TENGENEZA SABUNI NZURI NZITO YA MAJI KWA MALIGHAFI 3 TU| MAKE LIQUID SOAP WITH ONLY 3 INGREDIENTS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 639

  • @EdwardMyinga
    @EdwardMyinga ปีที่แล้ว +6

    Mtaji shilingi ngapi dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว +3

      Inategemea unataka kutengeneza ya lita ngapi mpendwa.

    • @dorcasreuben5955
      @dorcasreuben5955 10 หลายเดือนก่อน +3

      Hiv vitu vitapatika maduka gani jamn

    • @dorcasreuben5955
      @dorcasreuben5955 10 หลายเดือนก่อน

      Nimelipenda somo endelea kutufunza zaidi ❤

    • @ZainabMwinyiakida-ow8uq
      @ZainabMwinyiakida-ow8uq 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nakupenda dada ❤

    • @dorcasreuben5955
      @dorcasreuben5955 10 หลายเดือนก่อน

      Iyo preservative unaweka ukishakuwa umechanganya au unaweka mwanzoni naomba nisaidie kujua

  • @mimasaady5638
    @mimasaady5638 6 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani nmekupenda bure sababu unafanya kwa ajili ya watu wote na sio ww binafc kiukweli endelea kusaidia wengne allah atakufungulia utafika mbali sana nasemaje unapofanya mambo mema kwa watu na moyo mkunjufu mungu hukufungulia sana rizk🔥❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 วันที่ผ่านมา

      @@mimasaady5638 amina dear, Asante.

  • @KelvieLaiti
    @KelvieLaiti 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteh kwa kunifundisha mbinu nyingine,lakini mom nikiweka rangi ya blue inabadilika kuwa rangi ya sambalau kipenzi nakosea wapi?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 วันที่ผ่านมา

      @@KelvieLaiti karibu. N vyema usiweke rangi maana caustic in tabia ya kubadili rangi. Pia usisahau kuweka glycerine.

  • @TherezaLazaro
    @TherezaLazaro ปีที่แล้ว +5

    Ahsante sana dada nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako Mungu akuongezee maarifa zaidi na zaidi pia malengo yako unayoyatamani uyafikia, ngoja nami nifanye practic

  • @theclamarealle6052
    @theclamarealle6052 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana naomba hongera sana asante kwako darasa Mungu akubariki sana naomba kujua hizi maligafi za kutengeneza nazipataje kipenzi na marashi unachukua yoyote dukani au zipo kwa ajili ya utengezaji wa sabuni

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@theclamarealle6052 Karibu tuwasiliane ili upate kitabu utajifunza mengi 0687786576.

  • @TulinaveNziku
    @TulinaveNziku 8 วันที่ผ่านมา

    Asante sana nimeelewa 🙏🙏🙏

  • @firdausmukhtar5684
    @firdausmukhtar5684 27 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana ubarikiwe

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  27 วันที่ผ่านมา

      @@firdausmukhtar5684 Amina dear. Asante.

  • @EloEsiStudio-f7q
    @EloEsiStudio-f7q หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada hakika nimejifunza na ntaaanza jutengeneza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@EloEsiStudio-f7q Karibu. Usisahau kuweka glycerine pia.

  • @nitwelesimon4303
    @nitwelesimon4303 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana Elimu Nimepata Mwanga kwakweli Samahani Unaweza Niandiikia Inglident zote na kazi zake Kipenzi

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@nitwelesimon4303 Asante dear, ingredients unazipata kwenye kitabu dear, bei ya kitabu elfu 30 kipo mfumo wa soft copy, kina mafunzo mengi. Wasiliana nami 0687786576 ku order.

  • @KhadijaKaoneka
    @KhadijaKaoneka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana dd sabuni ni nzr Sana barikiwa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@KhadijaKaoneka Amina dear. Asante sana 😃

  • @TatuMwanyelo
    @TatuMwanyelo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dadaa mungu akubariki

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@TatuMwanyelo amina dear ❤️

  • @danaal5590
    @danaal5590 หลายเดือนก่อน +1

    Asante saana

  • @sikindemunyama6218
    @sikindemunyama6218 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤uko wap dada mzuri

  • @estajohnmhina3067
    @estajohnmhina3067 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana nimeipenda

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@estajohnmhina3067 ❤️❤️❤️

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 3 หลายเดือนก่อน +2

    I love uuu dya..nmetengeneza uwiiiii sabuni ni nzuri mnooo yn mnoooo ur the best darling ❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  3 หลายเดือนก่อน

      @@Yana_queen1 Asante sana dear ❤️

  • @EvodiaThomas
    @EvodiaThomas 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante nimewiwa kujifunza ubarikiwe.

  • @faustazacharia9470
    @faustazacharia9470 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa malighafi ni chache sabuni bora kabisa asante

  • @TulinaveNziku
    @TulinaveNziku 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana kwa elimu nzuri umenipatia ,sasa naomba kuuliza nitatafuta kwenye maduka yapi hizi malighafi nizipate kwa urahisi?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  7 วันที่ผ่านมา

      @@TulinaveNziku Asante dear. Maduka uya malighafi.

  • @AishaSaid-x8g
    @AishaSaid-x8g 2 หลายเดือนก่อน

    Asante dada Allah akulipe

  • @estajohnmhina3067
    @estajohnmhina3067 7 วันที่ผ่านมา +1

    ❤asante sana dear nitatengeneza na mimi kwa formula hii barikuwa mno

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 วันที่ผ่านมา

      @@estajohnmhina3067 amina dear, asante.

  • @SashaRamadhani-uu1wv
    @SashaRamadhani-uu1wv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dear nimetengenza alhamdulilah napata wateja sio haba

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@SashaRamadhani-uu1wv Amina dear.

    • @LizzyLizzyDunia
      @LizzyLizzyDunia หลายเดือนก่อน +1

      vifaa vinapatikana kwenye maduka gani dear

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @ maduka ya malighafi

  • @JeniphaDeniss
    @JeniphaDeniss หลายเดือนก่อน

    Nmependa darasa nkafanye practical sasa thanks mom❤

    • @EneaAloyse
      @EneaAloyse หลายเดือนก่อน

      Gilisalin. auweki

  • @SakinaSeif-tt6hf
    @SakinaSeif-tt6hf 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana

  • @theclamarealle6052
    @theclamarealle6052 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa mpendwa Mungu akubariki sanaa anaomba unisaidie hizo maligafi inapatikana wapo mpendwa

  • @Official_emma6
    @Official_emma6 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana namimi nataka kujifunza hii

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@Official_emma6 Karibu.

    • @AayshaAyash
      @AayshaAyash หลายเดือนก่อน +1

      ​@@annaclaireshijadadaangu nakuomba uniandikie izo vifaa vya sabun

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@AayshaAyash list yake inapatikana kwenye kitabu dear.

  • @CHESCONYAMBE
    @CHESCONYAMBE 10 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa umenitoa mahar good bless you

  • @PashamamyLeshay
    @PashamamyLeshay 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dear

  • @UpendoMwakyusa-hp6lg
    @UpendoMwakyusa-hp6lg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana dada mi nitakutafuta na je sabuni ya kunawisha mikono inatengenezwaje

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@UpendoMwakyusa-hp6lg kuna video nilishapost angalia dear.

  • @EveCharles-f9i
    @EveCharles-f9i ปีที่แล้ว +1

    Hongeraaa mdada ,,,na Asantee kwa elimu nimejifunza kitu Mungu akutunze

  • @YusuphPaulo-md8ys
    @YusuphPaulo-md8ys ปีที่แล้ว +1

    Dada nashukuru sana kwa elimu nzuri Mungu azidi kukuinua katika ndoto zako na maono yako ya kusaidia vijana

  • @ShufaaAthuman
    @ShufaaAthuman 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  9 หลายเดือนก่อน

      Karibu 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @MariamEzekiel-ks3lc
    @MariamEzekiel-ks3lc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asnte Sana dad's mnzuri hauna hauna choyo nimekuelew nimefanya nikapat matokeo ma nzuri kaisa Mungu akubariki

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  9 หลายเดือนก่อน

      Amina dear, Mungu akubariki pia.

  • @RhodaCoelho-z1k
    @RhodaCoelho-z1k หลายเดือนก่อน +1

    Nimeelewa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@RhodaCoelho-z1k good 👍🏾

  • @ilhamhaji1125
    @ilhamhaji1125 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada.kwa elimu uliotupatia .

  • @DavisKenyolwa
    @DavisKenyolwa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asantekwa mafunzo mazuri

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@DavisKenyolwa karibu sana.

  • @tabithaelisha3718
    @tabithaelisha3718 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli sabuni ni nzuri

  • @MilkaSimiyu
    @MilkaSimiyu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Madamu nimeipenda

  • @ashaliheta
    @ashaliheta หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda dada naomba niulize hicho kifaas chakuifazi Sabuni isioze kinaitwaje

  • @Clements8814
    @Clements8814 4 หลายเดือนก่อน +1

    wow!👏👏👏

  • @praxedachenya4101
    @praxedachenya4101 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kwa ubunifu nzuri je usipoweka gricelin haitakata mikono na je unnaweza kuoshea vyombo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@praxedachenya4101 asante, glycerine ni muhimu sana kuweka. Inafaa ndio.

  • @FatmaAhmed-rs2hh
    @FatmaAhmed-rs2hh 4 หลายเดือนก่อน

    Asante FD ibarikiwe

  • @UmmuSara-s9p
    @UmmuSara-s9p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana, Tunaomba pia utuandalie darasa la kutengeneza Shampoo kwa malighafi chache kama hizo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  9 หลายเดือนก่อน

      Sawa dear. Nitabuni ya design hiyo.

  • @LoyceBugalama
    @LoyceBugalama ปีที่แล้ว +1

    Upooo vizur mungu akiinue saana na zaid

  • @dastansimpanzye4019
    @dastansimpanzye4019 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa darasa zuri

  • @ZainabAyoub-hv1zo
    @ZainabAyoub-hv1zo 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa darasa zuri dada

  • @BoniphaceMgube
    @BoniphaceMgube 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn vp dada kuhus gliserine hauweki ili kulinda mikono?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@BoniphaceMgube muhimu sana uweke kulainisha sabuni.

  • @AminaJumanne-q6v
    @AminaJumanne-q6v 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tafadhali naomba nifahamishe wapi napata hizi bidhaa pia naomba niorozeshee zote nakushuru ubarikiwe sana nimekupenda kwa somo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  23 วันที่ผ่านมา

      @@AminaJumanne-q6v hapo dear mpaka ununue kitabu. Utazipata zote. Karibu 0687786576.

  • @OnestaZablon
    @OnestaZablon 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeraa sana dada mungu akubariki sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@OnestaZablon Amina dear 🙏🏾

    • @latwintz
      @latwintz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba no yako my dear

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  3 หลายเดือนก่อน

      @@latwintz 0687786576. Karibu.

  • @LilianMollel-d8i
    @LilianMollel-d8i 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ Mungu akubariki saana....

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  4 หลายเดือนก่อน

      @@LilianMollel-d8i amina dear ❤️ karibu pia ujipate mafunzo ya sabuni hii na bidhaa nyingine nyingi za viwandani kwenye kitabu. Wasiliana nami kwa namba 0687786576.

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina dada Ubalikiwe

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Amina dear.

    • @GtrudaUtenga-es4pq
      @GtrudaUtenga-es4pq 11 หลายเดือนก่อน

      @@annaclaireshija tufungulie dalasa my sijawai ona sabun kama hii nzur

  • @loicymwakyanjala2828
    @loicymwakyanjala2828 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera. Sana Mungu akubariki sio mchoyo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@loicymwakyanjala2828 amina dear, asante na Ubarikiwe.

  • @isacksumun4463
    @isacksumun4463 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante natamni xan kufany hii biaxhar

  • @AZIZAKAPITA-hn4dy
    @AZIZAKAPITA-hn4dy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Preservative unaweka wakati gani?
    Ahsante sana,nimejifunza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 หลายเดือนก่อน +1

      @@AZIZAKAPITA-hn4dy Asante kipenzi, unaweka mwishoni kabisa. Karibu pia ujipatie kitabu kina mafunzo mengi zaidi ya bidhaa za usafi na urembo 0687786576.

  • @liliankayuni6997
    @liliankayuni6997 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana dada kwa upendo wakujitoa kutufundisha kupitia mtandaoni. Nimependa sana maana maligafi ni chache ambazo haziwezi kumchanganya mwanafunzi. Nataka nianze biashara ya kutengeneza sabuni dumu la lita 5 natakiwa niuze kwa shilingi ngapi?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Asante dear. Lita 5 uza elfu hadi elfu 11 ndio bei zake.

  • @fraviavalentine
    @fraviavalentine 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Somo ni zuri mno

  • @DorisClement-zg5yy
    @DorisClement-zg5yy ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa somo zuri

  • @toidamagoyo5416
    @toidamagoyo5416 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada kwahii elimu, naomba kuuliza malighafi hizi zinapatikana ktk maduka gn

  • @NuratNgeeni
    @NuratNgeeni 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana dada mungu azdi kukupa afya njema

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 หลายเดือนก่อน

      @@NuratNgeeni Amina dear 🙏🏾🙏🏾

    • @khadijahhyder1449
      @khadijahhyder1449 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@annaclaireshijanaomb contact zako plz

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 หลายเดือนก่อน

      @@khadijahhyder1449 0687786576.

  • @MahapeMahape
    @MahapeMahape 12 วันที่ผ่านมา +1

    Haina masaa ya kwamba ukiipaki kwenye madum yako inatakiwe usubiri ili iwe tayari kwa kuitumia???

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 วันที่ผ่านมา

      @@MahapeMahape inatakiwa sabuni ikae masaa 24 itulie ndio upaki. Hakikisha unaweka glycerine pia.

  • @hosianapierre5087
    @hosianapierre5087 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nimependa Sana hii formula dada ubarukiwe sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  10 หลายเดือนก่อน

      Amina dear 🙏🏾🙏🏾

  • @InviolathaMbuya
    @InviolathaMbuya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aksante kwa darasa lenye manufaa. Naomba jina la hiyo preservative

  • @IrineKanuya
    @IrineKanuya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah nashkur dada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@IrineKanuya karibu sana.

  • @FatumaKatende-c7b
    @FatumaKatende-c7b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  7 หลายเดือนก่อน

      Amina 🙏🏾 Ubarikiwe pia.

  • @anjelaanatoroka5579
    @anjelaanatoroka5579 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana dada.

  • @AshaNyanga
    @AshaNyanga 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukur dada Kwa daras zur mungu akupe uwezo na kipato Zaid ila naomba msaada kuusu rebo nazipataje

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@AshaNyanga Amina 🙏🏾 tuwasiliane

  • @esthergerald5941
    @esthergerald5941 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sn dear, nimejifunza kitu kizuri barikiwa mumy.

  • @charlotteminani7046
    @charlotteminani7046 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana na Mungu

  • @MwanjumaHamis
    @MwanjumaHamis 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantesanq

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MwanjumaHamis ❤️❤️

  • @MadundoTabukwanga
    @MadundoTabukwanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada mi nataka kuanz na lita kumi je mtaj sh ngapi?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@MadundoTabukwanga Karibu upate ujuzi zaidi kwenye kitabu.

  • @LissaJackison
    @LissaJackison หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unitajie kwa maandishi hivyo vifaaa pls

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@LissaJackison hello dear, utavipata kwenye kitabu. Bei yake 30,000. 0687786576.

  • @KastoryYohana
    @KastoryYohana ปีที่แล้ว

    Congratulations for good Idea

  • @SophiaShelukanya
    @SophiaShelukanya 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Mimi nimeipenda sana na ni nzur sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@SophiaShelukanya asante sana dear.

  • @MimaKaspar
    @MimaKaspar 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana barikiwa

  • @benadetamasanja3966
    @benadetamasanja3966 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzr, inshallah nami niandae mtaji Ili nianze kijibiashara.

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว +1

      Karibu dear na endelea kufuatilia channel hii kwa mafunzo mengi zaidi. Ubarikiwe.

  • @monicamoshi4870
    @monicamoshi4870 ปีที่แล้ว +1

    Nimedurahi sana nitajitahidi kutengeneza asante sana. Vifaa navipqta wapi my 0⁸

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว +1

      Karibu sana dear. Utapata kwenye maduka ya malighafi na ofisi za SIDO kwenye Mkoa ulipo.

  • @yaholakuyi7986
    @yaholakuyi7986 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada ila nlkua nauliza hizo marighaf zinapatkan kweny maduka yapi??

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@yaholakuyi7986 kwenye maduka ya malighafi. Kwa mafunzo zaidi karibu ujipatie kitabu 0687786576.

  • @christinasanga2993
    @christinasanga2993 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada nakupenda sana

  • @estajohnmhina3067
    @estajohnmhina3067 หลายเดือนก่อน

    ❤Habari za asbh dear....vipi kuhusu Glycerin maana umeweka caustic haitachubua mikono??

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  หลายเดือนก่อน

      @@estajohnmhina3067 nzuri dear, glycerine muhimu sana kuweka.

  • @RosemariaKabula
    @RosemariaKabula 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo, samahan malighafi hz znafaa kwa hair shampoo?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 หลายเดือนก่อน

      @@RosemariaKabula Hapana dear, jifunze zaidi kwenye Kitabu changu kuna mafunzo mengi zaidi ya bidhaa mbalimbali za usafi na urembo. 0687786576.

  • @mbusirobahati424
    @mbusirobahati424 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nmependa funzo lako mama

  • @KisemvuleAbdallah
    @KisemvuleAbdallah 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza weka glycerin nkiac gan

  • @adelinakyombo1702
    @adelinakyombo1702 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakushukuru pia Sana nimekuelewa

  • @gabriellaJuma-kw8qq
    @gabriellaJuma-kw8qq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unatufundsha vizur san

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  3 หลายเดือนก่อน

      @@gabriellaJuma-kw8qq Asante dear ❤️

  • @felichinakihaga509
    @felichinakihaga509 8 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani dear hii huweki giliseline kwa ajili ya kuleta ulaini au kuzuia mtumiaji mikono kupauka?

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      Muhimu sana kuweka mpendwa. Hata mimi niliweka ila nilisahau ku record.

    • @felichinakihaga509
      @felichinakihaga509 8 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani saana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      @@felichinakihaga509 karibu sana.

  • @FaidaEmmanuel-f8u
    @FaidaEmmanuel-f8u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je unaweza kuoshea nywele

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@FaidaEmmanuel-f8u Hapana mpendwa. Haifai kwa nywele.

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@FaidaEmmanuel-f8u kuna video hapa ya namna ya kutengeneza shampoo. Iangalie.

  • @GENOVEVARAFAELNDAMCHO
    @GENOVEVARAFAELNDAMCHO 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani dada ubarikiwe unafundisha vizur sana nimekuelewa sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  7 หลายเดือนก่อน

      Amina dear, nashukuru kwa kutazama.

  • @irenem-jd4tz
    @irenem-jd4tz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zurii, naomba kuiliza isipoweka glycerine haiwez kakamaza mikono?? Na kuifanya sabuni isiwe soft??

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  11 หลายเดือนก่อน

      Ila glycerine inapausha mikono kwahiyo ni muhimu kuongezea.

  • @glorisialyimo7007
    @glorisialyimo7007 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mno mpenz nimekuelewa hasa mwalimu wangu. Ombi langu naomba unielekeze sehemu ama duka la kununulia material plz dear

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  7 หลายเดือนก่อน

      Zinapatikana kwenye maduka ya malighafi. Nenda ofisi za SIDO Mkoa uliopo.

  • @charlotteminani7046
    @charlotteminani7046 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  6 หลายเดือนก่อน

      @@charlotteminani7046 karibu pia ujipatie Kitabu kina mafunzo mengi zaidi.

  • @agnesskihamba6807
    @agnesskihamba6807 ปีที่แล้ว +1

    leo nimejifunza njia mpya ya gharama nafuu sana asante sana mwl wangu

  • @ShinunaHabibu
    @ShinunaHabibu ปีที่แล้ว +1

    Dada nakushukuru sana wallah allah akulipe kher lakin naomba unijibu tafadhali je hizo malighafi zinapatkana kwenye maduka ya aina gani

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  ปีที่แล้ว

      Amina dear, yanaitwa maduka ya malighafi na pia kwenye ofisi za SIDO huwa yanakuwepo.

    • @zainabumtubwi1055
      @zainabumtubwi1055 11 หลายเดือนก่อน

      Kariakoo duka la wajasiliq mali

  • @livyachami
    @livyachami 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana. Binafsi naomba kitabu kama kipo tayari

  • @mpelwahenry6277
    @mpelwahenry6277 4 หลายเดือนก่อน

    Hii njia rahisi sana ila cjackia ukiitaja glycerin na DMH au sio lazima?

  • @RehemaMwahalede
    @RehemaMwahalede 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante nimekulewa

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana.

    • @EverNzoggi
      @EverNzoggi 8 หลายเดือนก่อน

      Nitafute naitaji kujifunza

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  8 หลายเดือนก่อน

      @@EverNzoggi Yaani wewe unataka kujifunza ila mimi ndio nikutafute????

  • @AvelinaRobert
    @AvelinaRobert 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dear kwa kufundisha vzr lkn naomba kuuliza presevertiv ambayo umetumia ni ipi ili kuhakikisha sabun haiharibika

  • @CosmasMlelwa
    @CosmasMlelwa 5 หลายเดือนก่อน

    Nikwann hujatumia chumvi ya mawe?

  • @hellenmakungu2984
    @hellenmakungu2984 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante nimeelewa zaidi kwako kuliko video zaidi ya kumi nlizotazama kwingine❤

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  2 หลายเดือนก่อน

      @@hellenmakungu2984 Asante dear. Be blessed ❤️

  • @LovenessMgala
    @LovenessMgala 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dada samahn unaweza ukaniandikia izo bizaa ulizo tumia apo

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  5 หลายเดือนก่อน

      @@LovenessMgala hizo utazipata kwenye kitabu dear 0687786576.

  • @LilyNehemia
    @LilyNehemia 10 หลายเดือนก่อน +1

    Caustic soda bila kuiacha massa 12 am 24 haiwez leta shid ? Naomb kfahm

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  10 หลายเดือนก่อน

      Nimeelekeza kuwa caustic inatakiwa kukorogwa kwenye maji kwa dk 20 na kuachwa kwa siku mbili ndio unaitumia. Baada ya hapo ulichanganya kwenye sabuni haina shida. Pia muhimu uweke na glycerine ili sabuni isipaushe mikono.

    • @LilyNehemia
      @LilyNehemia 10 หลายเดือนก่อน +1

      Aaah Mimi nilikorag Jan saa 10 jion na nimeitmia Leo saa moj ASUBUHI haiwez leta shid maan imeshaa kaa massa 12 dear msaada

    • @annaclaireshija
      @annaclaireshija  10 หลายเดือนก่อน

      @@LilyNehemia kama unachoungumzia ni caustic umekosea inapaswa kutumika baada ya siku 2 ya 3 ndio unatumia. Hiyo sabuni lazima itawasha mikononi.

    • @LilyNehemia
      @LilyNehemia 10 หลายเดือนก่อน

      @@annaclaireshija vip Kam haitawash maan niltumia robo nikaiweka Kweny maji Lita tatu na majii niliyotumia ni Lita kumi-11

  • @anjelaanatoroka5579
    @anjelaanatoroka5579 3 หลายเดือนก่อน

    Je hii sabuni naweza kusafisha nayo vyombo vya jikoni?
    Pili je sabuni za kunawia utengenezaji wake ukoje? Asante kwa daresay mwalimu umetulia vizuri sana.