Nafasi Ya Mwanamke Na Mwaume Katika Mahusiano Part 8

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#2021

ความคิดเห็น • 10

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 3 ปีที่แล้ว +4

    Kuna Mambo umenitibu nashukuru sana endelea, ubarikiwe.

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว +1

    Naamua kusikia sauti yangu ya ndani. ubarikiwe Mtu wa Mungu kwa mafundisho.

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ndiye mentor wangu wa maisha ,baada ya kufel shule, umeniponya ukanipatia mtizamo mpya ,ahsant sana Dr.

  • @aishavogelmann5021
    @aishavogelmann5021 2 ปีที่แล้ว

    Katika vipindi zote zako zinanifunza sana shukran 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nimeelewa vizuri sana

  • @alomsyrichmond
    @alomsyrichmond 3 ปีที่แล้ว

    Number 1

  • @momoledonatus1220
    @momoledonatus1220 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mm nilizalishwa nikaachwa but am still strong in Jesus name

  • @mwamin06luttu99
    @mwamin06luttu99 3 ปีที่แล้ว

    Wewe ni wathamani sana

  • @anitamwamini2646
    @anitamwamini2646 ปีที่แล้ว

    Kwa nini yeye mmokawapo wawanandoa achiti huku anajua inauma na inaweza kuvunja mahusiano

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 3 ปีที่แล้ว +1

    Doctor, unaelekeza watu kulala masaa 12 kwa siku kweli?? Hapo sikuelewi hata kidogo.