Hebu Tazama Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Kanda ya Shinyanga Mwanzo Mwisho.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2021
  • Waziriwa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hivi karibuni alifanya ziara Mkoani Shinyanya na kutembelea Vikosi vyote vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania -JWTZ kKanda ya Shinyanga.

ความคิดเห็น • 6

  • @shadrackmasokola3810
    @shadrackmasokola3810 ปีที่แล้ว

    Akili kubwa sana kwa kamanda kambi ya kizumbi

  • @hafidhimakele5489
    @hafidhimakele5489 2 ปีที่แล้ว

    TPDF👍👍👍

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 ปีที่แล้ว

    Heri ya Mwaka Mpya 2022 kwa JWTZ Jeshi Letu Tiifu kwa Amri Jeshi Mkuu wa Tanzania Rais Samia na Wananchi. Kambi ya Kizambi Shinyanga nashauri Serikali ingetazama namna ya kuboresha zaidi kama kuweka Chuo Cha Mafunzo ili kuenzi Askari waliopigana Vita ya Kagera Mwaka 1979. Tanzania Imara Kazi Iendelee. 🇹🇿🇹🇿

  • @francisunduley4962
    @francisunduley4962 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe jeshi lina mavifaaa adi Shinyanga wko hivoo ongereni sana wapiganaji wetu ,,, mi nawakubaligi sana ninyi watu

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 2 ปีที่แล้ว

      Jeshi lipo nchi nzima sio shinyanga tu kila mkoa tanzania kuna zaidi yakambi ya jeshi zaidi ya moja au kikosi cha jeshi

  • @visionally975
    @visionally975 2 ปีที่แล้ว

    Me nawapenda watu au viongozi wa kujiongeza kama huyu askar