ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 02|ABIE AFRICA-BONGO MELODIES
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2021
- Hii ni TOP 50 ya Mashindano ya Unitalent show safari ni moja wanavyuo kutoka vyuo tofauti wanashindana kwenye stage moja wakiwa na vipaji tofauti ili kuibua vipaji vipya na kukuza soko la sanaa hapa nchini
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #starstudent #talentsearch
This man knows how to sing....ur so talented AbieAfrica
Jamaaa alivyokuwa anasoma IGANZO alikuwa fresh MNOOO 😁😁 naona maheren saiv
💪💪💪huooo ndo mziki baba hongera sana broo
Siandikagi commenti Ila Kama umeenielewa we like za kutosha apa
Hunyama mwingi 🔥🔥🔥🤛
Damn!!. This guy's voice is way something else bana... Raw talent kiukweli
Yan zikipigwa show kama hiz ndo viingilio viwe laki mbil sio maswal yakutuambia mikono juu kila siku
Haya namuona mdogo wangu calomela malata...mwambie Mr Calvin anamsalimia
NATAKA KUONA UKISHINDA LEO KWENYE FAINALI BRO🙏🙏🙏💥💥💥💥💥📢📢🔥🔥
He's so perfect👌🥳
What talent is this
Moto sana uyu jamaa 🔥🔥🔥
Hakika mm tang nianze kuangalia mashindano aina yote Leo ndo nmempata alie kosha moyo Wang staki kuamn I love you so much
@@sadocksylvester3012 Suleiman moto mwingine
Abie nyoko sana
daaah mwamba nimekubali asee unajua
Huyu mwamba ni fireeee sanaa
Nice San Mzee baba onesh vit vyako ameinz san
You deserve AGT or BGT
Fundi sanaaaaaaaa huyu kijanaaa
Umetisha
Dogo unakipaji sna unaitaji kitu kidogo Sana coz punch ipo, jukwaaa unaweza kutawala
TASUBA IS SHINING
Talented this guy
Nakubari mwanang sana tupo pamoja mzee baba
Hatari sana 🔥🇰🇪✅✅
Wooow ABIE AFRICA BALAAAAA
Most talented boy
Aisee nilijihis naangalia show live kumbe ni mashindano
Abby is blessed
🙌🙌 tasubaa 🙌🙌🙌
Noma we jamaaa
This guy is powerful actually
Mashindano haya ni ya 2021 au yanaruka sku gn za wk Anaejua anitonye
🔥THE BEAST🔥
TID yupo makin anasikiliza nyimbo kwa hisia adi kama anataka kulia ..uku anatabathamu raha tu
Big up
Hiki kipindi Ni more than BSS
Yko vizuriii hatareee
Fire abby
daaamn huyu kijana anacheza guitar banaaaaa
Jamaa ni mshindi uyu bhana mpen kitita chake
waache bwebwe za kupoteze mda wakupe tuu izo hela basi 😁😂
Your so good boy
Born talented
Anajua sana
Fire abby
Nice
Wewe noomaa
Talented
Nairudia Kila siku,,
Mimi shabiki wako mzee baba
Fireee3ee
Nimeona the other vertion ya yule aliefariki katika The Mafik
Abishai kutoka cjap ministry
Unajuwa
Kutoka IG mpaka TH-cam
Wemkalii
Unajua asee nothng else
Wooow 🥰
💪🇹🇿🇹🇿
kwel
kumbe hiyo mdomo ni ya kuimba...u should be very proud
😂😂😂 unazingua
We mkorof
💕
Lyrics za uongo😂😂in my heart there's permanent place for you,,,my guy😂😂
😂😂😂😂Kanichekesha na mimi kha
Is cover + creativity
ndio maana ya cover
@@inocentlema5574 cover’s supposed to be the same lyrics in a different style😂 that’s a remix what he did there
Uhakika dogo
Mzee ukovizuri c wakupe tu ela zako bhana ila usinisahau
Pata mashine ya kupima pressure za kisasa zenye kusoma na kutafsiri maana ya majibu ya pressure kwa kukusomea kwa sauti. Piga 0784229770 pia zinauzwa kwa bei ya punguzo.... wahi sasa
Abby siku ukianza imba ngoma za belle 9 walah nakwambia utazigunika kama umetunga weye nakwambia em jaribu utaona una ila back tone ya belle ila yako ulinaeza nyonga haswa
.
Ni demu au jamaa🤔🤔🤔
Hahahahhahahahaha una visanga mwamba
Fundi
Ivi nyimbo ambayokamalizia mwisho inaitwa pia namsanii anaitwa nani
Msanii anaitwa simi wimbo duduke
Msanii simi wimbo duduke
Nyimbo baby msanii aslay
Kinarushwaga channel gan na lini jamn
Tv E jmos saa tatu uck
Wanmzk wazur ndo awaana management
Nknl
Umetisha
Muuumini msenzangu salute
Fundi