Nashukuru sana Madam kwa elimu hii kwanza unafanya kiusafi na utulivu yaani you are very clear na unaonyesha kazi hiyo siyo ngumu kama nilivyokuwa nafikiri🙏
Asante sana madam wangu Niko singida ,cup b kwa jina jingine niniii huku hiyo haipoo na jee ukikosa ethanol unaweza kutumia formalin ? Vingine kupata kazii
Hello dear. Asante kwa kutazama. Inaitwa hivyo hivyo CAPB mpendwa. Kazi ya Ethanol ni tofauti kabila na formaline. Formaline kazi yake ni kuzuia sabuni isiharibike.
@@RosemaryValentine-k9l karibu ujipate mafunzo ya shampoo hii na bidhaa nyingine nyingi za viwandani kwenye kitabu. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Habari dada Anna hiyo chumvi nauwa na uchafu fulani ni sawa kuweka bila kuosha au pengine uanze na kuiyayusha kwenye maji kisha yale maji uyachuje kabla ya kutumia samahani kwa maswali na pia Mungu akulinde na kukutunza wewe na familia yako tunakupenda❤❤
Amina dear. Uchafu unautoa kabla ya kutumia kisha unaweza kuiloweka kwanza au ukatumia hivyo hivyo. Ukimaliza kukoroga shampoo yako unaichuja kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.
Nashukuru saana madam kwa kuwa unajibu jumbe zangu,, nauliza iv ko Bei ya lita moja ya sabun ya maji inabid niuzaje na hiyo hand wash niuzaje ili nipate faida
Natazama nikiwa dar kuna malighafi zinafana kama sales na alikali two je ni iyoiyo moja inayotumika kutengeza sabuni ya maji na shampooo au kila product ina alikali two yake na slas yk
Najifunza kutoka Dar nimekuelewa sana Mungu akubariki
@@HidayaKazimoto amina dear. Ubarikiwe pia.
Ahsantee sana mwl nimekuelewa vizuri
@@MamaBless-w4s Asante dear ❤️
Barikiwa dada nmekuelewa sana
@@MacleenJohnson amina dear, Asante.
Nimekuelewa vzr Sana (MASASI MTWARA)
@@StellaLingwanda Asante sana.
Najifunza kutokea manyoni ahsantee sana 🙏
@@MamaBless-w4s Nashukuru dear ❤️
Najifunza kutokea Zanzibar Asante sana dada nimeelewa sanaa
@@WardaEmanuel-ew3mi Asante kipenzi. Karibu pia ujipatie kitabu kina mafunzo mengi zaidi ya bidhaa za usafi na urembo 0687786576.
Nashukuru sana Madam kwa elimu hii kwanza unafanya kiusafi na utulivu yaani you are very clear na unaonyesha kazi hiyo siyo ngumu kama nilivyokuwa nafikiri🙏
Asante sana mpendwa wangu. Ubarikiwe.
Nimekuelewa sana teacher natoka Chunya Mbeya
@@EditorMwalingo Asante dear ❤️
Kutoka Morogor. Asante madam
Karibu pia ujipatie Kitabu kina mafunzo ya bidhaa nyingi zaidi za usafi na urembo.
Nimejifunza na nimeelewa vizuri sana kuanzia vipimo mpaka majina ya bidhaa thanks for good training my teacher ❤
Karibu dear, hapo utanunua kitabu kina mafunzo mengi zaidi ya sabuni na bidhaa nyingine za usafi na urembo, utapata na vipimo humo.
Kitabu sh ngapi na kinapatikana kwa njia ya soft copy au hardcopy
@@rosemaryrosemarymwakatage7642 soft copy elfu 30, 0687786576.
❤nimependa sana mwalimu mzuri upo viizur nimeelew
Najifunza kutoka Arusha morombo,asante sana ni mara yangu ya kwanza kujifunza sabuni ya handwash,but nimeipenda barikiwa sana dada Anna
Amina dear. Asante kwa kutazama.
Nimeangalia na nimejifunza,ahsante sana,mimi Aziza mwaruka natokea Dodoma
@@AZIZAKAPITA-hn4dy Asante kipenzi. Karibu pia ujipatie kitabu kina mafunzo mengi zaidi ya bidhaa za usafi na urembo 0687786576.
Asante sana madam wangu Niko singida ,cup b kwa jina jingine niniii huku hiyo haipoo na jee ukikosa ethanol unaweza kutumia formalin ? Vingine kupata kazii
Hello dear. Asante kwa kutazama. Inaitwa hivyo hivyo CAPB mpendwa. Kazi ya Ethanol ni tofauti kabila na formaline. Formaline kazi yake ni kuzuia sabuni isiharibike.
Nimeelewa mwalimu mungu akubariki sana madam ila naomba kuuliza cap B na busta unaweka kwa pamoja maan hapo sijaelewa kidogo
@@RosemaryValentine-k9l karibu ujipate mafunzo ya shampoo hii na bidhaa nyingine nyingi za viwandani kwenye kitabu. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Ubarikiwe dada Anna nimejinza na nimeelewa Ila booster unaiweka mda gani ?
@@jacklinedeus4760 ukiangalia video yote utaona dear. Nimeweka karibu na mwishoni.
Habari dada Anna hiyo chumvi nauwa na uchafu fulani ni sawa kuweka bila kuosha au pengine uanze na kuiyayusha kwenye maji kisha yale maji uyachuje kabla ya kutumia samahani kwa maswali na pia Mungu akulinde na kukutunza wewe na familia yako tunakupenda❤❤
Amina dear. Uchafu unautoa kabla ya kutumia kisha unaweza kuiloweka kwanza au ukatumia hivyo hivyo. Ukimaliza kukoroga shampoo yako unaichuja kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.
Nimeipenda sabuni Yako, nimejifunza kutoka Kibaha pwani pangani
@@renifridanguruwe1563 Asante dear.
Niko Kigamboni Dar es salaam madam
@@annajohn175 ❤️❤️
Najifunza kutokea Tabora,nikupenda mwalimu mzuri
Asante sana dear ❤️
Asante kwa darasa zuri,huna choyo Mungu akubariki sanaa... ethanol ni kiasi gani? From Dodoma.
Asante sana mpendwa wangu. Nimetumia hicho kichupa kidogo chote.
Kapudi na ethanol huko ni sh.ngapi?hongera sana dada Anna mimi niko manyara babati.
@@ChristinaTemba-m9e CAPB elfu 4 na ethanol elfu 5 dear.
@@annaclaireshijanipo mkoa wa dodoma Asante kwa darasa
@@EuniceNgede asante kwa kutazama 🙏🏾
@@annaclaireshijaniko hapa nairudia nawaza tu huku dodoma vifungashio bei mnooo😢
Najifunza kutokea geita
@@yusuphphilipo6285 Asante dear.
Nashukuru saana madam kwa kuwa unajibu jumbe zangu,, nauliza iv ko Bei ya lita moja ya sabun ya maji inabid niuzaje na hiyo hand wash niuzaje ili nipate faida
Bei ya hand wash mls 500 sokoni ni elfu 5 hata ukiuza elfu 4 bado faida ipo kwa formula hii.
@@annaclaireshija sijaelewa Dada Anna
@@CalvinMushi-i3f nini hujaelewa?
@@annaclaireshija mls 500 kwa 5,000 au unamaanisha packet zinazokaa 4?
Samahani naomba kujua hiyo cup b ni nini . Na hiyo ethanol ni ya lazima kutumia?
@@Sr.MARIETHAMYEJI-kz4qj karibu ujifunze zaidi kupitia kitabu cha Utengenezaji wa bidhaa za viwandani. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Allkabtwo umetumiwa kiasi gani?
@@ElizabethClavery karibu tuwasiliane 0687786576, ujifunze zaidi kwenye kitabu cha Utengenezaji wa bidhaa za viwandani kwaajili ya usafi na urembo.
I'm trying to follow you madam very closely. Mwez wa nne hautofika lazma nianze biashara hii ya sabun ya maji na hand wash
Nashukuru kwa kufuatilia. Mungu akusaidie ufanikishe adhma yako.
Nimefurahi kukufahamu Mungu akutunze mpendwa
@@annajohn175 Asante sana dear.
Halo, naitwa zakia nakufuatilia kutoka masasi mtwara
@@ZakiaMohamedi-n8x ❤️❤️
Nafatilia nipo Dar-es-Salaam, hongereni na asante kwa kunipa ujuzi ila tu naomba kujua malighafi na vipimo
@@EmmaMwasote asante kwa kutazama, malighafi na vipimo utavipata kwenye kitabu, wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Asante sana nitanunua kitabu soon unafundisha vizuri sana❤@@annaclaireshija
@@EuniceNgede asante dear ❤️
Chumvi unaweza loweka pembeni ?
@@maggiepeter9254 Ndio
Natazama nikiwa dar kuna malighafi zinafana kama sales na alikali two je ni iyoiyo moja inayotumika kutengeza sabuni ya maji na shampooo au kila product ina alikali two yake na slas yk
Karibu ujifunze zaidi kwenye kitabu 0687786576.
Samaan mwalimu nimetengeneza lakini nimepatasabun nzur ila imejigawa yaan juu ipo vizur na chin imekuwa kama maziwa
@@SarahMadundani uliweka dawa ya kuzuia isiharibike?
Grycerine kiasi gani?,na cap B vipimo tafadhari
Angalia video hadi mwisho. Maelekezo yote yapo hapo.
Naweza kuweka Alka 2 kwenye sabuni my dear?
Ndio dear. Uikoroge na maji pembeni kwanza kwa nusu saa au zaidi ndio hi uichanganyie kwenye sabuni yako.
@@annaclaireshija Asante sana my dear
@@LucreciaKimario ❤️
Maweza kwanza vyote kwa pamoja au niamze kwanza na kimoja?
Uamuzi ni wako.
Alka2 ndo cmc dada
@@maggiepeter9254 hapana dear.
Dada mi naomba kujua barcode tunapataje eti?
Samahani madam ethanol kwajina lending nini
Haina jina lingine.
Najifunza kutoka oman
Shukurani dear ❤️
Mungu akubariki ila dada naomba nitajie vitu vyake naitaji nami nitengeneze
Vyote nimetaja kwenye video iangalie mpaka mwisho
Amina dear 🙏🏾
Bidhaaa hizi nazipata kwenye maduka gani
@@ArafaNabahani tafadhali wasiliana nami kwa namba 0687786576.
Cab b ni nini?dada ana
Ni kemikali ambayo tumetumia inasaidia kuongeza povu. Inaitwa CAPB.
Ndo naanza kujifuunza nipo Burundi sema hayo majina ya bizaa ndo yatanisumbua sijui uku kwetu niaje
Utayapata kwenye Kitabu kinatoka soon dear.
kutok zanzibar
Asante dear kwa kujifunza ❤️