@@TAFAKARITVNewlife Amina... Nimeiweka kwenye Account yangu ya Inst. Na fb... Wakaniomba niiweke vizuri... Maana hili somo litawafungua macho watu wengi. Maana wengi sabato wanaitafsiri tofauti... Mimi naitwa Abibu pastor mafundisho ya pastor mbaga yalinitoa kwa wapinga kristo... Hakika MBAGA ni chombo kiteule kabisa cha Mungu
Yesu akuja kuivunja torati ila alikuja kuikamirisha ndio maana yeye ni bwana wa sabato maanake tunapaswa kuitumia siku ya sabato kumtafuta Yesu ili atuponye na kutusameha dhambi hivyo sabato ni moja kati ya amri za Mungu unapoipuuza maanake umevunja sheria Mungu na haiwezi kubadilika kwa kuwa Mungu hawezi kupingana na neno lake na hata baada ya kristo kufufuka mitume waliabudu na wakatoa mapepo siku ya sabato
Nini maana ya kuitimiza au kuikamilisha torati? Na kwanini torati ilitakiwa ikamilishwe? Kwani kuna chochote kilipungua ktk torati? Na kwanini torati ilishindwa kumkamilisha mtu kuwa mwadilifu mbele za BWANA?
@@TAFAKARITVNewlifeni katika kuzishika Amri za Mungu aliposema kuwa akuja kuivunja alimaanisha ya kwamba Amri za Mungu hazitoweza kubadilika kamwe lakini Yesu alikuja kuikamilisha kivipi ni kuondoa mafundisho ya uwongo yaliyopandwa kwenye mioyo ya watu na kutoa tafsiri halisi katka Amri za Mungu kwa mfano siku ya sabato sio siku ya mateso kama vile walivyofanya mafarisayo bali ni siku ya kumuabudu Bwana Mungu na kuiomba rehema yake ya dhati ikiwemo kuwaponya wagonjwa na kuwatakasa walio fungwa na mapepo Lakini Yesu Hakuja kuibadilisha Amri ya Mungu kama wanadamu wanavyofanya siku hizi wala hakuja kuikataa sabato bali kuwaeleza sabato ni siku ya kuitakasa na kumuabudu yeye kwakuwa yeye ndiye Bwana wa sabato kama alivyonena kwa kinywa chake soma kutoka20:1-17
Maandiko yanasema Sisi tulikufa katika mwili wa Yesu msalabani kwakuwa hatuku yatimiza matakwa ya sheria. Ili Yesu akisha fufuka kutoka wafu nasi pia tukafufuka pamoja naye kwa uwezo wa Roho mtakatifu, ili tukiwa hai katika mwili tuongozwe kwa kumfuata Roho na si Sheria kwani tulishakufa ktk mwili wa Kristo kwa sbb ya sheria.
Kichwa cha hili somo sikubaliani nalo. Sabato ni siku (kutoka 20:10) naye Yesu ndiye Bwana wa hii siku (Marko 2:27). Kuishika Sabato ni njia moja ya kuonyesha upendo kwa Mungu (Yohana 14:15) Najua sio huyu mchungaji anayehubiri aliiweka hii video hapa. Hangeiandika hivyo
Mungu aku balık kwa ma fundisho mazuri niombe ni simame katika njia ya kristo
Ameeeeeen.. Mungu kwanza .Asante mchungaji wangu.Bwana Mungu akubariki
Amen iyonikweli kabisa Asante kwamafafanizi ya kweli ubarikiwe sana
Nabarikiwa sana paster David Mbaga na nakuomba uniombee Mimi na family yangu
Somo muhimu sana barikiwa paster
Amina
Mtu mzima unashindana na bibilia.. eti unafafanua.. pole Sana....
Asantee saana pst umefafanua vizuri God blessing you more
Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri
Mungu alipomaliza kufanya kazi alipumzika,alilazimika kupumzika kwasababu hakuwa na kazi nyingine,na hata asingepumzika angebaki kuwa ni muumbaji
Yani kwa Sasa natamani kubatizwa adventist
Batizwa wakati ni Sasa hata mm nilikua najiuliza sana lakin nilipobatizwa nilijikuta nimepata kitu Cha thamani sana ukweli umeniweka huru sana
Chukua hatua Wala usitaxame utaonekana vipi Kwa watu
Karibu
Amen
Asantee saana kw ufafanuzi ubarikiwe
Understood
Mchungaji yupo vizuri sana sema aliye andika kichwa cha somo ndo kayakologa ameandika kitu ambacho mchungaji hajasema
Mungu azid kukusaidia mchungaji ili ufikishe ujumbe uliotumwa na Mungu kwetu sisi
Amen be blessed pastor David
Amina baba kwaujumbe mzuri
Amina,Mungu akubariki sana,nikejifunza mengi kupitia somo hili
Full truth
asant san postar unnanisogez krbu n mungu
Mchungaji tusaidie. Connection ya siku za uumbaji,na siku hizi tulizonazo na majina yake ili tuweze kufahamu ukweli wa siku zilizopo,,
Amina baba uiponyaroho yangu kwa somo hili.
Nakuelewa mchungaji
Vídeo Haijakaa vizuri... Na hili somo ni muhimu mnoo
Ok ngoja niitizame upya
@@TAFAKARITVNewlife Amina... Nimeiweka kwenye Account yangu ya Inst. Na fb... Wakaniomba niiweke vizuri... Maana hili somo litawafungua macho watu wengi. Maana wengi sabato wanaitafsiri tofauti... Mimi naitwa Abibu pastor mafundisho ya pastor mbaga yalinitoa kwa wapinga kristo... Hakika MBAGA ni chombo kiteule kabisa cha Mungu
Haya hii hapa th-cam.com/video/PQbbKcRZMtY/w-d-xo.html
Mungu aukupe siku nyingi uineze hio neema ya christo.Ni Isaack kutoka msa kenya.
Baba Mbaga upo vizuri Mungu Akubarki
Nakpenda pr Mbaga umenifumbua macho
Na hiyo imetabiriwa na maanabii katika kitabu cha ufunuo na yanatimia mbele ya macho yetu
Sabato imepewa kwa binadamu. Ukubali au usikubali.. ufundishayo niyako..kama unaweza itowe. Utupe yako..
vizuri sana ndugu yangu ,nina swali vikao vya dharura vya baraza aidha vya vitengo je vinaruhusiwa ktk siku hiyo?
th-cam.com/video/IwEx_mYqmjM/w-d-xo.html
Ni ukweli
Barikiwa Mtumishi wa Mungu aliye hai.
amina
Yesu akuja kuivunja torati ila alikuja kuikamirisha ndio maana yeye ni bwana wa sabato maanake tunapaswa kuitumia siku ya sabato kumtafuta Yesu ili atuponye na kutusameha dhambi hivyo sabato ni moja kati ya amri za Mungu unapoipuuza maanake umevunja sheria Mungu na haiwezi kubadilika kwa kuwa Mungu hawezi kupingana na neno lake na hata baada ya kristo kufufuka mitume waliabudu na wakatoa mapepo siku ya sabato
Nini maana ya kuitimiza au kuikamilisha torati? Na kwanini torati ilitakiwa ikamilishwe? Kwani kuna chochote kilipungua ktk torati? Na kwanini torati ilishindwa kumkamilisha mtu kuwa mwadilifu mbele za BWANA?
@@TAFAKARITVNewlifeni katika kuzishika Amri za Mungu aliposema kuwa akuja kuivunja alimaanisha ya kwamba Amri za Mungu hazitoweza kubadilika kamwe lakini Yesu alikuja kuikamilisha kivipi ni kuondoa mafundisho ya uwongo yaliyopandwa kwenye mioyo ya watu na kutoa tafsiri halisi katka Amri za Mungu kwa mfano siku ya sabato sio siku ya mateso kama vile walivyofanya mafarisayo bali ni siku ya kumuabudu Bwana Mungu na kuiomba rehema yake ya dhati ikiwemo kuwaponya wagonjwa na kuwatakasa walio fungwa na mapepo Lakini Yesu Hakuja kuibadilisha Amri ya Mungu kama wanadamu wanavyofanya siku hizi wala hakuja kuikataa sabato bali kuwaeleza sabato ni siku ya kuitakasa na kumuabudu yeye kwakuwa yeye ndiye Bwana wa sabato kama alivyonena kwa kinywa chake soma kutoka20:1-17
@@TAFAKARITVNewlife na cjakupinga hakika umeubiri vizuri
Maandiko yanasema Sisi tulikufa katika mwili wa Yesu msalabani kwakuwa hatuku yatimiza matakwa ya sheria.
Ili Yesu akisha fufuka kutoka wafu nasi pia tukafufuka pamoja naye kwa uwezo wa Roho mtakatifu, ili tukiwa hai katika mwili tuongozwe kwa kumfuata Roho na si Sheria kwani tulishakufa ktk mwili wa Kristo kwa sbb ya sheria.
@@TAFAKARITVNewlife kwaio unamaan ya kuwa si lazima kuishika sabato?
Ujumbe wako huwa unanikuna sana maana umejengwa juu ya msingi wa imani ambayo ni Biblia (1Kir 3:11)
Wala sio kuondoa SABATO
Njoo ubatizwe rango liko wazi
Mtu mzima unalala bar na degree zako 🤣🤣
Wacha kudanganya watu
Unama maana gani ndg
Umesema vema mchungaji YESU alikuja kuzifafanua sheria #kila kilima kitashushwa na palipo paluza patakuwa pamenyoka#"
Kichwa cha hili somo sikubaliani nalo. Sabato ni siku (kutoka 20:10) naye Yesu ndiye Bwana wa hii siku (Marko 2:27). Kuishika Sabato ni njia moja ya kuonyesha upendo kwa Mungu (Yohana 14:15)
Najua sio huyu mchungaji anayehubiri aliiweka hii video hapa. Hangeiandika hivyo
Caleb Oloo watoto wa mama mdogo kwa kuchunguza bwana!!!!😂😏
Mi siyo msabato ila nimemwelewa sana,ila wasabato wenzake wamekunja nyuso anahubiri neno la kweli anawafundisha wasabato wajui maana ya sabato