UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 03|AFRICAN COUSIN(TASUBA)-SAUTI ZENYE LADHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2022
  • Ni msimu wa Tatu wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M Pamoja na kwenda Uholanzi kujiendeleza Kitaaluma
    Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Alhamisi Clouds TV
    INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
    PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
    #kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season03

ความคิดเห็น • 119

  • @babadaboc2481

    My brother wa Middle ure voice is blessed me Bella unniinspire

  • @beverlyndavids
    @beverlyndavids 2 ปีที่แล้ว +5

    Brought here by TikTok♥️♥️

  • @officialeunice7345
    @officialeunice7345 2 ปีที่แล้ว +5

    Napenda huyo kaka anavoimba for sure anajua. 💘

  • @wilsonmsilu1936
    @wilsonmsilu1936 2 ปีที่แล้ว +7

    Daaah huyo mwana hapo kati ni 🔥🔥🔥🔥🔥 daah huu mziki kuna watu wanaudai sanaaaaa

  • @sayunilaizer7023
    @sayunilaizer7023 2 ปีที่แล้ว +8

    jmn we kaka wa katikati unajua....cjui kwann hukuamua kuwa wewe kama wewe utapoteza kitu kikubwa brooh....wish ukue wewe kama wewe 😓🥰🥰.....

  • @imeldamtey8132
    @imeldamtey8132 2 ปีที่แล้ว +8

    Yani kwakweli tusiwe waongo Kila mmoja hapo anasauti Kali sana ila iyo aliyeva koti jeusi nimeiyelewa sana👏👏👏👏👏👏

  • @tabithajohn8254
    @tabithajohn8254 2 ปีที่แล้ว +4

    I repeat and repeat,,, everyone there is unique 😩❤️❤️

  • @niyisyegekitta6160
    @niyisyegekitta6160 2 ปีที่แล้ว +5

    He knows yet so humble mweeeh🔥

  • @rahmambugi1950
    @rahmambugi1950 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kama sio mbongo maana unajua unajua mbaka unaniliza kwa raha dah mungu akutimizie ndoto zako zikatimie 🙏❤️🥰🥰

  • @Joycenangonga

    Yan hyu kaka wa katikati anaimba mpaka anakeraaa daah big up

  • @lavijacy3378
    @lavijacy3378 2 ปีที่แล้ว +6

    The first boy nailed it🔥🔥🔥

  • @vinisondaudi2912
    @vinisondaudi2912 2 ปีที่แล้ว +8

    Talented Bro Black Coat 🤣

  • @jesselyimo3403
    @jesselyimo3403 2 ปีที่แล้ว +2

    Unajitahidi saaana ila huyo jamaa na Coti jeusi daa viwango vyake sio vya hapa aisee anatisha hongera sana!

  • @shohamagutu6165
    @shohamagutu6165 2 ปีที่แล้ว +4

    Sema Jamaa wa kat anajuaa🤗🤗

  • @ernestadriano9573
    @ernestadriano9573 2 ปีที่แล้ว +8

    Nafikiri,,, amjajua Mana yakikundi kunasauti za kuitikia inamana wanajaza mziki uyo jamaha wakati Kati anajua lakin ao wengine lazima wawe wakwamana wanamsaidia uyo kuonekana anajua zaidi nazani anae fahamu mziki wanajua umuhimu wa ao wengine

  • @Kizzymelody722

    Good song

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 2 ปีที่แล้ว +3

    The second boy killed it 🔥🔥🔥

  • @teddymaliatabu2039
    @teddymaliatabu2039 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anakuaga na sauti ya radi...!!

  • @Kizzymelody722

    👏💥💥💥

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 2 ปีที่แล้ว +2

    Weweweweweeee dogo unaua sanaaaaa🔥🔥🔥🔥