Anna Claire Shija
Anna Claire Shija
  • 590
  • 603 415

วีดีโอ

JINSI TAMAA ILIVYOMPONZA BINTI HUYU, JIFUNZE KWENYE KISA HIKI #maisha
มุมมอง 17216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
JINSI TAMAA ILIVYOMPONZA BINTI HUYU, JIFUNZE KWENYE KISA HIKI #maisha
HII TABIA UKIIJENGA ITAKUSAIDIA SANA KUKABILIANA NA MAISHA #maisha #maendeleo
มุมมอง 156วันที่ผ่านมา
HII TABIA UKIIJENGA ITAKUSAIDIA SANA KUKABILIANA NA MAISHA #maisha #maendeleo
UTAFANYAJE UKIGUNDUA WATOTO WAKO, SIO WAKO? JIFUNZE KWENYE STORI HII #lifelessons #maisha
มุมมอง 221วันที่ผ่านมา
UTAFANYAJE UKIGUNDUA WATOTO WAKO, SIO WAKO? JIFUNZE KWENYE STORI HII #lifelessons #maisha
ALIKUWA MCHUNGAJI ALIYETELEKEZA FAMILIA YAKE, HIKI NDIO KILICHOTOKEA #maisha #simulizi
มุมมอง 24814 วันที่ผ่านมา
ALIKUWA MCHUNGAJI ALIYETELEKEZA FAMILIA YAKE, HIKI NDIO KILICHOTOKEA #maisha #simulizi
ALIMNYANYASA SANA MKEWE LAKINI BAADA YA MUDA ALIJUTIA KILICHOTOKEA #maisha
มุมมอง 24914 วันที่ผ่านมา
ALIMNYANYASA SANA MKEWE LAKINI BAADA YA MUDA ALIJUTIA KILICHOTOKEA #maisha
AACHWA WIKI MOJA KABLA YA HARUSI, SABABU NI HII #maisha
มุมมอง 24914 วันที่ผ่านมา
AACHWA WIKI MOJA KABLA YA HARUSI, SABABU NI HII #maisha
MOJAWAPO YA MAMBO YATAKAYOKUSAIDIA KUPATA MAENDELEO #maendeleo #mafanikio
มุมมอง 25714 วันที่ผ่านมา
MOJAWAPO YA MAMBO YATAKAYOKUSAIDIA KUPATA MAENDELEO #maendeleo #mafanikio
JIHAKIKISHIE USHINDI KWENYE MAISHA KWA NJIA HII #maendeleo #mafanikio #maisha
มุมมอง 16714 วันที่ผ่านมา
JIHAKIKISHIE USHINDI KWENYE MAISHA KWA NJIA HII #maendeleo #mafanikio #maisha
EPUKA KABISA TABIA HII KWA RAFIKI AU MTU WA KARIBU IKIWA UNATAKA MAENDELEO #maendeleo #mafanikio
มุมมอง 42314 วันที่ผ่านมา
EPUKA KABISA TABIA HII KWA RAFIKI AU MTU WA KARIBU IKIWA UNATAKA MAENDELEO #maendeleo #mafanikio
UNAPOONA KILA KITU HAKIENDI TUMIA NJIA HIZI #mafanikio #maisha
มุมมอง 21114 วันที่ผ่านมา
UNAPOONA KILA KITU HAKIENDI TUMIA NJIA HIZI #mafanikio #maisha
UTAFANIKIWA ZAIDI UKIEPUKA TABIA HIZI #maisha #mafanikio
มุมมอง 49621 วันที่ผ่านมา
UTAFANIKIWA ZAIDI UKIEPUKA TABIA HIZI #maisha #mafanikio
JINSI YA KUKUZA KIPATO CHAKO KWA KUTUMIA MTAJI KIDOGO #biashara #mafanikio #maisha
มุมมอง 30221 วันที่ผ่านมา
JINSI YA KUKUZA KIPATO CHAKO KWA KUTUMIA MTAJI KIDOGO #biashara #mafanikio #maisha
WEKEZA KWENYE MAMBO HAYA AMBAYO HAYANA STRESS YA USIMAMIZI #uwekezaji #mafanikio #maisha
มุมมอง 33421 วันที่ผ่านมา
WEKEZA KWENYE MAMBO HAYA AMBAYO HAYANA STRESS YA USIMAMIZI #uwekezaji #mafanikio #maisha
ONGEZA KIPATO KWA NJIA HII MWAKA HUU 2025 #fedha #maisha #mafanikio
มุมมอง 40621 วันที่ผ่านมา
ONGEZA KIPATO KWA NJIA HII MWAKA HUU 2025 #fedha #maisha #mafanikio
5 WAYS TO A MORE PEACEFUL LIFE. #life #peace
มุมมอง 12821 วันที่ผ่านมา
5 WAYS TO A MORE PEACEFUL LIFE. #life #peace
HOW TO MAKE COFFEE SHOWER GEL #soap #showergel #businessideas
มุมมอง 15921 วันที่ผ่านมา
HOW TO MAKE COFFEE SHOWER GEL #soap #showergel #businessideas
SHE GREW UP IN A LOVING FAMILY BUT WHAT HER HUSBAND DID TO HER SHOCKED EVERYONE #africastories
มุมมอง 17228 วันที่ผ่านมา
SHE GREW UP IN A LOVING FAMILY BUT WHAT HER HUSBAND DID TO HER SHOCKED EVERYONE #africastories
MAMBO YA KUFANYA KABLA MWAKA HAUJAISHA KWAAJILI YA MAENDELEO YAKO #maisha #maendeleo #mafanikio
มุมมอง 220หลายเดือนก่อน
MAMBO YA KUFANYA KABLA MWAKA HAUJAISHA KWAAJILI YA MAENDELEO YAKO #maisha #maendeleo #mafanikio
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NZURI KWA MALIGHAFI 3 TU #sabuni #ujasiriamali
มุมมอง 831หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI NZURI KWA MALIGHAFI 3 TU #sabuni #ujasiriamali
TUPIKE NJUGU MAWE TAMU ZA NAZI 😋 #mapishi
มุมมอง 382หลายเดือนก่อน
TUPIKE NJUGU MAWE TAMU ZA NAZI 😋 #mapishi
MBINU YA KUFANYA PILAU IWE TAMU SANA NA INUKIE #mapishi #maisha
มุมมอง 272หลายเดือนก่อน
MBINU YA KUFANYA PILAU IWE TAMU SANA NA INUKIE #mapishi #maisha
MAMA YAKE ALIMCHUKIA SANA SABABU BABA YAKE ALIMTELEKEZA, YALIYOTOKEA NI YA KUSIKITISHA. #maisha
มุมมอง 268หลายเดือนก่อน
MAMA YAKE ALIMCHUKIA SANA SABABU BABA YAKE ALIMTELEKEZA, YALIYOTOKEA NI YA KUSIKITISHA. #maisha
ALIOLEWA NA MWANAUME MSOMI NA TAJIRI LAKINI YALIYOMKUTA BAADAE NI MASIKITIKO #maisha
มุมมอง 489หลายเดือนก่อน
ALIOLEWA NA MWANAUME MSOMI NA TAJIRI LAKINI YALIYOMKUTA BAADAE NI MASIKITIKO #maisha
WATOTO WANNE WA FAMILIA MOJA WALIOPOTEZA MAISHA KWA SIKU MOJA, HAYA NDIO YA KUJIFUNZA #maisha
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
WATOTO WANNE WA FAMILIA MOJA WALIOPOTEZA MAISHA KWA SIKU MOJA, HAYA NDIO YA KUJIFUNZA #maisha
KIFAHAMU KINYWAJI HIKI MUHIMU KWA AFYA YAKO #maisha #afya
มุมมอง 2142 หลายเดือนก่อน
KIFAHAMU KINYWAJI HIKI MUHIMU KWA AFYA YAKO #maisha #afya
JINSI YA KUTENGENEZA SHOWER GEL KWA NJIA RAHISI SANA | HOW TO MAKE SHOWER GEL #showergel
มุมมอง 9102 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUTENGENEZA SHOWER GEL KWA NJIA RAHISI SANA | HOW TO MAKE SHOWER GEL #showergel
JANGA LA KARIAKOO NA NAMNA AMBAVYO MAISHA HAYATABIRIKI. #maisha
มุมมอง 1792 หลายเดือนก่อน
JANGA LA KARIAKOO NA NAMNA AMBAVYO MAISHA HAYATABIRIKI. #maisha
JIFUNZE KUPITIA KISA HIKI JINSI BINADAMU ANAVYOWEZA KUWA HATARI #maisha
มุมมอง 3822 หลายเดือนก่อน
JIFUNZE KUPITIA KISA HIKI JINSI BINADAMU ANAVYOWEZA KUWA HATARI #maisha
ILA MAMBO ALIYOFANYIWA NA WATOTO WAKE NI YA KUSIKITISHA #maisha
มุมมอง 3202 หลายเดือนก่อน
ILA MAMBO ALIYOFANYIWA NA WATOTO WAKE NI YA KUSIKITISHA #maisha

ความคิดเห็น

  • @wamboedna
    @wamboedna 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    How much soft copy in Kenyan shillings

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@wamboedna about 1,540 ksh dear.

  • @wamboedna
    @wamboedna 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    New subscriber from Kenya

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@wamboedna thank you lovely ❤️

  • @wamboedna
    @wamboedna 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nataka kitabu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@wamboedna tafadhali nipigie 0687786576. Karibu sana.

    • @wamboedna
      @wamboedna 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@annaclaireshija Niko kenya

  • @ShamimMohamed-y9b
    @ShamimMohamed-y9b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilisikia wakisema kuwa kazi ya sulphonic acid ni kutakatisha na wewe hujaweka,hii imekaaje,plz nijuze

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@ShamimMohamed-y9b caustic inatakatisha zaidi

  • @QuenMarandu
    @QuenMarandu 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shkamoo dada samahan kwa usumbufu nilikuwa naomba unisaidie bishara ya mtaji wa elfu 50

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@QuenMarandu sawa dear. Nitakufanyia video.

  • @MuselemuSaidi
    @MuselemuSaidi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Santé sana dada mimi ni mu pikaji wa mikate yani chapati

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MuselemuSaidi Asante dear.

  • @VailethKessy-g5i
    @VailethKessy-g5i 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera dada nimekonda dada Vaileth.kessy

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@VailethKessy-g5i Asante dear.

  • @SadockMasebo
    @SadockMasebo 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kitabu ni shingap madam

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SadockMasebo 30,000 dear ukitaka vitabu vyangu vyote 7 ni 35,000. Tafadhali piga 0687786576.

  • @neemashimba2843
    @neemashimba2843 วันที่ผ่านมา

    Nimejifunza kutokea Ifakara Morogoro

  • @neemashimba2843
    @neemashimba2843 วันที่ผ่านมา

    Nimejifunza kutokea Ifakara Morogoro

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija วันที่ผ่านมา

      @@neemashimba2843 Asante dear ❤️

  • @IpimiloZamoyoni-k1b
    @IpimiloZamoyoni-k1b วันที่ผ่านมา

    Wedada unarohonzuri utafikambali

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija วันที่ผ่านมา

      @@IpimiloZamoyoni-k1b Amina 🙏🏾🙏🏾

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija วันที่ผ่านมา

      @@IpimiloZamoyoni-k1b Amina 🙏🏾🙏🏾

  • @IpimiloZamoyoni-k1b
    @IpimiloZamoyoni-k1b วันที่ผ่านมา

    Kiukweli wedada we unafundishwa tokamoyoni kunawahuniwengi wanatuchulia kama hatuna akili nmekukubalisana nakupigia maana naiitajisana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija วันที่ผ่านมา

      @@IpimiloZamoyoni-k1b Karibu mpendwa ❤️

  • @StansilausPeter
    @StansilausPeter วันที่ผ่านมา

    naomba namba zako

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija วันที่ผ่านมา

      @@StansilausPeter 0687786576

  • @Rozmere-o2d
    @Rozmere-o2d 2 วันที่ผ่านมา

    Kitabu sh ngap

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 2 วันที่ผ่านมา

      @@Rozmere-o2d 35,000 Kitabu hiki na Vitabu vingine 6. Jumla 7 kwa elfu 35,000. Vyote soft copy.

  • @mankawerema3307
    @mankawerema3307 3 วันที่ผ่านมา

    Somo zuri sana,Asante dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 3 วันที่ผ่านมา

      @@mankawerema3307 Asante dear.

  • @MwamvitaBaruani
    @MwamvitaBaruani 3 วันที่ผ่านมา

    Asante sana madam kwa somo zuri lenye kueleweka Hivi vfaa vinpatikana wapi?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 3 วันที่ผ่านมา

      @@MwamvitaBaruani karibu, maduka ya malighafi. Ukita kujifunza zaidi kwa njia ya Vitabu, wasiliana nami 0687786576.

  • @michaeltongoi6245
    @michaeltongoi6245 4 วันที่ผ่านมา

    Jifunze kuongea point ulioita kwenye content na kupunguza story

  • @emanuelmwambobe7681
    @emanuelmwambobe7681 4 วันที่ผ่านมา

    Asante video hii kutokea matema beach ziwa nyasa kyela mbeya viabu unauzaje

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 4 วันที่ผ่านมา

      @@emanuelmwambobe7681 Asante dear. Vitabu 7 kwa elfu 35 tu. Ukihitaji piga 0687786576.

  • @MayasaMbuguni
    @MayasaMbuguni 4 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana madam.....kweli nimejifunza vizuri darasa zako ni nzuri Mungu akubariki From Dodoma

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 4 วันที่ผ่านมา

      @@MayasaMbuguni karibu dear.

    • @MayasaMbuguni
      @MayasaMbuguni 4 วันที่ผ่านมา

      @@annaclaireshija thanks

  • @ZamaHussein
    @ZamaHussein 4 วันที่ผ่านมา

    Kitabu bei gani?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 4 วันที่ผ่านมา

      @@ZamaHussein 30,000 tu.

  • @MarryHagite
    @MarryHagite 5 วันที่ผ่านมา

    Material inagarimu shingap dada

  • @NasraAbubakal
    @NasraAbubakal 6 วันที่ผ่านมา

    Habari hivo vifaa vyote ni bei gan

  • @EradiusSamwel
    @EradiusSamwel 6 วันที่ผ่านมา

    Ahsante nmekuelewa dada na mm naanza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 6 วันที่ผ่านมา

      @@EradiusSamwel karibu.

  • @georgeyusto3901
    @georgeyusto3901 7 วันที่ผ่านมา

    Napataje kitabu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 7 วันที่ผ่านมา

      @@georgeyusto3901 kwa kupiga 0687786576.

  • @AminaMsaki-h6o
    @AminaMsaki-h6o 8 วันที่ผ่านมา

    Somo zuri sana wachache mno wenye moyo kam wako

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 8 วันที่ผ่านมา

      @@AminaMsaki-h6o Asante dear.

  • @AhidiwaLingson
    @AhidiwaLingson 9 วันที่ผ่านมา

    Dada naomba namba

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 9 วันที่ผ่านมา

      @@AhidiwaLingson 0687786576.

  • @michaelpengo8730
    @michaelpengo8730 10 วันที่ผ่านมา

    Well done 🎉, ila kuna swali moja ulisahau kuuliza. Wanauxaje mbao kwa bei ya jumla?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 9 วันที่ผ่านมา

      @@michaelpengo8730 hello dear, wapo wauzaji wa Jumla ila kuna gharama kuwapata.

  • @NyamtondoKaunda
    @NyamtondoKaunda 10 วันที่ผ่านมา

    Anna asante sana barikiwa kwa elimu Nahitaji kitabu nakipataje

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 วันที่ผ่านมา

      @@NyamtondoKaunda amina, karibu 0687786576 kama upate kitabu b

  • @RabiaChandughai
    @RabiaChandughai 10 วันที่ผ่านมา

    Dada naomb unisaidie namna ya kunitengezea biashara

  • @MonieMsangi
    @MonieMsangi 10 วันที่ผ่านมา

    Mi najifunza niko dom, naomba kitabu

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 วันที่ผ่านมา

      @@MonieMsangi Kitabu piga 068778656. Karibu.

  • @FalidaFalida-j2m
    @FalidaFalida-j2m 10 วันที่ผ่านมา

    Nashuru kwa mafunzo mazuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 วันที่ผ่านมา

      @@FalidaFalida-j2m karibu dear.

  • @MonieMsangi
    @MonieMsangi 10 วันที่ผ่านมา

    Mamy mm naomba contact zako, nikucheck private

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 วันที่ผ่านมา

      @@MonieMsangi 0687786576.

  • @MaryamSaleh-j7o
    @MaryamSaleh-j7o 11 วันที่ผ่านมา

    Ahsante

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 10 วันที่ผ่านมา

      @@MaryamSaleh-j7o ❤️❤️

  • @kuruthumuSwalehe
    @kuruthumuSwalehe 11 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe dada,umetufunza vizuri sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 11 วันที่ผ่านมา

      @@kuruthumuSwalehe asante dear ❤️

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 11 วันที่ผ่านมา

    Namba yako dada nataka unipe connection ya watu wa mafinga wanaouza mirunda

  • @sizasaid8137
    @sizasaid8137 14 วันที่ผ่านมา

    Apo kunakifaa cha cream nataka ya kung,arisha

  • @MwajabuMagwila
    @MwajabuMagwila 14 วันที่ผ่านมา

    Umesema ukiweka rangi caustic inatab8a ya kubadili rangi je kama ni ya biashara

  • @millaomar7969
    @millaomar7969 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 14 วันที่ผ่านมา

      @@millaomar7969 ❤️❤️

  • @IdrisaAbedi-m6s
    @IdrisaAbedi-m6s 14 วันที่ผ่านมา

    Najifunza toka lindi kilwa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 14 วันที่ผ่านมา

      @@IdrisaAbedi-m6s asante dear.

    • @IdrisaAbedi-m6s
      @IdrisaAbedi-m6s 14 วันที่ผ่านมา

      Una patikana wp muwezeshaj

  • @Joyceamelye
    @Joyceamelye 14 วันที่ผ่านมา

    Naomba kitabu,napataje?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 14 วันที่ผ่านมา

      @@Joyceamelye kwa kuwasiliana nami 0687786576. Karibu.

  • @stellatemba109
    @stellatemba109 15 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Kwa kituwezesha na sis

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 15 วันที่ผ่านมา

      @@stellatemba109 asante kushukuru.

  • @MwanahamisiKondo
    @MwanahamisiKondo 15 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 15 วันที่ผ่านมา

      @@MwanahamisiKondo karibu dear.

  • @rositanz1728
    @rositanz1728 16 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana kipenzi MUNGU akubarili

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 16 วันที่ผ่านมา

      @@rositanz1728 Amina . Karibu dear.

  • @NduwimanaZena
    @NduwimanaZena 16 วันที่ผ่านมา

    Kitabu ni bei gani

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 16 วันที่ผ่านมา

      @@NduwimanaZena 30,000.

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 16 วันที่ผ่านมา

      @@NduwimanaZena 30,000.

  • @SyliviaSalumondo
    @SyliviaSalumondo 16 วันที่ผ่านมา

    me,naomba no yako na kitu nataka nijifunze kwako

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 16 วันที่ผ่านมา

      @@SyliviaSalumondo sawa dear 0687786576.

  • @SyliviaSalumondo
    @SyliviaSalumondo 16 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli my dear

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 16 วันที่ผ่านมา

      @@SyliviaSalumondo ❤️❤️

  • @NduwimanaZena
    @NduwimanaZena 17 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba zako mwalim

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 17 วันที่ผ่านมา

      @@NduwimanaZena 0687786576.

  • @kesiawailes1223
    @kesiawailes1223 17 วันที่ผ่านมา

    Samahani dada,habari za kazi!naitwa KESIA nipo Tanga, Kwanza nashukuru Kwa masomo unayotoa ya ujasiriamali,nilikuwa naomba unijuze sehemu wanapouza malighafi Kwa huko dar Kwa bei ya jumla,asante

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 17 วันที่ผ่านมา

      @@kesiawailes1223 Asante dear. Tuwasiliane 0687786576.

  • @nyagabonakatemi3843
    @nyagabonakatemi3843 17 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa sana natoka mwanza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 17 วันที่ผ่านมา

      @@nyagabonakatemi3843 Asante dear.

  • @angelmsimbe1733
    @angelmsimbe1733 17 วันที่ผ่านมา

    Sodaash ni kilo ngapi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija 17 วันที่ผ่านมา

      @@angelmsimbe1733 karibu ujifunze kwenye kitabu, formula zote zipo.