ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nmeipenda hi ndoa na mungu awatangulie
Hongera na Mungu akawasimamie
Mbarikiweeee
Hongereni sana Dr.Charles Mungu awa bariki kabisa ,tuna wa fata sana uko D.R.C Congo.
Amina, Mungu akubariki sana @SALAMA SYLIVIE..
Best couple,best wedding 💒 Mungu akawatangulie na akawabariki sana na sana katika ndoa yenu 🙏🙏
Hongera sana Charles & Win kwa hatua hiyo, Mungu awabariki ndoa yenu.
God bless you guys, what a wonderful wedding.My God bless this union forever may happiness be the recipe in all that.AMEN
Ameen
congrats Dr.Charles,apatae mke apata kitu chema,Mungu awatangulie ktk ndoa yenu,AMEN
Congratulations my brother and May the good Lord bless your marriage abundantly
Ninawatakia maisha mema ya furaha, upendo na uvumilivu. Mungu awajilie watoto wa kiume na wa kike watakaomuheshimu Mungu na wanadamu pia.
I've been looking for this all along..awww
Congratulations for the nicest stage in your life! God bless your marriage and also remember to give him the first chance!
Hongeran sana maharus Kwa hatua hii mliyofikia mkamtangulize Mungu kwenye safari yenu ya maisha mliyoianzaPia mtuombee nass ambao Bado tufike huko,
Amina Mungu ni mwaminifu atajibu kwa wakat wake
Hongeren sana furaha aman na upendo vikawe sehemu ya maisha yenu
Furaha mliokuwa nayo ikawe kwenu milele na milele. Mkamtangulize Mungu mbele. Asitoke kinywani mwenu. Love you. Let that smile continue
Maisha marefu na yenye furaha,amani na upendo nawatakia maharusi wetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongereni Sana Mungu abariki Ndoa yenu Amina.
Mungu awabariki wanangu, MKAISHI KWA FURAHA NA AMANI! MRS URIO.
Watu makini
Jamani ilipendezaaa sanaaa Mungu atukuzwe sanaaaa
Mungu azidi kuwabariki
Hongeren sana mungu awao ngoze safar hii
Look at the way charles Look at his bride when giving her a flower🥰❣....Update..they got a baby boy....may GOD bless their family🤗❣
Waooo waooo Naomb jina la instagram ya mmoja wao kama unajua
Kwaya haikusikika.tunasikia vinanda tu.Ila maharusi hongereni
Deus seja louvado.Mungu awabariki Niko mozambique.............
Mungu akubariki @Sanito Luis Luis
Hongera mko vizuri sana
Mungu pamoja nanyi wapendwa
Hongereni mkamtangulize Mungu kwa kila jambo.Msitumie akili zenu wenyewe ktk kutatua tatizo.
Saf xana
Dr. Charles, bro, there shall be trustful guidance ahead.. I know.
Mko vzr
Looking good together
Hongereni sanaa
Ww ni lady mabamba ikizu au
Hongereni
Yaaani ilifana kwelii....
Hi harusi imetrend sana kwe social media.. Hongeren Sana maharusi wetu
Good
Jaman aka kabiti kanaitwaje?
Elika belias
Lb hawasikiki vizuri
Sory ni win Josiah mrimi? Wa tarime.mza na sasa dar?
Mungu awasimamie
Naweza kupata hii beat ikiwa full? Kwa whatsapp au email
Hongera sana
Hongeren sana wapendwa
Nmeipenda hi ndoa na mungu awatangulie
Hongera na Mungu akawasimamie
Mbarikiweeee
Hongereni sana Dr.Charles Mungu awa bariki kabisa ,tuna wa fata sana uko D.R.C Congo.
Amina, Mungu akubariki sana @SALAMA SYLIVIE..
Best couple,best wedding 💒 Mungu akawatangulie na akawabariki sana na sana katika ndoa yenu 🙏🙏
Hongera sana Charles & Win kwa hatua hiyo, Mungu awabariki ndoa yenu.
God bless you guys, what a wonderful wedding.
My God bless this union forever may happiness be the recipe in all that.
AMEN
Ameen
congrats Dr.Charles,apatae mke apata kitu chema,Mungu awatangulie ktk ndoa yenu,AMEN
Congratulations my brother and May the good Lord bless your marriage abundantly
Ninawatakia maisha mema ya furaha, upendo na uvumilivu. Mungu awajilie watoto wa kiume na wa kike watakaomuheshimu Mungu na wanadamu pia.
I've been looking for this all along..awww
Congratulations for the nicest stage in your life! God bless your marriage and also remember to give him the first chance!
Hongeran sana maharus Kwa hatua hii mliyofikia mkamtangulize Mungu kwenye safari yenu ya maisha mliyoianza
Pia mtuombee nass ambao Bado tufike huko,