Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 09/07/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 7

  • @augustinembola1502
    @augustinembola1502 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu iepushie thahama congo

  • @user-gb7tu1zm1u
    @user-gb7tu1zm1u 25 วันที่ผ่านมา +1

    BBC Hakika mnachimbua mambo hadi najihisi niko studio ya ukweli, asanteni sana. Nawapata nikiwa Tukuyu Mbeya Tanzania

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona Rwandan hajapewa vikwazo hat kimmoj na muna uhakik kam wanasapoti M23 ila Iran 🇮🇷 walipewa vikwazo kisa kuisaport Hizbullah na Houth

  • @Godfreyolekidongo
    @Godfreyolekidongo 25 วันที่ผ่านมา

    Kunamataifa makubwa yanayoisapoti m23 Ruanda hainauwezo huo

  • @mrsilverclassic6785
    @mrsilverclassic6785 25 วันที่ผ่านมา

    Eeeeeti anafanya marekebisho katika Tume ya uchaguzi😂😂.Watu wanahitaji vitu vingine wanauliwa ndugu zetu huko kenya,wanalalamika vitu kadhaa wakadhaa weunaenda kuweka tume mpya ya uchaguzi, watu wanataka barabara ya chini weunaenda kununua Ndege.

  • @marickmtz4861
    @marickmtz4861 25 วันที่ผ่านมา

    Kongo inatakiwa itangaze vita na rwanda ichapike Rwanda yan ka inchi kama mkoa wa kagera kanaisumbua kongo kwel .kongo chapa huyo Rwanda. Tanzania tupo nyuma yako ukipigwa tutakusaidia 😅😅😅

  • @seniormahamed7481
    @seniormahamed7481 25 วันที่ผ่านมา

    Biden ajiuzulu tu maana hakuna namna kutokana na hali halisi ya baadhi ya matukio yake mbele ya kadamnasi mbali mbali.