kirahisi
Hakika mnatoshana
Luka kavaa nguo za Maria za kazin😅
Dah jamani😂😂😂
😂😂
Nd nmegunduaaaa sahv😅😅😅😅😅
Ahahhahah jamn so poa 😂
😂😂😂😂😂
Mtangazaji apewe maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉
Luka na Femi ni wapenzi ila siyo Isarito na murky
😂Kuna utofauti?
Sasa mi izi siku zite najua luka na femy ni bibi na bwana
❤❤❤
😁😁 Luka kanifrahisha majibu yake
Mulky wajina wa mwanangu
Femi usipopaka makeup unakuwa bomba sana
Acha izooo
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Couple nzuri jamani❤
Luka kumbe ww muongo kuna siku uliojiwa ulimkana femi Leo kwa vile uko nae ndo umesema ukweli haya sawa hongeleni
Amesema Luka na femi ni wapenzi ukumbuke Luka na femi katika juakali wanacheza seen ambayo inaonyesha kwamba wao ni wapenzi.
@@leonardally2111 haya sawa
Yes, ndo wanacho maanisha but kiuhalisia kwa nje ya jua kali kila mtu ana maisha yake 🙏
Ndio wakaitwa wasanii eti😂😂😂mambo Yao kisanii sanii tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Msipende lawama guys tambuen time goes around, jibu la jana si lazima lifanane na la leo coz maisha yanabadilika ....Kuna watu leo ni maadui usishangae kesho ukikuta ni Wana ndoa ..hivyo msimuhukumu Luka kwa jibu la jana ikiwa leo ni siku nyingine.
Make up inamutowa vibaya ka ma kazeheka 😅
Femi ukiwa una make up uko mrembo zaidi❤
Umeonaee apendezi akimakeup
@@MebakariBakari-l2j Akiwa una ua huna kutokana jibu lako...au mimi ndio sielewi!
Luka na Femi ni wapenzi.
Ndio kwenye JUA KALI but kila mtu ana mahusiano yake😊
paka make up ya kutosha uprndendeze🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
femi anapendeza bila mecap
Make up umekuzeesha 😂
Tanzania filamu festival 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acheni wivu femi kapendeza usoni
Ata vazi nampenda huyu buree dada jaman
Wanafik uyo femi sialisema kua anamtuwake
Ndo huyo sasa huyo mto kwani kuna ulazima lazma aseme kua niluka hamuachi nanyie
Luka na Femi ni wapenzi yaan kikazi an kwenye JUA KALI but Isarito na Mulky ni watu tofauti coz kila mtu ana mahusiano yake ndo nilivo elewa mie😊
❤
❤❤❤❤❤❤