#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Karibu kufuatilia mubashara (#live) Ibada ya ndoa baina ya Ngaraba Maira Songo na Sarah Modest Mush. Itakayofungwa na Mchungaji. Stephen Letta. Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Mtaa wa Bagamoyo
    Ibada ya ndoa hii itaanza saa Sita Kamili (06:00) mchana kwa saa za Afrika Mashariki (EAT), katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge, Dar es Salaam, tarehe 30.04.2023. Itakuwa Mubashara (live)kupitia channel TH-cam ya APP
    Karibu kuwatumia salamu na kuwatakia heri kupitia live chat.

ความคิดเห็น • 1