Aaah hii receipe iko bomba sana, issue ya kuchambua moja moja ofcoz inatoa kijasho kidogo but the results are super mwaaaaah😘 i have been doing this woiiii karanga inajaa na ni tamu hadi raha na inakaa mda mrefu...haki God bless you my ccy😋
Dear Mimi nikishatengeneza uchanganyiko wangu wa mayai na sukari ,huwa simimini mchanganyiko wangu wote kwenye karanga bali naweka vijiko 3 vya rojo kwenyekaranga nachukua naunga kama vijiko3au4 na nyuyuzia kwenye hizo karanga kisha nachanganya nafanya hivyo hivyo hadi karanga zote zinakuwa zimeenea vizuri mchanganyiko wangu napia zinachambuka vizuri sipatishida tena ya kuchambua
My naomba unielekeze sukari ya kusaga napata wp Je ni karanga gn nzuri zakutumia kwajiri ya biashara nyekundu ao nyeupe na kiro ya karanga unatakiwa sukari kiasi gani mayai na unga kiasi gn natamani kufanya biashara ya karanga musada kwako naomba
Wewe dada yaan kupitia kufundisha tu hivi unazidi kubarikiwa maana unatoa elimu buree..hongera sana unaelexea vizur
Mziwanda bakers your de best mamie, masomo yako yanaeleweka na unatoa maelezo vizuri. Stay blessed.
Amiin
Mpo vizuri
Asantee sana..hii kitu nlikuwa naitamani sana
Mungu akupe afya Dada inshaa Allah nikijaaliwa Kuja tz ntafika kununua
Uko Sawa Sana unafundisha vzr na sauti inasikika vzr,, barikiwa Sana dada
Ivi unaweza kuoka karanga za mayai?
Asant sana kipenzi najivunia kukufaham
Asantee dada naamin nitajifunza vizur
Asante saana unaelekeza vizuri
Asante madame
Nimefurai sana mafundidhuo ho yako dada mungu akupe moyo
Ameen
M.mungu akufanyie wepesi kwa kazi ya mikono yako Inshallah 🤲🤲🤲
Asante dada ubalikiwe
Aaah hii receipe iko bomba sana, issue ya kuchambua moja moja ofcoz inatoa kijasho kidogo but the results are super mwaaaaah😘 i have been doing this woiiii karanga inajaa na ni tamu hadi raha na inakaa mda mrefu...haki God bless you my ccy😋
Thank you so much sisy for feedback huwa ni yummy sana
Ni vizr na nimeelwa mpndwa😄
Safi sana nimekukubari hiro darasa ra karanga
Asante kwa kuelekeza vizur sauti nzuri
Kwa kweli wewe ni mwalimu unaelekeza vizuri sana kwa utulivu
Shukran sana
Oooh madam u are de best..,for de first tym naona Katanga za mayai unaeka icing sugar
Yeah inarahisisha kazi dear
Unazingua toka hapa
Karanga no nzuri ubarkiwe
Asante dada nami Leo somo lako linenisadia nimeweza kutengeneza karanga za mayai
Hongera sana
@@mziwandabakers8297 Asante dear
Mungu azidi kukulinda
Asante mamy
Asante
Uko makini Kwenye kazi yako unafanya kwa moyo. Safi sana
Shukran Julieth
Good
MashaaAllah mungu akubarik kwakutufunza mapishi
Ameen
Mafuta ukishapikia unawezarudia kupikia wakat mwingine
Asante sana
Day!! Nimezipenda make ninazipenda karanga za mayai ila nitajifunza. Big up
Ni 😋😋
👏👏
Ahsante dada nitamu sana nazipenda sana
best channel
🥰
Napenda unavyo ongea 🥰
Ahsante jamani
Ila nakupenda sanaaa!
🥰🥰😘
🥰🥰
Dear Mimi nikishatengeneza uchanganyiko wangu wa mayai na sukari ,huwa simimini mchanganyiko wangu wote kwenye karanga bali naweka vijiko 3 vya rojo kwenyekaranga nachukua naunga kama vijiko3au4 na nyuyuzia kwenye hizo karanga kisha nachanganya nafanya hivyo hivyo hadi karanga zote zinakuwa zimeenea vizuri mchanganyiko wangu napia zinachambuka vizuri sipatishida tena ya kuchambua
Iko poa sana hii
Lovely hizo karanga ni mbichi
Ni mbichi mbichi
Inaweza kutumia oven badala ya mavuta?
Jamani si kuchambua moja moja kama nyingi si unakesha
Notification Squad!🤩..Napenda video zako sana ..
Kenya hapa.🎉🎊
Thank you jamani 🥰
@@mziwandabakers8297 DA mziwanda kwa kilo moja unatoa pakti ngapi zile za miatano miatano?
@@mziwandabakers8297 nimepata oda Sasa hivi Ccter ya karanga za mayai
Mziwanda bakers unaniinspire Sana kwa ujasiliamali Jana tu nimeagiza bonge LA TV smart mpyaaa ya 1mil
Thanks a lot for your lesson
Mbona iyo kaz ni ngumu kuchambua karanga moja moja duuuu?
Nimefurai kukujua kipenz
Karibu dear
Hi, I love you channel kindly consider making mandazi recipe for business.
I will do it my dear
Yeah
Ubarikiwe sana
Maashaa Allah
Nimbich umekng klng
Asante sana naimba namba wasap
Thank u so much but when did you add maji 1Tbsp and were those gnuts half boiled before coating them ?
Too much work though daah
Asante sana na biashara unafanya hivi
Yap ndivyo huwa nafanya dear
Mashallah
Mko sehem gani
Nataka kuja kujifunza mko sehem gani
Asante kwa somo . Msaada hapo karanga zinakuwa mbili bila kukaanga??
Mbichi kabisa
Karang izo unazikaang kwanz ndo unawek uwo mchanganyik au inakuaj hap sijaelewa naomba nielewesh
Good work my dear.
Thank you
Get
Kilo moja ya karanga utoa vikopo vingap vya buku?
Kama unatengeneza kilo 4 unawezaje kuchambua mojamoja au Kuna mbinu nyingine!?
Logo
Aaaah ndiy maana mm nikipik zinashikan
Du mbona kz sana
karanga umezichambua maganda yake?NICE RECIPY
Hapana ziko na maganda yake
Me sijaerewa uwo uga waina gan pls nijuz km gana au nn ungetuonesha lbda apo aina y unga
Unga wa ngano
Unga was kek Ni upi
Mbona kuna sehemu hamuweking powder?
Nice
Clips class plz
Nitamu xana
karanga ni kiasi gani zimetumika
Kilo moja
Karanga hazitakiwi kukaangwa kabla ya kuchanganya na mchanganyiko wote?
Hivyo hivyo mbichi
Karanga za mayai huwa zinaharibika?Na huchukua muda gani kuharibika
Could you please repeat this recipe in English please. The ingredients and instructions in English. Thank you
Okay I promise
Hughes yhg
Unazikaanga kwa muda gan mpaka kuja kuzishusha ?
Mashaa ALLAH
Mashaallah😘
Ungaro wa sembe
Ngano
Did you add salt before to the gnuts ?
After fry
My naomba unielekeze sukari ya kusaga napata wp
Je ni karanga gn nzuri zakutumia kwajiri ya biashara nyekundu ao nyeupe na kiro ya karanga unatakiwa sukari kiasi gani mayai na unga kiasi gn natamani kufanya biashara ya karanga musada kwako naomba
Unaisaga kwa blender ya vikavu dear
Mafuta kiasi gn unatumia
Naomaba kionjo tafadhali
Kwa hiyo karanga hauzilaangi
Hazikaangwi
karanga zinakua mbichi au zilizokaangwa tayari?
Ni mbichi
Sasa nimeelewa
Samahan sasa naomba nikuuliz swali kwan
zinakuwa ni mbichi kwanz au?
Zitaiva kwenye mafuta mpendwa
Naomba maelezo namna ya kupika karanga kilo mbili mahitaji yake n yapi na vipimo
Unga wa Keki n up au ngano
Please what is karanga?
Groundnuts dear,sorry I will do it English
I love your tutorials but pls can you write the recipes in English so those who don't understand your dialect can also benefit. Thank you
Thank you Joy,I will be doing that.🥰
@@mziwandabakers8297l
What if unaweka chumvi na sukari kwa wakati mmoja?
Chumvi haitotoka vizuri,ila waweza changanya pia
Baada ya kuchanganya karanga kwa mayai na sukari ya kusaga hatua inayofuata ya kuweka unga ni unga gani? Wa ngano au?
Ubarikiwe sana ktk kazi yako 😍
Amiin, ni wa ngano Leila
@@mziwandabakers8297 Asante mamy
Upo vinzuri
Thanks. Can we add any spice to get rid of the smell of eggs?
Yap waweza weka 😋
@@mziwandabakers8297 absent kwa maelezo
Mildred Sophia unajaribu vanniler
@@cheroppunda1920 Thanks.
Wakati huo Karanga ushazikaanga au mbichi?
Mbichi
Kalanga zinakuwa mbichi au zinapitiavkwanza motoni nisidie
Mbichi zinakuwa
Karanga zina kaangwa au mbichi
Mbichi
Karanga unaponunua unaweza kuziosha
Kuziosha ni muhimu
Mwanzoni zinakuwa freshi ama zimekaangwa
Ni fresh mbichi
Unga wa keki ndo upi mama
Wakupambia
@@mziwandabakers8297 oho thanks mumy unatupa nguvu ya kujitegemea kiakil dear
Hello mdada je nikiweka mayai manne kwa kilo moja inakuwaje?
Inakuwa sawa tu zitazidi kuvimba nakupendeza zaidi
@@mziwandabakers8297 ahsante my dada nilipaki zikawa nzuriii kwa1 kg nilipata 15000 elfu kiurahisiiii
@@jackyluns8224 ulipack za sh ngp
@@glorykessy6942 nilipaki za miatano miatano
Mhhh Ila hiyo ya kuzungusha kwa mkono karanga moja moja Kama una kilo nyingi si utakesha hapo?
yan mm nawaza hapo sasa hapa nmechoka
Jamani msaada jamani nikiuza sh Mia ntapata faida???
Karanga ghali buana 500
@@mziwandabakers8297 nimepika leo ila kuunguka kama kote vile
@@ilhamprecious8816 umeungua wewe au zenyewe?? Pole mwaya
unga wa kawaida ndo unga gani
Wa ngano