ANTII PT:13. | TAMTHILIA YA MAADILI | HD VIDEO | OFFICIAL | MASH TV | MADRASA SHOP TV ONLINE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2023
- Unapokua upo katika ndoa basi mengi yatakukuta na yote hayo ni mitihani na lazma ukabiliane nayo
SUBSCRIBE LIKE COMMENT SHARE
+255773 950 250
+255717 513 191
MASH TV
MKONO KWA MKONO MPAKA TUSHIKAMANE - บันเทิง
Tujuane Kwa like tuloangalia toka namba moja mpaka sasa
Team Antiiii Tujuane Hapa ❤❤❤
Tupo pamoja 🥰🥰
Nakukubali
Tupo pamoja
Wale wanaosubir mpaka tunasahau tulipoishia gonga like hapa
Ooohhh nimewahi Leo naomba like zangu jamn😅😅😅
Leo umewai sana 😂😂😂😂
Mashaallh🥰
Mashaa ALLAH, tuletee yusr,nafsi lawama ,Sihri na zengine nimezisahau majina ,ila zinatoka MADRASA SHOP, nawapenda kwa ajili ya ALLAH SWT
Tulikua tunaisubr kwa hamu saan hii flmu allaah awalipe kila la khery katuongoza vyema nawapenda saan wana ahabbli kuru-ani
Team Antie tujuane hapa vipenzi vyangu 😘🔥
Nimecheka eti kampelekea kitoweo
Mimi🥰🥰🥰😋👌
Mm pia timu anti
Mm pia timu anti
Inafundisha
Tulio ifatilia toka 1-13 tujuane kwa like wadau🫰
❤❤❤
Maaashaallah maashàallah kweli Salma kabadilika kweli ndoa tamu tamu hasa ukiyajua majukumu yako
MashaAllah finally imetoka....nmeisubiria sna kwa kweli
Mashaallah😘😘😘😘😍😍
Gonga like hapa kutok Zanzibar 🇹🇿
Masha Allah, Allah awazidishie upendo wenu
Mashallah..
Hongera wajna umebadlika sana😘
Nilisubri Sana Leo Alhamdulillah
MashaAllah
MashaaAllah
❤❤❤ hi iko good
Chauvivu ana pambana jamani sijui mwezi mchanga kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣♥️
Mashaallah nmefurahi kuona hivo jmn🤣🥰😍
assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh mashallah mnatuburudisha kwa burudani nzur zakutuelimisha kidini allah azidi kuwawekeya wepesi ili mzidi kuzitowa zaidi katika huu mwezi wa ramadhani ♥♥♥♥♥
Mashallah❤
Manshaallah tabarakallah naipenda adi mwisho❤❤
Maa shaa llah tabarakah rahman
Mmeipunguza Radha anti arikuwa mke arisha orewa reo mmemrudisha kua mfanyakazi ngeiendereza virevire na bimkubwa kujirekebisha
Mashaallah antii pampe natamani nipate mume Kama uyo na mm anaejua kupendw
Jamn salma mashallah na vimeno vyake mwenyew
Masha Allah mungu awabariki
Ma'Sha'Allah🤗🤗🤗🤗shukran jazzakallahu kheir....
Mm hap sujaelewa
Mbn huyu sialikuwa mkewe imekuwaj jaws mfanyajaz tena
Pia me ilinichanganya...maana alikuwa amemwoa antii..
Mashallah Dua zimesaidia Antii ipo hewani
Dua zako hizo zile za kuleeeeeee huhuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhuhu
Maashaallah.......
Mashalllh filmu nzuri cn
Maa shaa Allah
Jazakallah khayran
Maa shaa Allah, nimeipenda toka mwanzo hadi hapa
madhili mazuri sana mashallah
Mashaallah Allah awazidlshie kherii.
Mashaalha
Mashallah mafunzo mazuri jamani umebadilika dada Allah awaongoze
أنت تنزانية
أو تنزانيا
Allaahumma aamiin
Hahahaa kazi ipo
😂😂😂😂 Mwanamke Bomba! Ndoto yakuigwa hii wake majumbani.. Shukraan!
Mashaalah
Siooo kwa mbioo hizooo. Hahaha. Safi sana. Abiria chunga mzigo wako.
Mashallah ❤❤❤❤❤
Masha Allah tabaraka Allah hongereni Kwa mafunzo sana❤
Hatimae imefika
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi ni meipend san❤❤❤
Munadukawiiiiiiza sana simunajuwa tunawapenda rakini
Nilikua naisubiri kwa ham sana
Jaman make kafanyaa maamuzi sahihi Allah ampe wepesi
ALLAH awabariki
Allaahumma aamiin
Asantee kwa kz mzr yenye mafunzo mazr
Mashaallah🥰🥰
Ni moto bad unaendelea
Mashaa Allah...
Mashaallah
Sasa huu muendelezo au
Kindukwi😀Yaani ww dada Samreen nakupenda..Allah akupe afya njema habibty uzidi na wenzk muzidi kutuelimisha kupitia filamu hii ila mumechelew kutoa mara hii bc mwenzenu nlikuwa naangalia t bdoo?kwa hamu nliyokuwa nayo🤣
I love youuuuu moooooo habibty
Aameen Thumma Aameen
Aameen Yarabbil A'lameen
Aameen Allahumma Aameen
Aameen Aameen Aameen
Thank youuuuu dear❤❤❤
@@sallysaidy685 Shukraan pia qalby😘
Jaman nzuri ❤️❤️
Masha Allah🤲🥰🥰🥰
Kazi nzur Allah awalipe kher
Allaahumma aamiin
Masha Allah
Maasha Allah lkn kama sielewi
Bosi vip siutaingia wazim lakin sikwasiwasi uwo🙃
Lakn kupendwra rrahhaaa mpka watu wanapagawa ivo nguo chiniii😃nyeupeeeee
Mashaallah mashaallah mashaallah
Allhamdullah mashaallah
Wanaichelewa sana mpaka tunaisahau
Mwazinguwa kuleni chuma hicho
Manshallah
Sawadada
ManshaAllah
Mbona huuu mchezo , kama umerudi nyuma ,so antiii alikua ameshaolewa huyu jamaniii
Ilikuwa ndoto
Jamani maa shaa Allah shukran sana ndugu zangu
Afwan
mashaa Allah Allah awazidishie sana kipindi hiki
Antii we n mkorof walah cyo kw kumchungulia huko boss wako 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani leo tamthilia imezid kuwa tamu hadi raha🥰
Mnachelewa sana
Mashallah good job
Jamani njoni haraka anti imeachiliwa mungu awabariki nyote
Allaahumma aamiin
Anti wivu umekujaa na n kwenye ndoto ingekuwa uhalisia cjui ingekuwaje
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂 Salma jamani
Fahad 🤣🤣🤣unajikuta ulimwengu wotee w kwakooo😂😂😂 ety aende wapiii we rafk w Fahad usinchekeshee mii mapenz mubasharaaaa now
kutoka bara daa nawafuatilia tangu day one
😂😂😂😂 Masha Allah Masha Allah kaz nzr Allah awazdishie. Tuzd kujifunza
Allaahumma aamiin
@@abubakaryusuph6555 tujuane
Best islamic movie
Jaman antiii niimiss
Nizuri sana waendeleze basi
Nimewayi Leo
😂😂😂😂nguo chini🙄
Ss nasema wezangu mfahamu kwasababu pat zingine zikioasha alikuwa antii tena hizi zengine zaoshesha ni fanyakazi tena
yachelewa sana mpaka twasahau lkn shukran 🥰🥰🥰
Kindukwi 😂😂😂😀 😀 😂 😀 😀 😂 😀 😀
Kwani ailikua ndoto kuolewa Aunty mkewapili au umerudi nyumba🤣🤣🤣
Ilikua ndoto
Imechelewa mnoo yaani ila ❤❤
Jamani mie sielewi eti ilivoanza na inapo elekea mnatuchanganya
Mwanzo ilikua ndoto sai ndo real movie 😁🤣
Jitahidi kufatilia kila kipande
Im here
Twaingojea
Jamani msikawiebkutuletea mwendelezo
Kwa hvyo hawakua mume na mke hawa wawil antii na baba
hata mm sielewi nakumbuka waliowana sasa ime kuaje
Mke wa Fahad ndo alkua anaota kua mumwe kamuoa anti lkn hawana mahusiano ile ilikua ndoto
Baaaa! Mm niljua ni kwel antio kaolewa kwel
😅😅 part 1 Hadi 11 Salma mkwewe Fahad alikuwa ywaota ndoto haha😅😅
Wanatupeleka vaisi vesa mara huyo antii alikuwa tayari ni mke asaivi tena nimsichana wa kz tena aaah
Part 1 hadi 11 mke wake Fahad alikuwa ywaota antii ameolewa na part 11 mwisho alipoota anti ywaenda kumdunga kisu ndio akazinduka usingizini
Mashaallah❤❤😅😅
To be continued
🔥🔥🔥🔥🔥💯
Mashallah