WAZIRI WA ULINZI NA JKT DKT. STERGOMENA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA MANYONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ค. 2024
  • #wizarayaulinzi #jwtz #jkt

ความคิดเห็น • 22

  • @richardalex3600
    @richardalex3600 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ni hatuna nzuri,inabidi Sasa mg wapewe posho,matibabu,na kupitia briged Kila Kanda wawe wanakwenda kushiriki mazoezi, na kwakuwa ni sehemu ya jwtz,vitambulisho na mavazi wafanane

    • @richardalex3600
      @richardalex3600 2 หลายเดือนก่อน

      Kama kamandi nyingine Kila Moja Ina nembo yake lakini ya kofia ni Moja na Kila Ina share zake lakini wote wameruhusiwa kuvaa Kombat na wanaposho na Jeshi la akiba pamoja wanamavazi Yao na kwasababu vitani wataingia na Kombat basi waanze kuruhusiwa wazizoe sio vitani waanze kuhofu kuhusu adui na wahofu kuhusu Kombat,tumeanza vizuri kuimarisha na kurudisha heshima sifa kwa amiri Jeshi na makanda tuendelee kuiboresha

    • @shabanimadewa1525
      @shabanimadewa1525 2 หลายเดือนก่อน

      Naung mkon

  • @user-ij2xw3om2t
    @user-ij2xw3om2t 11 วันที่ผ่านมา

    Wii MUNGU Libaliki jwtz MUNGU ibaliki Tanzania Amina

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatimae kamandi imekamilika Kaz nzuli ahsanteeni tupo p1

  • @umrathhassani
    @umrathhassani 2 หลายเดือนก่อน

    Mpo vzr Allah awawekeee wepec

  • @RenatusSongo
    @RenatusSongo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo ingetakiwa wawepo wanajeshi wa hakiba mg

  • @Rastermirish
    @Rastermirish 10 วันที่ผ่านมา

    Sawa kabisa

  • @MgishaBoaz
    @MgishaBoaz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani kambi ya jeshi la akiba imejengwa lini sijawahi sikia

  • @AllyKafungwa
    @AllyKafungwa 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sanaaa kuwepo kwa KAMBI YA KAMANDI YA JESHILETU LA AKIBA ila ninapenda sana namimi ningekuwa mmoja wa jwtz moja kwamoja napenda hata nisipolipwa jamani dah c.r.f oyeeee

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 2 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @DBlack-bo8ob
    @DBlack-bo8ob 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania bado tunafeli saana inawezekana vipi linafunguliwa wakati wahusika hawapo au hiyo ni kambi ya jeshi la wanainchi tujue serikali inapaswa kubolesha jinsi ya kuwapa nafasi kubwa askari wa K.J.A tafadhali kama kjna wanao husika watambue kua kuna vijana wanaumia na wana mafunzo na wanazalaulika saana

  • @MgishaBoaz
    @MgishaBoaz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anae jua kambi iyo ina manufaa gani kwa mg anifahamishe maana sioni askari wenyewe kambini apo kama ilivyo kwa majeshi mengine

    • @elysetv1107
      @elysetv1107 28 วันที่ผ่านมา

      @@MgishaBoaz ni kutoa mafunzo kwa wakufunzi wa mgambo na mgambo wenyewe

  • @gracemartin3379
    @gracemartin3379 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nimefurahi Sana kuona kukamilika kwa kamandi ya jeshi letu la akiba Kwan mmi piah no mmoja was Askari wa jeshi la akiba lakini nimehuzunishwa kutokuona askari wenzangu hapo wa jeshi la akiba/mgambo katika video picha hii haileti afya kwakua hatuwaoni wenzetu wanao tuwakilisha kwa hili mmetukosea Sana mnapaswa kutuomba msaha kwakweli

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tulieni hayawahusu.

  • @innocentrichard2945
    @innocentrichard2945 หลายเดือนก่อน

    Camera stabilizer bado kiongoz

  • @khadijaomary2427
    @khadijaomary2427 2 หลายเดือนก่อน

    Hvi hiyo Guard akuikagua au Mtandao bado unasumbua?

  • @richardalex3600
    @richardalex3600 2 หลายเดือนก่อน

    Pia tukumbuke katika kuimarisha kamandi tuwatumie mg wenyewe,wapo wasomi ktk mg tuwatumie italeta tija

  • @khadijaomary2427
    @khadijaomary2427 2 หลายเดือนก่อน

    ilitakiwa tuone mgambo nao wapo hapo

    • @mohamedmageni12
      @mohamedmageni12 2 หลายเดือนก่อน

      HAKUNA MGAMBO TZ NOW MBONA MMENG'ANG'ANIA MGAMBO... HEBU WAPENI HADHI WAPIGANAJI WETU BWANA.... MGAMBO NI ENZI HIZO ZSHAPITWA..... HILI NI JESHI LA AKIBA.... KAMANDI YA JESHI LA AKIBA CHINI YA WIZARA YA ULINZ NA JKT.... AMBAYO ZAMAN ILIKUWA CHIN YA WIZARA YA ULINZ NA MAMNO YA NDAN ILIITWA JESH LA MGAMBO....