Mh. Makonda mungu akubariki sana ,, neno 1 kali sana ,, 1:59:19 ,, kwa maana yakwamba hapa kuna tochi badala ya kuwa na Taa ,, kwa maana ya kwamba ushakaa chini na kutafakari ,, kuwa Unafahmu kila kitu kinachoendelea katika kikao chako NAMANGA ,, mungu akubariki sana !
Me nakubali kila kiongozi ana mazuri yake na mabaya yake lakin pale anapo patia alau tumpongeze kusema ukweli makonda jwa sasa ndie kiongozi namba 1 tanzania anaye upiga mwingii
Kwakweli tunaumia sana wilaya ya longido bili ya maji Iko juu unit nishilingi 1800 ukipiga kwa mwezi ni hela nyingi sana tunaomba tu mtudaidie kupunguza bili hio nikubwa sana
Fedha zinazotolewa kwaajili ya miradi haziakisi gharama halisi za ujenzi muda mwingine Kwani utofauti wa bei za materials kwa maeneo mbalimbali unatofautiana, vilevile Geography factor kama anayosema engineer(ya bonde la ufa) inaweza kusababisha gharama kuwa tofauti kwani foundation inakua tofauti na maeneo mengine.Mh anachofanya ni kudictate maongezi.

Kuna waziri wa aridhi nae yupo 🔥🔥🔥
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa! Mh Makonda Mungu akutunze
Engineer nimemkubali..anaelezea vizuri
Nampongeza huyo Mwl. Pili nampa pongezi huyo engineer anajua kufafanua vzr hongera dada.
Makonda Kati ya viongozi na wew upo unafaa kuwa kiongozi daima
Makonda oyeeeeeee
Kwakweli tunaumia sana wilaya ya longido bili ya maji Iko juu unit nishilingi 1800 ukipiga kwa mwezi ni hela nyingi sana tunaomba tu mtudaidie kupunguza bili hio nikubwa sana
Dawani kajivua mwenyekiti kajivua kazi wanayo
watumishi wana dharau sana
Makonda nikiongozi bora
Ongela mkuu wamkoa makonda ongela ras
Ana kitu huyu kijana
Engineer uwezo mdogo kichwani, sijui chuo gani na ajira amepataje?
Fedha zinazotolewa kwaajili ya miradi haziakisi gharama halisi za ujenzi muda mwingine Kwani utofauti wa bei za materials kwa maeneo mbalimbali unatofautiana, vilevile Geography factor kama anayosema engineer(ya bonde la ufa) inaweza kusababisha gharama kuwa tofauti kwani foundation inakua tofauti na maeneo mengine.Mh anachofanya ni kudictate maongezi.
Ila mkuu wa shule 😢
Kiongozi Bora Sana, hongera sana tata Makonda
Karbu tena Namanga
Huyu jamaa atawanyoosha 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂makonda nihatali
mambo ya miradi on fire
😂😂😂😂😅🎉
Huyu anaemwelekeza 😂
Gresi umenizarau sana
duh, jamaa anabana
Mkuu wa wilaya hafai
❤❤
Kwani vita ya DR GWAJIMA ilisha?
Zamani sana baada ya Jamaa kutoka ukuu wa mkoa wa Dar
uyooo jamaaa mtu sana
Wapewe nafas watu wajieleze
😂