TENGENEZA FAIDA MARA 2 KWENYE SABUNI YA MAJI KWA KUTUMIA NJIA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @reginamaembe9995
    @reginamaembe9995 8 วันที่ผ่านมา

    Samahani hv kwa k.koo maduka ya hivo vifaa unayapata mitaa gani 🙏

  • @RechoBenjamin-d3o
    @RechoBenjamin-d3o 16 วันที่ผ่านมา +1

    Samahan dada unaweza kunitajia vifaaa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  16 วันที่ผ่านมา

      @@RechoBenjamin-d3o Vifaa utavipata kwenye kitabu dear wangu. Tuwasiliane 0687786576.

  • @mvungidaughter5145
    @mvungidaughter5145 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ Mung akuzidishie na akulipe zaidi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@mvungidaughter5145 Amina 🙏🏾🙏🏾

  • @christinasanga2993
    @christinasanga2993 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@christinasanga2993 👍🏾👍🏾👍🏾

    • @GloryRichard-ly7kz
      @GloryRichard-ly7kz 26 วันที่ผ่านมา

      Mbona hukuongeza Lita 20 za maji ambayo hukuchanganya chochote

  • @MecktildaMteve
    @MecktildaMteve 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada asanteeee snaaa kupitiaaa ww nimetengeneza sabuni nakupendaaaa❤❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MecktildaMteve Asante kushukuru dear, karibu upate kitabu ujifunze zaidi na kuni support Mwalimu ❤️

  • @Ontuzu
    @Ontuzu หลายเดือนก่อน

    Samahi alikatuu ikikologwa mapema inakuwa nzito sasa mbona unaikologoga mapema sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@Ontuzu nafikiri ni vyema ukajifunza ukaelewa maana naona bado hujaelewa.

  • @MaryanDavid-jo2fs
    @MaryanDavid-jo2fs 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte dada Kwa kutufunza ila kama unajua kutengeneza mafuta naomba utujuze

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru, Mafuta ya aina gani dear?

    • @MaryanDavid-jo2fs
      @MaryanDavid-jo2fs 2 หลายเดือนก่อน

      @@annaclaireshija ya kujipaka km mikorogo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MaryanDavid-jo2fs hiyo sijui.

  • @rashidashafii2584
    @rashidashafii2584 หลายเดือนก่อน +1

    Malighafi unanunua wapi my dear?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@rashidashafii2584 kwenye maduka ya malighafi. Karibu ujifunze zaidi kwenye kitabu 0687786576.

  • @charlotteminani7046
    @charlotteminani7046 2 หลายเดือนก่อน

    Kbs atusaidiye Munfu atamulipa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@charlotteminani7046 Mafunzo yapo mpendwa, unalipia Kitabu unayapata.

  • @datyfair
    @datyfair 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kapsheni yako na maelezo tofauti? Tatizo ilo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@datyfair vinaendana sana labda wewe ndio hujaelewa.

  • @Damxo-ek8cb
    @Damxo-ek8cb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nhitaji namba yako plz

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@Damxo-ek8cb 0687786576.

  • @MaryanDavid-jo2fs
    @MaryanDavid-jo2fs 2 หลายเดือนก่อน

    Fungua group mamy Ili tupate ujuzi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MaryanDavid-jo2fs mafunzo zaidi yanapatikana kwenye kitabu dear 0687786576.

  • @annarichard8077
    @annarichard8077 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona ahuandiki majina ya vifaa?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@annarichard8077 ungeshukuru kwanza umepata mafunzo bure kabla ya kulaumu.

    • @annarichard8077
      @annarichard8077 2 หลายเดือนก่อน

      @@annaclaireshija sijalaumu bali nauliza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@annarichard8077 Majina ya Vifaa vyote nimeyataja hapo ila kama unataka kujifunza zaidi kuna kitabu.