Bwege, Wabunge kama Mbumbumbu Kila Kitu Ndio/Wabunge Wapigwa Ganzi/CCM Itashinda Kama Itafanya Hivi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 161

  • @mashaloyuzo3256
    @mashaloyuzo3256 4 ปีที่แล้ว +10

    Mzee anaongea point san

  • @edwinegordian5425
    @edwinegordian5425 2 ปีที่แล้ว +33

    Who's still watching this till now???

  • @dazk7861
    @dazk7861 4 ปีที่แล้ว +12

    Nimekupenda bwege unaweza sana siasa

  • @januarysiamejaysiame5605
    @januarysiamejaysiame5605 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mheshimiwa jipange2025

  • @hilarygodfrey5862
    @hilarygodfrey5862 4 ปีที่แล้ว +16

    Mnangalia nanikasema sio nn kasema noma sana point mzee

  • @naslee1010
    @naslee1010 4 ปีที่แล้ว +22

    jamaa alitabiri kuhusu 2020 #ccm kua wenyewe #bungeni dah!😭

    • @adamumuki1242
      @adamumuki1242 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtu mzima uyu anaona mbali

  • @anthonyodeba4137
    @anthonyodeba4137 4 ปีที่แล้ว +14

    hehe this guy......I would like to catch Tanzanian live parliamentary seatings....love from +254.

  • @rahimmaumba5364
    @rahimmaumba5364 4 ปีที่แล้ว +16

    Jamaa kaongea point kweli ila watakaomuelewa wachache Sana..

    • @ebenezerysarakikya6777
      @ebenezerysarakikya6777 4 ปีที่แล้ว

      Sio wachache tu pia wenye uelewa zaidi sio juu juu tu

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      Na ndio mana wame mtoa. Sidhani alishindwa

  • @egbertcharles
    @egbertcharles 4 ปีที่แล้ว +25

    Tulio kuja hapa baada ya uchaguzi 2020 tujuane kwa likes. Mungu ibariki Tanzania.

  • @olluoddiossa9863
    @olluoddiossa9863 4 ปีที่แล้ว +3

    Sahz bunge sijuiiiii.

  • @blesslory1862
    @blesslory1862 4 ปีที่แล้ว +10

    Taarifa ya kuforce hiyo

  • @franceally7615
    @franceally7615 4 ปีที่แล้ว +10

    Kabisa waache mambo ya uchama mjenge nchi, mnanjaaa eeeeeh mmeshiba eeeeeh

  • @sarahwalles2607
    @sarahwalles2607 4 ปีที่แล้ว +3

    Yametimia sasa kweli bwege ambao wasiokujua n wanakujua kwa hiki kilichotokea uchaguzi wa Oct.28 2020 uchafuzi mtupu

  • @jacksonbohbahck6307
    @jacksonbohbahck6307 4 ปีที่แล้ว +4

    Bwege umetishaa

  • @samwelikaiga3096
    @samwelikaiga3096 4 ปีที่แล้ว +4

    Imekaa pow

  • @abdulijuma5754
    @abdulijuma5754 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampe afyaah njema bungara

  • @barakamwita78
    @barakamwita78 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutangulie

  • @nurukapoja7759
    @nurukapoja7759 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maneno yako na ujumbe murua

  • @mangulymanguly139
    @mangulymanguly139 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana mbunge bwege

  • @anthonyodeba4137
    @anthonyodeba4137 4 ปีที่แล้ว +5

    hehe the best speaker ever.......

  • @brayanmahuchan1140
    @brayanmahuchan1140 4 ปีที่แล้ว +4

    bwege yuko vizuri

  • @sezarialfred6240
    @sezarialfred6240 4 ปีที่แล้ว +10

    Chuma hicho naomba watu wa kusini helua mleteni tena

  • @niyeyetundulissu7086
    @niyeyetundulissu7086 4 ปีที่แล้ว +6

    Hawa Ndo wabunge wanaotakiwa sio wagonga meza

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah!! Bwege kumbe unapoint bhana

  • @sarahwalles2607
    @sarahwalles2607 4 ปีที่แล้ว

    Safi kbs wabunge km hawa ndo tulikua tunawataka sio baya ndioo zuri ndioo

  • @frankluandanyamkajr5630
    @frankluandanyamkajr5630 4 ปีที่แล้ว +28

    Mnaangalia nani kasema hamuangali nini kasema🏃🏃🏃

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Wewe unaona kuna jipya gani toka kwake? Jamani kweli hata jambazi hakosi rafiki.

    • @makongoronyerere2595
      @makongoronyerere2595 4 ปีที่แล้ว +1

      @@epafrangweshemi4014 Kwan yy kakuambia yy nirafk yake, nilip Bay hyo mbunge kaongea, niwale wale mbumbu

    • @sarahwalles2607
      @sarahwalles2607 4 ปีที่แล้ว

      @@makongoronyerere2595 sawa kbs hao ndo wamejaa uchama uchama tu je anachoongea sio chaukweli?

  • @mwltangazo7414
    @mwltangazo7414 4 ปีที่แล้ว +4

    I like this man

  • @sadatsuleiman360
    @sadatsuleiman360 4 ปีที่แล้ว +5

    Good speech

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 2 ปีที่แล้ว

    Daa mzee uliona mbali

  • @africa7479
    @africa7479 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana kuhusu mashehe aisee

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 ปีที่แล้ว +1

    Bring Back Bungala bwege

  • @edwinbenja1306
    @edwinbenja1306 4 ปีที่แล้ว +13

    we ulisikia wapi 😂😂

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 4 ปีที่แล้ว +4

    Raha ya bunge lichangamke na uchangamfu wa bunge nikusema ukweli sio kufcha maovu

  • @rajabuathuman8825
    @rajabuathuman8825 4 ปีที่แล้ว +3

    Alitabiri kweli

  • @transmadale
    @transmadale 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaani hili jamaa huwa nalipenda sana linaongeaga point tupu hadi raha

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunaimani 2025 Dhulma haitokuepo tena tutakuona tena Mjengoni Bwege tumekimc sana mzee

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 4 ปีที่แล้ว +3

    Speech hii inaa maana leo hii baada ya matokeo ya uchaguzi

  • @nehemiarodrick5347
    @nehemiarodrick5347 ปีที่แล้ว +1

    Hili ndo lilikuwa bunge bhana hii imeenda

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 ปีที่แล้ว +2

    Oooolisikia wapiii chadema wakashindwa

  • @worldscatter
    @worldscatter 4 ปีที่แล้ว +6

    Yametimia ni ccm wote

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      Wataanza kupigana

  • @marcokasela96
    @marcokasela96 4 ปีที่แล้ว +11

    Mheshimiwa ndugai ukimsimasha mheshimiwa bwege/bungala Atoe Hoja zake Aaaaa! Huwaga anachangamsha Ukumbi mzima wa bunge. Hata alienuna Lazima Aonyeshe Tabasam... 😂😂😂😂😂

  • @dismaschama5858
    @dismaschama5858 4 ปีที่แล้ว +3

    Bwege una akili nyingi San ulitabili vizur

  • @ephantuskarari159
    @ephantuskarari159 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnaaangalia nani kasema hamwangalii nini kasema

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 4 ปีที่แล้ว +8

    Yametimia dah any way you saw it coming😌

  • @abdulabdallahabdallah11
    @abdulabdallahabdallah11 2 ปีที่แล้ว +1

    CCM DOLEEE

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 5 หลายเดือนก่อน

    Nimeangalia tena leo baada ya kuwaona wabunge wa Kenya wakimpongeza Ruto kwa kukataa kusaini sheria ya kodi waliyopitisha bungeni

  • @dazk7861
    @dazk7861 ปีที่แล้ว +1

    Tumekumic bungeni selemani bungala

  • @chiefkaitaba8293
    @chiefkaitaba8293 2 ปีที่แล้ว

    Mbunge huyu alikuwa na maono kweli
    Leo ccm wanaumana wao Kwa wao

  • @shiraboy8849
    @shiraboy8849 4 ปีที่แล้ว +4

    Jembe sana

  • @alexandernyirenda2900
    @alexandernyirenda2900 5 หลายเดือนก่อน

    Kulichangamka sana kwakweli😂😂

  • @deusmhwagila287
    @deusmhwagila287 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @hope30807
    @hope30807 2 ปีที่แล้ว

    Hii ndio maana ya vyama pinzani bungeni lengo ni kuwa challenge chama tawala 👏 ili kizidi kufanya vizuri zaidi katika shughuli zake za kiutawala

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +3

    Ukiwa msema kweli lazima uchukiwe

  • @yussufsheha9136
    @yussufsheha9136 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni muugwana

  • @yusuphmpenja3288
    @yusuphmpenja3288 ปีที่แล้ว

    Nafikili huyu mzee ni bunge comedy na hua andaliwa kabisa njoo upoteze muda atuna ajenda anaongea anavyo jisikia vizuli nimeipenda

  • @briankayembe2654
    @briankayembe2654 4 ปีที่แล้ว +7

    We ulisikia wapi?

  • @gabychaki158
    @gabychaki158 4 ปีที่แล้ว +4

    Hahahahaaha mzee guud sana

  • @waleedabdul55
    @waleedabdul55 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndio ilivyokua sasa

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo ปีที่แล้ว

    mbunge makini sana ana hekima

  • @inyasirwakasigaz4809
    @inyasirwakasigaz4809 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwl kbs

  • @honestpaschal1568
    @honestpaschal1568 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee anapiga misumariii hatari😂😂

  • @januarysiamejaysiame5605
    @januarysiamejaysiame5605 4 ปีที่แล้ว +2

    Ulisikia wapi

  • @franciskagumba4567
    @franciskagumba4567 4 ปีที่แล้ว +1

    Kidogoooooooo Mahakama

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

    Weeeee uliskiaa wapi

  • @dotoayubu346
    @dotoayubu346 4 ปีที่แล้ว +3

    We ulisikia wapi😄😄😄😄

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 2 ปีที่แล้ว

    Daàaah basi tu tumekosa mengi bungeni

  • @innobugobola3744
    @innobugobola3744 4 ปีที่แล้ว +5

    Endelea kutupa burudani mi nakukubali mzee

  • @anordallen3685
    @anordallen3685 4 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁 mheshimiwa bwege daah

  • @molenijackson1198
    @molenijackson1198 ปีที่แล้ว +1

    Aliyoyasema bwege yalikwisha kutumia

  • @franceally7615
    @franceally7615 4 ปีที่แล้ว +5

    Hilo dole lipi sasa Bwege 😂

  • @bakarimashi2299
    @bakarimashi2299 4 ปีที่แล้ว +11

    Mmeshiba eeeenh mna njaaa eeeenh...🤣

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    One of big brain in Tanzania bwege old man but has big brain into tanzania palament house although name bwege in Swahili is lschupi ward but has capacity of open this brain in Tanzania Palament house

    • @abdalahgunda1319
      @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

      That was lmotion into Tanzania Palament house soon after bwege jokes mp of ccm when gavment say stomach is full yes when gavment say your hangry yes you don't have to protect gavment your here protect Tanzania people not gavment has capacity of big challenge into palament

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 4 ปีที่แล้ว +1

    Job Ndungai....bana😃😃😃

  • @chrissjmunga8465
    @chrissjmunga8465 4 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali uyuuuu

  • @roberomartnez4020
    @roberomartnez4020 2 ปีที่แล้ว +1

    Job Ndugai alikuwa spika bora mno

  • @meshackmmary3117
    @meshackmmary3117 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamaaaa kaua sanaaaa aseeee

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว +5

    Ukweli ndio huu, 2020 kura zote zitakua hivi.
    Kugombea kupitia chama hiki si lazima ufanye lolote ukiishachaguliwa. Serikali itafanya. Useme usiseme, serikali ipo. Wewe tulia na ule nchi kwa miaka mitano. Kusemasema si vizuri wakati wa kula. Hiyo ni kazi ya wasio na chakula.
    Kwa nini kuna ukame wa wagombea katika vyama vingine? Nimesikia mbili zikisemwa na wengi kati ya nyingi:
    1. Hawatapitishwa na tume kugombea. Fomu zitachafuliwa. Wafuasi wao watazuiwa kupiga kura. Wakijitokeza vituoni watazuiwa. Wakilalamika watakamatwa. Wakipiga kura hazitahesabiwa. Zikihesabiwa hazitatangazwa. Ni utitiri wa visa.
    2. Kugombea kupitia upinzani ni maisha ya roho mkononi kila wakati. Kufutiwa uraia, kubambikiwa kesi, kufilisiwa, kutekwa, kujeruhiwa, kuuawa, na kuteswa kisaikolojia. Ni utitiri wa visa na hofu. Unashika fomu ya kugombea mkono mmoja na mkono wa pili unaandika wosia.

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Wasiwasi tu, nchi hii wapinzani mna raha kulinganisha na nchi nyingi DUNIANI ila mtambue tu kuwa upinzani sio kinga ya kuvunja sheria. Hivi wewe unakwenda fanya vurugu za kisiasa magereza si watafuta ubaya. Kule sio hospitali kuwa manesi watakupa pole nyingi kule mafunzo ni mengine. KUJITAMBUA ndiko kunahitajika.

    • @clementlushino5763
      @clementlushino5763 4 ปีที่แล้ว

      Point

  • @josej9888
    @josej9888 4 ปีที่แล้ว +7

    Nini kasema! Kama huna akili yakuchanganua point zake, huna tofauti na wale wa ndio!

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 9 หลายเดือนก่อน

    Nani yuko hapa leo bungeni ccm wote....mzee alisema kweli...

  • @jacobkarani8231
    @jacobkarani8231 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 4 ปีที่แล้ว

    Na hayo ndio tutayaona Sana bunge hilii

  • @godfreypatrick461
    @godfreypatrick461 4 ปีที่แล้ว +9

    Mheshimiwa ndugay tunataka na kigwendu aje bungen hawa wazee wa komedi ni wazur wanatowa hoja na kuchangansha bunge

  • @mesuforex979
    @mesuforex979 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe lilipangwa

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว +2

    Wananchi hamjakosea kumchagua huyu jamaa

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee noma

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 4 ปีที่แล้ว +1

    Namwelewa Huyu

  • @hamzandawenga6334
    @hamzandawenga6334 4 ปีที่แล้ว +1

    Vzuri bwege

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahaha case za kubambikia

  • @ommarelbungara4347
    @ommarelbungara4347 4 ปีที่แล้ว +4

    2025....umepita .

  • @ebenezerysarakikya6777
    @ebenezerysarakikya6777 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawa watu muhimu sana Tanzania kilichobaki sasa sio bunge unafiki mtupu Demokracia sasa hamna tunadanganyana tu kilichobaki ndio mzee umeshiba Eee unanjaa Eee

  • @davidntahindwa752
    @davidntahindwa752 4 ปีที่แล้ว +2

    Yametimia

  • @douglasmutembei4613
    @douglasmutembei4613 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 mwege motoo..

  • @franceally7615
    @franceally7615 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmeshiba eeeeeh mnanjaa eeeeeh

  • @remigiusyustinian200
    @remigiusyustinian200 ปีที่แล้ว +1

    Hayo yalitimia

  • @pakapakatuondoke6785
    @pakapakatuondoke6785 4 ปีที่แล้ว

    Kutana Na mbunge bwege,mbunge mzitoooo,sana hahaha huyu ndio mbunge ninaye mtaka mimi

  • @Jimmymanasseh_Official
    @Jimmymanasseh_Official 4 ปีที่แล้ว +9

    Hahahahahahahahahahahaha
    Uyu jamaaaah kamlithi lissu

    • @epafrangweshemi4014
      @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว

      Ila Lisu ni bwege msomi anajijua mwenyewe tu atokako na aendako. Kasumba nyingiii.

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 ปีที่แล้ว

    Bwege alilitabiri bunge hili

  • @janewamaitha4930
    @janewamaitha4930 4 ปีที่แล้ว +2

    True

  • @MsafirLeuna-zz6rw
    @MsafirLeuna-zz6rw 10 หลายเดือนก่อน

    Ulitabili ulitimia

  • @phillipandrew6260
    @phillipandrew6260 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kwann ujaludi🤣🤣🤣🤣🤣