SAKATA LA UJENZI WA MRADI WA SHULE YA SAMIA LONGIDO RC MAKONDA AMBANA MWALIMU MKUU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @swedygoga9314
    @swedygoga9314 4 หลายเดือนก่อน

    MKUU WA SHULE KANICHEKESHA SANAAA 😂😂😂😂

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 7 หลายเดือนก่อน

    Engineer uko vizuri sana

  • @danieljoaeph
    @danieljoaeph 21 วันที่ผ่านมา

    Nguvu kazi ni wanafunzi hakuna mafundi hapoo

  • @josephignas3988
    @josephignas3988 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa walimu wakuu wengine sijui huwa wanatolewa wapi?😂 Lakin sishangai kwa sabab wanateuliwa na ofisi za serikal haohao

  • @swedygoga9314
    @swedygoga9314 4 หลายเดือนก่อน

    ENGINEER ANAJITAHIDI KUKIMBIA MASWALI 😂😂😂

  • @josephchimbunga4886
    @josephchimbunga4886 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa mkoa😂

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 7 หลายเดือนก่อน +3

    Why should you not .use contractor?

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda ho ndio wafanyakazi kwakweli inasikitisha sana kila sekta haiwjibiki kwenye.wajibu.wake na hana mawasilano na ote ni selikari moja kama gali ya mkurugenzi imekuwa ya mtu.binafisi kweli ipo changamoto sana

  • @PAULOKIRUWA
    @PAULOKIRUWA 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada mweupe mwenye tattoo anitafute

  • @AbuubakariKanuti
    @AbuubakariKanuti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka viongozi kamaww Tanzania Hill tupate mandeleo

  • @DionisiaSoka
    @DionisiaSoka 2 หลายเดือนก่อน

    Injinia anajua anaongea nini anajitahidi kwa kwl

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 7 หลายเดือนก่อน

    Dada upo vizuri sana wewe ni zaidi ya injinia

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi inawezekana vipi kumpa mwalimu mmoja TZS BILION TATU ili ajenge shule mpya badala ya kutumia mfumo wa tendering kwa kumpa kazi tenderer? Huu mfumo huu haufai hata kidogo na utaratibu huu ni kuwaweka walimu kwenye shida tu!

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa mambo ya kitaalam,,,,,wanasemaga bush cutting milioni 80,hatujui maana yake

  • @PAULOKIRUWA
    @PAULOKIRUWA 7 หลายเดือนก่อน

    Hata kama sijasoma lakini huyu mkuu wa shule hakujipanga kwenye mhuu mkutano

  • @Somoire-v8y
    @Somoire-v8y 7 หลายเดือนก่อน

    Asande mkuu

  • @Joelybaraka
    @Joelybaraka 5 หลายเดือนก่อน

    Teacher dabuya kua nanizam